Blog Rebranding Teaser_030826

Blog Rebranding Teaser_030826

Absa Banner_170926_270926_101026

Absa Banner_170926_270926_101026

Stanbic Bank Banner_070826

Stanbic Bank Banner_070826

Monday, 14 December 2020

SHANGWE SHANGWENA - SONGEA

Wakazi wa mjini Songea waliojitokeza stendi ya mabasi mjini humo kushuhudia makabidhiano ya gari aina ya Renault KWID kutoka Vodacom kwenda kwa mshindi wa bahati nasibu ya promosheni ya Vodacom Shangwe Shangwena, Gloria Kamanga (hayupo pichani) mwishoni mwa wiki ambaye ni mjasiriamali mdogo katika soko la Manzese mjini Songea. Promosheni hiyo itawezesha watumiaji wa M-Pesa kujishindia magari mapya 5 pamoja na zawadi kemkem zenye thamani ya zaidi ya shilingi 3 bilioni, unachotakiwa kufanya ni kutumia huduma ya M-Pesa kadri uwezavyo katika msimu huu wa sikukuu.
Mkuu wa wilaya ya Songea, Mh. Polotet Mgema akizungumza na wananchi waliojitokeza kwa wingi kushuhudia makabidhiano ya gari kwa mshindi wa pili wa bahati nasibu ya promosheni ya Vodacom Shangwe Shangwena kutoka Songea, Mjasiriamali Gloria Kamanga mwishoni mwa wiki.
Mkuu wa wilaya ya Songea Mh. Polotet Mgema (kushoto) akiwa amepozi na mshindi wa gari la promosheni ya Vodacom Shangwe Shangwena mkazi wa Songea, Gloria Kamanga na Mkuu wa Mauzo Vodacom Kanda ya Nyanda za juu Kusini, Macfadyne Minja.

Mkuu wa wilaya ya Songea, Polotet Mgema (wapili kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na mshindi wa promosheni ya Vodacom Shangwe Shangwena, Gloria Kamanga na familia yake, pamoja na Mkuu wa Mauzo Vodacom Kanda ya Nyanda za juu kusini, Macfadyne Minja (watatu kulia) mara baada ya makabidhiano ya gari.


Sunday, 13 December 2020

BancABC TANZANIA LAUNCHES A NEW CAMPAIGN, ‘KUBWA LAO’ POSITIONING ITS CARDS AS THE LEADING IN THE MARKET

BancABC Tanzania Senior Manager for Digital and fintech Mr. Lameck Mushi (center) speaks in Dar es Salaam over the weekend when unveiling the banks new campaign – Kubwa Lao 3D Visa card which assures customers peace of mind, safety of funds and convenience to make free online and POS transactions. The new 3D is a secure technology comes with an added layer of protection that helps to prevent the unauthorised use of our customer’s Visa cards while shopping online. He is flanked by the banks Head of Retail and Commercial Banking Ms Joyce Malai (left) and Senior Manager Agency Banking, Mwita Rhobi (right).
BancABC Tanzania Head of Retail and Commercial Banking Ms Joyce Malai (center), the banks Senior Manager for Digital and fintech Mr. Lameck Mushi (left) and Senior Manager Agency Banking, Mwita Rhobi (right) display a placard after the banks new campaign – Kubwa Lao 3D Visa card which assures customers peace of mind, safety of funds and convenience to make free online and POS transactions. The new 3D is a secure technology comes with an added layer of protection that helps to prevent the unauthorised use of our customer’s Visa cards while shopping online.

Dar es Salaam, Sunday December 13 2020 - BancABC Tanzania, in the endeavour to continue being a market leader in e-commerce transactions and innovation of its cards, today launched yet another enhanced security feature called 3D secure.

Speaking today in Dar es Salaam while addressing members of press, BancABC Head of Retail and Commercial Banking Ms Joyce Malai said the new 3D secure technology comes with an added layer of protection that helps to prevent the unauthorised use of our customer’s Visa cards while shopping online. ‘During an online purchase using any of electronic devices (such as your mobile phone, laptop, ipads etc) you will receive a onetime passcode through an SMS or an email that you are required to input to complete your transaction, this way protecting the customers’ cards from being used by any unauthorized person.

Arguably, having launched the contactless tap to pay feature in our card platform that ensures convenience, safety to customers and more flexibility in making payments a few months ago and now with this 3D secure technology enhancement, our prepaid cards remain a game changer in payments services since customers will now continue to enjoy a lot more secure, simple and very fast payments through both online and POS machines.

BENKI YA NMB YATANGAZA WASHINDI 40 WA DROO YA PILI MASTABATA SIYO KIKAWAIDA!

Meneja Mwandamizi Idara ya biashara za Kadi wa Benki ya NMB - Manfred Kayala (katikati) akizungumza wakati wa kuchezesha droo ya pili ya Promosheni ya Mastabata IsiyoKikawaida iliyochezeshwa jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja wa Kitengo cha uzalishaji Kadi wa Benki ya NMB -Sophia Mwamwitu na kulia ni Mkaguzi kutoka Bodi ya Michezo ya kubahatisha - Rasuli Masudi.

Benki ya NMB imetangaza washindi 40 wa Sh. 100,000 kila mmoja wa droo ya pili ya Kampeni ya NMB MastaBata Siyo Kikawaida, inayochagiza matumizi ya Kadi za NMB Mastercard na Mastercard QR miongoni mwa wateja wa Benki hiyo. Miongoni mwa washindi ni; Samwel Kilua, Mgonja Tumaini, Msindai Wazael, Saria Fulgence, Joachim Mabula na Alex Katanda.

Kampeni hii ya miezi mitatu ilizinduliwa Novemba 24 mwaka huu, ambako zawadi mbalimbali zinatolewa zikiwamo za pesa , simu janja ‘smartphone’, jokofu, runinga pamoja na safari ya kwenda kupumzika Zanzibar, Serengeti na Ngorongoro.

Droo ya pili ya kampeni, imefanyika Makao Makuu ya NMB, jijini Dar es Salaam, chini ya usimamizi wa Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT), Rasuli Masudi, aliyewahakishia washiriki na washindi mchakato unaozingatia sheria zote kuwapata.

Akizungumza wakati wa droo hiyo, Meneja Mwandamizi wa Idara ya Biashara za Kadi wa NMB, Manfredy Kayala, alisema katika kipindi chote cha kampeni hiyo, watakabidhi zawadi kwa jumla ya washindi 40 watakaojishindia fedha taslimu 100,000 kila wiki.

TIME YA KUANZA KUSOGEA MILLENIUM TOWER KWENYE TUKIO LA UTOAJI WA TUZO ZA TANZANIA CONSUMER CHOICE AWARDS NDIO HII

 

Time ya kuanza kusogea Millenium Tower kwenye Tukio la utoaji wa Tuzo za @tanzaniaconsumerchoiceawards ndio hii.

Popote ulipo Tanzania na Afrika nzima unaweza kufuatilia kila kitakachoendelea kutoka hapa kupitia king'amuzi cha DStv Channel namba 294 kuanzia saa 2 kamili usiku.

#ZaidiNaZaidi

Saturday, 12 December 2020

CLYDE & CO UPDATER - BANKING IN TANZANIA: YEAR IN REVIEW 2020

As the year draws to a close, we highlight the firm’s 2020 legal updates for the Tanzania banking sector, providing clients and interested parties access to sector developments we reported on during the year.

Highlights include:
  • financial consumer protection regulations
  • spousal consent on mortgages
  • financial consumer complaints handling mechanism
  • monetary policy and non-performing loans (NPLs)
  • foreign exchange directives
  • COVID-19 and banking
  • microfinance service providers
Financial consumer protection regulations

In January, we published an update on the new Bank of Tanzania Regulations on financial consumer protection. The update explored key provisions of the Bank of Tanzania (Financial Consumer Protection) Regulations that were published as Government Notice No. 884 of 2019 (the Regulations). Key players under the Regulations are the financial consumer, the financial service providers and the Bank of Tanzania (BOT).

The Regulations make it imperative for financial service providers to adopt policies and a mechanism for ensuring financial consumer protection. Every financial service provider must have a structure of governance that ensures effective implementation of consumer protection. The Regulations also provide for non-discrimination of consumers and the need for financial service providers to adopt transparent consumer contracts with fair terms. The Regulations also provide for the requirement of financial service providers to establish complaints handling and redress mechanism.

The BOT plays a major role in the general supervision of compliance to the Regulations, having the mandate to investigate potential breaches of the Regulations and impose penalties and sanctions thereto.

Spousal consent on mortgages

In June, we published a legal update following the decision of the Court of Appeal of Tanzania (the Court) regarding the requirement of spousal consent on mortgages. The case of Hadija Issa Arerary v Tanzania Postal Bank, involves a mortgage secured by a third party with whom the Appellant claims to be married to. The Appellant challenged the Respondent’s right to sell the mortgaged property after the borrower defaulted on the loan.

The Court considered both the duty of the mortgagor to disclose his marital status and the mortgagee to take reasonable steps to investigate whether the property was a matrimonial asset. The Court reasoned that the mortgagor’s affidavit of not being married was sufficient. The Respondent was deemed to have taken reasonable steps in satisfying itself that the mortgagor was not married and that there was no third party interest.

The Court’s decision may seem favorable to mortgagees; however “reasonable steps” may vary on a case by case basis. It is imperative that lenders exercise due diligence to ascertain the marital status of the mortgagor in order to properly satisfy the spousal consent requirement.

Friday, 11 December 2020

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK. HUSSEIN ALI MWINYI AKUTANA NA UONGOZI WA BENKI YA NMB IKULU JIJINI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na uongozi wa Benki ya NMB Ikulu Jijini Zanzibar na kueleza kuwa yupo tayari kushirikiana na Benki hiyo kwa ajili ya kuimarisha uchumi pamoja na huduma za kijamii Zanzibar. Rais Dk. Hussein amesema kuwa Benki ya NMB imepata mafanikio makubwa hivyo, Serikali anayoiongoza iko tayari kushirikiana na NMB katika kuimarisha miradi mbali mbali ya kiuchumi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB - Ruth Zaipuna, alipowasili katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya mazungumzo na kumpongeza akiwa na Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara Benki ya NMB - Filbert Mponzi (kati), Afisa Mkuu wa Wateja Wakubwa Benki ya NMB - Alfred Shao na Mkuu wa Biashara Zanzibar wa Benki ya NMB – Abdalla Duchi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB - Ruth Zaipuna, alipokuwa akielezea namna Benki ya NMB imejipanga kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kukuza uchumi na kuisaidia jamii, alipowasili katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. Waliongozana na Bi. Ruth ni Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara Benki ya NMB - Filbert Mponzi (kati) na Afisa Mkuu wa Wateja Wakubwa Benki ya NMB - Alfred Shao.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Kadi yake ya NMB Mastacard World Debit na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB - Ruth Zaipuna, baada ya kumaliza mazungumzo yao katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na kadi ya yake ya NMB Mastacard World Debit, aliyokabidhiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB - Ruth Zaipuna, baada ya kumaliza mazungumzo yao katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

KAMPUNI YA BIA AFRICA MASHARIKI (EABL) YATEUA MKURUGENZI MTENDAJI MPYA PAMOJA NA MKURUGENZI WA KAMPUNI YA BIA YA KENYA (KBL)

Jane Karuku, Mkurugenzi mpya wa Kampuni ya Bia Africa Mashariki (EABL).

Bodi ya wakurugenzi wa Kampuni ya Bia Africa Mashariki (EABL), imemtangaza Jane Karuku kuwa mkurugenzi mpya wa kampuni hiyo inayomiliki Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Kampuni ya Bia ya Uganda (UBL) pamoja na Kampuni ya Bia ya Kenya (KBL).

Jane Karuku ambaye alikuwa ni mjumbe wa bodi ya EABL na mkurugenzi mtendaji wa KBL, anachukua nafasi ya Andrew Cowan ambaye amekuwa mkurugenzi mtendaji wa EABL kwa miaka minne na nusu. Cowan anakwenda kuchukua nafasi katika kampuni mama ya Diageo akiwa kama mkurugenzi mtendaji wa masoko ya Afrika.

Jane Karuku ni kiongozi mahiri wa biashara mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 25. Kabla ya kujiunga na KBL, alikuwa ni rais wa asasi ya kimataifa isiyo ya kiserikali inayojulikana kama Alliance for a Green Revolution in Africa (AGRA) inayohusika na kutatibu ruzuku kutoka kwa mashirika makubwa yanaotoa ruzuku kwenye eneo la usalama wa chakula na maendeleo ya kilimo.

VIBE LA SIKUKUU NA SOKA NDANI YA DStv...

 

Vibe La Sikukuu na Soka ndani ya DStv...

Piga *150*53# kulipia mapema kifurushi chako cha Bomba TShs. 19,900 tu au 0659 07 07 07 kujiunga kwa TShs. 79,000 tu upate na kifurushi cha Family mwezi 1 bure, bei elekezi ya ufundi TShs. 20,000 tu.

#SokaLisilopimika

#VibeLaSikukuunaDStv

EXIM BANK TAKES ITS 'CHANJA KIJANJA' CAMPAIGN TO A NEW LEVEL

Exim Bank’s Head of Retail Banking, Andrew Lyimo (centre), addresses journalists in Dar es salaam during the announcement of the bank’s reloaded 'Chanja Kijanja na Exim Mastercard' campaign that is aimed at encouraging its customers to shop and spend online with their bank cards. He is flanked by Head of Marketing and Communications, Stanley Kafu (left) and Head of Alternative channels and digital transformation Silas Matoi (right).

Dar es Salaam; December 10th, 2020 - Exim Bank’s 'Chanja Kijanja na Exim Mastercard' that is aimed at encouraging the bank’s Exim customers to shop and spend online with their bank cards through cashless payments (POS-payment machines) has taken a new twist as customers stand chances of winning an increase of grand prizes.

The campaign is rewarding Exim Bank customers with Mastercard to celebrate best services offered for them in support of their lifestyles.

Andrew Lymo, Exim Bank’s Head of Retail Banking said that through the campaign, the would-be winners will be awarded different token prizes including cash prizes for them to pay for their children’s school fees and other schools’ equipment.

“In respect of our customers’ priorities, we are now giving special chances for our three winners ( in a companion of their loved ones) to select fully covered trips of their choices like visiting Serengeti National Park or travelling to the beautiful island of Zanzibar,”

UTOAJI WA TUZO ZA TANZANIA CONSUMER CHOICE AWARDS ZITAKUWA LIVE KUPITIA RUNINGA YA PLUS TV KWENYE KISIMBUZI CHA DStv USIKU WA DISEMBA 13, 2020

 


Miongoni mwa matukio muhimu ambayo hutakiwi kukosa ni hili la utoaji wa Tuzo za Tanzania Consumer Choice Awards ambazo zitafanyika usiku wa Disemba 13, 2020.

Tukio zima la utoaji wa tuzo za @tanzaniaconsumerchoiceawards litakuwa LIVE kupitia runinga ya Plus TV kwenye kisimbuzi cha @dstvtanzania Channel namba 294.

#ccawards2020 

#ZaidiNaZaidi

Wednesday, 9 December 2020

VODACOM YASOGEZA HUDUMA KARIBU KWA WAKAZI WA MASAKI JIJINI DAR ES SALAAM

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Mhe. Daniel Chongolo (wa pili kulia) akikata utepe kuzindua duka jipya la kisasa la Vodacom lililopo mtaa wa Haile Selassie Masaki. Wengine ni Katibu Tawala wa wilaya hiyo, Stella Msofe (wa pili kushoto), Mkuu wa Mauzo wa Vodacom kanda ya Dar es Salaam na Pwani, Brigita Stephen na Msimamizi wa duka, Emmanuel Makaki. Uzinduzi wa duka hilo, utasogeza karibu huduma za kampuni hiyo kwa wateja wake.
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Mhe. Daniel Chongolo akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa duka jipya la kisasa la Vodacom lililopo mtaa wa Haile Selassie, Masaki jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa Mauzo wa Vodacom kanda ya Dar es Salaam na Pwani, Brigita Stephen.

Mkuu wa Mauzo wa Vodacom kanda ya Dar es Salaam na Pwani, Brigita Stephen akimkabidhi zawadi Miriam Mushi kwa kutumia mtandao wa Vodacom kwa muda mrefu.
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Mhe. Daniel Chongolo akimkabidhi zawadi Miriam Deus kwa kutumia mtandao wa Vodacom kwa muda mrefu.

Tuesday, 8 December 2020

TANGA CEMENT YANYAKUA USHINDI WA JUMLA TUZO ZA NBAA

Kamishna wa Fedha anaesimamia sekta za maendeleo kutoka Wizara ya Fedha, Dk. Charles Mwamaja (wa pili kushoto), akikabidhi tuzo ya ushindi wa kwanza wa kipengele cha Wazalishaji Bora katika tuzo za Uwasilishaji Bora wa Taarifa za Mahesabu za Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) ya mwaka 2019 kwa Mkuu wa divisheni ya Fedha wa Kampuni ya Tanga Cement PLC, Isaac Lupokela, katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Wengine pichani ni Wahasibu kutoka kampuni ya Tanga Cement.
Mkuu wa divisheni ya Fedha wa Kampuni ya Tanga Cement PLC, Isaac Lupokela (kulia) pamoja na timu ya wahasibu kutoka kampuni ya Tanga Cement PLC wakifurahia tuzo ya ushindi wa Jumla ya uwasilishaji Bora wa Taarifa ya Mahesabu za Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) baada ya kuibuka mshindi wa jumla katika tuzo hizo.
Kamishna wa Fedha anaesimamia sekta za maendeleo kutoka Wizara ya Fedha, Dk. Charles Mwamaja (wa pili kushoto), akikabidhi tuzo ya ushindi wa kwanza wa kipengele cha Wazalishaji Bora katika tuzo za Uwasilishaji Bora wa Taarifa za Mahesabu za Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) ya mwaka 2019 kwa Mkuu wa divisheni ya Fedha wa Kampuni ya Tanga Cement PLC, Isaac Lupokela, katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mthibiti Fedha wa kampuni ya Tanga Cement Emmanuel Nkonyoka.
  • Ni mwaka wa tano mfululizo
KAMPUNI ya saruji, Tanga Cement Plc, imeibuka kidedea katika tuzo za Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) yam waka 2019/2020 kwa mara ya tano mfululizo katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa Mhasibu Mkuu wa Tanga Cement Plc, Issaac Lupokela, alisema kuwa kampuni hiyo imeibuka na ushindi wa Jumla katika tuzo hizo kwenye kipengele cha watumiaji wa mahesabu kwa kutumia viwango vya kimataifa (IFRS) kwa miaka mitano mfululizo. Mshindi mwingine katika kipengele cha viwango vya kimataifa vya utunzaji fedha katika Sekta ya Umma ni TRA

Aidha, Tanga Cement waliibuka kidedea tena kwa kutangazwa kuwa washindi wa kwanza katika wazalishaji viwandani katika uwasilishaji bora wa taarifa za mahesabu za Boodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA). Washindi wengine ni kampuni ya bia, TBL PLC na Kiwanda cha Sigara, TCC.

Monday, 7 December 2020

WATEJA BENKI YA NCBA WAFURAHIA PUNGUZO LA BEI MADUKA YA GSM

Mkuu wa Idara ya Wateja Binafsi na wa Kati wa Benki ya NCBA, Julius Konyani akizungumza na waandishi wa habari kwenye hafla ya uzinduzi wa promosheni ya “ Nenda shopping na punguzo kutoka NCBA” ambapo wateja wa benki ya NCBA wataweza kupata punguzo la asilimia 10% watakapofanya manunuzi kupitia maduka ya GSM kote nchini kwa kipindi hiki cha msimu wa sikukuu. Kulia ni Mkuu wa Masoko, Mawasiliano na Utaifa wa Benki hiyo, Caroline Mbaga.
Afisa Masoko wa GSM, Fatma Farah akizungumza na waandishi wa habari kwenye hafla ya uzinduzi wa promosheni ya “ Nenda shopping na punguzo kutoka NCBA” jijini Dar es Salaam leo.
Mkuu wa Idara ya Wateja Binafsi na wa Kati wa Benki ya NCBA, Julius Konyani (katikati) akipeana mikono na Afisa Masoko wa GSM, Fatma Farah mara baada ya uzinduzi wa promosheni ya “ Nenda shopping na punguzo kutoka NCBA” ambapo wateja wa benki ya NCBA wataweza kupata punguzo la asilimia 10% watakapofanya manunuzi kupitia maduka ya GSM kote nchini kwa kipindi hiki cha msimu wa sikukuu. Kulia ni Mkuu wa Masoko, Mawasiliano na Utaifa wa Benki hiyo, Caroline Mbaga. Hafla ya uzinduzi imefanyika jijini Dar es Salaam leo.

Watumiaji wa kadi za NCBA Bank VISA Debit na VISA Credit card kupata punguzo la bei la 10% wanapofanya manunuzi katika maduka ya GSM Retail

Desemba 7, 2020 - Benki ya NCBA inawazawadia wateja wake wa NCBA Visa Debit na Visa Credit card kwa punguzo kubwa la gharama kila mara wanapofanya manunuzi katika maduka ya GSM Retail msimu huu wa sikukuu.

Akizungumza katika uzinduzi wa promosheni ya “ Nenda Shopping na punguzo kutoka NCBA” iliyofanyika katika mojawapo ya maduka ya GSM jijini Dar es Salaam leo, Mkuu wa Idara ya Wateja Binafsi na wa Kati wa Benki ya NCBA , Bw Julius Konyani alisema promosheni hii ni sehemu ya utamaduni wa benki hiyo wa kuwaheshimu na kuwazawadia wateja wake, ili kuwahamasisha wafikie malengo.

“Wateja wa Benki ya NCBA watapata punguzo la bei la asilimia 10% papo kwa hapo, kila mara watakapofanya manunuzi ya TSH 150,000 au zaidi na kutumia kadi zao za NCBA Bank VISA Debit na NCBA Bank Credit card kufanya malipo katika maduka ya GSM Retail,” alisema Konyani.

STANBIC BANK NAMED TANZANIA’S BANK OF THE YEAR

Dar es Salaam, Tanzania, 04 December 2020: The Banker Magazine, the world’s longest-running international banking publication, has named Stanbic Bank Tanzania as Tanzania’s “Bank of the Year 2020”. While selecting the winner, The Banker’s judging panel placed particular emphasis on which banks have led the way in meeting client needs and maintaining resilience in the face of the pandemic.

At the height of the pandemic, Stanbic Bank undertook a range of initiatives including; offering debt relief to businesses and individual clients to cushion them from the impacts of COVID -19 pandemic. The bank also launched the Africa China Agency Proposition (ACAP) to enable businesses to continue to thrive.

Stanbic Bank Tanzania Chief Executive, Kevin Wingfield said: “We are delighted to have received this award, we thank our customers and other stakeholders for their continued support in this difficult and unprecedented year. Without them, we could not have achieved this award.”

ABSA BANK TANZANIA SCOOPS NATIONAL BOARD OF ACCOUNTANTS AND AUDITORS (NBAA) AWARD

The National Board of Accountants and Auditors (NBAA) Board Vice Chairperson, Dr. Neema Kiure presents the Best Presented Financial Statements third winner award in the banking category to Absa Bank Tanzania Financial Controller, Bernard Tesha, during the NBAA annual gala dinner in Dar es Salaam over the weekend.
A jubilant Absa Bank Tanzania Board Chairman, Simon Mponji (centre), Absa Bank Tanzania Financial Controller, Bernard Tesha (right) and the bank’s official, Muhsin Kaye hold the National Board of Accountants and Auditors (NBAA), Best Presented Financial Statements award in the banking category for the year 2019 soon after it was presented to them during the NBAA annual gala dinner in Dar es Salaam over the weekend.

AKIBA COMMERCIAL BENKI YADHAMINI VICOBADAY 2020

Meneja Masoko wa Benki ya Akiba Commercial Bank PLC (ACB), Innocent Ishengoma akizungumza na wanavicoba pamoja na wateja wa Benki hiyo wakati wa maadhimisho wa siku ya Vicoba day 2020 iliyodhaminiwa na Benki ya ACB, yenye lengo la kuwainua wanavicoba na wafanya biashara ndogondogo waweze kufikia malengo yao kupitia Benki hiyo. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa PTA sabasaba jiji Dar es Salaam hivi karibuni. Katika hafla hiyo mgeni rasmi alikuwa ni Katibu wa Baraza la Uwezeshaji wa Kiuchumi Bi Beng'i Issa.
Meneja Mahusiano wa Benki ya Akiba Commercial Bank PLC (ACB), Judith Kipingu akimfungullia akaunti mteja mpya wa Benki hiyo, Joyce Charles wakati wa hafla ya wakati wa maadhimisho wa siku ya Vicoba day 2020 iliyodhaminiwa na Benki ya ACB. Kulia ni Afisa Mauzo wa Benki ya ACB, Elizabeth Masolwa.
Baadhi ya wanavicoba na wateja wa Benki ya ACB wakiwa katika hafla ya Vicoba day.
Meneja Mahusiano wa Benki ya Akiba Commercial Bank PLC (ACB),  Judith Kipingu akimkabidhi zawadi ya tisheti Mteja wa kwanza aliekwenda kufungua akaunti katika Benki hiyo, Joyce Charles wakati wa hafla ya maadhimisho wa siku ya Vicoba day 2020 iliyodhaminiwa na Benki ya ACB. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa PTA sabasaba jiji Dar es Salaam hivi karibuni.

GSM YAZINDUA SHINDANO KUIMARISHA MAISHA YA WATANZANIA

Afisa Mkuu wa Biashara wa kampuni ya GSM Group, Allan Chonjo akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na uzinduzi wa shindano la ‘Shinda na ung’arishe nyumba yako’ na ‘jishindie safari ya utalii ngorongoro’ linaloratibiwa na kampuni hiyo kuelekea simu wa sikukuu za mwisho wa mwaka. Aliyeketi upande wa kulia ni Mratibu wa Masoko kutoka GSM Retailer, Fatma Farah na kushoto ni Mratibu wa Masoko kutoka GSM Home, Smart Deus.

5 Disemba 2020 - Kampuni ya uuzaji wa samani za nyumbani na ofisini pamoja na mavazi ya GSM imezindua shindano jipya la ‘Shinda na ung’arishe nyumba yako’ pamoja na jishindie safari ya utalii Ngorongoro yenye lengo la kutoa nafasi kwa Wateja na wadau wake kujishindia samani pamoja na nguo mbalimbali katika msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka.

Akizungumzia shindano hilo mara baada ya hafla ya uzinduzi huo uliofanyika rasmi eneo la Mlimani City, jijini Dar es Salaam, Afisa wa Biashara wa GSM Group, Bw Allan Chonjo amesema kuwa, Lengo mahususi la kuanzisha shindano hili ni kutoa nafasi kwa wateja wote waliopo na wapya kuweza kujishindia zawadi kabambe watakazozifurahia wakati wa msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka.

WIKI YA UEFA TENA NDANI YA DStv HUKU IKIWA NA MECHI ZA KUFUNGIA MWAKA 2020

 


Wiki ya UEFA tena huku ikiwa na mechi za kufungia mwaka 2020......

Piga *150*53# kulipia kifurushi cha Compact Plus TShs. 89,000 tu au piga 0659 07 07 07 kujiunga kwa gharama nafuu, bei elekezi ya ufundi TShs. 20,000 tu.

#SokaLisilopimika

#VibelaSikukuunaDStv

BENKI YA NMB YAPONGEZWA KUCHANGIA MAENDELEO ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna alipowasili kwenye viwanja vya ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar kuhudhuria Taarab ya kumpongeza iliofanyika Jumamosi usiku. Benki ya NMB ilikuwa ndiyo mdhamini mkuu wa Taarab hiyo. Katikati ni Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zuberi Ali Maulid.
Burudani ya Taarab ikiendelea.

Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na chama tawala wamevutiwa na jinsi Benki ya NMB ilivyojipanga kushiriki katika shughuli za maendeleo visiwani humo na mchango inaoutoa kujenga uchumi imara wa kisasa.

Wakiongea wakati wa hafla ya Usiku wa Taarab Zanzibar siku ya jumamosi, viongozi hao walipongeza nia Benki ya NMB kufanya kazi karibu na serikali huku wakiahidi ushirikiano wa kutosha na Benki hiyo.

NMB inashiriki kuijenga Zanzibar kupitia huduma zake mbalimbali na tayari imejipanga kushirikiana na Serikali ya Dkt Hussein Ali Mwinyi kutekeleza miradi mbalimbali.

Akiongea kabla ya burudani kuanza, Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Ruth Zaipuna, alisema Benki hiyo si tu kuwa ina nia ya kusaidia maendeleo ya Zanzibar lakini pia ina msuli wa kuchangia kifedha.

“Benki ya NMB ina uwezo mkubwa kushiriki katika miradi mikubwa ya kimkakati.Benki ina mezania ya zaidi ya trilioni 7 sasa, mtaji na ukwasi wa kutosha,” Bi. Zaipuna alifafanua na kuongeza kuwa NMB ni benki ambayo ina uwezo na iko tayari kushiriki katika miradi mikubwa ya kimkakati.

Saturday, 5 December 2020

VIBE LA EPL NDANI YA DStv BOMBA πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

 


Vibe la EPL ndani ya Bomba πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯.

Piga *150*53# kulipia sasa kifurushi cha Bomba TShs. 19,900 tu ili usikose mechi hizi.

Na kama hujajiunga na DStv, jiunge sasa kwa TShs. 79,000 kupiga 0659 07 07 07 kumbuka bei elekezi ya Ufundi ni TShs. 20,000 tu.

#VibeLaSikukuuNaDStv

TANZANIA CONSUMER CHOICE AWARDS 2020 EXCLUSIVE VVIP EVENT - SUNDAY, 13 DECEMBER 2020