Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Tuesday 30 June 2020

BINGWA MSTAAFU (MAN CITY) VS BINGWA MTEULE (LIVERPOOL), ALHAMISI JULAI 2, 2020 SAA 4:15 USIKU

July ya 🔥🔥🔥 ⚽️⚽️⚽️⚽️

Manchester City wakikipiga dhidi ya washika bendera wa #EPL Liverpool Alhamisi hii.

Kama kawaida, sehemu pekee utakapoweza kutazama mechi hii ni kupitia DStv pekee ndani ya kifurushi cha Compact TShs. 44,000 tu.

Piga *150*53# sasa kulipia kifurushi chako au 0659 07 07 07 kujiunga na DStv.


#LiveSportsReturns

CRDB BANK HOLDS FIRST VIRTUAL AGM, DELIVERS RENEWED, RESILIENT AND STRONG PERFORMANCE

Shareholders unanimously approved the payment of a cash dividend of 17 shillings per share, which translates to 44.4 billion, for the year ended December 31, 2019.


DAR ES SALAAM, Saturday. June 27, 2020 - Shareholders of CRDB Group Plc have again applauded Tanzania's largest, homegrown financial services provider for its resilience, dynamism and impressive annual performance, posting a Profit After Tax (PAT) of TZS 120.1 billion for the year ended December 2019, representing an 87% growth from TZS 64 billion reported in 2018.

The shareholders, who gave the commendation at the 25th Annual General Meeting (AGM) of the Group held virtually on June 27, 2020, and broadcasted live from Tanzania’s capital city - Dar es Salaam, also unanimously approved the payment of a cash dividend of 17 shillings per share, which translates to 44.4 billion, for the year ended December 31, 2019. This is more than a 100% increase from the 8 shillings per share that was issued in the 2018 financial year.

According to the Pan-African bank, plans were afoot for the AGM to be held on May 16, 2020 at the Arusha International Conference before the novel coronavirus crisis supervened, making the innovators to go 100 percent digital with a tune of 1,500 shareholders joining the AGM live.



CRDB Bank Chairman of the Board, Dr. Ally Laay presenting his report for the financial year ended 31st December, 2019 to the Bank's shareholders.
Presenting the report for the year ended December 31, 2019, CRDB Bank Chairman of the Board, Dr. Ally Laay stated the Bank and its Subsidiaries, CRDB Bank Burundi and CRDB Insurance Broker, reported a transformative growth and improved performances, in terms of higher earnings and profits, compared to what was achieved in 2018. He expressed gratitude to shareholders for joining the meeting as well as their committed support, which has made CRDB Bank wax stronger. He said, “the Board of Directors have adopted strategic initiatives that seek to provide investors with a stronger, stable and sustainable form of capital distribution so as to maximise long-term share value for shareholders whilst collaborating with the management to inculcate a high-performance culture that will yield positive returns”. Laay also announced that the group has its eye on growth prospects in new markets and is currently very well positioned to make entry into DRC.


CRDB Bank Group CEO, Abdulmajid Nsekela (2nd L) addressing shareholders during the Bank's 25th AGM which was held virtually on 27th June 2020. (R) is the Bank's Board Chairman and Chairman of the AGM, Dr. Ally Laay and (L) is the Bank's Chief Financial Officer, Fredrick Nshekanabo.
Speaking at the AGM, the Group CEO and Managing Director of CRDB Group Plc, Abdulmajid Nsekela, said, “our businesses continue to improve with growth in all key indicators, such as loans and advances, deposits and assets, which grew by 8% to TZS 3.4 trillion from TZS 3.1 trillion in 2018; TZS 5.2 trillion a 11% increase and 9% to TZS 6.6 trillion, respectively. Our customer base also grew by 50% across the Group from 2 million to 3 million. Overall customer satisfaction has shown positive trends, as a result of our transformational efforts in digitising our customer feedback routes and service touch points”.


Sunday 28 June 2020

DCB COMMERCIAL BANK SHAREHOLDERS TO GET TSHS 500 MILLION IN DIVIDENDS

DCB Commercial Bank Plc outgoing Board Chairman, Prof. Lucian Msambichaka (second right), addresses the bank’s shareholders during an online the 18th DCB Annual General Meeting in Dar es Salaam over the weekend. On his right are; The bank's Legal Advisor, Alex Mgongolwa, DCB Legal and Company Secretary, Regina Mduma, DCB Managing Director, Godfrey Ndalahwa and the bank’s Board Member, Zawadia Nanyaro.
Shareholders of DCB Commercial Bank Plc have every reason to be confident with their bank after the bank's board of directors announced a dividend of 5.40/- per share during the DCB 18th Annual General Meeting of Shareholders held in Dar es Salaam over the weekend.

Announcing the dividend which was earlier approved by the banks shareholders via the online meeting, the outgoing DCB Board Chairman. Prof. Lucian Msambichaka said the dividend was based on a net profit of 2.038 billion/- after taxation as of December 31, 2019 with about 500 million/- being used to pay the dividends.

He further stated that the board had decided to pay the dividends despite the benefits they received based on a variety of factors including the prevailing commercial situation in the country which was largely affected by the Covid-19 outbreak.

“Another important factor that contributed to providing these dividends is to use the profits to enable the bank to continue to capitalize and continue to work effectively with vivid profit.” Said Msambichaka.

WANAHISA WA BENKI YA BIASHARA YA DCB WAPATA GAWIO

Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Biashara ya DCB, Prof. Lucian Msambichaka (wa pili kulia), akizungumza na wanahisa wakati wa Mkutano Mkuu wa 18 wa Wanahisa wa benki hiyo ulifanyika kwa njia ya mtandao jijini Dar es Salaam jana. Wengine kutoka kushoto ni; Mwanasheria wa Makampuni, Alex Mgongolwa, Mkurugenzi wa Sheria na Katibu wa Kampuni, Regina Mduma, Mkurugenzi Mtendaji, Godfrey Ndalahwa na Mjumbe wa Bodi ya benki hiyo, Zawadia Nanyaro. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa akizungumza na wanahisa wakati wa Mkutano Mkuu wa 18 wa Wanahisa wa benki hiyo ulifanyika kwa njia ya mtandao jijini Dar es Salaam jana. Kushoto kwake ni Mwanasheria wa Makampuni, Alex Mgongolwa, Mkurugenzi wa Sheria wa DCB na Katibu wa Kampuni, Regina Mduma, Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya DCB, Prof. Lucian Msambichaka na Mjumbe wa Bodi ya benki hiyo, Zawadia Nanyaro.
Kaimu Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya Biashara ya DCB, Ester Bgoya akitoa taarifa za kiutendaji wa kifedha kwa wanahisa wakati wa Mkutano Mkuu wa 18 wa Wanahisa wa benki hiyo ulifanyika kwa njia ya mtandao jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi wa Sheria wa DCB na Katibu wa Kampuni, Regina Mduma akizungumza na wanahisa wa benki hiyo kwa njia ya mtandao katika Mkutano Mkuu wa 18 wa Wanahisa wa benki hiyo uliofanyika jijini Dar es Salaam jana.
Mjumbe wa Bodi ya Benki ya Biashara ya DCB, Zawadia Nanyaro akichangia hoja katika mkutano mkuu wa 18 wa wanahisa wa benki hiyo ulifanyika kwa njia ya mtandao ofisini mwa benki hiyo jijini Dar es Salaam jana.
WANAHISA wa BENKI ya Biashara ya DCB wana kila sababu ya kuwa na matumaini na benki yao baada ya Bodi ya benki hiyo kutangaza gawio la shs 5.40 kwa kila hisa wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Wanahisa wa DCB uliofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Akitangaza gawio hilo lililopitishwa na wanahisa wote kwa njia ya mtandao, Mwenyekiti wa Bodi anayemaliza muda wake wa DCB. Prof. Lucian Msambichaka alisema gawio hilo limetokana na faida waliyopata ya shs bilioni 2.038 baada ya kodi kufikia Disemba 31, 2019 huku kiasi cha shs milioni 500 kikitumika kulipia gawio hilo.

WANAHISA BENKI YA CRDB KUPATA ONGEZEKO LA ASILIMIA 112.5 LA GAWIO, SHILINGI BILIONI 44.4 KUTOLEWA

Wanahisa wa Benki ya CRDB wameidhinisha gawio la shilingi 17 kwa hisa lililopendekezwa na Bodi ya Wakurugenzi ya benki hiyo katika Mkutano Mkuu wa 25 wa Wanahisa uliofanyika kidijitali siku ya jumamosi tarehe 27 Juni, 2020. Wakichangia maoni ya kupitisha pendekezo hilo la ongezeko la gawio kwa asilimia 112.5, Wanahisa wa Benki ya CRDB wamepongeza uongozi na wafanyakazi wa benki hiyo kwa matokeo mazuri yenye tija kwa Wanahisa.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya CRDB, Dkt. Ally Laay alisema ukuaji wa gawio kwa Wanahisa kutoka shilingi 8 kwa hisa mwaka jana hadi shilingi 17 kwa hisa, umechangiwa na matokeo mazuri ya kifedha ambapo Benki ya CRDB ilipata ongezeko la faida kwa asilimia 87 kufikia shilingi bilioni 120.1 kulinganisha na shilingi bilioni 64 mwaka 2018. “Matokeo haya yamepelekea Bodi kupendekeza gawio la shilingi 17 kwa hisa ambalo ni historia kwa Benki yetu,” alisema Dkt. Laay hukuaki wapongeza Wanahisa wanahisa kwa kushiriki kwa wingi zaidi katika mkutanon huo uliofanyika kidijitali.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Dkt. Ally Laay akiwasilisha ripoti yake ya mwaka wa fedha unaoshia Desemba 31, 2019 katika Mkutano Mkuu wa Wanahisa.
Dkt. Laay alisema mwaka 2019 ulikuwa wa mafanikio kwa Benki ya CRDB na kampuni zake tanzu za Benki ya CRDB Burundi na kampuni tanzu ya Bima. “Katika kampuni tanzu ya Burundi tumefanikiwa kupata ongezeko la faida la asilimia 146 wakati kwa upande wa kampuni yetu tanzu ya Bima tumefanikiwa kupata ongezeko la faida kwa asilimi 17.” Aliainisha Dkt. Laay huku akisema kuwa mkakati wa Benki hiyo kupanua wigo wake katika Ukanda wa Afrika ya Mashiriki na Kati unaendelea huku Benki hiyo ikiangazia kupanua wigo katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akiwasilisha taarifa yake katika Mkutano Mkuu wa Wanahisa. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi, Dkt. Ally Laay na kushoto ni Afisa Mkuu wa Fedha, Fredrick Nshekanabo.
Akiwasilisha ripoti yake katika Mkutano huo Mkuu wa Wanahisa, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela alisema katika mwaka wa fedha wa 2019 Benki ya CRDB imeshuhudia ukuaji mkubwa katika bishara yake ambapo amana za wateja ziliongezeka kwa asilimia 8 kufikia shilingi trilioni 3.4 kulinganisha na shilingi trilioni 3.1 mwaka 2018, rasilimali ziliongezeka kwa asilimia 11 kufikia shilingi trilioni 6.6 kulinganisha na na shilingi trilioni 5.2 mwaka 2018. “Tulifanikiwa pia kupanua wigo wa wateja wetu kwa zaidi ya asilimia 50, sasa hivi tuna zaidi ya wateja milioni 3 ukilinganisha na wateja milioni 2 tuliokuwa nao hapo awali,” alisema Nsekela.

Friday 26 June 2020

UNITED CAPITAL PAN AFRICAN e-CONFERENCE - FOSTERING INNOVATIVE CROSS-BORDER FINANCING SOLUTIONS IN AFRICA


BURUDANI YA ROBO FAINALI ZA FA CUP LIVE NDANI YA DStv

Soka limefikia patamu 🔥🔥🔥.

Baada ya kumfahamu Bingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza, sasa tunageuzia macho katika Robo Fainali za FA Cup wikiendi hii. Je, ni timu ipi kuchukua ubingwa?

Sehemu pekee unapoweza kutazama mechi hizi Live tena kwa HD ni kupitia @dstvtanzania ndani ya kufurushi cha Compact TShs. 44,000 tu.

Piga *150*53# kulipia sasa kifurushi cha Compact TShs. 44,000 tu ili usikose michuno hii.

Au piga 0659 07 07 07 kujiunga na DStv.

#LiveSportsReturns

BENKI YA DCB KUFANYA MKUTANO WA WANAHISA JUMAMOSI JUNI 27, 2020 JIJINI DAR ES SALAAM

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa (katikati) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam hivi karibuni kuhusu Mkutano Mkuu wa 18 wa mwaka wa wanahisa wa benki hiyo unaotarajiwa kufanyika jijini Dar es Salaam Juni 27 mwaka huu. Kushoto ni Mkaguzi Mkuu wa Ndani, Deogratius Thadei na Mkurugenzi wa Sheria na Katibu wa Kampuni, Regina Mduma. 
  • Wanahisa 7,000 DCB kuweka historia Jumamosi
Takriban wanahisa 7,000 wa Benki ya DCB wanatarajiwa kufanya Mkutano Mkuu wa Mwaka Jumamosi ya Juni 27 mwaka huu kwa njia ya mtandao.

Akizungumza jijini Dar es Salaam hivi karibuni, Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Godfrey Ndalahwa, amesema hiyo itakuwa ni mara ya kwanza kwa mkutano huo kufanyika kidijitali.

“Ninawakaribisha wanahisa wote katika mkutano huo utakaoanza saa nne asubuhi, utakaotoa fursa kwa Benki na wanahisa kutathimini mkakati wa miaka mitano tuliojiwekea,” anasema Ndalahwa.

Hatua ya mkutano mkuu kufanyika kidijitali, mbali na kusababishwa na uwepo wa ugonjwa wa corona, imewezeshwa kutokana na uimara wa kitengo cha teknolojia ndani ya DCB.

Ndalahwa anasema mkakati huo uliopitishwa na kuanza kutekelezwa mwaka 2018, unatarajiwa kukamilika mwaka 2022.

“Mkakati huu una hatua tatu; kwanza kuiondoa benki katika kutengeneza hasara na kuanza kupata faida, pili benki kujiimarisha na tatu na kukukua na kutanuka kwa Benki ya DCB,” anasema.

Thursday 25 June 2020

MECHI YA LEO, POPOTE ULIPO UKIWA NA DStv NOW

⚽📱Furahia burudani ya michezo mubashara mahali popote, muda wowote ukiwa na programu ya DStv Now. 

Hakikisha umelipia kifurushi chako uweze kuangalia mechi hii jioni ya leo ukiwa na DStv Now hata pale Mama anapokua na watoto sebuleni. 

DStv Now inakupa uwezo wa kutazama kwenye vifaa mjongeo hadi vitano tofauti.

Wednesday 24 June 2020

WHAT TANZANIA NEEDS TO DO TO PROMPT CREATIVITY AND BOOST PRODUCTIVITY IN TECHNOLOGY

In recent years, measures have been taken by the government and private companies alike to help strengthen the Tanzanian economy. Many of these efforts form part of the country’s vision to become a middle-income, semi-industrialised economy by 2025.

It is well known that this ambition – which was designed nearly twenty years ago – is high on the government’s agenda.

The Vision sets out a roadmap of goals that the country wants to deliver by 2025. One of the Vision’s key goals is to develop a strong and competitive economy with sustained growth.

Investing in the country’s infrastructure forms a key part in helping reach this vision. For example, there has been much discussion recently regarding the roll-out of the standard-gauge railway and the upgrade to the country’s road network.

Investment in hard infrastructure will serve as an important tool for helping the country boost its productivity and the speed at which goods can be delivered.

Elsewhere, it is also becoming increasingly clear that digital connectivity is also an important tool for helping to boost the economy. To that end, it was recently reported that over 520,000 people in 45 villages will be connected to the country’s telecommunication infrastructure in the near future.

The scale of this project is significant and shows that the country’s telecom sector and government are committed to helping the country open a new digital chapter.

This is, of course, positive news as digital connectivity provides a way to access life changing services. For example, Tigo Tanzania has developed a number of valuable services such as mobile money and m-health services, which have provided banking and health services to those who previously were excluded or struggled to gain access.

LIGI KUU YA UINGEREZA NDANI YA DStv INAZIDI KUWA MOTO!!!

Ligi Kuu ya Uingereza inazidi kuwa moto, na uhakika wa kutazama mechi hizi ni kupitia @dstvtanzania ndani ya kifurushi cha Compact TShs. 44,000 tu.

Piga sasa *150*53# kulipia sasa kifurushi cha Compact TShs. 44,000 tu ili usikose burudani hii.

Au piga 0659 07 07 07 kujiunga na DStv sasa.

#LiveSportsReturns

MERGER OF NIC BANK TANZANIA AND COMMERCIAL BANK OF AFRICA TANZANIA TO FORM NCBA BANK TANZANIA LIMITED FROM 8 JULY, 2020

The merger has received approval from key regulators 

NIC Bank Tanzania Limited (NIC) and Commercial Bank of Africa (Tanzania) Limited (CBA) has received all approvals to merge and start operations from Wednesday, 8 July 2020 as NCBA Bank Tanzania Limited.

The merger will be made through the acquisition of the majority of the assets and all of the liabilities from CBA by NIC.

The implementation of the merger shall be through the transfer of assets and liabilities, which have been approved by the Bank of Tanzania and the Fair Competition Commission. Once the merger is completed the new entity, NCBA Bank Tanzania Limited, will assume all liabilities, obligations and rights of the assets transferred from CBA. NCBA Bank Tanzania Limited will also assume all existing CBA customers and creditors.

Both CBA and NIC are in the process of concluding other regulatory conditions.

The Bank of Tanzania approved the merger through a letter dated on 14 February 2020, by the Deputy Governor of Bank of Tanzania, Dr Bernard Y. Kibesse.

Once completed NCBA Bank Tanzania Limited will move to be a Tier 2 Bank.

Tuesday 23 June 2020

FURAHIA MICHEZO LIVE MUDA WOWOTE, MAHALI POPOTE KUPITIA DStv APP


Mambo ni Yente! 🔥 Furahia michezo mbalimbali uipendayo, muda wowote na popote utakapokuwa kwa kupitia app ya DStv now.

STANCHART CEO APPOINTED TO THE HELM OF THE GLOBAL IFAC PROFESSIONAL ACCOUNTANTS IN BUSINESS COMMITTEE

Sanjay Rughani, Chief Executive Officer, Standard Chartered Bank Tanzania.
Tuesday 23rd June, 2020 – Standard Chartered Bank’s CEO, Sanjay Rughani, has been appointed as the Chair of the Professional Accountants in Business Committee, PAIBC, for the International Federation of Accountants, IFAC.

Mr. Rughani, who becomes the first Tanzanian and leader from the continent to be appointed to the helm of the PAIBC, will hold the post for an initial term of three-years.

According to a statement issued by the Bank, the International Federation of Accountants, IFAC, is the global organization for the accountancy profession dedicated to serving the public interest by strengthening the profession and contributing to the development of strong international economies. It comprises of more than 175 members and associates in more than 130 countries and jurisdictions, representing more than 3 million accountants in public practice, education, government service, industry, and commerce.

Founded in October, 1977, the IFAC organization seeks to achieve three strategic objectives which include speaking out and engaging as the voice for the global profession, leading and developing a future-ready profession; and promoting the development, adoption and implementation of high-quality international standards for accountants.

To enable the IFAC organization perform its duties and meet its targets, the Professional Accountants in Business Committee, PAIBC, which is an Advisory Group of professional accountants with extensive and diverse experiences, was started.

WAFANYAKAZI WA BENKI YA NMB WAISAIDIA HOSPITALI YA OCEAN ROAD

Benki ya NMB wakati wote inaamini katika kugusa na kubadili maisha ya wanajamii. Ushiriki wa Wafanyakazi katika programu za kuisaidia jamii umeongezeka maradufu ukichangiwa zaidi na ari waliyonayo kutaka kupunguza changamoto na kero zilizopo kwenye jamii inayowazunguka na wanayoihudumia.

Kaimu Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam, Seka Urio (kushoto) akimkabidhi vifaa vya Hospitali Kaimu Mkurugenzi wa Tiba wa Taasisi ya Ocean Road, Dk. Asafu Munema ikiwa ni michango ya wafanyakazi wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam.
Sehemu ya vifaa vilivyotolewa na wafankazi wa Benki ya NMB kwa Hospitali ya Ocean Road.

Monday 22 June 2020

KUUNGANA KWA BENKI YA NIC TANZANIA NA BENKI YA COMMECIAL BANK OF AFRICA TANZANIA KUUNDA BENKI MPYA YA NCBA TANZANIA LIMITED KUANZIA TAREHE 8 MWEZI JULAI, 2020

Kibali cha kuungana kutoka kwa mamlaka husika tayari vimeshapokelewa

Benki ya NIC Bank Tanzania Limited (NIC) na benki ya Commercial Bank of Africa (Tanzania) Limited (CBA) imeshapokea vibali vyote kuungana na kuanza kutoa huduma kuanzia tarehe 8 mwezi Julai mwaka 2020 kama benki ya NCBA Bank Tanzania Limited.

Uunganaji utafanyika kwa kuhamishwa kwa mali na dhima zote kutoka kwenye benki ya CBA kwenda benki ya NIC.

Utekelezezaji wa uunganaji utakuwa kwa kuhamishwa kwa mali na dhima, ambazo zimekwisha idhinishwa na Benki Kuu ya Tanzania na Tume ya Ushindani (Fair Competition Commission). Baada ya kukamilika kwa mchakato wa kuungana taasisi mpya, benki ya NCBA Bank Tanzania Limited itachukua dhama zote, majukumu na haki zote za umiliki wa mali zilizohamishwa kutoka benki ya CBA Benki kwenda benki mpya ya NCBA Bank Tanzania Limited. Vile vile itapokea wateja na madeni yote yaliyopo katika benki ya CBA mpaka sasa.

Benki zote mbili za CBA na NIC ziko katika mchakato wa kuhitimisha masharti mengine kutoka kwa Mdhibiti.

MAMBO YA EPL YANAZIDI KUWA MOTO NDANI YA DStv PEKEE


Ni wiki nyingine tena na mambo ya EPL yanazidi kuwa 🔥🔥🔥
Manchester City wakiwa weneyeji wa mechi yao dhidi ya Burnley. Je kwa uwezo wa City, unadhani Burnley watatoboa?

Kama kawaida uhakika wa kucheki game zote za #EPL ni ndani ya @dsvtanzania pekee. Waambie wadau tukutane saa 4 usiku ndani ya Supersport 3 kupitia kwa kifurushi cha Compact TShs. 44,000 tu.

Piga sasa 0659 07 07 07 kujiunga na DStv.

#LivesportsReturns

Friday 19 June 2020

DStv INAKULETEA MECHI YA TOTTENHAM VS MAN UNITED


Purukushani za Ligi Juu ya Uingereza #EPL zinaendelea tena, huku tukiitazamia mechi ya Tottenham dhidi ya Manchester United. Je utabiri wako ni upi?

Hakika hii si yakukosa na uhakika wa kuitazama mechi hii ni ndani ya @dstvtanzania kupitia SS3 kwa kifurushi cha Compact TShs. 44,000 tu.

Piga sasa *150*53# kulipia kifurushi chako ili usipitwe na michuano hii.

#LiveSportsReturns

#TupoNawe

BENKI YA NMB YATOA MKOPO WA SHILINGI BILIONI 3 KWA WAKULIMA WA MUHOGO HANDENI, MKOANI TANGA

Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa NMB, Filbert Mponzi (Wapili kulia) akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi bilioni tatu Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Godwin Gondwe maalumu kwaajili ya vikundi vya wakulima na wasindikaji wa zao la muhogo Wilayani Handeni Mkoani Tanga. Wengine kwenye picha ni Mkurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB), Japhet Justin (Wapili kushoto), Mwenyekiti wa Wakulima wa Zao la Mihogo nchini Tanzania, Mwantum Mahiza, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni, William Makufwe na Meneja wa NMB Kanda ya Kaskazini, Aikansia Muro (Kulia).

Katika juhudi za kuinua Sekta ya Kilimo nchini, Benki ya NMB kwa kushirikiana na Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) wametoa shilingi Bilioni 3 kwa wakulima wadogo wa zao la muhogo Wilayani Handeni, ili kuwawezesha wakulima kukopesheka kirahisi.

Akizungumza katika mkutano na wakulima hao eneo la Mkata Wilaya ya Handeni, Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa NMB, Filbert Mponzi alisema mkopo huo wenye riba nafuu utawanufaisha wakulima 421 ambao watakuwa katika makundi 43.

“Shilingi bilioni 3 ni fedha nyingi, hivyo mzitumie vizuri ili na wengine waweze kufaidika. Huu ni uhamasishaji wa uwekezaji katika zao la muhogo ili kuwawezesha wakulima kujiongezea kipato na wakati huo kuendana na soko la China,” alisema Mponzi.

Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Godwin Gondwe aliishukuru Benki ya NMB kwa mkopo huo huku akisema katika kutatua changamoto ya masoko ya zao hilo, kiwanda cha kusindika kinatarajiwa kuanza kazi miezi michache ijayo na taratibu zinaendelea ili kuweza kulipata soko la china.


Thursday 18 June 2020

HUDUMA YA M-PESA YA VODACOM SASA ULIMWENGU MZIMA

Meneja Msaidizi wa Idara ya Ukaguzi na Sera Benki Kuu ya Tanzania, Albert Cesari (wa nne toka kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na Watendaji wakuu wa kampuni ya Vodacom Tanzania PLC mara baada ya kuzindua huduma mpya ya kutuma na kupokea pesa kutoka nchi zaidi ya 200 duniani kupitia mtandao wa M-Pesa (Dunia Kijiji na M-Pesa) kwenye hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Mkurugenzi Mkazi wa World Remit Tanzania, Cynthia Ponera akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya 'Dunia Kijiji na M-Pesa' inayowezesha wateja kutuma na kupokea pesa kutoka zaidi ya nchi 200 duniani kwa kutumia mtandao wa M-Pesa.
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano Vodacom Tanzania PLC, Rosalynn Mworia akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya 'Dunia Kijiji na M-Pesa' inayowezesha wateja kutuma na kupokea pesa kutoka zaidi ya nchi 200 duniani kwa kutumia mtandao wa M-Pesa
Meneja Msaidizi wa Idara ya Ukaguzi na Sera Benki Kuu ya Tanzania, Albert Cesari akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya 'Dunia Kijiji na M-Pesa' inayowezesha wateja kutuma na kupokea pesa kutoka zaidi ya nchi 200 duniani kwa kutumia mtandao wa M-Pesa.
  • Zaidi ya nchi 200 zitaweza kutuma na kupokea fedha kupitia M-Pesa 
  •  Huduma za fedha kupitia simu za mkononi kuchochea ukuaji wa uchumi Afrika 

Juni 16 2020, Dar es Salaam: Kampuni ya simu za mkononi inayoongoza kidijitali nchini kupitia huduma ya kifedha ya Vodacom M-Pesa imetangaza kuongezeka kwa mfuko wake wa huduma za kutuma na kupokea fedha kimataifa. Wateja wa Vodacom sasa watakuwa na uwezo na nafasi ya kutuma na kupokea fedha kutoka kwa wenzao katika nchi zaidi ya 200 duniani kote.

Jambo hili lilizungumzwa katika siku ya kimataifa ya kutuma fedha kwa familia (international day of family remittances), tukio lililofanyika jijini Dar es Salaam ambako wadau walikutana kujadili kuhusu hatima ya utumaji wa fedha kimataifa baada ya COVID-19.

Akizungumza wakati wa majadiliano Meneja Msaidizi Idara ya Usimamizi na sera katika Kurugenzi ya Mifumo ya Kitaifa ya malipo kutoka Benki Kuu Bwana Albert Cesari, alisema serikali imeangalia upya sera zinazosimamia huduma ya malipo nchini ili kuhakikisha huduma na biashara zinaendelea wakati dunia inapambana na mlipuko wa COVID-19.


JOB VACANCY AT LETSHEGO BANK - HEAD OF CONSUMER SOLUTIONS

JOB VACANCY AT LETSHEGO BANK - HEAD OF HUMAN CAPITAL

Wednesday 17 June 2020

TOURISM BOOST AS QATAR AIRWAYS RESUMES FLIGHTS TO TANZANIA

A Qatar Airways plane at Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam shortly after arriving from Doha yesterday.
Dar es Salaam - Qatar Airways yesterday officially resumed its scheduled flights between Dar es Salaam and Dohar, Qatar, raising hope of a rise in the number of tourists visiting the East African nation.

Qatar Airway's Airbus-320 yesterday landed at Julius Nyerere International Airport from London via Doha at around 7:18 am with 119 passengers on board.

Qatar Airways becomes the second scheduled international flight to resume services to Tanzania after the flights were suspended in April at the height of the COVID-19 pandemic.

Continue Reading >>>

NATIONAL BANK OF COMMERCE TENDER NOTICE - REQUEST FOR PROPOSAL FOR VARIOUS SERVICES

PREMIER LEAGUE LIVE IMERUDI DStv - ASTON VILLA VS SHEFFIELD LEO SAA MBILI USIKU


#Zenyewezimerudi ⚽️⚽️⚽️⚽️

Shuhudia mechi ya kwanza ya PL @samagoal77 katika ubora wake 🇹🇿 katika mechi ya Aston Villa dhidi ya Sheffield leo saa 2 usiku kupitia chaneli ya SS10 ndani ya kifurushi cha Bomba TShs. 19,000 tu kupitia @dstvtanzania pekee.

Piga *150*53# kulipia sasa kifurushi chako ili usipitwe na mechi hizi.

Piga sasa 0659 07 07 07 kujiunga na DStv

#TupoNawe

#LiveSportsReturns

Tuesday 16 June 2020

WAFANYAKAZI WA BENKI YA NMB WATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JESHI LA KUJENGA TAIFA, CHAMWINO, DODOMA

Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Benki ya NMB, Juma Kimori (aliyenyoosha mkono) akimuelezea jambo Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali, Charles Mbuge (wapili kushoto) wakati wafanyakazi wa benki hiyo, walipotembelea Makao Makuu ya Jeshi hilo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma.
Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Benki ya NMB, Juma Kimori (wa kwanza kushoto) akimpongeza Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali, Charles Mbuge (katikati) kwa kupandishwa cheo kuwa Mkuu wa JKT, wakati wafanyakazi wa benki hiyo, walipotembelea Makao Makuu ya Jeshi hilo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma. Kulia ni Meneja Mahusiano na Serikali wa Benki ya NMB, Josephine Kulwa na Meneja wa Kanda ya Kati, Nsolo Mlozi (wapili kulia).

Monday 15 June 2020

USIKOSE KUTAZAMA FILAMU YA NDEKE NDANI YA DStv



Ndeke aliyelelewa katika maisha ya chini, anaamini kupitia Elimu anaweza kufikia na kutimiza ndoto zake.

Changamoto inakuwa upande wa baba yake ambaye ni mlevi na asiye amini kabisa juu ya "Elimu kwa watoto wakike", je nini kitaendelea?

Usikose kutazama Filamu hii maalumu leo saa 8 mchana kupitia chaneli ya @maishamagicbongo 160 ndani ya kifurushi cha Bomba TShs. 19,000 tu.

Piga sasa 0659 07 07 07 kujiunga na DStv.

APPOINTMENT OF DR. EDWIN P. MHEDE AS THE NEW NMB BANK BOARD CHAIRMAN

Sunday 14 June 2020

VACANCY ANNOUNCEMENT AT NMB BANK PLC - CHIEF CREDIT OFFICER

DIGITAL TECHNOLOGY HAS A KEY ROLE TO PLAY IN HOW TANZANIA DEVELOPS

Within the past five years, the rate of mobile phone penetration in the sub-Saharan region has increased at an exponential rate.

According to the GSMA – the international telecoms trade body – by the end of 2018, the number of mobile phone users within the region had increased by over 20 million from the year before.

Estimates suggest that overall mobile phone penetration is set to increase even further, with an additional 167 million people expected to subscribe to mobile services by 2025.

Tanzania is no exception: the latest figures from the Tanzania Communications Regulatory Authority indicate that there were almost 49 million mobile telecom subscribers in the country at the end of 2019.

Looking to the future, current estimates suggest that between 2018 and 2025, Tanzania will see 10 million new mobile phone subscribers.

This predicted increase in the adoption of mobile phones is possible largely due to the country’s strong telecommunications sector. It also highlights people’s willingness to embrace new technology and to open a new chapter in Tanzania’s digital evolution.

Friday 12 June 2020

MICHEZO MUBASHARA IMERUDI DStv



Michezo mubashara imerudi DStv. Lipia kifurushi chako cha Bomba utazame mtanange live wa Mbwana Samatta dhidi ya Shefield United kwenye kifurushi cha Bomba kwa TShs. 19,000 tu ndani ya chaneli ya SuperSport10.

#LiveSportsReturns


Piga *150*53# kulipia kwa urahisi kifurushi chako cha Bomba ili kutazama mtanange huu live bila chenga na DStv wakufungulie chaneli za kifurushi cha Family bure hadi tarehe 30 Juni 2020.

Piga 0659 07 07 07 kujiunga na DStv kwa TShs. 99,000 tu.

DIGITAL TECHNOLOGY IS REVOLUTIONIZING TANZANIA’S ECONOMY

In recent years, the growth and adoption of digital technology has presented many countries with several benefits and significant opportunities. The growth of m-health is a prime example of this. For numerous countries, m-health has become an important tool in how healthcare is delivered. From allowing people to research their symptoms, to helping hospitals to store medical records, m-health is having a clear and positive impact for patients and practitioners alike.

In Tanzania, m-health has played an important role in supporting people living with various illnesses, by reminding them to make medical appointments or helping answer questions without the need for a physical consultation with a doctor.

Recently, m-health took a further step forward when Aga Khan University launched a mobile app to help people to evaluate possible COVID-19 symptoms. Applications such as these demonstrate the important role that m-health can play in overcoming health related challenges.

As m-health has become a much-discussed topic of late, it is important to remember that Tanzania’s telecoms sector has played a key part in the development of the country’s m-health services for a number of years now.