Foreign Exchange Rates

DStv Advert_010224

DStv Advert_010224

SBT Tanzania Advert_291123

Monday 31 August 2020

ABSA BANK TANZANIA INAUGURATES A NEW PUGU BRANCH

Absa Bank Tanzania Pugu Branch Manager, Veronica Okio (right) and a bank customer, Fuad Salmeen (in white) cut a ribbon to inaugurate Absa Bank's new Pugu branch along Nyerere Road in Dar es Salaam over the weekend. Second right is Absa Bank's Head of Branch Networks, John Beja. 

Absa Bank Tanzania Pugu Branch Manager, Veronica Okio (right) and some of the bank's customers cut a cake during the official inauguration of Absa Bank's new Pugu branch along Nyerere Road in Dar es Salaam over the weekend.
Absa Bank Tanzania Pugu Branch Manager, Veronica Okio (right), presents a cake to a customer to celebrate the Absa Bank's new Pugu branch official opening ceremony along Nyerere Road in Dar es Salaam over the weekend.

Sunday 30 August 2020

WELCOME TO THE DECK KITCHEN & BAR



Our Weekend Seafood Special is always on 🔥🔥🔥🔥 Karibuni sana @thedeckkitchenandbar where food lovers meet!!!

BENKI YA NMB YAWEKA MIKAKATI KUKUZA UTALII TANZANIA

Meneja wa matawi ya NMB Zanzibar, Abdalla Duchi akizungumza kwenye kongamano la wadau wa sekta ya Utalii Zanzibar (ZATO) lililowaleta pamoja zaidi ya wadau 250 katika Hoteli ya Verde.
Meneja wa matawi ya NMB Zanzibar, Abdalla Duchi (kushoto) akimkabidhi hotuba yake Waziri wa Fedha Zanzibar, Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa aliyekua mgeni rasmi katika kongamano la Wadau wa Utalii Zanzibar. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Kadi wa NMB, Philbert Casmir. 
Benki ya NMB imesema kuwa inathamini sana sekta ya utalii nchini na imeweka mikakati endelevu zaidi katika kuhakikisha shughuli za utalii zinakuwa zaidi.

Hayo yamesemwa na Meneja wa matawi ya Benki ya NMB Zanzibar - Abdalla Duchi, wakati wa mkutano wa wadau wa utalii Zanzibar(ZATO) uliofanyika visiwani humo kwa udhamini mkuu wa Benki ya NMB.

Alisema Benki hiyo imejipanga vyema kutoa suluhisho la huduma za kifedha, kwa kuwa na mifumo bora zaidi ikiwemo ya ubadilishaji fedha na Biashara ya kadi ambayo imewezesha wataliii kutohangaika wanapofanya manunuzi na malipo mbali mbali kwa kushirikiana na mahoteli na baadhi ya makampuni ya utalii, walihakikisha wana mashine za malipo (POS) na pia kuimarisha mfumo wa malipo ya mitandano (E-Commerce).

Naye Mkuu wa Idara ya Biashara za kadi wa Benki ya NMB - Philbert Casmir alisema wanaimarisha huduma hizo ili kuhakikisha watalii wanapata huduma kupitia matawi ya Benki hio hasa pale yanapotokezea majanga ikiwemo Covid - 19 ambayo ilisitisha huduma nyingi.

UBA TANZANIA DONATES BOOKS TO RISING STAR SECONDARY SCHOOL

UBA Head of Digital Banking, Mr Asupya Nalingigwa presents textbooks to the Director of Rising Star Secondary School, Mrs Fransisca Matay in Dar es Salaam over the weekend.
Dar es Salaam - In efforts to empower communities and the youth in Tanzania to ensure quality education in secondary schools, UBA Tanzania - through UBA Foundation – has donated Literature textbooks worth TZS 2,800,000 to Dar es Salaam’s Rising Star Secondary Schools.

Director for Rising Star Secondary School, Mrs Fransisca Matay received the donation on behalf of the school management at the weekend.

The bank was represented by its Head of Digital Banking, Mr Asupya Nalingigwa.

He said the bank was keen to ensuring the growth of a reading culture among Africa’s youths irrespective of their backgrounds or nature.

He also urged students to study hard to improve and sharpen their skills, insisting that reading it was through reading that they (students) would tweak their knowledge of the world surrounding them and thus be able to grab various opportunities.

In her remarks, the school’s head teacher, Mrs Leticia Pius Madenge, said the UBA donation had come at a time when the school was facing an acute shortage of various textbooks.

Friday 28 August 2020

CURTAIN FALLS ON THE AFRICAN DEVELOPMENT BANK 2020 ANNUAL MEETINGS AS GOVERNORS ENDORSE PRESIDENT ADESINA’S BOLD DEVELOPMENT PROGRAM

Adesina: "I am deeply grateful for the collective trust, strong confidence and support of our shareholders”


ABIDJAN, Ivory Coast, August 28, 2020/ -- Newly reelected African Development Bank (www.AfDB.org) President Akinwumi Adesina voiced great optimism about Africa’s future as the institution closed its 55th Annual meetings. The Bank’s Board of Governors today unanimously voted for a second five-year term for Adesina, giving him a mandate to renew a focus on the institution’s priorities, including closer continental integration, boosting renewable energy sources and developing infrastructure.

The election of the president was the centerpiece of the two-day meetings, held virtually for the first time in the Bank’s history amid the ongoing COVID-19 pandemic.

The pandemic formed a backdrop that underscored the Bank’s critical leadership role in assisting African countries to marshal responses to its health and economic impacts. A wider commitment to grow Africa’s resilience by building back its economies post-pandemic with an eye to mitigating climate change and assuring more equitable growth, is also an important agenda for the Bank.

In a 16-point communique, Governors lauded the Bank’s swift response to the pandemic, endorsed its strategic priorities, and urged greater emphasis on building out primary healthcare infrastructure and supporting member countries meet their Paris Agreement commitments.


TANZANIA BANKERS ASSOCIATION AND VISA LAUNCH CONSUMER CARD USAGE CAMPAIGN

Tanzania Bankers Association (TBA) Chairman, Abdulmajid Nsekela (centre) swaps a bank card to launch a campaign dubbed 'Kuwa Smati Jisevie' aimed at promoting cashless payments in Tanzania. Looking on are TBA Executive Director, Tusekelege Joune (right) and Exim Bank Chief Executive Officer, Jaffari Matundu (left).
Dar es Salaam, 26 August 2020 – The Tanzania Bankers Association (TBA) and Visa, the world leader in digital payments, today launched Kuwa Smati Jisevie, an education campaign that aims to promote the use of self-service channels in Tanzania, which includes the use of electronic payments. The theme “Kuwa Smati Jisevie”, which means Be Smart Go Cashless, is being implemented by 45 banks in Tanzania who are members of Tanzania Bankers Association (TBA)

Mr. Abdulmajid Nsekela, Chairman of TBA, said, "With Tanzania self-service channels growing rapidly and the ever-increasing need of offering safe, convenient and affordable access to banking services across Tanzania, Kuwa Smati Jisevie is an important and timely opportunity to educate customers about staying safe and also how to utilize available self-service financial services offered by TBA members. Our members have invested heavily on creating self-service channels, and now it is prime time to engage and educate customers on available services. It is however noteworthy that, the sector’s self-service channels utilization continued growth depends on the quality of the customer experience and education.

With the advent of COVID 19, self-service and shopping online continues to be highly important to the consumers in Tanzania. The TBA Chairman Mr Nsekela has extended an appreciation to the Bank of Tanzania and to the merchants accepting cards at their businesses in support of this campaign. Previously, some merchants were levying a surcharge on transactions or establishing a minimum or maximum amount as a condition for accepting an electronic payment. We highly appreciate the support from merchants in supporting the much needed electronic purchase during this time where safety and convenience is the new norm.

TANZANIA CONSUMER CHOICE AWARDS 2020



ARSENAL VS LIVERPOOL - NANI KUFUNGUA LIGI KIBABE?

Ni kivumbi Jumamosi hii katika soka wakati ambapo Arsenal atakipiga dhidi ya Liverpool ndani ya Ngao ya Hisani.

Kukuzidishia uhondo @dstvtanzania inakupa kutazama mechi hii Live ndani ya kifurushi cha Bomba.

Piga *150*53# kulipia sasa TShs. 19,000 tu ili usikose mechi hii, au piga 0659 07 07 07 kujiunga na DStv kwa gharama nafuu zaidi

#WorldBestFootball

#SokaLisiloPimika

Thursday 27 August 2020

KARAOKE NIGHT EVERY THURSDAY AT THE DECK KITCHEN & BAR!!!


ECOBANK GROUP WINS THE AWARD FOR INNOVATION IN FINANCIAL SERVICES FROM AFRICAN BANKER

Lomé, Togo, 26 August 2020 – The leading pan-African banking group, Ecobank, is delighted to announce that it has won the Award for Innovation in Financial Services at the 2020 edition of the prestigious African Banker magazine Awards. The Awards, which reward banking excellence in Africa, were announced at a virtual ceremony held on 26thAugust.

The African Banker’s judging process sought to recognise the African banks that have demonstrated original and practical uses of technology to provide customer convenience, improved and more affordable services and greater access to the financial services sector in Africa.

Ade Ayeyemi, Group Chief Executive Officer said: “Winning the Award for Innovation in Financial Services from the African Banker magazine is such an honour. It provides public recognition of our pioneering role in harnessing technology to complement our pan-African presence and partnerships, to deliver accessible, convenient, affordable and innovative banking products which are making a difference to millions of lives and businesses across sub-Saharan Africa. Five years ago, we commenced a digital transformation journey to transform our banking products and services. This award attests to the success of that journey and we are delighted that our significant investment in technology is yielding the desired results.”

BENKI YA NMB YAFUNGUA TAWI MALINYI, MKOANI MOROGORO

Mkuu wa Wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro, Mathayo Masele akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa tawi la Benki ya NMB Malinyi. Wengine katika picha kutoka kushoto ni Kaimu Afisa Mkuu wa Kitengo cha Mikopo waa NMB, Demetus Kamguna, Mwakilishi wa Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa NMB, Salie Mlay, Meneja wa NMB Kanda ya Mashariki, Dismas Prosper na Meneja wa Tawi la Malinyi, Ipyana Mwakatobe.
Mkuu wa Wilaya ya Malinyi, Mathayo Masele na Kaimu Afisa Mkuu wa wateja Binafsi na Biashara wa Benki ya NMB, Salie Mlay wakipiga makofi baada ya kufunguliwa rasmi kwa tawi la Benki ya NMB Malinyi.
Benki ya NMB imeendelea kupanua wigo wake kwa kufungua tawi ‘NMB Malinyi’katika wilaya ya Malinyi Mkoani Morogoro. Ufunguzi wa tawi hili umeleta ahuweni kwa wakazi waliokuwa wanasafiri umbali wa kilomita 160 kwenda mji wa Ifakara Wilayani Kilombero kupata huduma za kibenki.

Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa tawi hilo, Mkuu wa Wilaya ya Malinyi - Mathayo Masele amesema tawi hilo limekuwa likisubiriwa kwa hamu sana kwani NMB ndio taasisi ya kwanza kufungua tawi ambapo anaamini litachochea ukuaji wa uchumi na maendeleo katika eneo hilo kutokana na kuongezeka kwa kasi ya uzalishaji wa mazao ya kilimo, mifugo pamoja na uchimbaji wa madini ya dhahabu ambayo yamegunduliwa hivi karibuni.

Masele alisema kuwa Benki hiyo licha ya kukuza uchumi pia itawapunguzia gharama wafanyabishara, na Taasisi ambazo zilikuwa zikitumia gharama kubwa kwaajili ya kusafirisha fedha kwa usalama zaidi

NMB BIMA MARATHON 2020. TUKUTANE SEPTEMBA 12, 2020

Ardhi itatetemeka, nyasi zitatifuka na patachimbika! 

Siyo tetemeko bali ni mbio za NMB Bima Marathon zikisindikizwa na burudani zilizosheheni mambo mapya na mazuri kibao.

Karibu ujisajili ndani ya Mlimani City karibu na KFC, sasa! 



Usiwe na shaka, kama ulishajisajili mwezi Machi bado unaweza kutumia tiketi ile ile Septemba 12 kukimbia katika mbio za NMB Bima Marathon zitakazoanzia Mlimani city. 



Fanya kama unaibuka Mlimani City ikiwa bado haujapata tiketi yako ili Septemba 12 tuungane kuuchapa mwendo. 



Gharama za ada kwajili ya Marathon ndo hizo hapo juu! Angalia wapi panakufaa na kumbuka unaweza kulipia tiketi yako ukifika Mlimani City karibu na KFC. 



KUWA SMATI, JISEVIE POPOTE ULIPO!

Miamala yako yote iko salama, lipia huduma na bidhaa mtandaoni kwa haraka na urahisi. 

Wasilian na benki yako kwa taarifa zaidi. 

TBA pamoja na wewe! 

#KuwasmatiJisevie

#KuwaSmatiLipaBilaMakato

TANGA CEMENT YAANZA KUSAFIRISHA SARUJI KWA NJIA YA TRENI KWENDA ARUSHA

Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini, Kenani Kihongosi (wa tatu katikati), akipokea tani 320 za saruji kutoka kwa Mtendaji Mkaazi wa Kampuni ya Saruji Tanga, Mhandisi Ben Lema juzi jijini Arusha wakati wa uzinduzi wa safari ya majaribio ya treni. kushoto ni Meneja Masoko Taifa, Leslie Masawe, wa kwanza kulia ni Diana Malambugi, Meneja Mkuu Rasilimali Watu na Mtanga Noor, Meneja Mawasiliano wa kampuni hiyo.
Treni ya mizigo ikiwasiri katika stesheni ya Krokon jijini Arusha ikiwa na shehena ya saruji tani 320 kutoka Kampuni ya Tanga Cement ya jijini Tanga juzi. Treni hilo lililokuwa na mabehewa nane lilipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Idd Kimanta.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Idd Kimanta amepokea treni ya kwanza ya abiria kutoka Moshi mkoani Kilimanjaro na mizigo kutoka Tanga ikiwa na tani 320 za saruji kutoka Kampuni ya Tanga Cement.

Mkuu wa mkoa amepokea treni hiyo jana Agosti 24,2020 saa 9:30 alasiri kwenye stesheni ya Krokon jijini Arusha na na kukabidhiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mgwira, kisha akapanda kwenye treni hiyo saa 9:35.
Akizungumza na mamia ya wakazi wa mji wa Arusha na wengine kutoka mikoa jirani, Mkuu wa mkoa alisema amefurahi kupokea treni hiyo yenye mabehewa nane ya abiria na treni ya mzigo yenye mabehewa nane ya saruji yenye uzito wa tani 320 kutoka Kampuni ya Saruji ya Tanga.
Alisema kukamilika kwa kipande cha reli ya Moshi - Arusha na kuanza kutoa huduma, ni mwendelezo wa utekelezaji wa dhamira ya Serikali ya Awamu ya Tano kuhakikisha miundombinu ya usafiri na usafirishaji inatoa fursa za kibiashara.

Hatutamvumilia mtu yeyote atakayehujumu miundombinu ya reli,î alisema Mkuu wa mkoa huyo.

Mkuu wa mkoa amewataka viongozi na watendaji wa mikoa na maeneo ambayo reli inapita kuhakikisha wanatunza miundombinu na kutoa elimu kwa umma kuhusu usalama.
Katika treni hilo la abiria, alikuweno Mgwira na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hamphrey Polepole na viongozi wengine wa Mkoa wa Kilimanjaro.

T-BONE HAPPY HOUR SPECIAL AT THE DECK KITCHEN & BAR

MSIMU MPYA WA SOKA UNARUDI TENA KWA KISHINDO NDANI YA DStv PEKEE!


Msimu mpya wa soka unarudi tena kwa kishindo!

Furahia michuano ya ligi mbalimbali ikiwemo Ligi Kuu Ya Uingereza #EPL, #Laliga, #SerieA, #UEFA na ligi nyenginezo kupitia #SokaLisiloPimika ndani ya @dstvtanzania kupitia ulimwengo wa michezo SuperSport.

Piga *150*53# kulipia kifurushi chako, au 0659 07 07 07 kujiunga sasa na DStv kwa gharama nafuu zaidi.

#WorldsBestFootball

BENKI YA CRDB YAZINDUA TAWI LA KISASA LINALOTEMBEA WILAYANI MLELE, KATAVI

Benki ya CRDB imeendelea na jitihada za kupanua wigo wake wa kuwahudumia wateja na kufikisha huduma za benki hiyo kwa Watanzania walio wengi kwa kuzindua tawi jipya na la kisasa linalotembea "Mobile branch" katika wilaya ya Mlele mkoani Katavi.

Akizungumza katika uzinduzi huo, Mkuu wa mkoa wa Katavi, Mh. Juma Zubier Homea ameipongeza Benki ya CRDB kwa uzinduzi wa tawi hilo linalotembea katika wilaya ya Mlele huku akisema tawi hilo litasaidia kuongeza kasi ya maendeleo ya kiuchumi katika wilaya hiyo na wilaya za jirani.

Mkuu wa mkoa huyo alisema wilaya hiyo ya Mlele ni moja ya kiungo muhimu cha uchumi katika mkoa huo wa Katavi, hivyo uwepo wa tawi hilo utasidia upatikanaji wa huduma za kifedha na kuongeza fursa nyingi za maendeleo kwa wananchi wa mkoa wa Katavi.

"Niwapongeze Benki ya CRDB kwa kuendelea kuonyesha uzalendo wenu kwa kubuni njia mbalimbali za kufikisha huduma kwa Watanzania, tawi hili litakwenda kuwa kichocheo kwa maendeleo ya wana mlele na Katavi kwa ujumla," alisema Mh. Homea huku akibainisha tawi hilo linalotembea linaonyesha ubunifu wa hali ya juu na kuyataka mabenki mengine yaweze kuiga mfano wa Benki ya CRDB kwa kutumia njia mbadala kufikisha huduma kwa wateja.


Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Juma Zuberi Homera akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Tawi linalotembea “Mobile Branch 19” la Benki ya CRDB katika mji wa Majimoto wilayani Mlele Mkoani Katavi. Kushoto ni Meneja wa Kanda ya Nyanda za Juu Benki ya CRDB, Bw. Denis Mwoleka, Kulia wa kwanza ni Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mhe. Rachel Kassanda, na Kulia wa pili ni Meneja Mwandamizi wa Mawasiliano na Mahusiano, Emmanuel Kiondo. Uzinduzi huo uliambatana Benki ya CRDB kukabidhi msaada wa pikipiki 7 zenye thamani ya Milioni 17.5 kwa vyama vya ushirika vya wilaya za Mkoa wa Katavi.
Homela aliwataka wananchi wa Mlele na Vitongoji vyake sasa kuchangamkia fursa mbalimbali zitolewazo na Benki ya CRDB katika kukuza uchimi na uzalishaji kwa mtu mmojamoja na hata vikundi kwa ujumla. Hasa katika kujipatia mikopo nafuu itolewayo na benki hiyo katika kuinua shughuli za kilimo, biashara na ufugaji.

Wednesday 26 August 2020

VODACOM YAZINDUA HUDUMA YA “JIMIXIE BUNDLE”, KUMUWEZESHA MTEJA KUTENGENEZA MSETO WA BANDO LAKE MWENYEWE ANAVYOPENDELEA KWA GHARAMA ZAKE

Mkuu wa Kitengo cha Mikakati na Thamani kwa Wateja Vodacom Tanzania PLC, Jackson Walwa akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu bando jipya la Vodacom Jimixie linalowapa wateja uhuru na urahisi wa kujitengenezea mseto wa bando zao wenyewe kutegemeana na mahitaji yao, muda wa kuisha kwa bando, motisha na gharama. Kushoto ni Mkurugenzi wa Biashara wa Vodacom Tanzania PLC, Linda Riwa.
Wafanyakazi wa Vodacom, wateja na wanahabari wakifuatilia tangazo la JIMIXIE BUNDLE lililokuwa likichezwa kwenye screen wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo mpya kutoka mtandao wa Vodacom.


  • Huduma hii mpya inalenga kuwawezesha zaidi wateja. 
Agosti 26, 2020 - Dar es salaam. Kampuni ya simu za mkononi inayoongoza kidijitali nchini, Vodacom Tanzania PLC leo imezindua huduma nyingine ya kwanza na ya kipekee katika soko ijulikanayo kama Jimixie bando – Hii ni huduma ambayo inawapa wateja uhuru na urahisi wa kujitengenezea mseto wa bando zao wenyewe kutegemeana na mahitaji yao, muda wa kuisha kwa bando, motisha na gharama.

Akiongea na waandishi wa Habari Jijini Dar es salaam, wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo mpya, Mkurugenzi wa Kitengo cha Biashara Bi Linda Riwa amesema, kwa miaka mingi kampuni ya Vodacom imeonyesha mfano katika uvumbuzi na kujenga jamii ya kidijitali kwa kuzindua huduma za pekee na za kwanza sokoni kwa sababu ya ari ya kampuni hii ya kufanya maisha ya wateja kuwa rahisi, bora na yenye utoshelevu zaidi kwa kupitia teknolojia na uvumbuzi.

“Kwa kutambua kwamba mahitaji ya kila mteja ni tofauti na wakati huo huo wateja wote wanahitaji kupata thamani zaidi kwa kile wanachokilipia, tumeamua kutengeneza huduma ambayo inawapa uhuru wa kupata kile wanachohitaji na kwa gharama ambayo wako tayari kuilipa. Mteja anaweza akatengeneza bando lake mwenyewe lenye Data, SMS na Dakika za maongezi kwa pamoja kutegemeana na mahitaji yao, kwa gharama wanayoweza kuimudu na kwa muda wa kuisha kwa bando wanaoutaka. Huu ni ushahidi wa namna ambavyo tunawajali wateja wetu kwa kuwapatia uhuru wa kutengeneza mseto wa bando zao wenyewe jambo ambalo litawapa urahisi na uhakika katika namna ambavyo wateja wanafanya matumizi yao” alisema Riwa.


DStv YAZINDUA MSIMU MPYA WA SOKA

Mkuu wa Masoko wa MultiChoice Tanzania, Ronald Shelukindo.
Wakongwe wa soka nchini watoa rai

Dar es Salaam, 26 August 2020 - SuperSport ambayo ni maarufu kwa kurusha mubashara michezo mbalimbali duniani imetangaza kuzinduliwa rasmi kwa Msimu wa Soka ambapo sasa maandalizi ya ligi kubwa na maarufu duniani yamekamilika na ligi hizo zitaanza siku chache zijaro.

Kwa upande wa Tanzania uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es Salaam na kuhuduriwa na wadau mbali mbali wa soka wakiwemo wachezaji wakongwe waliocheza katika ligi kuu ya Tanzania pamoja na timu ya taifa – Taifa Stars kwa miaka mingi.

Akizungumza katika hafla hiyo Mkuu wa Masoko wa MultiChoice Tanzania Ronald Shelukindo amesema DStv kwa kupitia chaneli za SuperSport kama kawaidia yake msimu huu watawaletea watanzania burudani hiyo mubashara na kwamba tofauti na miaka iliyopita, hivi sasa chaneli za SuperSport zimepangwa upya kulingana na aina ya mchezo unaoonyeshwa.

“Safari hii DStv na SuerSport tunakuletea Soka Lisilopimika! Tumejipanga vizuri zaidi na mbali ya kukuletea michuano mikubwa ulimwenguni kama ligi kuu ya Uingereza – EPL, Ligi kuu ya Hispania – La Liga ana nyinginezo, sasa chaneli za SuperSport zimepangwa mahususi kulingana na aina ya mchezo unaoonyeshwa. Kwa msingi huo sasa kutakuwa na chaneli mahususi kwa ajili ya ligi kuu ya Uingereza, chaneli mahususi kwa ligi ya Hispania, chaneli mahususi kwa Ligi ya Italia na kadhalika” alisema Shelukindo.

Shelukindo amesema kuwa mbali na ligi hizo tatu kubwa ulimwenguni, SuperSport itaendelea kuonyesha mashindano mengine makubwa duniani kama Euro 2020 Championship, UEFA Euro 2020 Qualifiers, European qualifiers kwa ajili ya Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar, UEFA Champions League na UEFA Nations League.


DIGITAL TECHNOLOGY WILL INCREASE ACCESS AND IMPROVE THE QUALITY OF SECONDARY EDUCATION IN TANZANIA

This week, the government announced plans to implement a new initiative, aimed at improving the quality of secondary education across Tanzania.

Speaking at an education stakeholders’ forum in Dar es Salaam, Permanent Secretary for the Ministry of Education, Science and Technology, Dr Leonard Akwilapo, emphasised the government’s commitment to Tanzania’s education system.

In particular he stressed the government’s plans to both increase access to and improve the quality of secondary education across the country.

Notably, Dr Akwilapo highlighted how the project will place an emphasis on digital technology.

This emphasis was two-fold: working to provide schools with the necessary tools to improve the learning environment and ensuring that Tanzanian children are subsequently equipped with the technological skills that will allow them to thrive in a technological world.

The government’s commitment to develop schools will be welcomed.

The importance of ensuring the next generation has access to technology and is armed with the necessary digital skills to excel in a technology-driven world should not be underestimated.

JIUNGE NASI KWENYE UZINDUZI WA KUWA SMATI, JISEVIE POPOTE ULIPO!


Jiunge nasi kwenye uzinduzi wa Kuwa Smati, Jisevie kupitia zoom link hapa chini 👇

https://us02web.zoom.us/j/81319341345?pwd=Q1l4cm1sZHg1QVZOdzRMcUE2aU9adz09


Meeting ID: 813 1934 1345
Passcode: 167691

Time: 11:00am

Guest of Honor: Mr. Abdulmajid Nsekela - Tanzania Bankers Association Chairman

Powered by VISA

Tuesday 25 August 2020

JOB VACANCY AT TANZANIA AGRICULTURAL DEVELOPMENT BANK - PRINCIPAL INSURANCE OFFICER

Nature and scope:

Reporting to the Business Development Manager, the Principal Insurance Ocer will be responsible for delivery of Bancassurance business performance through eective business development, excellent customer service and execution of operational Bancassurance services to the Banks’ customers.

Key Responsibilities;
  • Drive sustainable growth of the portfolio in order to achieve the set business target.
  • Effectively create new client relationships and partnerships whilst ensuring retention of existing business relationships through high standards of customer service.
  • Execution of day to day Insurance operations entailing cross-selling of insurance products, posting of risk details, claims administration and documentation as well as follow up on renewals.
  • Maintain accurate records and reports on insurance transactions.
  • Champion the delivery of consistent, seamless and trusted customer service to ensure customer retention and loyalty.

JOB VACANCY AT TANZANIA AGRICULTURAL DEVELOPMENT BANK - RESOURCE MOBILIZATION MANAGER

Nature and Scope:

Reporting to the Director of Finance, the Resource Mobilization Manager will be responsible for development of resource mobilization strategy; has direct responsibility for executing plan of action and negotiate partnership agreement with corporate, private trusts and other funders. He/She is also responsible for management of all funds received from the Government, its Departments and Agencies and other stakeholders for development activities as per applicable agency agreements

Key responsibilities;


  • To establish and maintain short-term, medium- term and long-term cash availability.
  • To manage all aspects of investment portfolio, investment strategies and perform financial modeling.
  • To conduct stress testing modeling and what-if analyses to simulate liquidity disruptions.
  • Perform analysis required to estimate the liquidity impact to bank and adding new products and currencies into its settlement service.
  • To develop and monitor treasury operations policies, activities and processes.
  • To assist in monitoring local and international markets to ensure smart investment decisions.

JOB VACANCY AT TANZANIA AGRICULTURAL DEVELOPMENT BANK - AGENCY FUND MANAGER

Nature and scope:

Reporting to the Director of Commercial Development & Structured Investment, the Agency Fund Manager will be responsible for management of all funds received from the Government, its Departments and Agencies, Developmental Partners and other stakeholders as per applicable agency agreements.

Key Responsibilities;


  • Manage all funds received from the Government, its Departments and Agencies, Developmental Partners and other stakeholders as per applicable agency agreements.
  • Develop and implement policies, procedures, processes and systems for efficient and effective utilization of the funds.
  • Receive and process applications for the funds and manage all disbursement to beneficiaries to ensure that the funds are utilized as envisioned.
  • Monitor, evaluate and supervise utilization of the funds then prepare and submit financial and operational Reports (monthly, quarterly or yearly) to fund owners as agreed;
  • Account for utilization of the funds.
  • Ensuring that TADB benefits from fund management services, this includes collection of non- interest income for the bank such as management fees for management of each particular fund.

JOB VACANCY AT TANZANIA AGRICULTURAL DEVELOPMENT BANK - BUSINESS DEVELOPMENT MANAGER

Nature and scope:

Reporting to the Director of Comercial Development & Structured Investment, the Business Development Manager has overall responsibility for overseeing the business expansion plans in accordance with the approved strategic plan of the Bank from time to time.

Key Responsibilities;

  • To desing and provide nancial solutions (debt and structured nancial products) to the wide range of the bank’s customers which includes large-, medium- and smallholder famers) either directly or through other Banks’s partners/networks.
  • To oer tailored value chain nancing client solutions and products to enhance and meet the needs of target segments in collaboration with other departments (strategy and advisory)
  • Implementation of strategic delivery roadmaps to enable the realization of the desired commercial and social outcomes / impact.
  • Work with other division (risk & portfolio management) to ensure an optimal and compliant control environment that appropriately balances risk appetites and customer demand with the need to grow to achieve the desired impact, nancial ambitions and balance sheet aspirations of the Bank.

BANK OF TANZANIA NOTICE TO THE PUBLIC IN RESPECT OF MWANGA COMMUNITY BANK LIMITED, EFC MICROFINANCE BANK (TANZANIA) LIMITED AND HAKIKA MICROFINANCE BANK LIMITED

ZANTEL ORGANISES A GOLF TOURNAMENT AT LUGALO GOLF GROUNDS

The Foreign Affairs and East African Cooperation Deputy Minister, Dr. Damas Ndumbaro teeing off during the monthly golf tournament organised by Zantel and took place at the Lugalo Golf grounds in Dar es Salaam yesterday.
Kain Mbaya, a Lugalo Golf club player teeing off during the monthly golf tournament organised by Zantel yesterday in Dar es Salaam. The tournament took place at the Lugalo Golf ground.
Nicholaus Chitanda, a Lugalo Golf club player, teeing off during the golf tournament that was organised by Zantel and took place at the Lugalo Golf Club in Dar es Salaam yesterday.

FAHAMU ZAIDI CAMP NOU, UWANJA BORA ZAIDI DUNIANI NDANI YA DStv PEKEE

Tukielekea msimu mpya wa LaLiga 20/21 fahamu zaidi Camp Nou, uwanja bora zaidi duniani ndani ya @dstvtanzania pekee....

Piga sasa *150*53# kulipia kifurushi chako mapema.

IFAHAMU ZAIDI BARCELONA, KLABU TAJIRI ZAIDI DUNIANI NDANI YA DStv PEKEE

Tukielekea msimu mpya wa Laliga 20/21 ifahamu zaidi Barcelona, klabu tajiri zaidi duniani ndani ya @dstvtanzania pekee....

Piga sasa *150*53# kulipia kifurushi chako mapema.

UDAMBU UDAMBU WA NDONDO LIVE DStv KWA TSH 19,000 TU!

Mchezo wa Kinondoni Utd Vs Twalipo Youth FC utapigwa katika dimba la Urafiki (Shekilango) na utarushwa LIVE Plus TV kuanzia saa 10 kamili alasiri kupitia king'amuzi cha DStv Channel namba 294.

#NdondoCup2020 #Tunatoboa

BENKI YA NMB YAWAKOMBOA WANACHI WA MLIMBA, WILAYANI KILOMBERO, MKOANI MOROGORO

Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, Ismail Mlawa (wa tatu kutoka kulia) akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa tawi la NMB Mlimba Wilayani Kilombero, Mkoani Morogoro wakati wa hafla ya ufunguzi iliyofanyika jana. Kutoka kushoto ni Meneja wa NMB Kanda ya Ziwa, Baraka Ladislaus, Meneja wa tawi la NMB Mlimba, Omary Mtibiro, Mwakilishi wa Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara, Salie Mlay, Meneja wa Kanda ya Mashariki, Dismas Prosper na Afisa Tarafa ya Mlimba, Emiliana Simanga.
Meneja wa tawi la NMB Mlimba, Omary Mtibiro (kushoto) akitoa maelezo kwa Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, Ismail Mlawa baada ya kuzindua rasmi tawi hilo jana.
Benki ya NMB imefungua tawi jipya la Mlimba katika Wilaya ya Kilombero, Mkoani Morogoro. Tawil hili ni neema kwa wakazi wa eneo hili kwani walikuwa wakisafiri umbali wa kilomita 150 ili kuzifikia huduma za kibenki.

Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa tawi hilo, kwa niaba ya Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa NMB, Salie Mlay alisema ujenzi wa tawi hilo Mlimba ni utekelezaji wa sera ya Benki hiyo ya kuwasogezea wanachi huduma za kibenki.

Mlay alisema kuwa, NMB imeendelea kuimarisha huduma mbalimbali na mpaka sasa wameshafungua jumla ya matawi 12 Mkoani Morogoro - lengo likiwa kuhakikisha jamii inapata huduma za kibenki zilizo bora na kwa ukaribu zaidi