Foreign Exchange Rates

DStv Advert_010224

DStv Advert_010224

SBT Tanzania Advert_291123

Monday 31 May 2021

NMB BANK DEBUTS INNOVATIVE YOUTH EMPOWERMENT PLATFORM

Deputy Minister in the Prime Minister's Office Labour, Youth and Employment, Mr Patrobas Katambi (3rd right), Temeke DC, Godwin Gondwe (2nd right) and NMB’s Chief of Retail Banking, Filbert Mponzi (3rd left) unveiling together a platform ‘Go na NMB’ which aims to give youth access to financial literacy programmes, loans, networking and career fair events.


NMB Bank Plc has launched a banking solutions platform to help serve and empower the country’s youth whose ultimate goal is to nurture them into financially responsible and economically productive citizens.

The government has lauded the innovative initiative whose trade name is “GO na NMB,” saying the youth-focused value proposition aligns with its policies and vision to constructively engage young men and women.

Officiating its unveiling in Dar es Salaam over the weekend, the Deputy Minister in the Prime Minister's Office Labour, Youth and Employment, Mr Patrobas Katambi, said its introduction has been timely and worth the investment.

Why? Because the youth segment is an invaluable asset and strategic human resource on which the country’s future and prosperity hinges on hence the need to enlighten it on money matters, engage financially, support commercially and empower economically, the youthful minister noted.

Thursday 27 May 2021

KAGAME, ELUMELU LEADS UBA AFRICA CONVERSATIONS 2021


Wednesday 26 May 2021 - UBA Group Chairman and Founder of the Tony Elumelu Foundation Mr. Tony Elumelu led other Africa international leaders in celebrating this year’s UBA Africa Day. Being a Pan African bank of choice, UBA has since been celebrating this day for years, the bank coelebrates this day by decorating their offices with traditional African themes and even staff are encouraged to research and represent various African heritage through clothing, food and aesthetics.

UBA then went further to introduce UBA Africa Day conversations with its third edition of its annual discussions this year, UBA invites reknown African leaders familiar with the continent heritage to discuss various social, economic and political issues impacting Africa as a continent and this year’s panel included African leaders such as Mrs. Ngozi Okonjo-Iweala, Director-General of the World Trade Organisation(WTO), Dr. Tedros Adhanom Ghebreyesus, Director-General of the World Health Organisation(WHO), Rwanda’s President H.E. Paul Kagame and Makhtar Sop Diop, Managing Director, International Finance Corporation(IFC). Taking into consideration the current challenges of COVID 19 it has taken further safety measures by conducting these conversations online where the entire African continent can follow through, learn and engage in the conversations.

UBA BANK TANZANIA CELEBRATES UBA AFRICA DAY

UBA Bank Tanzania staff lead by their Managing Director, Mr Kingsley Ulinfun cut a cake to celebrate this year’s UBA Africa Day. Being a Pan African bank of choice, UBA has since been celebrating this day for years, the bank celebrates this day by decorating their offices with traditional African themes and staff are encouraged to research and represent various African heritage through clothing, food and aesthetics.

DStv INAKULETEA RUMBLE IN DAR AWAMU YA PILI


Kusubiri sasa kumekwisha!...

🥊🥊Pambano la #RumbleinDar, msimu wa pili umewadia, ambapo litafanyika Ijumaa hii pale Next door Arena.

Mwakinyo atakayeipeperusha bendera ya 🇹🇿 kukipiga na Mayala kutokea Angola🇦🇴 !

Hakikisha unalipia kifurushi chako cha Bomba TShs 19,900 tu kwenye king'amuzi cha @dstvtanzania pekee ili utazame pambano hili LIVE @plustvtz kupitia DStv 294 kuanzia saa 2 kamili usiku.

Piga sasa *150*53# kulipia kifurushi chako mapema.

#vyanyumbanihuanziadstv.

Wednesday 26 May 2021

MIKOPO YA NMB MASTA BODA SASA YATUA RASMI KANDA YA KASKAZINI

Kutoka Kushoto: Mwendesha bodaboda wa Jijini Arusha Stella Nguma, Mkuu wa kitengo cha Biashara wa Benki ya NMB Alex Mgeni, Mwenyekiti wa chama cha pikipiki za miguu mitatu Twaha Mpera, Mwenyekiti wa chama cha pikipiki za miguu miwili Okero Costantine, Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini Allan Rushokana, Kaimu Mkaguzi Mkuu wa ndani Benki ya NMB Benedicto Baragomwa na Meneja Mwandimiz wa Bidhaa, Clara Mwichumu, wakizindua kampeni ya Miliki Chombo jijini Arusha inayowawezesha waendesha bodaboda na bajaji kupata mikopo nafuu. Hafla ya Uzinduzi huo ilifanyika leo jijini Arusha katika Ukumbi wa Lush Garden.

Baadhi ya waendesha boda boda na bajaji wa jijini Arusha wakiwa katika picha ya pamoja na Mgeni Rasmi Allan Rushokana na wafanyakazi wa Benki ya NMB baada ya kufanyika uzinduzi wa Mikopo ya NMB Masta Boda leo.

Kutokana na changamoto ya madereva boda boda na pikipiki aina ya miguu mitatu kutomiliki vyombo vyao vya kazi, Benki ya NMB imekuja na njia ya kuwakomboa na hali ya utegemezi kwa kuwapatia mikopo nafuu ya umiliki wa vyombo hivyo.

Hakimu Saimon ni katibu wa bodaboda mkoa wa Arusha alisema anaishukuru taasisi hiyo kwani wamekuwa wanaendesha pikipiki za wengine kwa muda mrefu hali inayopelekea kuwa tegemezi katika umiliki wa vyombo hivyo kwa kuwarejeshea wamiliki wao fedha waliopangiwa.

"Kwa kufanya hivyo wamekuwa wakiingia mikataba ya kurejesha sh.10,000 kila siku ndani ya miezi 13 ilikuwa ni mateso lakini kupitia benki ha NMB kila mmoja wetu atanufaika na mkopo huu na kuweza kumiliki chombo chake na kujikwamua kiuchumi katika kujiletea maendeleo,"alisema Katibu huyo.

Tuesday 25 May 2021

BENKI YA NMB YAENDESHA SEMINA YA WALIMU KUWAPA ELIMU YA FEDHA

Washiriki wa Semina ya walimu wakuu wa Shule za msingi na wakuu wa Shule za Sekondari zilizopo Mkoa wa Arusha, wakisikiliza hotuba ya mgeni rasimi kwenye uzinduzi wa semina ya mafunzo ya bidhaa za NMB. Semina hiyo yenye lengo la kutoa elimu ya fedha na bidhaa mbalimbali za NMB ilifanyika leo jijini Arusha na kuhudhuriwa na walimu zaidi ya 300.

Mkuu wa kitengo cha biashara ya kadi Benki ya NMB, Bw. Philbert Casmir akihutubia katika shughuli hiyo.

Meneja wa wateja binafsi Benki ya NMB, Bi. Nyamisinda Manyonyi akitoa elimu ya Mikopo kwa walimu wakuu wa shule za msingi na sekondari Mkoa wa Arusha.

Walimu wametakiwa kujiendeleza kwa kukopa mikopo nafuu, yenye tija na kuwawezesha kutatua changamoto zinazowakabili ili kuweza kunufaika na kufurahia kazi wanayoifanya.

Akizungumza wakati wa mafunzo ya walimu wa mkoani Arusha yaliyoandaliwa na Benki ya NMB, Afisa elimu sekondari wa mkoa huo, Khalifani Omary alisema mafunzo hayo yatawajenga walimu katika kujiwekea kipato na kufahamu fursa mbalimbali zilizoko benki ili kuweza kujiendeleza kimaisha.

"Mafunzo haya yatawasaidia katika kuwaongezea ufahamu namna wanavyoweza kunufaika na benki ya NMB ikiwa jitihada hizi zitaleta matokeo chanya nakuleta faraja kwa jamii,"alisema Omary.

UBER CELEBRATES FIVE YEARS IN DAR ES SALAAM


Transforming the city’s transport system with safe and reliable mobility options

24 May 2021, Dar es Salaam - Five years ago, Uber hit the streets of Dar es Salaam and since then has provided a solution for thousands of residents to get a ride at the push of a button and navigate their city in a safe and reliable way.

Over the past five years, Uber has been committed to using its platform to help unlock economic opportunities for drivers, while safety enhancing features for the community in adapting to current times. We have collaborated with the public sector by sharing global practices on ride-hailing, as part of our drive to be global in our approach, yet local in our execution, meaning we strive to take into account realities that affect the communities we live and work in.

Brian Njao, Head of Uber in East Africa explains, “Despite the challenges brought on by the pandemic over the past year, Uber is committed to keeping riders moving and drivers earning and we continue to unlock opportunities through the Uber platform in Tanzania.”

ZANTEL YAMTANGAZA MSANII ‘ZUCHU’ KUWA BALOZI WA ZANTEL 4G

Mkuu wa Biashara na Masoko wa Zantel, Aneth Muga (wa pili kushoto) na Msanii wa Bongo Flava kutoka Lebo ya WCB, Zuhura Othman Soud ‘Zuchu’ wakisaini mkataba wa makubaliano ambapo msanii huyo atakuwa balozi wa mtandao wa Zantel 4G. Kushoto ni Mkuu wa Zantel-Zanzibar Mohamed Khamis Mussa pamoja na Menejimenti ya Kundi la Wasafi.

Mkuu wa Biashara wa Zantel, Aneth Muga (wa pili kushoto) na Msanii wa Bongo Flava kutoka Lebo ya WCB, Zuhura Othman Soud ‘Zuchu’ wakionesha mkataba wa makubaliano ambapo msanii huyo atakuwa balozi wa mtandao wa Zantel 4G. Kushoto ni Mkuu wa Zantel-Zanzibar, Mohamed Khamis Mussa pamoja na Menejimenti ya Kundi la Wasafi.
  • Ni kupitia kampeni yake ya Pasua Anga Ki Zantel 4G ambayo imelenga kutoa elimu juu ya matumizi yenye tija ya mtandao wa 4G
Zanzibar, 21 Mei 2021 - Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel imeingia makubaliano na msanii wa muziki kutoka kundi la Wasafi ‘WCB’ Zuhura Othman Soud maarufu kama ‘Zuchu’ kuwa balozi wa mtandao wa Zantel 4G.

Tukio la utiaji saini makubaliano hayo lilifanyika katika makao makuu ya Zantel yaliyopo eneo Amani-Zanzibar na kushuhudiwa na menejimenti ya Wasafi pamoja na waandishi wa habari.

Mkuu wa Biashara wa Zantel, Aneth Muga alisema kampuni hiyo ina imani kubwa na msanii huyo kutokana na ukweli kuwa ni moja ya kipaji kutoka Zanzibar na anaufahamu vema mtandao wa Zantel.

“Zantel kwa sasa tunaendesha kampeni yetu inayojulikana kama ‘Pasua Anga Ki Zantel 4G’ ambayo inalenga kufanya uelimishaji juu ya matumizi yenye tija ya mtandao wa 4G.Zuchu amekuwa mfano mzuri wa namna anavyotumia mtandao wa 4G kuendeleza kipaji chake na ameweza Kupasua Anga kitaifa na Kimataifa,” alisema Muga.

Monday 24 May 2021

UZINDUZI RASMI WA KAMPENI YA MILIKI CHOMBO NA NMB JIJINI DODOMA

Naibu Meya wa Jiji la Dodoma, Emmanuel Chibago (wa pili kushoto) akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa kampeni ya Miliki Chombo na NMB Jijini Dodoma inayolenga kuwakopesha vijana bodaboda na pikipiki za miguu mkitatu, Kushoto ni Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kati - Nsolo Mlozi na mwisho kulia ni Mkuu wa Idara ya Biashara ya Kadi NMB - Philbert Casmir, Mkuu wa Idara ya Biashara- Alex Mgeni (mwenye fulana ya bluu) pamoja na Mwenyekiti wa Waendesha Bodaboda Dodoma - Kenneth Chimoti.

Waendesha bodaboda na pikipiki za miguu mitatu wakifurahia uzinduzi wa Miliki Chombo na NMB uliofanyika katika ukumbi wa Dear Mama – Jijini Dodoma.

Mameneja wa NMB matawi ya mjini Dodoma wakiashiria kuwa tayari kuelimisha vijana kuhusu mkopo wa bodaboda na pikipiki ya miguu mitatu ‘Miliki Chombo na NMB’ baada ya uzinduzi wa mpango huo Jijini Dodoma.

Zaidi ya vijana 200 wa Jiji la Dodoma wanaojishughulisha na usafishaji wa abiria kwa bodaboda na pikipiki za miguu mitatu, jana walipatiwa mafunzo na Benki ya NMB ya jinsi gani wanaweza kujiongezea kipato na pia kuchangamkia fursa pale zinapopatikana.

NMB vile vile iliwapa elimu juu ya mikopo mbalimbali inayotolewa na benki hiyo ikiwemo ya bodaboda na pikipiki ya miguu mitatu kupitia mpango wao wa ‘Miliki Chombo na NMB’ - ambao kwa mwaka huu, imetenga Sh. bilioni 5 kwa ajili ya kuwakopesha kundi hilo.

Mpango huu wa Miliki Chombo na NMB umelenga kuwafikia vijana wengi nchini kote, kama njia ya kuwapa ajira vijana ambao bado hawajaingia katika mfumo wa ajira ili na wao waweze kupata kipato cha kujikimu kimaisha.

DStv INAKULETEA RUMBLE IN DAR SECOND EDITION


Moja ya michongo ambayo inapaswa kuwepo kwenye ratiba yako Ijumaa hii ni hii ya pambano #RumbleInDAR ambapo tarehe 28, pale Next Door Arena ndipo pambano litafanyika.

Hakikisha umelipia kifurushi cha Bomba TShs 19,900 tu kwenye king'amuzi cha @dstvtanzania ili uweze kutazama pambano LIVE hapa @plustvtz kupitia DStv Channel namba 294 kuanzia saa 2 kamili usiku.

Piga *150*53# kulipia kifurushi chako mapema.

#vyanyumbanihuanziadstv

WANAHISA WA BENKI YA CRDB WAIDHINISHA GAWIO LA SHILINGI 22 KWA HISA KUFUATIA ONGEZEKO LA FAIDA KWA 37.5% MWAKA 2020


Wanahisa wa Benki ya CRDB wameidhinisha gawio la shilingi 22 kwa hisa lililopendekezwa na Bodi ya Wakurugenzi ya benki hiyo katika Mkutano Mkuu wa 26 wa Wanahisa uliofanyika kidijitali siku ya jumamosi tarehe 22 Mei, 2021. Gawio ambalo ni ongezeko la asilimi 29.4 ya gawio liloidhinishwa mwaka jana, linatokana na matokeo mazuri ya kifedha ya benki hiyo katika mwaka wa fedha 2020 ambapo ilitangaza faida baada ya kodi ya Shilingi bilioni 165.2 licha ya changamoto zilizoletwa na COVID19.

Akiwasilisha taaarifa yake, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya CRDB, Dkt. Ally Laay alielezea kuwa utendaji endelevu na mabadiliko ya kimkakati yanayoendelea ndani ya benki hiyo yamesaidia kufungua uwezo wa Benki, katika kuwahudumia wateja na kusaidia kuweka mazingira mazuri ya biashara. Katika kipindi cha miaka miwili iliyopita, utendaji wa Benki ya CRDB umeendelea kuimarika na kufanya uwekezaji wa wanahisa wake kuwa watija zaidi.


"Licha ya changamoto ambazo tulikutana nazo 2020, tulijidhatiti katika kuhakikisha wanahisa wetu wanapata faida kutokana na uwekezaji wao kama inavyojionyesha katika mapato kwa kila hisa. Tulipendekeza gawio la Shilingi 22 kwa kila hisa na ninafurahi kuwa julisha kuwa wanahisa wameliidhinisha, ”alisema Dk Laay.

Aliongeza: “jumla ya gawio lililopendekezwa ni Shilingi bilioni 58, ambalo linaashiria ukuaji wenye nguvu na maendeleo katika mapato kwa kila hisa na gawio kwa kila hisa. Ninapenda kuwajulisha kuwa Wanahisa wa Benki pia waliidhinisha Kampuni ya Ukaguzi wa Hesabu Ernst & Young kuwa Wakaguzi wetu wa nje wa mwaka fedha 2021, ikiashiria imani yetu katika utekelezwaji wao na kuendelea kwa Benki kufuata misingi ya utawala bora ”, alisema Dkt. Laay.

Dkt. Laay pia alibainisha kuwa katika kipindi cha mwaka jana, Benki ilipata mjumbe mpya wa Bodi, Bi. Ellen Gervas Rwijage, ambaye alijiunga na Bodi kama mwakilishi wa Mfuko wa Uwekezaji wa DANIDA (DIF), ambao una miliki hisa 21% ndani ya Benki.

Aliwaarifu pia Wanahisa kwamba Bi. Esther Kitoka, ambaye alikuwa Afisa Mkuu wa Uendeshaji aliondoka Benki na Bruce Mwile alichaguliwa kuziba nafasi hiyo. Kabla ya kuchaguliwa kwake, Bwana Mwile alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa tanzu ya Benki ya CRDB Burundi.

Wakati huo huo wanahisa wa Benki waliidhinisha mabadiliko ya katiba yaliyopendekezwa na Bodi ya Wakurugezi, na pia walipiga kura kuchagua wajumbe wawili wa bodi ambapo Prof Faustine Bee ilichaguliwa kwa mara ya pili kuwakilisha wanahisa wenye umiliki chini ya 1% na Gerald Kasatualichaguliwa kuwakilisha wanahisa wenye hisa kati ya 1% na 10%. Prof. Bee ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), wakati Gerald Kasatu ni Afisa Mkuu wa Uwekezaji katika Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa NSSF, Uganda.


Katika taarifa yake, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela alibainisha kuwa mapato ya Benki ya CRDB na kampuni zake yaliongezeka sana licha ya kushuka kwa uchumi kwa sababu ya Janga la COVID-19. Mapato ya uendeshaji yalisajili ukuaji wa asilimia 10.4 kufikia Shilingi bilioni 854 kulinganisha na Shilingi 774 zilizoripotiwa mwaka uliopita.

"Mkakati wetu wa kusaidia wateja wakati wa janga hilo kwa kiasi kikubwa ulitusaidia kuboresha mipango yetu ya biashara ili kuendana na mabadiliko," alisema Nsekela.

Nsekela pia alisema kuwa mabadiliko ambayo benki hiyo imekuwa ikiyafanya yameendelea kuleta matokeo chanya, huku akibainisha kuwa katika kipindi cha mwaka jana Benki ya CRDB iliwekeza kwa kiasi kikubwa katika mfiumo ya kidijitali. Uwekezaji huu ulipelekea kukua kwa idadi ya wateja wanaotumia njia za kidijitali, ambapo asilimia 87 ya miamala yote ilifanyika kidijitali.

Saturday 22 May 2021

WANAFUNZI WATEMBELEA KIWANDA CHA KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI MOSHI

Mtaalam anayehusika na malighafi zinazotumika kutengeneza bia wa SBL, Deogratius Adam (kushoto) akiwaelezea wanafunzi wa Chuo cha Kilacha shughuli za ufungaji wa nafaka zinazozalisha bia ya Serengeti kwenye kiwanda cha SBL, Moshi.

Mkurugenzi Mtendaji wa SBL Mark Ocitti (kulia) na meneja wa Chuo cha Kilimo na Mifugo cha Kilacha Padre Jerome Silayo (kushoto) pamoja na wanafunzi wa Chuo hicho waliotembelea kiwanda cha SBL cha Moshi ikiwa ni sehemu ya kujifunza kwa vitendo.

Mtaalam anayehusika na malighafi zinazotumika kutengeneza bia wa SBL, Deogratius Adam (kushoto) akiwaelezea wanafunzi wa Chuo cha Kilimo na na Mifugo Kilacha hatua mbali mbali ambazo hupitiwa wakati wa utengenezaji wa bia wakati wanafunzi hao walipotembelea kiwanda cha SBL kilichopo Moshi mkoani Kilimanjaro.

Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Limited (SBL) imeendelea kutoa mchango wake katika kusaidia kuimarisha sekta ya kilimo nchini kwa kuwapa wanafunzi wa kilimo fursa ya mafunzo viwandani

Ikiwa ni muendelezo wa kuwapa fursa wanafunzi wa taaluma ya kilimo kujifunza kwa vitendo, kampuni hiyo ilitoa nafasi kwa wanafunzi wa chuo cha Kilimo na mifugo cha Kilacha Kilichopo Moshi mkoani Kilimanjaro kutembelea kiwanda chake kilichopo Moshi mjini.

Akizungumza wakati wa ziara hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa SBL, Mark Ocitti, alisema, “programu ya Kilimo-Viwanda inawajengea wanafunzi wa kilimo uwezo wa kuelewa kwa vimatendo. Kupitia ziara hii wanafunzi wameza kujionea namna malighafi za mashambani zinavyotumika kutengeneza bia’’.

Friday 21 May 2021

DStv INAKULETEA FAST AND FURIOUS POP UP CHANNEL


Fast And Furious Pop Up Channel!

Tunakuletea chaneli maalumu ya filamu za Fast and Furious 111 itakayoruka kwa siku 10 kuanzia 21-30 May, 2021.

Chaneli hii maalum itakayokuwa ikirusha muvi itapatikana kuanzia kifurushi cha Compact.

Piga *150*53# kulipia sasa ili usikose burudani hii.

M-NET MOVIES LAUNCHES A POP-UP MOVIE CHANNEL THAT CELEBRATES AFRICAN FILMMAKERS


To celebrate Africa Day on Tuesday, 25th May, M-Net Movies is excited to announce the launch of AfroCinema, a pop-up movie channel dedicated to showcasing and celebrating contemporary African films. The channel will be available from Friday, 21st May, to Sunday, 30 May 2021, on DStv channel 198 available on DStv Bomba, Family, Compact, Compact Plus and Premium packages across the continent.

The film industry has had its fair share of challenges, especially with the COVID-19 pandemic however through it all we continue to produce award-winning productions that have launched the careers of many directors, producers, and stars while also taking the “for us, by us” African stories globally. With the AfroCinema pop-up channel, we aim to place a spotlight on these achievements and the great contribution made by our storytellers.

NMB BONGE LA MPANGO - MKAZI WA CHAMWINO ANYAKUA GARI AINA YA TATA ACE

Kaimu Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Benki ya NMB - Benedicto Baragomwa akimkabidhi kadi ya gari aina ya Tata Lifan alimaarufu Kirikuu, Jacqline Kihongozi, aliyepokea kwa niaba ya mshindi wa kampeni ya bonge la Mpango inayoendeshwa na NMB, Hadija Idd Mkazi wa Chamwino Mkoani Dodoma ambaye ndiye mshindi wa kwanza kujishindia zawadi ya gari aina ya Tata Ace kwenye kampeni hii. Akishuhudia ni Meneja wa NMB Kanda ya Kati - Nsolo Mlozi.

Kwa niaba ya mshindi wa kwanza wa gari aina ya Tata Ace kwenye kampeni ya Bonge la Mpango - Hadija Idd Mkazi wa Chamwino Mkoani Dodoma, ambaye ndiye mshindi wa kwanza kujishindia zawadi ya gari aina ya Tata Ace kwenye kampeni hii - Jacqline Kihongozi akifungua gari hilo (Lifan) baada ya kukabidhiwa na Kaimu Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Benki ya NMB - Benedicto Baragomwa katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika katika Tawi la NMB Chamwino. Akishuhudia ni Meneja wa NMB Kanda ya Kati - Nsolo Mlozi.

Hadija Iddi mkazi wa Chamwino mkoani Dodoma amekuwa mshindi wa kwanza kuzawadiwa gari aina ya TATA Ace maarufu kama Kirikuu yenye thamani ya sh. Millioni 25, baada ya kushinda katika kampeni ya Bonge la Mpango inayoendeshwa na Benki ya NMB.

Akimkabidhi gari hiyo Bi. Hadija, Kaimu Afisa Mkuu Ukaguzi wa Ndani wa NMB, Benedicto Baragomwa alisema, Bonge la Mpango inaendelea nchini kote na zawadi mbakimbali zinaendelea kutolewa, hivyo wateja wanaendelee kufungua akaunti na kuweka hela kuanzia sh. 100,000 kwenye akaunti zao za NMB ili waweze kuingia katika kinyanganyiro cha Zawadi mbalimbali zinazotolewa katika kampeni hii ikiwemo, gari ya kifahari aina ya Toyota Fortuner mpya yenye thamani ya Sh.169 milioni, gari ya miguu mitatu(Lifan) na pesa taslimu.

Thursday 20 May 2021

DStv INAKULETEA TAMTHILIA YA 'JUA KALI' JUMATANO - IJUMAA SAA 3:30 USIKU NDANI YA MAISHA MAGIC BONGO

 

Kumpenda mtu asiyekupenda ni kipengele....

Hii ndio changamoto inayomkuta Bill alizama kwenye dimbwi la mapenzi kwa mtoto Naira lakini Naira akili yake ikiwa sehemu nyingine kabisa.

Kwa nini usimuliwe... Tazama mwenyewe vihoja vilivyomo ndani ya tamthilia Jua Kali inayoruka kila siku za Jumatano - Ijumaa saa 3:30 usiku ndani ya chaneli ya Maisha Magic Bongo 160.

#VyaNyumbaniHuanziaDStv

TIGO HOST INNOVATION WEEK PANEL DISCUSSION ON HOW TECHNOLOGICAL ADVANCEMENT CAN ENHANCE BUSINESS EFFICIENCY


Emmanuel Mallya - Chief Technical Officer at Tigo Tanzania explains how technical innovation has transformed our customer's businesses during a panel discussion on How Technological Advancement can Enhance Business Efficiency.
DIGITAL LIFESTYLE: "Technology has changed our lives, adoption of mobile money is very huge in Tanzania" Josina Njambi-Head of Innovation & Development @NMBTanzania during the panel discussion on how technological advancement can enhance business efficiency #IWTz2021 @innovationweektz
"Tigo are enablers for commerce/economy grow" Sameer Hirji - CEO @SelcomTanzania during the panel discussion on how technological advancement can enhance business efficiency.#IWTz2021 @innovationweektz
LIVING DIGITAL LIFE: "We are happy to work with Tigo ensuring that our community who have small saving & lending groups are able to access an app to enable them to operate in a better way" Marianna Balampama - Country Director PACT #BusinessEnhance#IWTz2021 @innovationweektz
"We have very strong, innovative and remarkable products and service" @SimonAKarikari Managing Director
#UbunifuNdioJadiYetu#MaishaKidigitaliNaTigo #TigoPesa#TigoBusiness#IWTz2021 @innovationweektz


ZANTEL YAJIZATITI KUBORESHA MTANDAO WA 4G ZANZIBAR

Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa Zantel, Aneth Muga (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa Mauzo na Usambazaji wa Zantel, Emmanuel Swai (kushoto) na Mkuu wa Mauzo na Usambazaji wa Zantel Kanda ya Pemba, Said Masoud Ali wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Pasua Anga Ki Zantel 4G uliofanyika katika viwanja vya Gombani Kongwe visiwani Pemba. Kampeni hiyo imelenga kutoa elimu juu ya umuhimu wa mtandao wa 4G kwa manufaa ya kijamii na kiuchumi.
  • Ni kupitia kampeni yake ya Pasua Anga Ki Zantel 4G inayotoa elimu juu ya matumizi sahihi ya mtandao wa 4G
Pemba, Mei 19, 2021 - Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel, imeeleza mpango wake wa kueneza na kuboresha zaidi mtandao wa 4G katika kila kona ya visiwa vya Zanzibar ili kutoa fursa kwa watumiaji kunufaika na mtandao huo hasa kujiendeleza na shughuli za kiuchumi mtandaoni.

Mkakati huo ni sehemu ya kampeni yake mpya ijulikanayo kama ‘Pasua Anga Ki Zantel 4G’ yenye lengo la kutoa elimu juu ya matumizi yenye tija ya mtandao wa 4G hususan kujiendeleza kiuchumi.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo uliofanyika katika viwanja vya Gombani Kongwe visiwani Pemba, Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa Zantel, Aneth Muga alisema lengo kubwa ni kuhakikisha wateja wananufaika zaidi na matumizi ya intaneti mbali na matumizi ya mitandao ya kijamii.

“Leo tunafuraha kuwajulisha wateja wetu kuwa tumerudi tena na kampeni yetu hii mahsusi ili kuendelea kutoa elimu kwa wateja wetu juu ya manufaa mbalimbali yatokanayo na mtandao ulioboreshwa wa Zantel 4G,” alisema Muga.

ABSA BANK TANZANIA LAUNCHES THE FIRST VIRTUAL BRANCH ENGAGEMENT SOLUTION IN THE MARKET

Absa Bank Tanzania Finance Director, Obedi Laiser (left), cuts a ribbon to inaugurate the bank’s first virtual branch engagement solution to be hosted on WhatsApp. The event took place at Absa Mikocheni Branch in Dar es Salaam. Looking on from right are Absa Tanzania Head of Retail Banking, Oscar Mwamfwagasi and bank’s Head of Customer Experience, Samuel Mkuyu.
Absa Bank Tanzania Head of Retail Banking, Oscar Mwamfwagasi, addresses attendees during the launching ceremony.
A cross-section of attendees watch the screen as Absa Bank Tanzania Managing Director, Abdi Mohamed, speaks using teleconferencing facility.
Absa Mikocheni Branch Manager, Prisca Daudi, demonstrates how to use the just-launched Absa's virtual branch engagement solution in Dar es Salaam.
Absa Bank Tanzania Finance Director, Obedi Laiser (left), the bank’s Head of Customer Experience, Samuel Mkuyu, and Absa Tanzania Head of Retail Oscar Mwamfwagasi, in a buoyant mood during the official launch of the bank’s first virtual branch engagement solution to be hosted on WhatsApp.

Absa Bank Tanzania has launched its first ever virtual branch engagement solution to all customers. The new engagement solution is hosted on WhatsApp and will enable its customers to book their banking services and know the turnaround time per service prior to being attended to. The solution is aimed to fit into customers lifestyles and enhance their experience while at the branch.

Addressing the press to announce the system launch, the bank’s Managing Director, Abdi Mohamed said, “Absa’s aim is to become a digitally led bank while providing solutions which caters for our customers convenience and lifestyles. Our customers no longer need to wait aimless at the branch lobby, we are now in a position to engage them before they even arrive through their mobile phones.”

“We chose WhatsApp because it makes interacting with customers easy, private and personalized. Based off our market research at least 68% of WhatsApp users think using the platform is the easiest and most private way to connect. This system will also enable customers to share their feedback on their experience which will put more emphasis on how we can better improve our products and services. As a bank we are truly tapping into our customers lifestyles, by partnering with Fintech companies such as FastHub Solutions to provide more meaningful personalized moments for our customers”, said the Head of Customer Experience (CX) & Digital, Samuel Mkuyu.

Wednesday 19 May 2021

DStv INAKULETEA RUMBLE IN DAR SECOND EDITION

 

Moja ya michongo ambayo inapaswa kuwepo kwenye ratiba yako mwezi huu ni hii ya pambano la #RumbleInDAR ambapo Mei 28, 2021 pale Next Door Arena ndipo pambano litafanyika.

Hakikisha umelipia kifurushi cha Bomba TShs 19,900 tu kwenye king'amuzi cha @dstvtanzania ili uweze kutazama pambano LIVE hapa @plustvtz kupitia DStv Channel namba 294 kuanzia saa 2 kamili usiku.

Piga *150*53# kulipia kifurushi chako mapema.

#vyanyumbanihuanziadstv

Tuesday 18 May 2021

MKUTANO MKUU WA 26 WA WANAHISA WA BENKI YA CRDB KUWEKA HISTORIA MPYA

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kutangaza kufanyika kwa Mkutano Mkuu wa 26 wa Wanahisa wa Benki hiyo unaotarajiwa kufanyika siku ya Jumamosi Mei 22, 2021, katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC). Kila mwaka Benki ya CRDB imekuwa ikiandaa mkutano huo unaowapa Wanahisa fursa ya kujadili masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na kupitisha au kuidhinisha maamuzi mbalimbali yenye maslahi kwa Benki. Kulia ni Mkurugeni wa Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa na kushoto ni Katibu wa Kampuni Benki ya CRDB, John Rugambo.

Benki ya CRDB inatarajia kufanya Mkutano Mkuu wa 26 wa Wanahisa siku ya Jumamosi tarehe 22/05/2021 kuanzia saa 3 asubuhi katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC). Mkutano huo unafanyika kufuatana na Sheria ya Makampuni (Companies Act) namba 212 ya mwaka 2002, ambapo kila mwaka Benki ya CRDB imekuwa ikiandaa mkutano huo unaowapa Wanahisa fursa ya kujadili masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na kupitisha au kuidhinisha maamuzi mbalimbali yenye maslahi kwa Benki.


Akizungumzia katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika hoteli ya Mount Meru Arusha, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Bw. Abdulmajid Nsekela amesema ili kutoa fursa kwa wanahisa wengi zaidi kushiriki mkutano huu muhimu, Benki ya CRDB imeandaa utaratibu kwa wanahisa ambao kwa namna moja au nyingine hawatoweza kufika Arusha waweze kushiriki mkutano wa kwa njia za kidigitali.


“Kwa kuzingatia uzoefu tulioupata kwa kufanya mkutano wa 25 kwa njia ya mtandao, wanahisa walipitisha pia azimio la mkutano wa 26 kufanyika kwa njia zote mbili kwa maana ya kuruhusu wanahisa wanaoweza kushiriki kwa kufika Arusha lakini pia kuruhusu wanahisa wanaoweza kushiriki kwa njia ya mtandao kutumia njia hiyo ambapo itakua ni historia kwa mkutano mkuu wetu kufanyika nama hii” alisema Nsekela.

Mkutano Mkuu wa 26 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB utatanguliwa na semina maalum kwa wanahisa yake ili kukuza uelewa wa masuala mbalimbali ya fedha na uwekezaji katika masoko ya mitaji. Semina hiyo itafanyika siku ya Ijumaa tarehe 21/05/2022 kuanzia saa 3 asubuhi katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC). Mgeni Rasmi katika semina hiyo anatarajiwa kuwa Waziri wa Fedha na Mipango, Mh. Mwigulu Nchemba ambapo mada mbalimbali zitawasilishwa na wataalamu wa masuala ya fedha, sheria na uwekezaji katika masoko ya mitaji.


Kwa mujibu wa Nsekela hii itakua ni mara ya kwanza kwa Mkutano wa Mkuu wa Wanahisa wa Benki ya CRDB kufanyika kwa njia zote mbili ambapo mkutano wa mwaka jana ulikuwa wa kwanza kwa Benki kutumia njia za kidigitali ili kukabiliana na changamoto ya COVID-19. Zaidi ya wanahisa 1,400 waliweza kushiriki mkutano wa mwaka jana idadi ambayo haijawahi kufikiwa katika mikutano ya kawaida ambayo hufanyika jijini Arusha kwa miaka yote.

“Nachukua fursa hii kuwakaribisha wanahisa wote katika semina na mkutano mkuu na niwahakikishie wanahisa wote ambao watashiriki kwa njia ya mtandao kuwa tumejipanga vizuri katika kuhakikisha kila wanashiriki kama wanahisa ambao watakua AICC na tumeweka maelezo katika tovuti yetu ya Benki (www.crdbbank.co.tz) ya jinsi gani wanaweza kushiriki hatua kwa hatua” aliongeza Nsekela.


Pamoja na mambo mengine yatakayojadiliwa katika mkutano mkuu huo ikiwemo maboresho ya katiba ya kampuni, shauku kubwa kwa wanahisa ni kufahamu juu ya pendekezo la gawio kwa wanahisa kwa mwaka uliopita ukizingatia kuwa Benki ya CRDB imeendelea kupata matokeo mazuri sokoni ambapo katika hesabu za mwaka wa fedha ulioisha Benki iliweza kupata faida kabla ya kodi ya Shilingi Bilioni 236 ikiwa ni ongezeko la asilimia 15 kutoka Shilingi Bilioni 175 iliyopatikana mwaka 2019.

Monday 17 May 2021

BENKI YA NMB KUFUNGUA FURSA KWA WATEJA KUPITIA WIKI YA UBUNIFU

Mkuu wa Kitengo cha Ubunifu wa Benki ya NMB, Josina Njambi akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa ufunguzi rasmi wa tamasha la Wiki ya Ubunifu (Innovation Week) iliyoanzishwa na Tume ya Sayansi na Teknolojia Tanzania (COSTECH) na wadau mbalimbali. Benki ya NMB ni mdhamini wa wiki hiyo ya ubunifu.

Benki ya NMB imeazimia kufungua fursa zaidi kwa wateja wake kupitia huduma mbalimbali zinazoendana na mabadiliko ya kiteknolojia ili kurahisisha upatikanaji huduma.

Akizungumza na waandishi wa habari katika hafla ya wiki ya ubunifu ambapo NMB ni sehemu ya wadhamini jijini Dar es Salaam jana, Mkuu wa Ubunifu kutoka benki hiyo, Bi. Josina Njambi alisema lengo la kuwa sehemu ya tukio hilo ni kutaka kujivuta karibu zaidi na wadau wanaojihusisha na ubunifu.

Alisema, Benki ya NMB ni miongoni mwa benki kubwa nchini iliyokuwa ya mwanzoni kutumia ubunifu kuwapa wateja huduma wanazostahiki ikiwemo huduma ya NMB Mkononi.

“Tulipunguza mlolongo wa wateja kupanga foleni kwenye matawi yetu kwa kutoa huduma ya benki kwa simu za mkononi, tulipunguza mlolongo kwenye mashine za kutolea fedha (ATM) kwa kuanzisha NMB Wakala nchi nzima, huu ni ubunifu wa kipekee tuliopata kuufanya,” alisema Bi. Njambi.

Thursday 13 May 2021

DStv INAKULETEA JUA KALI NDANI YA MAISHA MAGIC BONGO

 

Leo kwenye Jua Kali, Stella anaendelea kumuwashia moto Thomas kisa Maria, Mrs Bill aonyesha wazi kumtaka Dr Temba kimapenzi, huku Sophia akipokea taarifa mbaya ya ugonjwa wa mama yake!

Ni ndani ya @maishamagicbongo kupitia @dstvtanzania pekee saa 3:30 usiku!

Piga *150*53# kulipia kifurushi Bomba TShs 19,900 tu.

#vyanyumbanihuanziadstv