Foreign Exchange Rates

CRDB Bank Advert

Ultimate Finance Advert

Advertise Here

Advertise Here

Tuesday, 30 September 2014

RAIS KIKWETE AREJEA NCHINI KUTOKA MAREKANI KWENYE MKUTANO WA 69 WA UMOJA WA MATAIFA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Saidi Meck Sadik  baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 30, 2014 akitokea Marekani alikohudhuria Mkutano wa 69 wa Umoja wa Mataifa.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na IGP Ernest Mangu, Mnadhimu Mkuu  wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi  Tanzania (JWTZ), Luteni Jenerali Samuel Ndomba na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Saidi Meck Sadik  baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 30, 2014 akitokea Marekani alikohudhuria Mkutano wa 69 wa Umoja wa Mataifa.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mnadhimu Mkuu  wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi  Tanzania (JWTZ), Luteni Jenerali Samuel Ndomba mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 30, 2014 akitokea Marekani alikohudhuria Mkutano wa 69 wa Umoja wa Mataifa.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama   baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 30, 2014 akitokea Marekani alikohudhuria Mkutano wa 69 wa Umoja wa Mataifa. (PICHA NA IKULU)

JACK MUGENDI ZOKA ATEULIWA KUWA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI CANADA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Bw. Jack Mugendi Zoka (pichani) kuwa Balozi mpya wa Tanzania nchini Canada.

Bw. Zoka anajaza nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Alex Masinda, ambaye amestaafu kwa mujibu wa sheria. Kabla ya uteuzi huu, Bw. Zoka alikuwa Ofisa Mwandamizi Ofisi ya Rais Ikulu.


IMETOLEWA NA KATIBU MKUU,

WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA,
Dar es Salaam,
Septemba 30, 2014.

KUNDI LA ORIJINO KOMEDY WAJIUNGA NA HUDUMA YA BIMA ITOLEWAYO NA CRDB MICROFINANCE INSURANCE BROKERS

Meneja wa CRDB Microfinance Insurance Brokers, Arthur Mosha (kushoto) akimkabidhi Kadi ya huduma ya bima ya maisha, mazishi na ulemavu wa kudumu Kiongoni Mkuu wa Orijino Komedy Company, Sekioni David (kulia) wakati wa hafla fupi iliyofanyika leo kwenye ofisi za CRDB Mikocheni jijini Dar.

Msanii Lucas Mhuvile ‘Joti’ akipokea kadi yake kutoka kwa Meneja wa CRDB Microfinance Insurance Brokers, Arthur Mosha.

Msanii Isaya Mwakilasa ‘Wakuvwanga’ (kulia) akipokea kadi yake kutoka kwa Meneja wa CRDB Microfinance Insurance Brokers, Arthur Mosha. Wa pili kulia ni Meneja Mkuu wa African Life Assurance, Nura Masoud na Kushoto ni Meneja Mkuu wa AAR Insurance, Majala Manyama.


Meneja Uhusiano wa CRDB Microfinance Insurance Brokers, Nargis Mohamed (kulia) akiwa na Msanii wa Kundi la Wasanii wa Vichekesho la Orijino Komedy Company, Mjuni Silvery ‘Mpoki’ katika hafla hiyo.

Picha ya pamoja.

CRDB Microfinance Insurance Brokers ambao ni wakala wa bima za aina zote ikiwemo bima ya afya, moto, nyumba na maisha wakishirikiana na kampuni zaidi ya kumi za bima nchini Tanzania, wamefanikiwa kuwapatia huduma ya bima ya maisha, mazishi na ulemavu wa kudumu Kundi la Wasanii wa Vichekesho la Orijino Komedy Company wao na familia zao kupitia African life Assurance (Tanzania) Ltd na bima ya afya wao na familia zao kupitia Kampuni ya AAR Insurance Tanzania.

CRDB Microfinance wanayo furaha kubwa kwa kuwapatia wasani hao huduma hiyo, kwani siku zote imekuwa ikifahamika kuwa msanii ni kioo cha jamii. Wasanii hao waliofanikiwa kujiunga na huduma hizo ni pamoja na Isaya Mwakilasa ‘Wakuvwanga’, Mjuni Silvery ‘Mpoki’, Lucas Mhuvile ‘Joti’, Alex Chalamila ‘McRegan’ na Kiongozi wa kundi hilo, Sekioni David na wengine ni Herry pamoja na Jonas.

Huduma hii inawahamasisha wasanii wengine, wanahabari, wanamitindo na watanzania wote wa hali zote kutembelea ilipo CRDB Bank tawi lolote nchini Tanzania, ili waweze kupata huduma nzuri ya na haraka ya bima "ndani ya mikono salama".

Michuzi Blog

VODACOM NA BENKI YA TWIGA BANCORP ZAWALETEA HUDUMA YA "M-PESA SUPER AGENCY"

Mwenyekiti wa bodi ya benki ya Twiga Bancorp Prof. Amon Mbelle (wapili toka kulia) akipongezana na Mkuu wa Mauzo wa Vodacom Tanzania kanda ya Pwani, Herieth Koka, mara baada ya kuzinduliwa kwa huduma ya ”M-PESA SUPER AGENCY” itakayowawezesha wateja wa benki hiyo kupata huduma za kifedha kiurahisi kupitia simu za mkononi. Kushoto ni Kaimu Ofisa mkuu wa Benki hiyo Willace Msemo na Meneja uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (kulia).

Mkuu wa Mauzo wa Vodacom Tanzania kanda ya Pwani, Herieth Koka (kulia)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na huduma ya ”M-PESA SUPER AGENCY” itakayowawezesha wateja wa benki ya Twiga Bancorp kupata huduma za kifedha kiurahisi kupitia simu za mkononi. katikati ni Mwenyekiti wa bodi wa benki hiyo Prof. Amon Mbelle na kushoto ni Meneja uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu.

5 TANZANIAN'S AMONG AFRICA'S TOP FUTURE ECONOMIC LEADERS

Mohammed Dewji, CEO of MeTL was ranked second after Nigerian Igho Sanomi.


Dar es Salaam. Five Tanzanians are among top 100 Africans recognized by Paris-based Institut Choiseul as young economic leaders for tomorrow.
The top 100 personnel were selected with regard to their dynamism, exceptional course and an active contribution to the emergence of Africa as a major player in the global economy, according to Dr Pascal Lorot, president of the Institut Choiseul.
The five Tanzanians who emerged in the list include Mohamed Dewji, 39, chief executive officer of Mohamed Entreprises Tanzania Ltd, Genevieve Sangudi, 37, The Carlyle Group deputy general manager for sub-Saharan Africa and Elsie Kanza, 38, head of Africa at the World Economic Forum.

TANZANIA TUMBLES IN GOVERNANCE INDEX


Dar es Salaam. Tanzania performance in the 2014 Mo Ibrahim Index of African Governance has tumbled—with the country dropping five places—from 10th position in 2012 to 15th in the latest index—that ranked 52 countries in Africa.


But, in the East African region, Tanzania ranks second behind Rwanda, followed by Kenya, Uganda and Burundi.
The fall, according to the Ibrahim Index of African Governance (IIAG) is due to poor performance in personal safety, rural sector, accountability, rights, business environment, education and rule of law.

FASTJET ANNOUNCES INTERIM RESULTS FOR THE SIX MONTHS ENDED 30 JUNE 2014


Strong growth in first half passenger numbers and new international routes launched

30 September 2014 - fastjet, the low cost African airline, announces its unaudited interim results for the six months ended 30 June 2014 and operational highlights of 2014 to date.

Financial highlights
·         Tanzania first-half revenues grew 96% to $19.0 million, with a 41.5% increase in passenger numbers.
·         Tanzanian average revenue per passenger for the period grew 39.3% to $81.65.
·         First-half underlying EBIT loss of $30.5 million, including US$13.9 million trading losses in the Tanzanian operation.
·         Fly540 Ghana and Angola had a $13.5 million adverse effect on the first half financial results of which $6.4 million related to a foreign exchange revaluation adjustment of US Dollar liabilities, and during the period under review, less than $100,000 of fastjet Plc cash was utilised in legacy Fly540 operations.

Operational highlights
·         Flights successfully launched from Dar es Salaam (Tanzania) to Lusaka (Zambia) February 2014, from Dar es Salaam to Harare (Zimbabwe) August 2014 and from Dar es Salaam to Entebbe (Uganda) launched September 2014.
·         Fly540 Ghana and Fly540 Angola loss-making services remain suspended, with restructuring activity underway.
·         The Group disposed of its investment in Five Forty Aviation Limited (Kenya) in June 2014.
·         fastjet Tanzania aircraft utilisation increased from 5.5 hours to 7.9 hours per aircraft per day during the period and reached 9.9 hours per aircraft per day by the end of August, on track to achieve the target of 11.5 hours.
·         fastjet Tanzania punctuality averaged an excellent 90% (arrival within 15 minutes) during the period.
·         A variety of additional revenue streams were added to the business mix during the period - including car rentals, hotels and car parking.

fastjet's CEO and Interim Chairman, Ed Winter, commented:

"We are delighted to have seen a steady increase in the number of passengers travelling on core Tanzanian routes, with revenue growth of 96% against the same period last year. Strong underlying traffic growth in the first half of 2014 continues to demonstrate that fastjet's low-cost airline model works in the African market. This growth in traffic underpins our belief that people across Africa are increasingly embracing the travel opportunities offered by fastjet's safe, reliable, and great value product, with a high percentage of first time flyers.

"Additional services from our Tanzanian base in Dar es Salaam to Lusaka, Harare and Entebbe, linking these land-locked countries to the port of Dar es Salaam, have proven successful and are performing well.  Although these routes are in their infancy, there is every indication that these will develop into valuable routes for the fastjet Tanzania pan-African network.  Prior to these routes being launched there were no direct air services linking Dar es Salaam with either Harare or Entebbe.

"During the period, we added additional revenue streams to the business mix including car rentals, hotels and car parking and early indications suggest that these services are proving popular with our customers. fastjet continues on its path of expansion, leveraging our first mover advantage to the benefit of our customers and shareholders."Tribeca Public Relations

NEW LOAN FACILITY SET TO BENEFIT TANZANIAN YOUTH

 TSCG Founder & Managing Director, Victor Tesha, addressing journalists and youth (not in the picture) in Arusha over the weekend about the new loan facility.

TSCG Founder & Managing Director, Victor Tesha, answering questions from journalists in Arusha over the weekend.

Tanzanian youth groups are to receive loans in form of working tools to boost their small and medium business initiatives and funding for the first batch is to be released by the end of the year. Making the announcement over the weekend in Arusha, the Founder & Managing Director of Tanzania SME Growth Centre (TSGC), Mr. Victor Tesha, said it is easier for the youth to be empowered when they are in groups rather than when operating individually.

Mr. Tesha further said that TSGC is determined to empower Tanzanian youth. A number of youth groups are expected to benefit from this new loan scheme, the first batch is to get their loans by December 2014. "The loan facility will be provided in terms of working tools rather than giving them cash" explained Mr. Tesha.

Loans will be provided to groups specialising in various projects. Mr. Tesha reiterated that for those without proper business skills, they will be required to organise themselves in groups of ten that have similar objectives and they will be assisted to develop their business ideas.

"The main aim of the project is to contribute in strengthening the Tanzanian economy by creating producers of goods as opposed to the buying and selling trend, which does not provide enough revenue and employment to the youth, who form 60% of the population", reiterated Mr. Tesha.

An Arusha based youth, whose group is a beneficiary of the loan scheme, Elly Barton, said the initiative is important to their business operations as it increases their working capital through access to inputs.

He commended TSCG for the initiative and urged other youth in the region to also take the step and form work groups through which they can access the loans.

DAR FOODIES HEAP PRAISE ON THE DAR ES SALAAM FOOD FESTIVAL

Joe, Executive Chef at Southern Sun Hotel Dar es Salaam, doing what he does best.


In Dar es Salaam many go to eat at fancy restaurants and Five star hotels each day.

Tanzania Chefs Association – whose members are among the best in the country when it comes to culinary delights, got the chance to showcase their dishes at the second annual Food Festival sponsored by Coca Cola, Southern Sun and Heineken Tanzania.

Chefs from Akemi, Baobab, The Alcove, Double Tree Hotel, Chocolate Mamas just mention a few -- showcasing their  culinary skills and their exquisite recipes—in front of a crowd of more than 150 people in at the botanical gardens at southern Sun Hotel, on Saturday, 27th September 2014.

Along with approximately 20 exhibitors showcasing their premium food products from around the country, there were many restaurants offering fine dining and delicious food in starter-size taster menus.

Monday, 29 September 2014

KUNDI LA WAMAREKANI WAJA NCHINI KUTIZAMA FURSA ZA UWEKEZAJI

Baadhi ya Marais, Wenyeviti na Wakurugenzi wa makampuni mbalimbali ya nchini Marekani waliokuja nchini kwa lengo la kutizama fursa za uwekezaji.

Afisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Washington DC, Suleiman Saleh (katikati) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya kufua umeme ya TANASI , William Crawford. Ziara hiyo inayo ratibiwa na Ubalozi wa Tanzania, Washington DC ni ya siku sita ambapo wageni hao watatembelea sehemu mbalimbali kujionea fursa za uwekezaji.

Afisa Ubalozi wa Tanzania, Washington DC, Suleiman Saleh akizungumza juu ya ujio wa wageni hao 11 kutoka Marekani ambao wako nchini kwa ajili ya kutizama fursa ya uwekezaji. Hii ni mara ya tatu sasa viongozi wa makampuni mbalimbali ya Marekani wanafika nchini ikiwa ni utekelezaji wa mpango wa Rais Jakaya Kikwete kutekeleza diplomasia ya uchumi.

Rais wa Kampuni ya Ahmed's Moving Express Inc, Ahmed Issa, ambaye pia ni Balozi wa heshima akizungumza na waandishi wa habari katika Hoteli ya Mount Meru, jijini Arusha kuhusu ujio wa Marais, Wenyeviti na Wakurugenzi wa makampuni mbalimbali ya Marekani walioko Tanzania. Issa ambaye ni ziara yake ya tatu sasa kuja Tanzania tayari ameanza uwekezaji katika sekta ya utalii ikiwemo kufungua ofisi ya Utalii California, Marekani, iliyozinduliwa hivi karibuni na Rais Jakaya Kikiwete.Mtaalamu wa ujenzi wa nyumba za makazi, Nishati Erick Nyaren akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ujio wao Tanzania. Nyaren yuko nchini kuangalia fursa katika uwekezaji katika sekta ya ujenzi na miundo mbinu.


Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya kufua umeme ya TANASI, William Crawford akiwa na mjukuu wake, Colin Machamsoc akizungumza na wanahabari kuhusu ziara yao ya siku sita nchini Tanzania ikiwemo kutembelea vivutio vya utalii vya , Manyara, Serengeti na Ngorongoro. Crowford yuko nchini kutizama fursa ya uwekezaji inayopatikana katika sekta ya kilimo.

Mhandisi wa vifaa vya matibabu, Bob Reynolds akizungumza na waandishi wa habari namna anavyofikiria kuwekeza katika sekta ya afya hasa kwa kutizama upatikanaji wa vifaa tiba kama x-ray, ultrasound na CT scan.

Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya kufua umeme ya TANASI, William Crawford akiwa na mjukuu wake, Colin Machamsoc wakiwa katika pozi la picha katika Hoteli ya Mount Meru, jijini Arusha.

Marais, Wenyeviti na Wakurugenzi wa makampuni mbalimbali ya Marekani wakiwa katika picha ya pamoja katika Hoteli ya Mount Meru, jijini Arusha. (Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii kanda ya kaskazini).

KENYA TARGETS TOURISTS FROM THE REGION IN NEW PLAN


Kenya has intensified a marketing campaign in the East African region to make up for the shortfall in international tourist arrivals occasioned by terror threats.

Executives at the Kenya Tourism Board toldThe EastAfrican that the agency was now selling the country’s tourist potential across the East African region and other parts of the continent to reduce dependence on traditional markets, such as Europe, the USA and Australia.
“The East African region has immense potential with over 140 million people. We are keen on tapping into the intra-regional tourism as an extension of our domestic marketing efforts,” Kimutai Ngeno, the public relations manager at the Kenya Tourism Board said.

FIRMS GET LICENCES TO OPEN SHOP AT THE EXPORT PROCESSING ZONE IN TANZANIA

EPZA DG, Dr Adelhelm Meru

Thirteen local and foreign companies have been allowed to start operations at the Export Processing Zone in Tanzania.
According to Economic Processing Zone Authority director-general Dr Adelhelm Meru, once the operations start, about 2,346 jobs will be created and $78.35 million will be generated in the first year.
Investors have completed the required procedures and have been given licences to start production, he said.
Dr Meru said the companies will invest in various areas, which include meat processing and packaging, horticulture, cashew nuts production.

NORWEGIAN FIRM SETS ASIDE $2.5BN TO BUILD GAS, OIL PLANTS

A Norwegian company Yara International is analysing business environment between West and East Africa to build a gas plant once gas projects come on-stream.

According to Yara Tanzania managing director Pal Oystein, $2.5billion for the construction has been set aside ready for investment once the site where the plant will be built has been identified.
“Both regions are endowed with either gas or oil, and so we have to establish a good environment before we commence construction,” he said.

RURAL BANKS, SCHOOLS TO GET INTERNET VIA SATELLITE

Belgium satellite Internet provider SatADSL is rolling out the technology in remote areas in East Africa, to power financial institutions and schools broadcasting services.

The firm has partnered with Indigo Telecom in Kenya and Uganda’s Maisha Network to enable banks with microfinance institutions to install automated teller machines (ATM) as well as provide money transfer services.
SatADSL’s business development director Michel Dothey said small VSAT equipment with dishes that cost about $500 will help commercial banks and money transfer firms to expand their branch network in remote areas.

EAST AFRICAN DEVELOPMENT BANK PREPARES TO ADMIT BURUNDI


The East African Development Bank (EADB) is to undertake its valuation that will inform how much Burundi would pay to become a member of the regional financial institution.
Last year, Bujumbura applied to join the bank, six years after Rwanda was admitted as a member of the regional institution.
In May, the board of directors of the EADB reviewed Burundi’s request and authorised management to engage a professional firm to undertake the bank’s valuation with the view to admitting Burundi.
“The process of recruiting the firm is at an advanced stage,” reads the EAC Council of Ministers report.

BUILDING OF TANZANIA'S GAS POWER PLANT ON COURSE


Engineers inspect the Songo Songo gas plant in Tanzania.

The Tanzanian government hopes to complete the construction of gas-fired power plants and 500km gas pipeline in December to address shortage of power supply.
According to officials from the Tanzania Petroleum Development Corporation, 70 per cent of the Mnazi Bay and Songo Songo natural gas processing plants and a transportation pipeline have been completed.
Infrastructure at the Mnazi Bay and Songo Songo, which will see a combined 244 million cubic feet of gas delivered per day will result in generation of 900MW of power by December this year and would progress to generate an estimated 3000MW of power next year.

PLANS TO CUT FLIGHT COSTS IN EAST AFRICA BY HALF

Kenya's budget carrier Jambojet plane. Transport ministers from the region have agreed on new tax measures that are expected to bring down the cost of air travel.
Transport ministers from the region have agreed on new tax measures that are expected to bring down the cost of air travel and attract more investments in the aviation industry.
The ministers from South Sudan, Uganda, Kenya and Rwanda who met in Kigali recently suggested that Value Added Tax (VAT) and other taxes airlines pay be scrapped, saying that they add to the high costs of air travel. VAT in the region ranges between 16 and 18 per cent.
If the Heads of State Summit slated to take place next week adopts the resolutions passed by the ministers, it is hoped that air travel costs could come down by more than 50 per cent, making it affordable for the majority of travellers in the region. Currently, air travel is a preserve of the privileged few.

BANKS, TELCOS IN THE THICK OF MOBILE MONEY TRANSFER MARKET BATTLE AS THIN SIM GETS NOD

From right: Central Bank of Kenya governor Prof Njuguna Ndung’u, Communications Authority of Kenya chairman Ngene Gituku and CAK director-general Francis Wangusi announce the approval of the thin SIM in Nairobi on September 22, 2014. 

The stage is set for a no-holds-barred war for Kenya’s $292 million mobile money transfer business after regulators ruled that overlay SIM cards can be used to deliver banking and other solutions on a one-year pilot basis.
The ruling opens the door for East Africa’s largest bank by customer base, Equity Bank, to pit its wits against the country’s largest mobile network operator, Safaricom, which controls 80 per cent of the money transferred via phone handsets.
The Communications Authority of Kenya and Central Bank of Kenya said in a joint statement on Monday that the thin SIM technology to be used by Equity’s subsidiary, Finserve, met the minimum safeguards for rollout of value added solutions.

TANZANIA TOPS IN FOREIGN INVESTMENTS INTO THE REGION


Tanzania recorded the highest Foreign Direct Investments (FDI) in 2013 within the East African Community, according to a new report released by the United Nations Conference on Trade and Development (UNCTAD).
Tanzania’s inflows stood at $1.872 billion followed by Uganda at $1.146 billion and Ethiopia at $953 million.
The World Investment Report 2014 put Kenya’s share of FDI inflows at $514 million, up from $259 million in 2012, which is a 98 per cent increase. The total amount that came into the East African region was $6.2 billion, with Rwanda and Burundi receiving $111 million and $7 million respectively.
“Kenya is developing as a favoured business hub, not only for oil and gas exploration in the sub-region but also for industrial production and transport. The country is set to develop further as a regional hub for energy, services and manufacturing over the next decade,” notes the report.

TANZANIA REFUSES TO SIGN ENVIRONMENT PROTOCAL

Tanzania has scuttled the East African Community’s bid for a binding agreement on handling shared resources, such as Lake Victoria and wildlife reserves, after it refused to sign a protocol on environment and natural resources management.
This leaves the region without a framework to address long-standing conflicts over use of cross-border resources such as Lake Victoria and the Mara-Serengeti tourism haven or scarce water and pasture.
In a letter to the EAC Secretariat, dated September 4, Tanzania said the protocol — which has already been ratified by Kenya and Uganda — contradicted the one on a Common Market as it seeks to regulate trading in minerals.
“The Protocol contradicts the protocol on establishment of the EAC Common Market. In particular access to and use of land and premises should be governed by national policies and laws,” Tanzania stated in the letter to EAC Secretary General Dr Richard Sezibera.

EAST AFRICAN COMMUNITY MINISTERS LOBBY FOR 'SOFTER LANDING' FOR KENYAN EXPORTS TO EUROPEAN UNION

East Africa is making last-ditch efforts to save Kenyan exporters from incurring losses of more than $140 million a year following failure to broker a trade deal that would have allowed continued free access to the European Union market.
East African Community (EAC) ministers who met in Arusha, Tanzania, on September 20 agreed to push for a meeting with their EU counterparts, possibly before the September 30 deadline, to discuss the latter’s new proposals.
Top on the agenda is to convince the EU to prepare a legal instrument to enable a smooth transition of Kenya’s exports from the duty-free regime of the Market Access Regulation (MAR) to the Generalised System of Preferences (GSP) regime.

TANZANIA BREWERIES PAYOUT UP 50% TO SH450

Tanzania Breweries Mbeya Plant 

Dar es Salaam. Investors with Tanzania Breweries Limited (TBL) will smile all the way to the bank as the beer brewer has upped its dividend payout by 50 per cent during the year to March 31st 2014, thanks to an increase in pre-tax profit.
The firm’s board’s chairman, Mr Cleopa Msuya said in Dar es Salaam recently that investors will earn a Sh450 dividend per share, following a pre-tax profit of Sh278.040 billion registered during the year to March 2014.
A total of Sh132.718 billion has been approved as dividend from the profit registered during the year ending 31st March, 2014.

PANASONIC EYES TANZANIAN MARKET


Dar es Salaam. Panasonic Marketing Middle East & Africa (PMMAF), its regional headquarters based in Dubai for Panasonic Corporation, Japan and a leading player in the environmentally-friendly eco-solutions category is looking to expand in the potential Tanzania’s market, as part of its thrust in East African markets.

Having crossed milestone achievements with its “Eco Solutions” product category in the Middle East, the company aims at achieving accelerated growth in fast growing African markets.
The launch marks the beginning of a new phase, where new innovative, highly efficient, durable and a broad spectrum of wiring accessories, protection devices like circuit breakers, distribution panels and air moving solutions like ventilation fans, ceiling fans, electric fans and stand fans, among other things, will all be made available under a common platform. The new category launch announced by Panasonic Marketing Middle East & Africa along with its valued and esteemed business partner United Traders LLC, Tanzania was well-attended by over 200 guests encompassing architects, consultants, contractors, dealers and developers. Alongside Mr Tatsuya Kumazawa, the director, Eco Solutions Category, Panasonic Marketing Middle East & Africa, the event was graced by other top officials from Panasonic Corporation in Japan and senior officials from Tanzania.

BENKI YA AZANIA, TAFSUS YAKABIDHI SHILINGI MILIONI 100 KUBORESHA MAKAZI MANZESE

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka (kulia) na Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya Azania Bw. Rukwaro Senkoro (kushoto) kwa pamoja wakionyesha hundi ya shilingi milioni mia moja iliyotolewa kwa wakazi wa kata Mvuleni, Manzese mkoani Dar es Salaam mwishoni mwa wiki kupitia asasi yaTanzania Financial Services for Underserved Settlement (TAFSUS) ili kuboresha makazi yao.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi hundi ya shilingi milioni mia moja kwa wakazi wa kata Mvuleni, Manzese ikiwa ni mkopo uliyotolewa kwa wakazi hao ili kuboresha makazi yao. Mkopo huo ulitolewa na Benki ya Azania kupitia asasi ya Tanzania Financial Services for Underserved Settlement (TAFSUS). Kutoka kulia ni Mwakilishi toka UN HABITAT Bw. Phillemon Mutashubirwa, Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya Azania Bw. Rukwaro Senkoro, na Mkurugenzi wa Bodi ya wakurugenzi ya TAFSUS Bw. John Ulanga.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi hundi ya shilingi milioni mia moja kwa wakazi wa kata Mvuleni, Manzese ikiwa ni mkopo uliyotolewa kwa wakazi hao ili kuboresha makazi yao. Mkopo huo ulitolewa na Benki ya Azania kupitia asasi yaTanzania Financial Services for Underserved Settlement (TAFSUS). Wa kwa kulia ni Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya Azania Bw. Rukwaro Senkoro, na Mkurugenzi wa Bodi ya wakurugenzi ya TAFSUS Bw. John Ulanga (wa pili kulia) na wa kwanza kushoto ni Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Mvuleni, Manzese Bw. Muhidini Lyomeko. 

Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya Azania Bw. Rukwaro Senkoro, akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi hundi ya shilingi milioni mia moja kwa wakazi wa kata Mvuleni, Manzese ikiwa ni mkopo uliyotolewa kwa wakazi hao ili kuboresha makazi yao. Mkopo huo ulitolewa na Benki ya Azania kupitia asasi ya Tanzania Financial Services for Underserved Settlement (TAFSUS) ili kuboresha makazi ya wakazi hao. Wapili kulia ni Mkurugenzi wa Bodi ya wakurugenzi ya  TAFSUS Bw. John Ulanga, mgeni rasmi wa hafla hiyo Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka (wapili kushoto) na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Mvuleni, Manzese Bw. Muhidini Lyomeko (wa kwanza kushoto).

Wakazi wa kata ya Manzese na mtaa wa Mvuleni iliyopo Jijini Dar es Salaam wamepokea zaidi ya shilingi milioni 100 kutoka benki ya Azania kwa ajili ya kuboresha makazi yao duni.

Fedha hizo zinazotolewa kwa udhamini wa asasi inayoshughulikia na uboreshwaji wa makazi duni nchini Tanzaia ya Tanzania Financial Services for Underserved Settlement (TAFSUS) itatolewa kama mikopo ya kati ya shilingi milioni 1.5 mpaka milioni 9 kwa kila kaya.

CHOISEUL 100 AFRICA: TOP 100 YOUNG ECONOMIC LEADERS OF TOMORROW - MOHAMMED DEWJI MAKES IT IN THE TOP 3

Chief Executive Officer, MeTL Group, Hon. Mohammed Dewji

Dar es Salaam. The Chief Executive Officer of Mohammed Enterprise Limited (METL), Mr Mohammed Dewji, has been recognized by Choiseul 100 Africa as among the top ten active young people in the continent for their contribution to the emergence of Africa as a major player in the global economy.
Mr Dewji is among other ten businessmen from across the continent who have been identified and ranked the young African leaders of 40 years old and under, who play a major role in the development of Africa.
Choiseul 100 Africa is an original annual study carried out by the Institute Choiseul headquartered in Paris, France.
The institute mainly identifies growing business leaders, successful entrepreneurs, investors, and others who embody the dynamism and renewal of a whole continent and carry the hopes of an entire generation.
The study involves 42 countries from the continent and Mr Dewji was the only candidate from Tanzania.
“Dear Mr Dewji, I am pleased to send you our ranking “100 Choiseul Africa” of young African business leaders.
“You have been selected with regard to your dynamism, your exceptional course and an active contribution to the emergence of Africa as a major player in the global economy, and I congratulate you most warmly” said Dr Pascal Lorot, President of the Institut Choiseul in a message sent to Mr Dewji.

Sunday, 28 September 2014

DODOMA UNIVERSITY AND RUTGERS UNIVERSITY SIGN MOU ON ACADEMIC PARTNERSHIPSThe Dodoma University Vice Chancellor Professor Idris Kikula and Rutgers University Chancellor Richard Edwards sign a Memorandum of Understanding between the two universities on academic partnership during a brief and colorful ceremony held at New Jersey  Rutgers University campus yesterday. 


President Dr. Jakaya Mrisho Kikwete delivers his public lecture on “The role of Academic Partnerships in Finding Solutions to Global Challenges and Advancing Tanzania’s Priorities,” at Rutgers University in New Jersey United States yesterday. The public lecture was preceded by the signing of a Memorandum of Understanding between Dodoma and Rutgers Universities on academic partnerships. 

President Dr. Jakaya Mrisho Kikwete receives a standing ovation shortly after he delivered a public lecture on “The Role of Academic Partnerships in Finding Solutions to Global Challenges and Advancing Tanzania’s Priorities,” at Rutgers University New Jersey Campus yesterday (Photos by Freddy Maro).