Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Thursday 31 January 2019

SOUTH AFRICA'S ABSA CEO TO RETIRE AT END OF FEBRUARY


JOHANNESBURG Jan 29 (Reuters) - South African lender Absa said on Tuesday its chief executive Maria Ramos, who has been at the helm for ten years, will retire at the end of February, after the firm completed its separation from Barclays PLC and relaunched its brand.

“With the separation on track and our new strategy as a standalone financial institution in place, Maria feels that this is the right time to retire,” Absa said.

René van Wyk will be appointed as interim chief executive with effect from March until a permanent appointment is made, the firm said in a statement.

NIC BANK GETS NEW MANAGING DIRECTOR


NIC Group PLC has announced the appointment of Margaret Karume as the Managing Director of NIC Bank Tanzania Limited, becoming the second female to assume a CEO role in the Tanzanian banking institutions.

Read More >>

DCB COMMERCIAL BANK SNAPS LOSSES TO MAKE 1.9BN/- PROFIT IN 2018

DCB Commercial Bank Plc Head of Finance, Zacharia Kapama (second left), speaks to reporters in Dar es Salaam recently about the bank's performance in 2018 where it generated a 1.9bn/- profit. Looking on from left are DCB Head of Marketing and Customer Service, Rahma Ngassa, Chief Manager, Commercial, James Ngaluko and Chief Internal Auditor, Deogratius Thadei.
DCB Commercial Bank has moved to the profit making stance after posting 1.9bn/- gross profit last year from a loss of 6.9bn/- in 2017, thanks to drastic measures that lowered operational costs and improved digital services.

Read More >>

MKURUGENZI MKUU WA NHC ATEMBELEA ENEO JIPYA LINALOKUSUDIWA KUJENGWA MAKAZI YA WATUMISHI WAANDAMIZI NA MABALOZI

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Dk Maulidi Banyani (kulia) jana alitembelea eneo la Mtumba linalokusudiwa kuchukuliwa na NHC kwaajili ya kujenga nyumba za kuishi watumishi wa kada ya kati na juu. Eneo lipo karibu kabisa na ulipo mji wa Serikali kulikojengwa Wizara mbalimbali za Serikali. Pichani Afisa Miliki wa NHC Dodoma Jaffari Chege (kushoto) akimuonyesha Mkurugenzi Mkuu mfano wa michoro ya eneo hilo. 
Ukamilishaji wa ujenzi wa mji wa kiserikali ukiendelea ndani ya jengo la Wizara ya Fedha wakiwa wanafanya skimming.
Jengo la Wizara ya Fedha lilivyo sasa.

Eneo la Mtumba linalokusudiwa kuchukuliwa na NHC kwaajili ya kujenga nyumba za kuishi watumishi wa kada ya kati na juu.
Kaimu Mkuu wa kitengo cha Ukaguzi wa Ndani cha Shirika la Nyumba la Taifa Abdallah Migilla (kulia) akiteta jambo na Injinia Hassan Mohammed wa Shirika la Nyumba la Taifa kwenye eneo kunakojendwa Wizara ya Viwanda na Uwekezaji.
Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Dk Maulidi Banyani (wa pili kushoto) akitembelea eneo la Wizara hizo.
Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Dk Maulidi Banyani (kulia) akielekeza jambo. 

Wednesday 30 January 2019

MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AKUTANA NA WATEJA NA WAFANYABIASHARA WA JIJINI MWANZA.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB ajumuika pamoja na Wateja na Wafanyabiashara wa Jijini Mwanza katika hafla ya jioni.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kulia) akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Dkt. Severline Laika (wa pili kulia). Wengine ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay na Mfanyabiashara mmaarufuwa Mwanza, Dkt. Anthony Dialo (kushoto).

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wa pili kulia) akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Dkt. Severline Laika (kushoto). Wengine ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay (kulia) na Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja, Tully Esther Mwambapa.


AKIBA COMMERCIAL BANK GETS NEW MANAGING DIRECTOR

Akiba Commercial Bank has appointed Mr. Augustine Akowuah as its new Managing Director. His appointment takes effect from September 01, 2018.

Mr. Akowuah brings to Akiba, many years of MSME banking experience, including experience in senior management positions in Ghana, Tanzania and Nigeria. His expertise is in the areas of MSME lending, strengthening credit risk management, and operational efficiency and performance-enhancing strategies.

Mr. Akowuah holds a Masters in Business Administration in Finance from Coventry University, UK. He is an alumnus of University of Ghana, where he graduated with Bachelor of Arts Degree in Economics. Mr. Akowuah is also a certified expert in Risk Management.

Board Chairman of Akiba Commercial Bank, Ernest Massawe commented, “The appointment of Augustine Akowuah to head our bank is testimony to our confidence in his qualification and experience in this intricate service industry. We desired to have someone whose professional edge aligns with our vision of serving Micro, Small and Medium enterprises, and we look forward to supporting his leadership strategy in growing our business and enhancing our customer experience”

On his part, Mr. Akowuah, welcomed “this opportunity to be part of the growth story of one of Tanzania’s growing local banks, and look forward to working with the team to position Akiba as a top choice for MSMEs”.

Since 1997, Akiba Commercial Bank has supported the growth of MSMEs in Tanzania, and currently operates from 18 branches in Dar es Salaam, Arusha, Dodoma, Mbeya, Moshi, and Mwanza.

Tuesday 29 January 2019

BANK OF AFRICA APPOINTS NEW CEO & MANAGING DIRECTOR


PRUDENTIAL CAPITAL MARKET UPDATE AS AT 29 JAN. 2019

SIGNING OF MoU BETWEEN OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA AND TANZANIA INSTITUTE OF BANKERS

Mr. Patrick Mususa, the Exeutive Director of Tanzania Institute of Bankers - TIOB, (first right) and Prof. Elifas Bisanda, Vice Chancellor, Open University of Tanzania (second right), today signed an agreement of collaboration. The partnership will ensure that TIOB members have access to knowledge and diversity and can easily access trainings, TIOB e-learning and online learning platforms through the computerized infrastructure at Open University centers countrywide.




BENKI YA DCB YATANGAZA FAIDA YA SHILINGI BILIONI 1.9 KWA MWAKA 2018

Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya Biashara ya DCB, Zacharia Kapama (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati akitangaza benki hiyo kupata faida ya kabla ya kodi ya Shilingi Bilioni 1.9 kwa mwaka 2018. Wengine kutoka kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano, Rahma Ngassa, Mkurugenzi wa Biashara, James Ngaluko na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Ndani, Deogratius Thadei.
Januari 29, 2019 - Benki ya biashara ya DCB imefanikiwa kupata faida ya shilingi bilioni 1.9 katika mwaka 2018 huku ikiipiku hasara ya shilingi bilioni 6.9 iliyopatikana mwaka 2017 ambayo inawakilisha ongezeko la asilimia 463.
Benki imefanya juhudi za makusudi kuhakikisha inatoka kwenye hasara iliyopata mwaka 2017 na kurudi kwenye faida. Baadhi ya hatua zilizochukuliwa ni kupitia na kuboresha ufanisi wa mfumo wa uendeshaji biashara ambapo gharama za uendeshaji zimeshuka huku huduma mpya za kidigitali zimeanzishwa, huduma hizi zimevutia wateja wengi zaidi kufungua akaunti za amana. Juhudi zilizopelekea upatikanaji wa faida mwaka 2018;
  1. Mapato halisi ya riba kuimarika kutokana na utoaji mikopo katika sekta mbalimbali na kuchangia ongezeko la mikopo ghafi kutoka shilingi bilioni 88.6 mwaka 2017 hadibilioni 90.6 mwaka 2018. Mikopo ya jumla ya shilingi bilioni 65 imetolewa mwaka 2018 ambapo kati yake, shilingi bilioni 21 ni mikopo ya wajasiriamali wadogo.
  2. Kuboresha ufanisi katika mfumo wa uendeshaji biashara kupitia mfumo wa kidijitali huku mkazo ukiwekwa katika kuongeza amana za gharama nafuu kupitia bidhaa za amana za kidijiti na usimamizi wa mizania wenye ufanisi. Gharama za amana zimeshuka kutoka shilingi bilioni 9.8 mwaka 2017 kufikia shilingi bilioni 6.8 mwaka 2018.
  3. Kuongeza kasi ya ukusanyaji madeni yatokanayo na mikopo chechefu na hivyo kupunguza tengo la mikopo chechefu kutoka shilingi bilioni 4.5 hadi shilingi milioni 263.
  4. Kuongeza mkazo katika ufanisi wa utendaji na kuchangia upunguaji wa gharama za uendeshaji kutoka bilioni 21.2 mwaka 2017 kufikia shilingi bilioni 16.9 mwaka 2018.

FINANCE & PLANNING MINISTER, DR. MPANGO PRAISES NMB BANK FOR PAYING GOVERNMENT TAXES ON TIME

Finance and Planning Minister, Dr Philip Mpango (left) puts a thumb on a piece of paper, when he was opening an account at NMB Bank, Kambarage Branch in Dodoma yesterday. Looking on is the Government Public Services Manager, Ms Josephene Kulwa (second left) and assisting the Minister is the Branch Customer Services Manager, Ms Susan Mkenda. Dr Mpango praised NMB for its services and efforts in paying Government taxes on time.
Finance and Planning Minister, Dr Philip Mpango (left) receives an ATM card from NMB Bank, Kambarage Branch, Dodoma, Customer Services Manager, Ms Susan Mkenda (right) shortly after he opened an account at the bank recently.

NAIBU WAZIRI DK MABULA ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA OFISI ZA SERIKALI DODOMA UNAOJENGWA NA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC)

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline Mabula (kushoto) akitembelea mradi wa ujenzi wa jengo la Wizara ya Fedha na Mipango linalojenga katika mji wa serikali katika eneo la Mtumba Jijini Dodoma. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Dk Sophia Kongela akifuatiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Dk Maulidi Banyani na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani wa Shirika la Nyumba la Taifa, Abdallah Migilla.
Mhandisi Peter Mwaisabula ambaye anasimamia mradi wa ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati linalojenga katika mji wa serikali katika eneo la Mtumba Jijini Dodoma akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline Mabula aliyetembelea mradi huo wa ujenzi jana asubuhi.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline Mabula akielekea kutembelea mradi wa ujenzi wa jengo la Wizara ya Viwanda na Uwekezaji linalojenga katika mji wa serikali katika eneo la Mtumba Jijini Dodoma. 
Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki wa Shirika la Nyumba la Taifa, Haikamen Mlekio (kushoto) akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline Mabula aliyetembelea mradi huo wa ujenzi jana asubuhi.

Mhandisi wa Matengenezo wa Shirika la Nyumba la Taifa, Julius Ntoga (kulia) akitoa maelezo kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Dk Sophia Kongela (kati kati) kwenye mradi wa ujenzi wa jengo la Ofisi za Wizara ya Fedha na Mipango lililopo eneo la Mtumba jijini Dodoma. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Dk Maulidi Banyani. 

Mhandisi Peter Mwaisabula ambaye anasimamia mradi wa ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati linalojenga katika mji wa serikali katika eneo la Mtumba Jijini Dodoma akimsindikiza Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Dk Sophia Kongela aliyetembelea mradi huo wa ujenzi jana asubuhi.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Dk Sophia Kongela (kulia) akisalimiana na mmoja wa waratibu wa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu akati alipotembelea mradi wa ujenzi wa jengo la Wizara ya Fedha na Mipango linalojenga katika mji wa serikali katika eneo la Mtumba Jijini Dodoma. Wanaoshuhudia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Dk Maulidi Banyani (kushoto).
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Dk Sophia Kongela (kushoto) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Dk Maulidi Banyani (kulia) mbele ya mradi wa jengo la Nishati.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Dk Sophia Kongela (kulia) akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Nyumba ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Pius Tesha (kushoto).
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Dk Maulidi Banyani (kushoto) akiangalia ramani ya jengo la Makao Makuu ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) wakati alipotembelea maendeleo ya ujenzi wa jengo hilo.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Dk Maulidi Banyani akiangalia ramani ya jengo la Makao Makuu ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) wakati alipotembelea maendeleo ya ujenzi wa jengo hilo. 
Jengo la Makao Makuu ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) likiwa limeanza kuinuka kuelekea ghorofa ya kwanza. 
Mmoja wa wasimamizi wa mradi wa ujenzi wa Ewura, Hassan Bendera akiwaelekeza jambo Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Dk Sophia Kongela na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Dk Maulidi Banyani.
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dk Angeline Mabula ameendelea kufurahishwa na maendeleo mapya na hatua zinazopigwa kila kukicha katika ujenzi wa ofisi za wizara katika mji wa serikali ya Mtumba mkoani Dodoma unaojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC).

Dk Mabula alitoa kauli hiyo jana tarehe 28 Januari 2019 wakati alipotembelea mradi wa ujenzi wa ofisi za Serikali katika mji wa Mtumba mkoani Dodoma unaojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ambalo liko chini ya Wizara yake.

BANK OF AFRICA APPOINTS NEW CEO & MANAGING DIRECTOR


Monday 28 January 2019

NMB BANK WAIVES FEES CHARGED ON TRANSACTIONS EFFECTIVE FEBRUARY 2019

NMB Bank's Senior Manager for Liabilities and Payments, Stephen Adili speaks at a press conference in Dar es Salaam, while announcing the bank's decision to remove various fees last Friday. Looking on (center) id the bank's Head of Payments and Accounts, Michael Mungure and Head of Customer Experience, Abella Tarimo.
In a bid to encourage the public to use banking services regularly and speed up the Government's financial inclusion drive, NMB Bank PLC will effective 1st February 2019 abolish various fees charged on transactions.

Read More >>


GRAND FAREWELL GALA FOR FORMER CRDB BANK MANAGING DIRECTOR, DR. CHARLES KIMEI

CRDB Bank PLC Chief Executive Officer & Managing Director, Abdulmajid Nsekela (right) hands over a picture as a token of appreciation to former Managing Director, Dr. Charles Kimei (second left) during a special farewell party in Dar es Salaam over the weekend. He is flanked by CRDB Bank Board Chairman, Ally Laay (first left) and Dr. Kimei's wife, Mama Rose Kimei.

JOB VACANCY ANNOUNCEMENTS AT TIB DEVELOPMENT BANK

GRAND JULIUS NYERERE INTERNATIONAL AIRPORT TERMINAL III IN FINAL TOUCHES


Hardly four months before completion of the eagerly awaited Julius Nyerere International Aiport's (JNIA) Terminal III, construction works have been accomplished by 91 per cent.

Read More >>

MATEMBEZI YA KUIMARISHA AFYA YA NHC YAFANA, MKURUGENZI MKUU AAGIZA YAFANYIKE KILA MKOA, KILA JUMAMOSI YA MWISHO WA MWEZI

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Dk. Maulidi Abdallah Banyani akizungumza na wafanyakazi wa NHC (hawapo pichani) muda mfupi mara baada ya kumaliza matembezi ya kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi yaliyoanzia jengo la makao makuu ya NHC Kambarage House kuelekea Barabara ya Barack Obama hadi Palm Beach na kuingia Barabara za Ali Hassan Mwinyi, Ohio, Kivukoni Front, Luthuli na baadaye kuelekea kwenye eneo kutakakokuwa na mazoezi ya viungo katika eneo la Sea View Beach (Dengu Beach). Dk Banyani amehimiza matembezi hayo kufanyika kila mwisho wa mwezi na kwa mikoa yote ya NHC ili kuimarisha afya za wafanyakazi na kujenga mshikamano.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Dk. Maulidi Abdallah Banyani akiongoza matembezi ya kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi yaliyoanzia jengo la makao makuu ya NHC Kambarage House.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Dk. Maulidi Abdallah Banyani akiongoza matembezi ya kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi yaliyoanzia jengo la makao makuu ya NHC Kambarage House.
Wafanyakazi wakiwa katika ari wakifanya matembezi ya kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi yaliyoanzia jengo la makao makuu ya NHC Kambarage House.
Wafanyakazi wakiwa katika ari wakifanya matembezi ya kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi wakiwa katika barabara ya Ohio.
Wafanyakazi wakiwa katika ari wakifanya matembezi ya kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi wakiwa katika barabara ya Luthuli.
Wafanyakazi wakiwa katika ari wakifanya matembezi ya kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi wakiwa katika barabara ya Barack Obama.
Wafanyakazi wakiwa katika ari wakifanya matembezi ya kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi wakiwa katika barabara ya Barak Obama.
Wafanyakazi wakiwa wakiwa katika mazoezi ya kukamilisha matembezi hayo.
Wafanyakazi wakiwa wakiwa katika mazoezi ya kukamilisha matembezi hayo.