Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Thursday 27 August 2020

NMB BIMA MARATHON 2020. TUKUTANE SEPTEMBA 12, 2020

Ardhi itatetemeka, nyasi zitatifuka na patachimbika! 

Siyo tetemeko bali ni mbio za NMB Bima Marathon zikisindikizwa na burudani zilizosheheni mambo mapya na mazuri kibao.

Karibu ujisajili ndani ya Mlimani City karibu na KFC, sasa! 



Usiwe na shaka, kama ulishajisajili mwezi Machi bado unaweza kutumia tiketi ile ile Septemba 12 kukimbia katika mbio za NMB Bima Marathon zitakazoanzia Mlimani city. 



Fanya kama unaibuka Mlimani City ikiwa bado haujapata tiketi yako ili Septemba 12 tuungane kuuchapa mwendo. 



Gharama za ada kwajili ya Marathon ndo hizo hapo juu! Angalia wapi panakufaa na kumbuka unaweza kulipia tiketi yako ukifika Mlimani City karibu na KFC. 



No comments:

Post a Comment