Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Tuesday 31 January 2023

HAIER KUIDHAMINI YANGA KATIKA MASHINDANO YA CAF

Mkataba ukisainiwa - Kutoka kushoto ni Mwanasheria anayeiwakilisha HAIER, Beauttah Camara, Mwakilishi wa HAIER Tanzania, Leon Chi, Rais wa Yanga, Eng. Hersi Said na Mwanasheria anayeiwakilisha Yanga, Simon Patrick.

Kampuni mpya Tanzania ya bidhaa za umeme itokeayo China iitwayo HAIER imesaini mkataba na KLABU ya Yanga kuwa mdhamini kwenye mechi za Kombe la Shirikisho la CAF.

Kutoka kushoto ni Mwanasheria anayeiwakilisha HAIER, Beauttah Camara, Mwakilishi wa HAIER Tanzania, Leon Chi, Rais wa Yanga, Eng. Hersi Said na Mwanasheria anayeiwakilisha Yanga, Simon Patrick.

HAIER ni kampuni namba moja kwa kutengeneza bidhaa bora za umeme majumbani na ofisini, ikiwa na tuzo Zaidi ya 500 za ubunifu zenye kuzingatia teknolojia bora na rahisi kwa mtumiaji.

Mwakilishi wa HAIER Tanzania, Leon Chi.

Mkataba huu umesainiwa na Rais wa Klabu ya Yanga, Eng Hersi Said pamoja na mwakilishi wa kampuni ya HAIER, Leon Chi, kwenye hafla fupi iliyofanyika katika ukumbi wa Serena Hotel, Dar Es Salaam.

Rais wa Klabu ya Yanga, Eng Hersi Said.

HAIER ambao bidhaa zao kwa hapa Tanzania zitasambazwa na kampuni ya GSM Group, itawekwa mbele kwenye jezi za Yanga watakazotumia kwenye mashindano ya Kombe la Shirikisho la CAF pamoja na kupata nafasi kwenye mitandao yetu ya kijamii.

Kulia ni Mbunifu No.1 Africa kutoka Tanzania, Sheria Ngowi, ambaye ndiyo mbunifu wa jezi ya Yanga. Kushoto ni Makamu wa Rais wa Yanga, Arafat Haji na katikati ni Mwakilishi wa HAIER Tanzania, Leon Chi.

Rais wa Yanga, Eng. Hersi Said amesema ni jambo kubwa kwa klabu ya Yanga kusaini mkataba na Kampuni hii kubwa duniani.

“Young Africans SC imeingia mkataba na kampuni ya Haier wenye thamani ya Tsh bilion 1.5 kama mdhamini mkuu wa Kombe la shirikisho barani Afrika,” Rais Hersi Ally Said

NMB YAANDIKA HISTORIA MPYA YA FAIDA, SH. BIL. 429 KWA MWAKA 2022








NMB SETS NEW HISTORIC PROFIT WITH 429BN/- NET INCOME


NMB Bank Plc has raised the profitability bar of the local banking industry after setting yet another net income record of TZS 429 billion that was garnered from the unexampled annual earnings of TZS 1.2 trillion in 2022.


From the new historic net profit, the bank has allocated a whopping TZS 6.2 billion for financing impactful social investments, which board chair Dr Edwin Mhede said was unprecedented locally.



“This milestone financial performance and social impact commitment, underscores the bank’s focus towards driving Tanzania’s socio-economic development agenda, and cements NMB Bank’s market leadership position,” the top lender said in a presser.



Promulgating the full year results on Thursday last week in Dar es Salaam, Chief Executive Officer Ruth Zaipuna, said the extraordinary performance was the outcome of several factors, including a business friendly environment put in place by the Government’s supportive policies.



The veteran banker added that the 2022 financial outturn reflects the strong performance momentum NMB has had in the last four years and the impact of its service excellence and corporate giving agenda on people’s lives and productive activities.

“The bank’s profit after tax increased by 47 per cent to top TZS 429 billion compared to TZS 290 billion in 2021 leading to the new biggest historic profit to have ever been made in Tanzania’s banking sector,” Ms Zaipuna said.

“That is an increase of more than TZS 130 billion year-on-year but 2022 profitability becomes monumentally significant when compared to the net profit of TZS 98 billion which NMB made in 2018,” she added.

The new performance excellence was attained after the lender made a pre-tax profit of TZS 621 billion, up 49 per cent over the TZS 414 billion that was generated in 2021. The impressive results were obtained in the backdrop of total income crossing the TZS 1 trillion mark for the first time in the 25 years of NMB after rising by 23 per cent year-on-year.

DCB COMMERCIAL BANK BOARD MEMBER VACANCY

Monday 30 January 2023

USIKOSE TAMTHILIA YA KITIMTIM NDANI YA DStv

Familia yote ya Pili wamekuwa vipofu! Da Zuu anasema hajaiba ila ameponzwa na Masantula! Nini kuendelea leo kwenye tamthilia ya Kitimtim?

Fuatilia visa hivi kupitia Maisha Magic Bongo, 160 saa 3:30 usiku kila siku za Jumatatu na Jumanne.

Piga *150*53# kulipia kifurushi chako mapema usipitwe na tamthilia hii.

#PandaTukupandishe

SERENGETI BREWERIES'S JOHNNIE WALKER WHISKEY CONTINUES PARTNERING WITH WAITARA GOLF TOURNAMENT IN 2023

From left, Lugalo Golf Club players, Major General Ibrahim Michael Mhona, Major Japhet Brown Masai and Serengeti Breweries Head of Marketing - Spirits, Irene Mutiganzi in a group photo during the Johnnie Walker Waitara Golf Tournament 2023, held at Lugalo Golf Club in Dar es Salaam over the weekend. Serengeti Breweries sponsored the tournament.

Brigadier General (RTD), Michael Luwong (middle) in a group photo with fellow golf players during the Johnnie Walker Waitara Golf Tournament 2023, held at Lugalo Golf Club in Dar es Salaam over the weekend. Serengeti Breweries sponsored the tournament.

Serengeti Breweries Limited (SBL) Managing Director, Mark Ocitti, observing his ball during the Johnnie Walker Waitara Golf Tournament 2023 sponsored by SBL.

General (Retired) George Waitara, scores a putt in the first round of Johhnie Walker Waitara Golf Tournament 2023, established by him since 2006. 

Golfers and their caddies observe a spotted ball to be hit during the Johhnie Walker Waitara Golf Tournament 2023 sponsored by SBL. 

Dar es Salaam, January 28th, 2023: About 130 top golfers from across the country battled for supremacy in this year’s Waitara Golf Tournament, courtesy of the number One Blended Scotch whisky in the world, Johnnie Walker.

The one-day contest, popularly dubbed, ‘Johnnie Walker Waitara Golf Tournament 2023’, took place at the Lugalo Golf Course in Dar es Salaam on 28th January 2023 and culminated with a gala dinner where the winners were awarded their Trophies. This is the third time JW sponsored the tournament.

During the Waitara Tournament, Serengeti Breweries Limited (SBL)’s Head of Marketing - Spirits, Irene Mutiganzi said Johnnie Walker’s support towards the competition was aimed at promoting the development of the golf game in the county.

“SBL, through its world-class-whisky Johnnie Walker, is proud to be the main sponsor of this year’s Waitara Golf Tournament. Our support to this tournament demonstrates our solid commitment to supporting the development of sports in the country,” Irene said.

SERENGETI BREWERIES CONTINUES TO PROMOTE AGRICULTURE THROUGH KILIMO VIWANDA PROGRAM

Serengeti Breweries Limited (SBL) Kagera Sales Manager, Anna Msomba (left) handing a scholarship certificate for SBL’s agro-scholarship programme Kilimo Viwanda to Evona Fredinard, at Igabiro Training Institute of Agriculture, during the certificate handover event, held at the college in Muleba district in Kagera region on Friday, 27 January. In the middle is SBL’s Corporate Relations Director, John Wanyancha.

SBL’s Kilimo Viwanda agro-scholarship program beneficiary, Evona Fredinard (left) explaining what she learned farming maize and tackling pests, working on the college study farm at Igabiro Training Institute of Agriculture, during the certificate hand over event held at the college premises in Kagera region on Friday, January 27. Looking beside is SBL’s Corporate Relations Director, John Wanyancha.

Igabiro Training Institute of Agriculture, Deputy College Principal, Sydney Kasele (left) explaining the seedling growing process to guest attending the certificate hand over event held at the college premises in Kagera region on Friday, January 27.

Igabiro Training Institute of Agriculture College students in a group photo soon after being awarded certificates of scholarship for Serengeti Breweries Limited (SBL) agro-scholarship program.

SBL’s Corporate Relations Director, John Wanyancha addressing guests and college students during the certificate handover event for SBLs agro-scholarship program beneficiaries at Igabiro Training Insititute of Agriculture.

January 27, 2023: Agriculture is consistently on an upward trend as one of the main economic sectors in Tanzania; the sector employs millions of people directly and indirectly.

Whilst the government continues to put efforts into growing the agriculture sector, the support given by private companies compliments those efforts and helps make the sector stronger.

Serengeti Breweries Limited (SBL) has been supporting and boosting agriculture in the country by offering scholarships to underprivileged students taking agriculture-related courses. The initiative through SBL’s Kilimo Viwanda Scholarship program provides an opportunity for students from farming communities to upskill and go back to impact agriculture in the communities with their technical knowledge.

GEITA GOLD MINING LTD: THE FIRST PHASE OF CONSTRUCTION OF MAGOGO STADIUM IN GEITA TO BE COMPLETED BY MAY 2023


The first phase of construction of Magogo Stadium, which is being built by the Geita Town Council in collaboration with Geita Gold Mining Limited, is scheduled to be completed in May this year.

Simon Shayo, the Vice President of AngloGold Ashanti who oversees Sustainability for Ghana and Tanzania, said this recently in Geita while addressing the media following the conclusion of the game between Geita Gold FC and Coastal Union from Tanga in which the home team won by a goal to nil.

He stated that the stadium being built in the Magogo area of Geita Town is nearing the end of its first stage of construction.

He said that they were constructing a better and safer stadium for users and that the work was being completed effectively under the supervision of a contractor who had been appointed by the Geita Town Council to provide consultation on how to complete the first phase and the other phases of construction.

Sunday 29 January 2023

BENKI YA NMB KUGHARAMIA WATEJA 8 SAFARI YA DUBAI

Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Wami, Harold Lambileki (kushoto) akimkabidhi kadi ya pikipiki mshindi wa pikipiki katika droo ya NMB MastaBata kotekote, Aidan Stephen Lukindo (katikati) kutokea Morogoro. Kulia ni Meneja wa Benki la NMB Tawi la Morogoro Business center, Hamis Rashid. Benki ya NMB imeshatoa pikipiki kumi na 14 mpaka sasa zikiwa ni zawadi kwa wateja wa NMB wanaofanya malipo kupita NMB mastercard au Lipa Mkononi (QR) katika msimu huu wa MastaBata.

Ikiwa zimesalia siku 3 tu kuelekea 'Grand finale' ambapo tutashuhudia wateja 8 wakijishindia safari ya kwenda Dubai kwa siku 4 huku benki ya NMB ikiwalipia kila kitu, benki hiyo iliendesha droo ya wiki ya mwisho ya kampeni ya NMB #MastaBataKoteKote katika Manispaa ya Morogoro kwenye tawi la NMB - Wami.


Kwenye droo za kila wiki, washindi 75 wamekuwa wakinyakua TZS 100,000 kila mmoja na wa 76 akishinda pikipiki aina ya Boxer. Hii imepelekea jumla yao katika droo zote 10 za kila wiki kuwa 760.


Thamani ya zawadi walizoshinda ni pamoja na TZS milioni 75 pesa taslimu kwa washindi 750 na TZS milioni 30 za Boxer 10. Jumla ni TZS milioni 105 na thamani ya zawadi zote za shindano hili la kuchagiza malipo kidijitali ni zaidi ya TZS milioni 300.


Kabla ya zoezi la kuwapata washindi wa mwisho 76 wa kila wiki, Meneja wa Tawi la NMB Wami, Bw Harold Lambileki, alisema droo ya kuwapata washindi wa kwenda Dubai itafanyika makao makuu ya benki hiyo wiki ijayo jijini Dar es Salaam.

Thursday 26 January 2023

NMB BANK PLEDGES MORE INVESTMENT IN TECH TO DRIVE FINANCIAL INCLUSION

Community Development, Gender, Women and Special Groups Minister, Dr. Dorothy Gwajima (centre) speaks to NMB Bank's Chief Executive Officer, Ruth Zaipuna (left) during a courtesy call at the Bank's head office in Dar es Salaam yesterday. On the right is NMB Bank Chief Financial Officer, Juma Kimori.

NMB Bank has pledged to continue investing in research to come up with technologically driven banking solutions as part of its commitment to enhancing financial inclusion and bridging the unbanked gap in Tanzania.

The revelation was made by the NMB Bank Chief Executive Officer Ms Ruth Zaipuna during a meeting with Minister for Community Development, Gender, Women and Special Groups Dr Dorothy Gwajima who paid a courtesy call at the bank’s headquarters in Dar es Salaam yesterday to discuss various issues with the bank.

“Our mission is to simplify banking services to enable Tanzanians to access these services wherever. Presently at the moment, anyone can open a bank account and access loans without necessarily visiting our branches as part of our Teleza Kidigitali campaign,” she said.

Through huge investments in digital innovations and virtual service delivery platforms, NMB Bank is now a key stakeholder of the government in revenue collection.

Ms Zaipuna said the bank at the moment commands a network of over 20,000 banking agents located across the country as part of its commitment to take banking services closer to the people.

TANZANIA BANKERS ASSOCIATION MEETS BOT GOVERNOR

From right to left: Geofrey Mchangila - Citibank Managing Director (MD), Theobald Sabi - NBC Bank MD & Tanzania Bankers Association (TBA) Chairman, Emmanuel Tutuba - Bank of Tanzania Governor, Abdi Mohamed - Absa Bank MD, Tuse Joune - TBA Executive Director, Aziz Chacha - NMB Bank Treasurer and Dr. Moses Mwizarubi - Governor's Office. 

Tanzania Bankers Association (TBA) leadership eralier this week paid a courtesy call on the newly appointed Bank of Tanzania Governor, Emmanuel Tutuba to introduce themselves as well as set the pace for further engagements for the benefit of the banking & financial sector.

FOOD SECURITY: PRESIDENT SAMIA TOUTS YOUTHS' ROLE

President Samia Suluhu Hassan with Senegal President, Macky Sally (centre) and the African Development Bank (AfDB) Presidwent, Dr. Akinwumi Adesina on the sidelines of the Dakar 2 Summit in Dakar, Senegal yesterday.

President Samia Suluhu Hassan has painted a bright future for the youth in agriculture, saying the government continues to create a conducive environment to attract them to actively engage in the sector.

Speaking as a panelist at the Second Africa Food Summit which opened in Dakar, Senegal yesterday, President Samia said the government is well aware that the future of agriculture will not be realistic without youths active participation, since the group commands 44.5 per cent of the country’s 61.7 million people as per the 2022 Population and Housing Census.

“Having a large population of youths brings with it a lot of challenges and unemployment issues. We then thought youth can actively be used to produce in agriculture sector and to be able to do that, we studied what are the challenges that are discouraging them from joining agriculture sector,” she said.

President Samia said that the government had identified four challenges that include lack of land ownership among youth, lack of finances, technology and pre-requisite mechanisations that support the youths to thrive in agriculture sector.

TANZANIA INDIA BUSINESS FORUM QUESTS TO ENHANCE TRADE COOPERATION BETWEEN INDIA AND TANZANIA

 

A strategic meeting was organized by Tanzania Indian Business Forum (TIBF) together with the Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) on January 19, 2023 in Dar es Salaam with the Honorable Speaker of Lok Sabha (People’s House of the Indian Parliament), H.E. Om Birla, who was on a visit to Tanzania leading a Parliamentary delegation.

Indian High Commissioner to Tanzania, Mr Binaya Srikanta Pradhan, TPSF Chairperson Angelina Ngalula, TIBF Chairman Gagan Gupta, Major. Gen (Retried) Hamis Semfuko, and notable business leaders from various private companies in Tanzania attended the meeting whose agenda was to foster business collaboration between Indian and Tanzania. (Watch video for more).

PESAPAL YAJA NA SULUHISHO LA KISASA KUSIMAMIA UENDESHAJI WA VITUO VYA MAFUTA

 
Mfanyakazi wa Kampuni ya Lake Oil akimhudumia mteja wakati wa uanzishwaji wa huduma mpya ya kusaidia kusimamia uendeshaji wa vituo vya mafuta na mauzo ya nishati nyingine unaotumia teknolojia za kisasa wa Pesapal, inayowawezesha wamiliki wa vituo vya mafuta kuweza kufuatilia na kusimamia mauzo bila kuwepo vituoni.

 
Kampuni ya huduma za malipo ya Pesapal imeanzisha huduma mpya ya kusaidia kusimamia uendeshaji wa vituo vya mafuta na mauzo ya nishati nyingine unaotumia teknolojia za kisasa na kufanya kazi kiotomatiki.

Viongozi wa kampuni hiyo wamebainisha kuwa lengo kuu la suluhisho hilo ni hasa kuwasaidia wamiliki wa vituo hivyo kupunguza gharama za uendeshaji na kuongeza ufanisi katika biashara ya reja reja ya mafuta.

Kupitia teknolojia hii, Pesapal imejipanga kuhakikisha hadi mwisho wa mwaka huu vituo 100 vya mafuta kwenye masoko ya Tanzania, Kenya na Uganda vitakuwa vinatumia mfumo huu mpya.

Kitaalamu na kibiashara suluhisho hili linajulikana kama 'Pesapal Forecourt Management Solution (PFMS)'.

Wednesday 25 January 2023

CLYDE & CO UPDATER - PROHIBITION OF LENDING WITHOUT A LICENCE


In an effort to prohibit the lending of money without a licence, the Bank of Tanzania (the BoT), on 24 November 2022 published a notice (the Notice) prohibiting institutions, companies and individuals who are in the business of providing loans without a licence contrary to section 16(1) of the Microfinance Act No. 10 of 2018 (the Microfinance Act).

Section 16(1) of the Microfinance Act states as follows:

“Without prejudice to the provisions of section 28 of this Act, a person shall not carry out any microfinance business, unless such person is licensed in accordance with the provisions of this Act.”

Institutions, companies and individuals who are in the business of providing loans without a licence will be penalised as per section 16(2)(a) of the Microfinance Act. The provision states as follows:

“Any person who contravenes the provisions of this section commits an offence and shall upon conviction –

(a) in the case of tier 2, be liable to a fine of not less than twenty million shillings but not exceeding one hundred million shillings or to imprisonment for a term of not less than two years but not exceeding five years or to both.”

Tier 2 microfinance service providers have been defined under the Microfinance Act as non-deposit taking microfinance service providers.

Further, pursuant to the Notice, the BoT advised citizens to avoid borrowing or doing business with institutions, companies or individuals who are not licensed. The BoT has provided a list of licensed institutions, companies and individuals on their website.

OFA NYINGINE KUTOKA DStv - PANDA TUKUPANDISHE!!!


Nyingine kubwa kutoka @dstvtanzania!

Hakuna kupoa, baada ya kumalizika kwa Ofa ya lipia tukupe cha juu yake, sasa DStv inakuja na Ofa nyingine ya Panda Tukupandishe!

Lipia kifurushi cha juu yako tukupe cha juu yake bila malipo ya ziada na ufurahie burudani zaidi ya kile ulicholipia.

Changamkia sasa ofa hii kwa kupiga *150*53# kulipia kifurushi cha juu yako.

#PandaTukupandishe

WAZIRI DKT. GWAJIMA ATEMBELEA OFISI ZA NMB MAKAO MAKUU


Benki ya NMB imepata nafasi ya kutembelewa na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na wenye Mahitaji Maalum - Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima katika ofisi zao za Makao Makuu jijini Dar es Salaam.


Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB - Ruth Zaipuna aliembatana na Afisa Mkuu wa Fedha NMB - Juma Kimori, amempokea Mhe. Gwajima na kumuelezea kuhusu masuluhisho yanayogusa moja kwa moja makundi mbalimbali katika jamii.


Lakini pia, aliahidi kushirikiana na serikali kuhakikisha masuluhisho yao yanakuwa chachu ya maendeleo kwa makundi yote katika jamii kwa kuendelea kuwekeza kwenye teknolojia na ubunifu.


Katika salamu zake, Mhe. Gwajima alimpongeza Afisa Mtendaji Mkuu wetu pamoja na uongozi mzima wa Benki wa NMB kwa mafanikio waliyoyapata, na kuahidi kuna balozi mzuri kufikisha fursa zinazotolewa na benki hiyo kwa wananchi ili waweze kujijenga kiuchumi.

Tuesday 24 January 2023

TANZANIA COMMERCIAL BANK YATOA MSAADA WA MIFUKO 150 YA CEMENT KUBORESHA MADARASA

Meneja wa Benki ya Tanzania Commercial Bank (TCB) Tawi la Mbagala Edward Mwoleka, (wa tatu kulia), akikabidhi sehemu ya msaada wa mifuko 150 ya Cement kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Kilamba iliyopo Mbagala Charambe iliyotolewa na TCB kwa ajili ya kufanya maboresho ya madarasa ya shule hiyo. Kutoka kulia ni Meneja wa Mawasiliano na Uhusiano wa Tanzania Commercial Bank (TCB) Gloria Mutta, Diwani wa Kata ya Charambe Twahil Shabani, pamoja na Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Betha Minga.

Meneja wa Benki ya Tanzania Commercial Bank (TCB) Tawi la Mbagala, Edward Mwoleka, (wa tatu kulia), akikabidhi sehemu ya msaada wa mifuko 150 ya Cement kwa Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Betha Minga, iliyotolewa na TCB kwa ajili yakufanyia maboresho ya madarasa ya shule ya msingi Kilamba iliyopo Charambe. Kutoka kulia ni Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo, Leah Masaba, Diwani wa Kata ya Charambe, Twahil Shabani pamoja na Mjumbe wa shule.

Meneja wa Mawasiliano na Uhusiano wa Tanzania Commercial Bank (TCB), Gloria Mutta (wa tatu kulia), akikabidhi sehemu ya msaada wa mifuko 150 ya Cement, kwa Mtendaji kata ya Charambe, Theodora Malata iliyotolewa na TCB kwa ajili yakufanyia maboresho ya madarasa ya Shule ya Msingi Kilamba iliyopo Charambe. 

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Kilamba, Leah Masaba, akizungumza wakati wa hafla ya kupokea msaada wa mifuko 150 ya Cement iliyotolewa na TCB kwa ajili yakufanyia maboresho ya madarasa ya shule hiyo.

Mtendaji kaya ya Charambe, Theodora Malata akitoa shukrani kwa niaba ya shule ya Msingi Kilamba kwa uongozi wa TCB baada ya kupokea msaada wa mifuko 150 ya Cement iliyotolewa na TCB kwa ajili ya kufanyia maboresho ya madarasa ya shule hiyo iliyopo Charambe jijini Dar es Salaam.