Foreign Exchange Rates

DStv Advert_010224

DStv Advert_010224

SBT Tanzania Advert_291123

Friday 26 February 2021

JUMAMOSI HII WEST BROM WANAWAKARIBISHA BRIGHTON. TAZAMA MECHI HII LIVE NDANI YA DStv


Soka Jingi Hela Kiduchuuuu....

Jumamosi hii West Brom wanawakaribisha Brighton!..
Je nani kutoka na ushindi wa pointi tatu?

Piga *150*53# kulipia kifurushi cha Bomba TShs 19,900 tu ili usikose mechi mechi hii.

@abouliongo

#SokaLisiloPimika

WOMEN IN MANAGEMENT AFRICA AWARDS 2021 ARE BACK FOR THE SECOND EDITION!


Dar es Salaam February 25, 2021: Marking the second year of honouring inspiring Senior women leaders in Africa, Women in Management (WIMA), in collaboration with UN Global Compact, and Tanzania Institute of Directors today has officially announced the Women In Management Awards for 2021. The move marks 2 consecutive years in hosting the awards which recognizes and celebrates women who have excelled in their careers, businesses, and everyday life while inspiring others.

Speaking at the launch, The Country Director for CV People of Tanzania, Naike Moshi said that, “It’s been a long wait, but we are pleased to finally announce that the second edition of the WIMA Awards is here and set to once again celebrate the senior women leaders across Africa who have excelled in their professional careers in different ways. The WIMA Awards were created to promote and increase visibility for Senior-Level Women in Management. The idea came to feature 50 Senior Women in Management to our Social Media Pages "Career Women Wednesday" This idea created a lot of buzz and traction by inspiring emerging leaders showing them it's possible for them to reach the career ladder specifically for female professionals.

Every year the corporate industry continues to grow in leaps and bounds and we are proud to be a part of its success story through this initiative. For this year, we have extended our awards and we have new categories such as SDG female champion, WIMA Stem Awards, Next Gem WIMA Awards, “He for She” Leadership Award, WIMA abilities Award, WIMA Lifetime Award and Exemplary Female Leadership during Covid-19 crisis.

Thursday 25 February 2021

BENKI YA CRDB YAZINDUA HUDUMA YA ‘BENKI NI SIMBANKING’ JIJINI MWANZA

Katika kuendelea kuboresha huduma zake, benki ya CRDB Kanda ya Ziwa imezindua huduma ya Benki ni SimBanking 'Mzigo Umeboreshwa inayowawezesha wateja wake kupata huduma za kifedha popote walipo kupitia simu zao za mkononi.

Akizungumza wakati wa uzinduzi huo uliofanyika Februari 25, 2021 katika tawi la Rock City Mall jijini Mwanza, Meneja wa CRDB Kanda ya Ziwa Lusingi Sitta alisema huduma hiyo inawarahisishia wateja kutoa pesa, kuhamisha pesa, kufanya malipo ya Serikali huku pia usalama wa akaunti ya mteja ukiimarishwa zaidi.

Aidha Sitta aliongeza kuwa huduma nyingine zilizoboreshwa ni urahisi wa kupata mikopo mbalimbali, taarifa za mihamala ya fedha, kutoa pesa kwa mawakala na mashine za ATM bila kuwa na kadi ya benki na hivyo kuwahimiza wananchi kuchangamkia huduma hiyo kwani sasa hakuna sababu ya kwenda ndani ya benki kufuata huduma za kifedha kwa kuwa zote zinapatikana kiganjani.

GRAND FINALE YA NMB MASTABATA WIKI IJAYO

Meneja Huduma za Kadi wa Benki ya NMB, Ednamamu Mshubi akizungumza kwa simu na mmoja wa washindi wa droo ya kumi ya MastaBATA iliyochezeshwa jijini Dar es Salaam. Katikati ni Meneja Mwandamizi wa Biashara ya Kadi wa Benki ya NMB, Manfredy Kayala na kushoto ni Msimamizi wa michezo ya kubahatisha kutoka Bodi ya Michezo ya kubahatisha, Joram Mtafya.

...Washindi 424 wa kila wiki, mwezi wazoa zawadi za mamilioni

Kuelekea droo kuu 'Grand Finale' ya Kampeni ya NMB MastaBATA, Benki ya NMB imewataka wateja wake kuongeza kasi ya matumizi na manunuzi kwa njia ya Kadi za Mastercard na MastercardQR, ili kujiongezea nafasi ya kushinda safari ya utalii wa ndani ama zawadi mbadala.

NMB MastaBATA inayolenga kuhamasisha matumizi na manunuzi kwa njia ya kadi, ilizinduliwa Novemba 24 mwaka jana, ambako katika kipindi cha miezi mitatu sasa, imewazawadia washindi 400 wa kila wiki, pamoja na washindi 24 wa kila mwezi na sasa wanasakwa washindi wa fainali kuu.

Wito huo umetolewa na Meneja Mwandamizi wa Biashara ya Kadi wa NMB, Manfred Kayala, wakati wa droo ya wiki ya 10 ya NMB MastaBATA, iliyofanyika chini ya uangalizi wa Joram Mtafya, Ofisa wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT), ambako washindi 40 walipatikana.

Kayala alibainisha kuwa, tayari washindi 400 wa kila wiki wameshazawadiwa pesa zao (Sh. 100,000 kila mmoja), kwa nyakati tofauti (jumla kuu ikiwa ni Sh. Mil.40), huku washindi wa kila mwezi 24, wakizoa zawadi mbalimbali zenye thamani ya Sh. Mil. 57.6.

DEPUTY MINISTER OF COMMUNICATIONS, ENGINEER ANDREA MATHEW VISITS AIRTEL TANZANIA OFFICES

Deputy Minister of Communications, Engineer Andrea Mathew reacts as he addresses Airtel Tanzania top officials during his visit to the company’s premises to inspect the operations of the telecommunication company in Dar es Salaam recently.

Airtel Tanzania Managing Director, George Mathew speaks to the Deputy Minister of Communications, Engineer Andrea Mathew during his visit to the company’s premises to inspect the operations of the telecommunication company in Dar es Salaam recently. First right is Airtel Tanzania Director of Communications Beatrice Singano.

PRESIDENT JOHN MAGUFULI DISSOLVES DAR CITY COUNCIL

 
President John Magufuli has dissolved Dar es Salaam City Council, while promoting Ilala Municipal to a City Council effective yesterday.

President Magufuli had earlier in in the day expressed the Government's intention to dissolve the Dar es Salaam City Council to ensure god expenditure of the taxpayers' money.

Continue Reading > > >

BENKI YA NMB YAFUNGUA TAWI SUA - MOROGORO

Benki ya NMB imeendelea kupanua wigo wake kwa kufungua tawi ‘NMB SUA’ katika Chuo Kikuu Cha Sokoine Mkoani Morogoro. Ufunguzi wa tawi hili umeleta ahuweni kwa wakazi waliokuwa wanasafiri umbali wa kilomita 6 kwenda matawi ya mjini Morogoro kupata huduma za kibenki.

Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa tawi hilo, Makamu Mkuu wa Chuo Cha Sokoine Cha Kilimo (SUA) Prof. Raphael Chibunda - amesema tawi hilo limekuwa likisubiriwa kwa hamu sana kwani NMB ndio taasisi ya kwanza kufungua tawi maeneo hayo na chuoni hapo ambapo anaamini, litachochea ukuaji wa uchumi na maendeleo katika eneo hilo.

Makamu Mkuu wa Chuo Cha SUA - Prof. Raphael Chibunda akikata utepe kuzindua rasmi Tawi la NMB SUA. Wakishuhudia kutoka kulia kwake ni Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa NMB – Filbert Mponzi, Meneja wa Kanda ya Mashariki wa NMB - Dismas Prosper, Afisa Mkuu Rasilimali Watu wa NMB – Emmanuel Akonaay na Meneja wa Tawi la SUA - Witness Mwanga.

Chibunda alisema kuwa Benki hiyo licha ya kukuza uchumi pia itawapunguzia gharama, wateja wake hususani wafanyakazi wa SUA, wanafunzi na wakazi wa Magadu, Mzinga, Kididimo,Misufini, Vibandani, Kasanga, Lugala na Mafiga waliolazimika kusafiri hadi Tawi la Wami zaidi ya kilometa 6 kupata huduma za kibenki- kwani sasa watapata huduma hizo kwa ukaribu zaidi.

Naye Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa NMB – Filbert Mponzi, alisema kufungua tawi hilo litawanufaisha wateja wao ambao ni wanafunzi na wana Morogoro kuweza hufurahia huduma bora za benki hiyo ikiwemo, akaunti ya Mwanachuo, NMB Mkononi, Akaunti ya Fanikiwa, Huduma za bima ikiwemo Dunduliza, akaunti za kilimo na nyingine nyingi.

KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YAWAPELEKEA WAKAZI WA MIKOA YA KASKAZINI BIA MPYA YA GUINNESS SMOOTH

Meneja wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Kanda ya Kaskazini, Msika Lumuli (kushoto) akiwa na maafisa mauzo, Nakunda Mbaga na Susan Mollel wakiongesha bia mpya ya Guinness smooth ambayo ilizinduliwa hivi karibuni jijini Arusha
Mjengoni bendi ikiwaburudisha wageni waolifika kwenye uzinduzi wa bia mpya ya Guiness smooth katika hoteli ya Mount Meru iliyopo Arusha. Bia ya Guinness Smooth sasa itaanza kupatikana katika ukanda wote wa Kaskazini kwa shilingi 1,500 tu.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti wakiifurahia bia mpya ya Guiness smooth muda mfupi baada ya kuzinduliwa hivi karibuni jijini Arusha.

Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) imeendelea kupanua wigo wa bidhaa zake sokoni baada ya kuzindua bia mpya aina ya Guinness Smooth katika mikoa ya Moshi, Arusha, Manyara na Tanga.

Katika uzinduzi wa bia hiyo mpya, wateja wa kampuni ya SBL, wauzaji wake wa bia pamoja na wenye mabaa walipata nafasi ya kuonja na kufurahia ladha ya kipekee ya bia ya Guinness smooth

Akiongea wakati wa uzinduzi huo jijini Arusha, Meneja Uvumbuzi wa SBL Bertha Vedastus alisema “Bia hii mpya kwenye familia ya Guinness ina ladha ya kipekee ambayo inamfanya kila mnywaji afurahie kila mara anapoitumia na wakati akiwa na marafiki,” alisema

Bertha aliongeza “Ikiwa imetengenezwa kwa kumjali mnywaji wa Kitanzania, bia hii ina hadhi ya kimataifa na imetengenezwa katika kiwanda chetu cha moshi huku ikitumia malighafi za Kitanzania ikiwa ni Pamoja na shayiri inayolimwa katika mikoa ya Moshi, Arusha na mingineyo,”
 

UBUNGO INTERCHANGE RENAMED AFTER ENG. JOHN KIJAZI


President John Magufuli yesterday inaugurated the Ubungo Interchange, renaming the one of its kind road junction after the fallen Chief Secretary, Engineer John Kijazi in honour of his contribution to the country's road sub-sector.

Continue Reading > > >

PRESIDENT JOHN MAGUFULI SAYS PROJECTS MUST BENEFIT ALL CITIZENS

President John Magufuli pulls a curtain to officially launch the new ultra-modern bus terminal, named after the Head of State at Mbezi area in Dar es Salaam yesterday. Accompanying the Head of State are the Minister of State in the President's Office, Regional Administration and Local Government, Selemani Jafo (right), Dar es Salaam Regional Commissioner, Abubakar Kunenge (second right), Dar es Salaam City Director, Sipora Liana, CCM Ideology and Publicity Secretary, Humphrey Polepole (left) and Permanent Secretary in the President's Office - Local Government and Regional Administration, Eng. Joseph Nyamhanga.  

President John Magufuli has warned authorities against overlooking and mistreating petty traders at the newly launched ultra-modern bus terminal in Dar es Salaam.

Dr. Magufuli made the remarks yesterday while inaugurating the 50.9 billion new bus terminal at Mbezi in the city.

Continue Reading > > >

 

TANZANIA INSTITUTE OF BANKERS MORTGAGE FINANCE TRAINING; 15 - 19 MARCH 2021

 

NAIBU WAZIRI WA MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI ATEMBELEA KAMPUNI YA SIMU YA VODACOM

Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari (ICT) - Mhe. Mhandisi Andrea Mathew Kundo pamoja na Maafisa wa Wizara hiyo pamoja na Maafisa kutoka UCSAF, TCRA-CCC, TCRA, wakizungumza na Wajumbe wa Kamati Tendaji ya Vodacom Tanzania PLC, wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo Hisham Hendi (kwenye runinga) wakati wa ziara ya Naibu Waziri, alipozuru makao makuu ya Vodacom Tanzania jijini Dar es salaam. Lengo la ziara hiyo likiwa ni kufahamiana pamoja na kujadili njia za kuongeza thamani ya mteja na kuhakikisha ufanisi wa utendaji.
Mkurugenzi wa Biashara Vodacom Tanzania PLC, Linda Riwa akizungumza kwenye mkutano uliowakutanisha Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari (ICT) - Mhe. Mhandisi Andrea Mathew Kundo, Wajumbe wa Kamati Tendaji ya kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania PLC na Maafisa kutoka UCSAF, TCRA-CCC na TCRA.
Mkurugenzi wa Kitengo cha Mtandao cha kampuni ya Vodacom Tanzania PLC, Andrew Lupembe akizungumza kwenye mkutano huo kuhusu namna kampuni hiyo inavyoendelea kutanua na kuboresha mtandao wake ili kutoa huduma bora kwa wateja wa kampuni hiyo.

JOBS IN TANZANIA FOR IT DEVELOPERS & MANAGERS



 

Wednesday 24 February 2021

JUMAPILI HII SHEFFIELD UNITED WATAKUWA NA MECHI YA NYUMBANI DHIDI YA LIVERPOOL NDANI YA DStv



Soka jingi kwa pesa kidogo tu....

Jumapili hii Sheffield United watakuwa na mechi ya nyumbani dhidi ya Liverpool.... Je karata yako unaitupia wapi?

Piga sasa *150*53# kulipia kifurushi cha Bomba TShs 19,900 tu ili usikose mechi hii.

#SokaLisilopimika

Tuesday 23 February 2021

BENKI YA NMB YAZINDUA KAMPENI YA "BONGE LA MPANGO" - ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 550 KUTUMIKA KUTOA ZAWADI KWA WASHINDI

Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa Benki ya NMB, Filbert Mponzi akizindua rasmi kampeni ya "Bonge la Mpango" inayowazawadia wateja pesa taslim, pikipiki za miguu mitatu, gari ya mizigo alimarufu Kirikuu na Toyota Fortuner mpya. Wakishangilia ni baadhi ya viongozi wa Benki ya NMB.
Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa Benki ya NMB, Filbert Mponzi akionesha gari aina ya - Toyota Fortuner mpya inayoshindaniwa katika kampeni ya "Bonge la Mpango". Wengine ni baadhi ya viongozi wa Benki ya NMB.
Aina tatu ya zawadi zinazoshindaniwa ndani ya kampeni ya "Bonge la Mpango" - Pikipiki za miguu mitatu, gari ya mizigo alimarufu Kirikuu na Toyota Fortuner mpya.

Benki ya NMB imeizindua kampeni inayojulikana kama "Bonge la Mpango" ambayo itawawezesha wateja kushinda fedha taslim, Pikipiki za miguu mitatu, gari aina ya Tata - Kirikuu na gari ya kifahari aina ya Toyota Fortuner.

Katika kampeni hiyo, zaidi ya shilingi 550 milioni zitatumika kutoa zawadi kwa washindi, huu ukiwa ni mkakati wa Benki ya NMB kwa mwaka 2021 unaokusudia kuendelea kuifanya Benki ya NMB kuwa chaguo la kwanza kwa wateja kwa usalama wa fedha zao pamoja na uhakika wa huduma nyingine za kibenki.

Wateja wote wa NMB wanaofika zaidi ya Milioni Tatu nchini wana nafasi ya kushinda zawadi wakati mshindi wa mwisho atajinyakulia Toyota Fortuner mpya kabisa (kilomita sifuri) yenye thamani ya shilingi milioni 169.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo, Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara, Filbert Mponzi alisema ni hii ni moja ya njia za kurudisha faida kwa wateja wao waaminifu wanaotunza fedha ndani ya benki hiyo huku ikikusudia kuhamasisha utamaduni wa kutunza akiba kwa ajili ya matumizi ya baadaye.

Monday 22 February 2021

BAADA YA AMSHAAMSHA ZA MICHUANO YA #EPL, TUNAIANZA WIKI NA SAKATA LA LIGI YA #UEFA NDANI YA DStv


Ni mwendo wa bandika Bandua!

Baada ya amshaamsha za michuano ya #EPL, Tunaianza wiki na sakata la ligi ya #UEFA ambapo Atletico Madrid atavaana na Chelsea huku Lazio akikipiga na Bayern Munich! Je ni nani kuibuka kinara wa mechi hizi?

Kupitia Ofa ya Panda Tukupandishe, mteja wa Family lipia sasa Compact TShs 49,000 kwa kupiga *150*53# na DStv ikupandishe hadi Compact Plus uweze kutazama michuano hii Live.

#SokaLisilopimika

#PandaTukupandishe

DStv TANZANIA JUST GETS BETTER WITH SHOWMAX

  • DStv Premium customers in Tanzania now get Showmax at no extra cost. 
  • DStv Bomba, Family, Compact and Compact Plus receive 50% off on Showmax subscription.
MultiChoice Tanzania is delighted to announce its brand-new offering Showmax Add to Bill to allow Premium subscribers the opportunity to enjoy the best streaming international series and movies on Showmax at no extra cost.

Jacqueline Woiso, Managing Director at MultiChoice Tanzania said, “We are introducing Showmax Add to Bill in response to our subscribers’ changing consumption patterns as a result of video entertainment services increasingly moving online”.

“As a Technology anchor within Tanzania, it’s only fitting that we maintain pace with these trends and provide greater access to our existing online entrainment offering. Showmax Add to Bill now makes it easier for DStv subscribers to access these services.

BENKI YA CRDB KUWAPA WATEJA WAKE MKONO WA POLE HADI SHILINGI MILIONI 15

Dar es Salaam - Benki ya CRDB imeendelea kutoa mafao ya gharama za mazishi na mkono wa pole kwa wateja wake wa ndani na nje ya nchi kati ya Shilingi milioni 2 hadi 15 kwa matatizo ya misiba au ajali.

Mafao hayo yanatolewa kupitia huduma ya bima ambatanishi ya maisha iliyozinduliwa na benki hiyo mwishoni mwa mwaka jana ijulikanayo kama 'KAVA Assurance'.

Akizungumza leo Februari 21, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni Tanzu ya Bima ya CRDB, Wilson Mzava, amesema waliangalia soko na kubaini kuna uhitaji ndipo walipoamua kutengeneza huduma hiyo ya KAVA Assurance.

"Tuliona wateja wetu walikuwa wanahitaji kitu cha ziada zaidi, tuliona pia wateja wetu wanaoishi nje ya nchi (Diaspora) walikuwa na changamoto nyingi hasa pale mwenzao mmoja anapokuwa amefariki. Pia tukaangalia mtu akifungua akaunti katika Benki ya CRDB tunampa nini cha tofauti ili kumtofautisha na benki nyingine.

"Timu ya kitengo cha bima katika Benki ya CRDB ilikaa chini na kuamua kutengeneza bidhaa ambayo tutaiongezea thamani katika akaunti ya mteja wetu," amesema Mzava.

Akifafanua amesema mteja mwenye akaunti katika benki hiyo ikitokea akafariki benki itatoa mkono wa pole wa Shilingi milioni 2 na kwa wateja maalumu (Premier) benki itatoa Shilingi milioni 5 wakati wale wenye akaunti ya Tanzanite wanaoishi nje ya nchi watapewa Shilingi milioni 5.

STANBIC BANK DONATES TO THE OCEAN ROAD CANCER INSTITUTE IN DAR ES SALAAM AND LEMARA PRIMARY SCHOOL IN ARUSHA

Stanbic Bank Industrial Branch Manager, Mabula Kikuli (R) handing over a donation of equipment and supplies worth TZS 4.7 million to the Executive Director of the Ocean Road Cancer Institute, Dr. Julias Mwaiselage (L), on Saturday. Others in the picture are Matron Glory Mziho and Dr. Kandali Kapie from the institute. The donation is part of the bank's initiative to support the dispensation of quality health services to cancer patients.
Stanbic Bank Industrial Branch Manager, Mabula Kikuli (2nd R) speaking during the handing over ceremony of a donation of equipment and supplies worth TZS 4.7 million to the Ocean Road Cancer Institute. On his left is Matron Glory Mziho and on his right Executive Director Dr. Julias Mwaiselage and Dr. Kandali Kapie of the institute, on Saturday. The donation is part of the bank's initiative to support the dispensation of quality health services to cancer patients.
Stanbic Bank Arusha Branch Manager, Arnold Moshi (sec right) handing over equipment worth TZS 4.4 million to Acting Director of Arusha (sec left) for supporting the construction of a toilet at Lemara primary school recently. Right is the bank officer, Lilian Njobelo and left is the school's Headmaster, Itika Kirango. The donation is part of Stanbic Bank continuous effort to support the education sector in the country.

Dar es Salaam
- Stanbic Bank Tanzania has donated equipment worth TZS 9.1 million to Lemara primary school in Arusha and Ocean Road Cancer Institute in Dar es Salaam. TZS 4.4 million worth of equipment has gone to support the renovation of key facilities at Lemara Primary School, while TZS 4.7 million was for equipment and supplies to Ocean Road Cancer Institute. The donations are part of the bank's programmes to support the dispensation of quality health services to cancer patients and support the government in its efforts to continue providing quality education to Tanzanians.

The donations made by the bank are a reflection of Stanbic’s commitment to being one of the drivers towards economic development by investing in improving the livelihood of Tanzanians through various social investments.

BENKI YA NMB YATOA VIFAA VYA MILIONI 50 MOROGORO, DODOMA NA SINGIDA

Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Jabir Shekimweri (kulia mwisho) akipokea msaada wa mabati kutoka kwa Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kati, Nsolo Mlozi (kushoto kabisa ) kwa ajili ya Zahanati ya Kijiji cha Kisokwe, Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma hivi karibuni. Benki ya NMB ilikabidhi msaada wa madawati 50 kwa ajili ya shule ya msingi Makutupa, viti 50 na meza 50 kwa ajili ya shule ya sekondari Matomondo pamoja na mabati kwa ajili ya Zahanati ya Kisokwe. Wikiendi hii, Benki ya NMB kupitia sera yake ya uwajibikaji kwa jamii (CSR) imetoa vifaa vya elimu na afya kwa mikoa ya Morogoro, Dodoma na Singida vyote vikiwa na thamani ya sh milioni 50.
Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Mazoezi Lupanga wakisomba viti na meza baada ya Benki ya NMB kanda ya mashariki kutoa msaada wa viti na meza 110 kwa shule za sekondari hiyo na Kihonda sekondari. Wikiendi hii, Benki ya NMB kupitia sera yake ya uwajibikaji kwa jamii (CSR) imetoa vifaa vya elimu na afya kwa mikoa ya Morogoro, Dodoma na Singida vyenye thamani ya milioni 50.

Benki ya NMB imetoa vifaa mbalimbali katika sekta ya elimu na afya kwenye Wilaya za Mpwapwa mkoani Dodoma, Manyoni na Itigi Mkoani Singida pamoja na Morogoro vikiwa na thamani ya shilingi Milioni 50.

Vifaa hivyo ni pamoja na Meza, viti, madawati, pamoja na vitanda kwa ajili ya vituo vya afya mbalimbali, vikiwemo vutanda kwa ajili ya kujifungulia akina mama wajawazito.

Katika Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma Benki hiyo imetoa madawati 50, vito 50 pamoja na meza 50 vyote vikiwa na thamani ya shilingi Milioni 15.

Saturday 20 February 2021

BENKI YA NMB YAKABIDHI MABATI 200 KWA AJILI YA UKARABATI WA SHULE YA SEKONDARI YA JAMBIANI, KUSINI UNGUJA

Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam, Donatus Richard (mwenye suti) akipeana mkono na Waziri wa Kilimo Maliasili na Umwagiliaji Zanzibar, Soud Nahoda Hassan wakati wa makabidhiano ya vifaa vya ujenzi vikiwemo mabati mia mbili kutoka Benki ya NMB kwa ajili ya shule ya Jambiani Sekondari. Kushoto ni Meneja Tawi la NMB Tawi la Zanzibar, Abdalla Duchi.
Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam, Donatus Richard, Waziri wa Kilimo, Maliasili na Umwagiliaji Zanzibar, Soud Nahoda Hassan wakifurahia pamoja na walimu, wanafunzi na wazazi baada ya makabidhiano ya mabati 200 na vifaa vingine vya ujenzi kwa ajili ya shule ya Jambiani Sekondari.
Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam, Donatus Richard, Waziri wa Kilimo, Maliasili na Umwagiliaji Zanzibar, Soud Nahoda Hassan pamoja na baadhi ya wazazi waliohudhuria hafla ya makabidhiano ya mabati 200 na vifaa vingine vya ujenzi kwa ajili ya shule ya Jambiani Sekondari.

Benki ya NMB imekabidhi mabati 200 na vifaa vingine vya ujenzi kwa ajili ya ukarabati wa vyumba vya madarasa ya Shule ya Sekondari ya Jambiani, Kusini Unguja. Akizungumza katika hafla ya makabidhianao hayo iliyofanyika shuleni hapo, Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salam, Donatus Richard alisema wameamua kutoa msaada huo ili kuunga mkono juhudi za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika kuimarisha sekta ya elimu.

“Benki ya NMB tumeamua kushirikiana pamoja na Jamii yote inayozunguka eneo la Jambiani kuchangia mabati 200 kwa ajili ya kutatua changamoto ya kuvuja kwa madarasa wakati wa mvua” alisema Donartus.

Aliongeza kuwa elimu ni kichocheo cha maendeleo hivyo kuna kila sababu kwa watoto kupata mazingira mazuri ya kupata elimu na kusisitiza ndio maana benki ya NMB imeamua kuisaidia shule hiyo.

Friday 19 February 2021

JOB VACANCY AT NMB BANK PLC - RISK DATA ANALYST


Reporting Line:
Manager, Transaction Monitoring

Location:
Head Office

Application deadline:
2nd March 2021

Job Purpose:
  • The Analyst is responsible for executing investigations to identify relationships that pose money laundering, terrorist financing, fraud, and sanctions risks. 
  • The Analyst compiles evidence and documentation in compliance with Anti Money Laundering (AML) procedures and regulatory requirements prior to escalations of potential Suspicious Transaction Reports (STRs) to Money Laundering Reporting Officer (MLRO).
  • Ensure efficient identification and monitoring of suspicious activities and transactions. 
Main Responsibilities:

AML, Fraud and Sanction system support – 60%
  • Support the implementation of an effective AML Transaction Monitoring alert analysis and suspicious activity investigations program to ensure compliance to relevant AML/Sanctions laws and regulations. 
  • Implement Transaction Monitoring (TM) techniques to support identification of risks around Money laundering, Terrorism Financing, Economic Sanctions, Fraud, and Operational risks consistent with the bank’s Financial Crime Compliance Risk Governance Framework. 
  • Monitor potentially suspicious patterns of activities and recommend changes to rules, parameters, and thresholds maintained within the transaction monitoring systems to ensure its continued effectiveness.

M-PESA CUSTOMERS TO REAP TZS 4.1 BILLION IN INTEREST PAYMENT FROM MOBILE MONEY TRANSACTIONS

Vodacom Tanzania Director of M-Pesa Ltd, Epimack Mbeteni.

18th February, 2021, Dar es salaam: Tanzania’s leading digital communication and technology company, Vodacom Tanzania PLC today announced that it will dish out a total of TZS 4.1 Billion in dividend to its M-Pesa customers who have used the service over the past year covering the period from July to September 2020. This is an increase of 4.37 percent from the last dividend payment.

Director of M-Pesa Ltd Epimack Mbeteni said that the interest will be paid to M-Pesa customers, agents, super agents and M-Pesa business partners as well as retail agents who will all receive payments based on transactions made via their mobile wallets.

“In compliance with regulations of the Central Bank of Tanzania, interest earned from the deposit is periodically shared with the customers. Today we are happy to share a dividend of TZS 4.1 billion with our over 11 million customers across the Nation. M-Pesa service continues to give significant social and financial value to millions of Tanzanians with customers, agents, merchants and institutions currently transacting around TZS 100 Billion each day,” highlighted Mbeteni.

Vodacom Tanzania PLC has so far paid a total of TZS 147.6 billion as interest pay out to its M-Pesa Customers since July 2015 when Bank of Tanzania enacted the regulation.

AKIBA COMMERCIAL BANK IS OPENING A NEW BUSINESS PAGE FOLLOWING A STRATEGIC PARTNERSHIP WITH THE NATIONAL BANK OF MALAWI

 

TANZANIA INSTITUTE OF BANKERS UPCOMING SEMINARS FOR MARCH 2021

 



BENKI YA NMB YAKABIDHI MSAADA WA MADAWATI 50 HANANG

Mkuu wa Wilaya ya Hanang, Ghaibu Ringo (katikati) akiwa na Meneja wa NMB Kanda ya Kati, Nsolo Mlozi (kushoto) na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Hanang, Rose Kamili wakiwa wamekaa kwenye madawati yaliyotolewa na Benki ya NMB kwa Shule ya Sekondari Getwanasi Wilayani Hanang, Manyara.
Mkuu wa Wilaya ya Hanang, Ghaibu Ringo (wa pili kulia) akipokea msaada wa viti na meza 50 vyenye thamani ya shilingi milioni tano kutoka kwa Meneja wa NMB Kanda ya Kati, Nsolo Mlozi (kushoto) kwa ajilli ya Shule ya Sekondari Getwanasi Wilayani Hanang. Kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang, Rose Kamili.

Shule zilizopokea Misaada inayotolewa na benki ya NMB zimetakiwa kufanya vizuri katika masomo yao ili kuonyesha thamani ya misaada hiyo. Kauli hiyo ilitolewa jana na Mkuu wa Wilaya ya Hanang,Ghibu Ringo wakati alipokuwa akizungumza baada ya kupokea msaada wa viti na meza 50 kwa ajili Shule ya Sekondari ya Getwanasi iliyopo wilayani hapa .

Ringo alizitaka shule zilizopokea msaada kutoka NMB kuhakikisha wanafanya vizuri katika masomo na mitihani yao ili kuonyesha thamani ya mchango huo.

BENKI YA EQUITY TANZANIA YAZINDUA NJIA MPYA ZA UTUMAJI NA UPOKEAJI WA PESA KIMATAIFA


Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Equity Tanzania, Robert Kiboti akizungumza na Waandishi wa Habari katika hafla fupi ya kutambulisha huduma mpya za kupokea pesa na kutuma kimataifa. Benki ya Equity imeungana na makampuni ya Kimataifa ya WorldRemit, Western Union, Terrapay na mengineyo katika kuhakikisha inapanua wigo wa huduma hizo duniani kote.
Mkurugenzi Mwendeshaji wa Benki ya Equity Tanzania, Esther Kitoka akifanya utambulisho wa wageni waalikwa katika hafla hiyo. 
Mkuu wa Kitengo cha Malipo ya Kimataifa, Patrice Kiiru akitoa neno katika hafla hiyo.
Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Equity Tanzania, Godwin Semunyu akizungumza katika hafla hiyo.

Meneja wa Kitengo cha Utumaji na Upokeaji wa pesa Kimataifa wa Benki ya Equity Tanzania, Emmanuel Ndatta akielezea kuhusu huduma mpya za Benki hiyo.

Mwakilishi wa Kampuni ya Malipo ya Terrapay Tanzania, Doreen Ngallo akiwaelezea Waandishi wa Habari na wageni waalikwa jinsi huduma ya Terrapay inavyofanya kazi. Kampuni ya Kimataifa ya Terrapay imeungana na Benki ya Equity Tanzania kuhakikisha inapanua wigo wa huduma hizo duniani kote.
Meneja Kitengo cha Diaspora wa Benki ya Equity Tanzania, Doreen Raphael akifafanua jambo.
Uongozi wa Benki ya Equity Tanzania katika picha ya pamoja.
Uongozi wa Makao Makuu na Matawi wa Benki ya Equity Tanzania katika picha ya pamoja.
 
Timu ya Kitengo cha Masoko Benki ya Equity Tanzania kwenye picha ya pamoja na uongozi wa juu wa benki hiyo.

Tanzania inakisiwa kuwa na takriban wananchi milioni nne wanaoishi ughaibuni. Kwa mwaka, wananchi hao hutuma nyumbani Zaidi ya dola za milioni 437.

Akizungumza katika ghafla ya uzunduzi wa huduma hizo jijini Dar es Salaam hifi karibuni, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Equity, Robert Kiboti kuwa alisema huduma hizi zipo katika vipengele viwili; Kwanza ni huduma za upokeaji na utumaji Pesa nje yaani (Remittance services) ambapo Benki ya Equity inashirkiana na makampuni makubwa ya World Remmit, Western Union, Money Gram, Small World, SimbaPay, Transact, Terrapy and Thunes ili kuweza kutuma na kupokea pesa kwa nchi zaidi ya 250 duniani.