Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Saturday 28 December 2019

HUKU ARSENAL KULE CHELSEA, JE NANI MBABE WA LONDON???




Huku Arsenal kule Chelsea, Je nani mbabe wa London? Jibu la uhakika tutalipata kesho saa 11 jioni Mubashara kupitia SuperSport 3 ndani ya @DStvTanzania kwa sh.44,000 kifurushi cha Compact. Piga 0659 070707 kujiunga na DStv sasa!

#KilaMtuMachoKodo










Tuesday 24 December 2019

BENKI YA DCB YAZINDUA MKOPO WA ADA YA SHULE

Mkurugenzi wa Biashara wa Benki ya Biashara ya DCB, James Ngaluko (wa pili kulia), akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi rasmi wa huduma ya mkopo maalumu wa ada ya shule jijini Dar es Salaam. Wengine kutoka kushoto ni Balozi wa DCB Skonga, Zamaradi Mketema, Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano wa DCB, Rahma Ngassa na Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi, Fortunata Benedict.
Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya Biashara ya DCB, Fortunata Benedict (kulia), akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi rasmi wa huduma ya mkopo maalumu wa ada ya shule jijini Dar es Salaam. Wengine kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano wa DCB, Rahma Ngassa na Mkurugenzi wa Biashara wa benki hiyo, James Ngaluko.
Balozi wa bidhaa ya DCB Skonga ya Benki ya Biashara ya DCB, Zamaradi Mketema (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi rasmi wa huduma ya mkopo maalumu wa ada ya shule jijini Dar es Salaam. Wengine kutoka kushoto ni, Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano wa DCB, Rahma Ngassa, Mkurugenzi wa Biashara wa benki hiyo, James Ngaluko na Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi, Fortunata Benedict.
Dar es Salaam 19 Disemba, 2019 - Benki ya Biashara ya DCB imezindua huduma ya mkopo maalumu wa Ada ya Shule ikiwa ni fursa nyingine tena itakayowawezesha wateja wa benki hiyo kulipa ada za watoto wao kwa wakati na uhakika.

Mkopo wa ada wa DCB ni mwendelezo wa mkakati wa benki kubuni huduma na bidhaa bora zinazowanufaisha wateja. Benki imekuja na bidhaa hii ya mkopo wa ada katika harakati ya kuwaondolea hofu wazazi linapokuja suala zima la elimu kwa watoto wao hii ni sambamba na akaunti ya DCB Skonga inayomuwezesha mtoto kusomeshwa pindi mzazi anapopata ulemavu wa kudumu ama kifo.

Akizungumza jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi rasmi wa mkopo huu, Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano Bi Rahma Ngassa alisema "DCB inaendelea kuleta kwenye soko bidhaa zinazo kidhi maisha ya watanzania, benki hii ni ya watanzania hivo ni lazima kuja na fursa inayowawezesha wateja wetu kunufaika na benki yao.

VACANCY AT NMB BANK - CHIEF HUMAN RESOURCES OFFICER

TANZANIA: AFRICAN DEVELOPMENT BANK’S $55 MILLION FACILITY TO JUMPSTART PRIVATE SECTOR-LED ECONOMIC GROWTH

Support from the Bank’s African Development Fund will bolster ongoing reforms being undertaken by the government of Tanzania

ABIDJAN, Ivory Coast, December 23, 2019/ -- The African Development Bank (AfDB.org) has approved a $55 million facility to strengthen implementation of reforms to enhance Tanzania’s economic competitiveness and private sector participation in the country’s growth.

These critical reforms will lead to a more vibrant economy, which will improve the living conditions of Tanzanians, particularly the poor and vulnerable, and including women and youth.

“Tanzania’s private sector is dominated by small enterprises mostly in smallholder agriculture and small informal non-farm businesses,” said Abdoulaye Coulibaly, the Bank’s Director of Governance and Public Financial Management Department.

“By strengthening the regulatory framework, the country’s private sector will have the required incentives to fully participate in the economy, particularly in cross sector growth-enhancing and transformational investment opportunities.”

FAIDA AMBAZO WATANZANIA WANAPATA TOKA KUAZISHWA KWA TMRC


Wananchi wameweza kupata mikopo ya nyumba ya muda mrefu kuanzia miaka 15 hadi 20, ambayo inafanya mwananchi yeyote hata yule wa kipato cha chini kumudu marejesho yake.

Monday 23 December 2019

SHANGWE ZA WIKI YA CHRISTMAS ZINAENDELEA NA DSTV!!!




Wakati shangwe za wiki ya Christmas zinaendelea Ligi kuu ya Uingereza inazidi kushika kasi, je ni timu zipi kuchukua point 3 Christmas hii?

@dstvtanzania wazidi kunogesha shangwe, mteja wa kifurushi cha Bomba au Family ukilipia kwa wakati kifurushi chako utapata siku 7 za chaneli za Supersport za kifurushi cha Compact na ufurahie mechi hizi za #EPL.

#KilaMtuMachoKodo

THE 10 TRAITS OF A 'PERFECT' BOSS, ACCORDING TO A DECADE OF RESEARCH BY GOOGLE

  • If you have great managers and team leads, not only will you get the best out of your people, but they'll also be more likely to stick around.
  • That's why for 10 years, Google has conducted research to figure out what makes the perfect manager, so it could train its leaders to develop those behaviors.
  • Technical skill mattered much less than you might guess; emotional intelligence was more important.
  • According to Google, here are 10 behaviors a good manager should display.
A company could spend all the money it wants recruiting, interviewing, and hiring the best people around. But if the boss is a jerk, those people will leave the first chance they get.

In contrast, if you have great managers and team leads, not only will you get the best out of your people, but they'll also be more likely to stick around.

For over 10 years, Google has conducted research under the code name Project Oxygen. The goal? Figuring out what makes the perfect manager, so it could train its leaders to develop those behaviors. The research has paid off, as over the years Google has seen marked improvement in employee turnover, satisfaction, and performance.

Interestingly, technical skill mattered much less than you might guess. What was far more important for managers were emotional-intelligence skills, the ability to understand and control emotions, both their own and those of their people.

According to Google, a good boss ...

CHAMA CHA WAAJIRI TANZANIA (ATE) CHATOA TUZO KWA MWAAJIRI BORA 2019

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana na wenye Ulemavu Mh. Jenista Mhagama (MB) akihutubia wageni waalikwa wakati wa hafla ya Tuzo ya Mwaajiri Bora wa Mwaka 2019 iliyoandaliwa na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) katika Hotel ya Serena jijini Dar es Salaam hivi karibuni. 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana na wenye Ulemavu Mh. Jenista Mhagama (MB) akitoa Tuzo kwa mwaajiri bora wa mwaka 2019, Mwakilishi kutoka kampuni ya TBL, David Magese wakati wa hafla ya Tuzo ya Mwaajiri Bora wa Mwaka 2019 iliyoandaliwa na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) katika Hotel ya Serena jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Wanaoshuhudia ni Mkurugenzi wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) Dkt. Aggrey Mlimuka (kushoto) na Mwenyekiti wa Bodi wa chama hicho Jayne Nyimbo. 
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana na wenye Ulemavu Mh. Stella Ikupa (katikati), akitoa tuzo kwa mwajiri bora wa mwaka 2019 kwa nafasi ya mshindi wa pili Mwakilishi kutoka Geita Gold Mine Elizabeth Karua, wakati wa hafla ya Tuzo ya Mwaajiri Bora wa Mwaka 2019. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi wa Chama Cha Waajiri Tanzania (ATE), Jayne Nyimbo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana na wenye Ulemavu Mh. Jenista Mhagama (MB) akitoa Cheti kwa Kaimu Mkurugenzi Rasilimali Watu kutoka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Edna Chogo (kulia), wakati wa hafla ya Tuzo ya Mwaajiri Bora wa Mwaka 2019.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama amewataka waajiri nchini, kuhakikisha wanawawezesha wafanyakazi wanokwenda kuhudhuria mafunzo mbalimbali ili waweze kupata ujuzi unaohitajika na utakaokidhi ushindani katika mazingira ya kibiashara.

Mhe. Mhagama ameyasema hayo jijini Dar es Salaam hivi karibuni wakati wa hafla ya utoaji tuzo za waajiri bora wa mwaka kwa mwaka 2019, tuzo zilizoandaliwa na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE).

Waziri alisema wafanyakazi wakipata mafunzo hayo watajiongeza ujuzi, watafanya kazi kwa bidii na kuongeza uzalishaji mahali pa kazi kwa lengo la kupambana na mabadiliko ya teknolojia.

MADUKA YA VODACOM YAONGEZA MUDA WA KAZI KUFANIKISHA USAJILI WA ALAMA ZA VIDOLE


  • Maduka ya Vodacom zaidi ya 400 kubaki wazi hadi saa mbili usiku
  • Mawakala 30,000 kuzunguka maeneo ya makazi na ofisini ili kufanikisha usajili

Desemba 23, 2019. Dar es Salaam - Kampuni yaVodacom Tanzania PLC imeongeza muda wa kufanya kazi katika maduka zaidi ya 400 ya Vodashop na madawati ya huduma kwa Mteja (Customer Service Desk) nchini kote ili kukidhi mahitaji ya wateja wake ya kusajili laini za simu kwa alama za vidole kabla ya kufikia ukomo Desemba 31 mwaka huu.

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC - Hisham Hendi alisema kuwa hatua hiyo inalenga kuhakikisha kuwa wateja wote wa Vodacom wanatekeleza matakwa ya kusajili laini zao za simu kwa kutumia alama za vidole ili kuendelea kupata huduma ya mawasiliano.

“Tumeongeza saa zetu za kazi kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa mbili usiku. Hivyo wateja wetu wenye vitambulisho vya Taifa au namba ya kitambulisho cha Taifa watembelee maduka yetu katika kila kona ya nchi ili kusajili laini zao za simu. Hii itawawezesha kuendana na matakwa ya Serikali na kuwaondolea usumbufu wa kukosa mawasiliano, hasa katika msimu huu wa sikukuu ambapo kila mtu anahitaji kuwasiliana na ndugu, jamaa, marafiki na watu wake muhimu. Pia tunawashauri wateja ambao hawajaomba kitambulisho cha Taifa wafanye hivyo haraka ili kukamilisha mchakato wa usajili wa laini zao,” alisema Hendi.


VODACOM EXTENDS WORKING HOURS TO FACILITATE BIOMETRIC REGISTRATION PROCESS

Deploys 30,000 foot agents to register more people in their workplace and home areas

23 December 2019, Dar es Salaam - Vodacom Tanzania PLC has extended working hours throughout its over 400 Vodacom shops and service desks across the country to meet the demands of customers rushing to meet the 31st December deadline for biometric registration of all SIM cards. Vodacom’s Managing Director Hisham Hendi said the move is aimed at ensuring more Vodacom customers comply with biometric registration of Sim cards and ensure they stay connected.

“We understand how busy the holiday season can get and with the December 31st deadline looming, we have decided to extend our working hours from 5 pm to 8 pm. We therefore call on our customers who have national identification cards and NIDA numbers to visit our shops across the country and register their SIM cards cards to comply with the government’s directive in order to avoid any inconvenience of interruption of communication of services especially during the festive season when communication to loved ones is crucial. Customers who have not yet applied for national identification cards should do so, in order to complete their sim card registration process” he said’,

SIM cards Biometric registration is meant to curb misuse of mobile phones and enhance security. Tanzanians have been urged to get NIDA cards and numbers in order to comply with this directive. According to the Government's directive, telecommunication SIM cards that have not been registered biometrically will be disconnected after the 31 December 2019 deadline.

CLYDE & CO MICROFINANCE UPDATE: DELEGATION OF POWERS AND FUNCTIONS

The Bank of Tanzania has recently delegated its powers and functions by providing that the Savings and Credit Cooperative Societies shall be regulated by the Tanzania Cooperative Development Commission, and the Community Microfinance Groups shall be regulated by Local Government Authorities. This article outlines the new licensing requirements and the powers or functions that have been delegated under the Microfinance Act in detail.

The Microfinance Act No. 10 of 2018 (the Act) provides that an application for a licence under Tier 3 (i.e. the Savings and Credit Cooperative Societies or SACCOS) or Tier 4 (i.e. the Community Microfinance Groups) may be made to the Bank of Tanzania (BoT) or Delegated Authority. A Delegated Authority is a public institution mandated by the BoT to execute its functions and powers under the Act.

Two notices were published on 22 November 2019: the Microfinance (Delegation of Powers and Functions) (Tier 3) Notice GN No. 887; and the Microfinance (Delegation of Powers and Functions) (Tier 4) Notice GN No. 888. Under the two notices, the BoT has delegated its functions and powers in relation to Tier 3 microfinance businesses to the Tanzania Cooperative Development Commission (the Commission), and for Tier 4 businesses to the Local Government Authorities (i.e. township, district, urban and city authorities).

The notices are to be read together with the Microfinance (Savings and Credit Cooperative Societies) Regulations published on 13 September 2019 under GN No. 675 (the Tier 3 Regulations) and the Microfinance (Community Microfinance Groups) Regulations published under GN No. 678 (the Tier 4 Regulations).


Friday 20 December 2019

CEED TANZANIA YATOA MAFUNZO KWA WAJASIRIAMALI MOROGORO

Mr. Victor Mfinanga, Mkurugenzi wa Shambani Milk na mwanachama wa CEED akieleza umuhimu wa kuungana kwa wajasiriamali.
Baadhi ya wajasiriamali katika mkutano huo wa wajasiriamali wa CEED Tanzania Mkoani Dodoma.
Baadhi ya wajasiriamali katika mkutano huo wa wajasiriamali wa CEED Tanzania Mkoani Dodoma. 
Bw. Jackson akielezea kuhusu changamoto mbali mbali na jinsi mikutano ya wajasiriamali husaidia.
Kituo cha ujasiriamali cha CEED Tanzania, kimetoa mafunzo ya uendeshaji na usimamizi wa biashara kwa wajasiriamali mkoani Morogoro yenye lengo la kuwawezesha namna ya kusimamia biashara zao,kushirikiana pamoja katika kutatua changamoto za kibiashara pamoja na fursa mbalimbali mkoani humo.

Akizungumza na wajasiriamali wa mkoani Morogoro, Bwana Atiba Amalile, Mkurugenzi wa CEED Tanzania, amewakumbusha wajasiriamali hao kuwa ‘’Haitakuwa biashahara kama kawaida ikiwa Tanzania itakuwa nchi ya kipato cha kati miaka ijayo’’.

Naye Bwana Baptist Mnyalape, mshauri wa masuala ya kodi na mwakilishi wa CEED Tanzania jijini Dodoma amewahimiza wajasiriamali wa Morogoro kuhakikisha wanafahamu kanuni zinazoweza kuathiri biashara zao moja kwa moja.

MOROGORO ENTREPRENEURS EMPOWERED WITH MANAGEMENT SKILLS TO PROFESSIONALIZE THEIR BUSINESS OPERATIONS

Mr. Fred Laiser speaks about CEED Tanzania.
The Center for Entrepreneurship and Executive Development (CEED), held a business management and investment training in Morogoro region with the focus to empower local entrepreneurs in the region to work together in addressing business challenges and opportunities as they arise. Some local banks in the region, CRDB, NMB, NBC, Akiba Bank and Bank of Africa participated in the event and provided valuable guidelines on the challenges they experience in working with entrepreneurs to ensure they access capital with minimal hassles. In addition, the Tanzania Chamber of Commerce, Industry and Agriculture (TCCIA) in Morogoro was also present to share some of their learnings with the local business community on building competitiveness in the business community. In a presentation from CEED’s director, Mr Atiba Amalile, entrepreneurs were reminded that “it can not be business as usual, if Tanzania is to become a middle-income country in the next few years”.

Mr Baptist Mnyalape, a tax consultant and chapter lead for CEED in Dodoma, encouraged the Morogoro entrepreneurs to ensure that they “comply to regulations that directly affect your businesses. Failure to do so can be very expensive in both time and money.” Additionally, Mr Dennis Kayanda, from CRDB bank also reiterated the importance of businesses to comply with taxation and land use policy. He shared examples of the dangers in seeking loans from commercial banks to invest in businesses that may not be operating in the appropriate land-use zone and how such actions can negatively impact the businesses when land-use policy is enforced.

EXIM BANK WINS PRESTIGIOUS 'ATE OVERALL WINNERS OF THE BEST LOCAL EMPLOYER 2019’ AWARD

Exim Bank Human Resources Head, Mr Frederick Kanga (Second left) together with other Exim Bank senior officials represented the Bank in receiving two awards, namely, Overall Winners of the Best Local Employer 2019 Award and Overall Winner in Employee Engagement Award at the Employer of the Year Award (EYA) 2019 organized by Association of Tanzanian Employers (ATE).
Dar es Salaam; December 19, 2019 - Exim Bank Tanzania has been named the country’s overall winner of the Best Local Employer 2019 award during the Employer of the Year Award (EYA) 2019 organized by the Association of Tanzanian Employers (ATE).

The awards also saw the bank winning the overall winner in Employee Engagement award as well as being declared to be among 10 Best Employers in the country in the competition that involved more than 800 Employers.

The award ceremony took place yesterday at Serena Hotel in Dar es Salaam and was graced by the Minister of State in the Prime Minister’s Office responsible for Policy, Parliamentary Affairs, Labour, Employment, Youth and the Disabled.

On receiving the award, Mr Frederick Kanga, the bank’s Human Resources Head said the remarkable milestone brings awareness to the public on the bank’s Human Capital initiatives linking them to the overall vision of the institution.

Thursday 19 December 2019

TANZANIA SIGNS MEGA DEAL TO LINK SGR TO BURUNDI, DRC

Tanzania has signed an agreement to link its Standard Gauge Railway (SGR) to Burundi and the Democratic Republic of Congo, in a deal that gives Dar es Salaam’s multi-billion-dollar project a major shot in the arm.

Transport ministers of the three countries Isack Kamwelwe (Tanzania), Jean Bosco (Burundi) and Roger Biasu (DRC) signed the agreement this past week in the port town of Kigoma.

The SGR link gives landlocked Burundi and DRC direct access to the Dar es Salaam Port, greatly boosting Tanzania’s Central Transport Corridor.

The development is, however, a blow to Kenya’s Northern Transport Corridor, which had marketed its own SGR as the cheaper and more efficient route for East Africa’s landlocked countries including Burundi and eastern DRC.

“This agreement is in line with the completion of a preliminary feasibility study of detail design plans which was successfully done by the consultancy company Gulf Engineering Ltd based in Uvinza,” Mr Kamwelwe told The EastAfrican.

The first phase of the construction will start from Uvinza district in Kigoma region in north western Tanzania to Gitega, via Msongati region, in Burundi, covering a stretch of 240km. The railway will then be extended to the eastern regions of DRC according to the agreement.

NMB MASTABODA NDANI YA KISARAWE!

Mkuu wa Kitengo cha Kadi wa Benki ya NMB, Philbert Casmir, akizungumza wakati akifunga rasmi mafunzo ya matumizi ya huduma mpya ya MastaBoda kwa waendesha Bodaboda wa Wilaya ya Kisarawe na vitongoji vyake. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo na Mkuu wa Kitengo cha Biashara za Serikali wa NMB, Vicky Bishubo.
Mmoja wa waendesha Bodaboda akifungua akaunti ya NMB.
Waendesha Bodaboda katika picha ya pamoja baada ya semina iliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi za Wilaya ya Kisarawe.

Kampeni ya MastaBoda inayoendeshwa na Benki ya NMB kwa ajili ya kuwaunganisha waendesha Bodaboda katika mfumo wa kibenki wa kupokea malipo kwa Mastercard QR kutoka kwa wateja wa Benki ya NMB, Benki zilizounganishwa na Mastacard QR pamoja na mitandao ya simu iliyounganishwa na huduma ya Mastercard QR sasa imevuka boda hadi Kisarawe Mkoani Pwani.

Akizindua kampeni hiyo na kufunga mafunzo ya siku sita yaliyotolewa na NMB kwa waendesha Bodaboda Wilayani humo, Mkuu wa Wilaya Jokate Mwegelo amesema kampeni hiyo imefika muda muafaka katika Wilaya yake.

Jokate amesema, kama Wilaya na Serikali wamejipanga kuipokea kampeni hiyo kwa waendesha bodaboda 150 waliyozitokeza katika mafunzo hayo.

Wednesday 18 December 2019

BENKI YA NMB YATAMBULIWA KUWA MWAJIRI ALIYEIDHINISHWA NA CHAMA CHA WAHASIBU ULIMWENGUNI (ACCA)

Benki ya NMB imepokea kibali cha ithibati kuwa mwajiri aliyeidhinishwa na Chama cha Wahasibu cha Kimataifa Association of Chartered Certified Accountants (ACCA) katika kutoa maendeleo stahiki ya taaluma kwa wafanyakazi.

Utambuzi huu unamaanisha kwamba Benki ya NMB ina kiwango cha kimataifa cha kutoa fursa za wafanyakazi kujiendeleza kitaaluma na kuamini kuwa mafunzo hayo husaidia wanachama wa ACCA kwenye benki na taaluma nyingine kukidhi mahitaji yao ya uzoefu wa vitendo makazini.

NMB walipokea utambuzi huo kutoka ACCA mwishoni wa mwaka huu, ambapo NMB inakuwa miongoni mwa taasisi 13 nchini na taasisi za kimataifa zisizopungua 7,000 duniani zinazotambuliwa na ACCA.

NMB na ACCA zitaendelea kuhakikisha wafanyakazi wanakuzwa kwa viwango vya juu zaidi. Ambapo NMB itaendeleza kuweka mazingira mazuri na rafikii ya kufanya kazi ili kusaidia wanachama na wanafunzi wa mafunzo ya ACCA kupata mafunzo stahiki.

Akizungumza katika mahojiano maalumu, Meneja mwandamizi Idara ya Ukaguzi wa ndani NMB, Gaudence Nganyagwa, amesema ni wakati sasa wa Tanzania na Ulimwengu kufahamu jinsi gani NMB inathamini wafanyakazi wake kwa kuwajengea uwezo ili kuwa wenye ushindani katika kutoa huduma bora yenye weledi wa kimataifa.

“Tunaamini kuwa ni wakati wa kuifanya Tanzania na Ulimwengu ujue ni kwa kiasi gani NMB tunathamini maendeleo ya wafanyakazi wetu. Kwa miaka mingi, benki imekuwa ikiwekeza katika mafunzo na kuwaendeleza wafanyakazi ili kuzalisha kilicho bora sokoni.

VODACOM TANZANIA AND WORLDREMIT LAUNCH MOBILE MONEY TRANSFERS TO M-PESA ACCOUNTS IN TANZANIA

Vodacom M-Pesa customers can now receive money instantly from over 50 countries worldwide using the WorldRemit app or website

DAR ES SALAAM, Tanzania, December 17, 2019/ -- Vodacom Tanzania (https://www.Vodacom.co.tz/) has partnered with leading online money transfer service WorldRemit (https://www.WorldRemit.com) to enable ten million M-Pesa customers to receive money directly to their M-Pesa wallets from friends and family living abroad.

The new service increases convenience for money transfer recipients in urban and rural areas of Tanzania as they can receive international money transfers directly to their phones, without the need for a bank account or internet connection.

Using the WorldRemit app, Tanzanians living abroad in over 50 countries, including the US, UK and Canada, can send money home 24/7 in just a few taps. This saves customers time and money as they do not have to travel to a traditional money transfer agent and pay expensive fees to send money home in cash.

WorldRemit is a global leader in international transfers to mobile money accounts and is connected to over 190 million accounts across 30 countries.

Epimack Mbeteni, Vodacom Tanzania M-Pesa Director, said: “This new partnership with WorldRemit enables us to tap into their global payments network, and help customers receive remittances into Tanzania from more countries around the world. It will enable families and friends in the country to conveniently receive money through M-Pesa from across the world. This is just one more way we are making our customers’ lives easier.

WORLDREMIT YAZINDUA HUDUMA YA GHARAMA NAFUU YA UTUMAJI WA PESA KWENDA AKAUNTI YA M-PESA NCHINI TANZANIA

Mkurugenzi wa WorldRemit ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, Sharon Kinyanjui (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa huduma ya WorldRemit itakayowawezesha wateja wa Vodacom M-Pesa kupokea pesa kutoka zaidi ya nchi 50 ulimwenguni. Wengine pichani ni Mkurugenzi wa M-Pesa, Epimack Mbeteni (katikati) na Meneja Maendeleo ya Biashara M-Pesa, Ruth Moshi (kulia).
Mkurugenzi wa M-Pesa, Epimack Mbeteni (kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa huduma ya WorldRemit itakayowawezesha wateja wa Vodacom M-Pesa kupokea pesa kutoka zaidi ya nchi 50 ulimwenguni. Wengine ni Mkurugenzi wa World Remit ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, Sharon Kinyanjui (katikati) na Meneja Mkazi wa World Remit Tanzania, Cynthia Ponera (kushoto).
Meneja Mkazi wa WorldRemit Tanzania, Cynthia Ponera (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa huduma ya World Remit na Vodacom M-Pesa. Wengine kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa World Remit ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, Sharon Kinyanjui, Mkurugenzi wa M-Pesa, Epimack Mbeteni na Meneja Maendeleo ya Biashara M-Pesa, Ruth Moshi.

Mkurugenzi wa M-Pesa, Epimack Mbeteni (wapili kulia) akimkabidhi bango Mkurugenzi wa WorldRemit ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, Sharon Kinyanjui kuashiria uzinduzi wa huduma ya WorldRemit itakayowawezesha wateja wa Vodacom M-Pesa kupokea pesa kutoka zaidi ya nchi 50 ulimwenguni. Wengine kushoto ni Meneja Mkazi wa WorldRemit Tanzania, Cynthia Ponera na Meneja Maendeleo ya Biashara M-Pesa, Ruth Moshi.
  • Wateja wa Vodacom M-Pesa kupokea pesa kutoka zaidi ya nchi 50 duniani kwa kutumia app ya WorldRemit kwa haraka
Desemba 17, 2019, Dar es salaamVodacom Tanzania kwa kushirikiana na vinara wa kutoa huduma ya kutuma pesa kwa njia ya mtandao WorldRemit, watawawezesha zaidi ya watumiaji wa M-Pesa Zaidi ya milioni 10 kupokea pesa moja kwa moja katika akaunti zao kutoka kwa marafiki na familia wanaosafiri na kufanya kazi nje ya nchi.

Huduma hiyo mpya inaongeza urahisi wa wapokeaji wa uhamishaji wa pesa mijini na vijijini kwani wanaweza kupokea pesa kutoka kwa jamaa na marafiki nje ya nchi moja kwa moja kwenye simu zao, bila kuhitaji kuwa na akaunti ya benki au kuunganishwa katika mtandao.

WorldRemit ni mojawapo ya vinara ulimwenguni katika utoaji wa huduma ya uhamishaji pesa kupitia akaunti za simu ya mkononi, ambapo wameunganishwa na akaunti zaidi ya milioni 160 katika nchi 29. Mbali na huduma ya pesa kwa njia ya simu ya mkononi, kampuni hiyo pia inatoa huduma za uhamishaji wa kibenki, huduma ya kuchukua pesa papo hapo na kuongeza muda wa maongezi nchini Tanzania.

RESEARCH SHOWS THAT THESE 7 HOBBIES WILL MAKE YOU SMARTER

  • Strengthen your brain and enjoy yourself with these seven hobbies.
  • Playing a musical instrument and reading can help you become a better thinker and leader. So can learning a new language.
  • Journaling, exercising, and meditating can also have a real impact. 
For a long time, it was believed that people are born with a given level of intelligence, and the best we could do in life was to live up to our potential.

Scientists have now proven that we can actually increase our potential and enjoy ourselves in the process.

We now know that by learning new skills the brain creates new neural pathways that make it work faster and better.

Here is a list of seven hobbies that make you smarter and why.

BENKI YA NMB YAAHIDI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUKUZA UTALII

Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara Ndogo na za Kati wa Benki ya NMB, Filbert Mponzi (kuli) akizungumza na wanachama wa Chama cha Waongoza Watalii Tanzania (TATO) chenye lengo la kuhimiza ushirikiano kati yao.
Sehemu ya wageni waalikwa.

Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara Ndogo na za Kati wa Benki ya NMB, Filbert Mponzi (kuli) akibadilishana mawazo na baadhi ya wageni Waalikwa.
Benki ya NMB imeahidi kuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha inasaidia harakati za Serikali kukuza Utalii nchini, ili kuinyanyua zaidi sekta hiyo ambayo inaongoza katika kuchangia pato la taifa na kuingiza fedha nyingi za kigeni ukilinganisha na sekta nyingine.

Ahadi hiyo ilitolewa na Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara Ndogo na za Kati wa NMB, Filbert Mponzi, wakati wa Chakula cha Usiku, kilichoandaliwa na Chama cha Waongoza Watalii Tanzania (TATO) na kufadhiliwa na NMB, kikihudhuriwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Profesa Adolf Mkenda.

Katika hafla hiyo iliyofanyika jijini Arusha, Mponzi alibainisha kuwa, NMB imeshaanza kutoa mikopo ya magari kwa Waongoza Watalii ‘Tour Operators Vehicle Finance,’ lengo likiwa ni kuwawezesha waongozaji kurahisisha majukumu yao na kuvutia watalii zaidi na kukuza pato la taifa.