Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Friday 28 July 2023

GEITA GOLD MINING DONATES DESKS TO SCHOOLS IN GEITA



Geita Gold Mining Limited (GGML) is firmly committed to equal access to education and has once again demonstrated its continued commitment to the upliftment of the communities in which it operates. In a generous move, GGML has donated 8,823 desks to various schools in the Geita region to provide a conducive learning environment for young students.


At the handover ceremony held yesterday in collaboration with the Geita local authorities as part of GGML's Corporate Social Responsibility (CSR) initiative, the Geita Regional Commissioner, Hon. Martin Shigella, expressed his joy at the timely support. As more and more schools are being built, the need for school desks became evident and GGML stepped forward to undertake this important task.


NON PERFORMING PARASTATALS PUT ON NOTICE

Treasury Registrar (TR), Nehemiah Mchechu (right) pictured in Dar es Salaam receiving a dummy cheque for 2.5bn/- from Tanzania International Petroleum Reserves Limited (TIPER) in dividend to the Government. Left is TIPER Managing Director, Mohamed Mohamed and second left is the firm's Acting Board Chairman, Jamhuri Ngelime.

The Office of Treasury Registrar (OTR) will next month announce a list of parastatals that will include those to be disbanded, merged and given more time for improving their performance.

Treasury Registrar (TR) Nehemia Mchechu made the statement in Dar es Salaam on Thursday when receiving a dividend amounting to 2.5bn/- from the Tanzania International Petroleum Reserves (TIPER) Limited.

The company’s dividend is from its profit made during the year ending June 2022.

The TIPER is owned jointly between the government and the Oryx Energies.

During the event, Mr. Mchechu emphasised that the government wants accountability and efficiency in all its institutions.

He pointed out that TIPER was the among government institutions performing well in supporting economic development to help Tanzanians boost their income.

PREMIER LEAGUE SUMMER SERIES NDANI YA DStv


Premier League Summer Series inaendelea, na huipati popote isipokua DStv!

Kaa tayari kutazama Live mtanange huu, ambao utarushwa kupitia kifurushi cha Poa Tshs 10,000/= tu.

Piga *150*53# kulipia kwa urahisi zaidi.

#TVNiDStv
#Unakosaje

Thursday 27 July 2023

11,000 INDIANS TO WORK IN DANGOTE'S NEW OIL REFINERY

Aliko Dangote's refinery project has the capacity to produce 650,000 barrels per day.
  • Aliko Dangote's $20.5 billion oil refinery in Nigeria promises to reduce petroleum prices, marking a significant milestone for the nation's energy industry.
  • Controversy arises as Dangote plans to hire 11,000 Indian workers for the refinery, leading to public outrage in Nigeria due to concerns about local employment opportunities.
  • The Sub-Saharan African Skills and Apprenticeship Stakeholders Network explains that the decision to hire Indian workers was influenced by a perceived lack of necessary skills among Nigerian youth.
In May 2023, Aliko Dangote, Africa's richest man, triumphantly unveiled his gigantic oil refinery in Nigeria, promising that petroleum prices will be reduced to a certain degree, as a result. The long-awaited project marks a watershed moment in the country's energy industry and Dangote's ambitious plans. The much-awaited project represents an important turning point for the nation's energy industry and Dangote's ambitious endeavors.

While Dangote's idea has been acclaimed by Nigerians, a new report that has been making the rounds has soured the idea. Dangote recently announced plans to employ 11,000 Indians to work at his new refinery rather than provide those jobs to his fellow Nigerians.

Considering the rate of unemployment in Nigeria, the general public is partly outraged that Dangote has instead chosen to hire Indians. However, this decision has been rationalized.

Why the Dangote refinery is planning to hire 11,000 trained employees from India while ignoring young people from Nigeria and other African nations has been revealed by the Sub-Saharan African Skills and Apprenticeship Stakeholders Network.

VODACOM YAIBUKA KINARA KATIKA TEKNOLOJIA AFRIKA

Mkurugenzi wa Miundombinu na Mtandao wa Vodacom Tanzania Plc, Andrew Lupembe (kushoto) na Mkurugenzi wa TEHAMA, Athumani Mlinga (kulia) wakipokea tunzo ya kampuni inayoongoza kwa teknolojia barani Afrika baada ya kuibuka kinara miongoni mwa makampuni ya Vodacom yaliyoko Afrika. Tunzo hii imekabidhiwa na Dejan Kastelic, Afisa Mkuu wa Teknolojia kutoka kundi la makampuni ya Vodacom wakati wa hafla iliyofanyika mwanzoni mwa wiki hii jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Idara ya Usalama Mtandaoni wa Vodacom Tanzania PLC, Joel Kazyoba (kulia) akipokea tunzo ya kampuni inayoongoza kwa teknolojia barani Afrika baada ya kuibuka kinara miongoni mwa makampuni ya Vodacom yaliyoko Afrika. Tunzo hii imekabidhiwa na Dejan Kastelic, Afisa Mkuu wa Teknolojia kutoka kundi la makampuni ya Vodacom wakati wa hafla iliyofanyika mwanzoni mwa wiki hii jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Idara ya Usalama Mtandaoni wa Vodacom Tanzania PLC, Joel Kazyoba (wa pili kulia) akipokea tunzo ya kampuni inayoongoza kwa teknolojia barani Afrika baada ya kuibuka kinara miongoni mwa makampuni ya Vodacom yaliyoko Afrika. Tunzo hii imekabidhiwa na Dejan Kastelic, Afisa Mkuu wa Teknolojia kutoka kundi la makampuni ya Vodacom wakati wa hafla iliyofanyika mwanzoni mwa wiki hii jijini Dar es Salaam. Wakifurahia tukio hilo kwa pamoja kushoto ni Mkurugenzi wa Miundombinu na Mtandao wa Vodacom Tanzania Plc Bw. Andrew Lupembe na kulia ni Mkurugenzi wa TEHAMA Bw. Athumani Mlinga.

Wednesday 26 July 2023

ECOBANK, ONCE AGAIN, WINS COVETED EUROMONEY AWARD AS AFRICA'S BEST BANK FOR SMEs

Left to right: Louise Bowman – Editor, Euromoney; Fabrice Groga – Corporate & Investment Banking, Ecobank; Jon Sopel – Presenter, LBC.

Lomé, 14 July 2023 – Ecobank, the leading pan-African Banking Group, has been named Africa’s Best Bank for SMEs (small and medium-sized enterprises) by the prestigious Euromoney Awards for Excellence for the second year running, having also won the accolade in 2022.

Jeremy Awori, Chief Executive Officer, Ecobank Group, said: “This award reflects Ecobank’s absolute commitment to supporting African SMEs and our continuous suite of innovations – financial and non-financial – to spur their growth and success. We aim to be the bank of choice for Africa’s SMEs. Undoubtedly, these SMEs are the key drivers for Africa’s economic growth, as they create jobs, generate prosperity while eliminating poverty across the continent.”

KIBO GOLD YARUDI TENA KANDA YA KASKAZINI

Mkurugenzi wa Masoko na Uvumbuzi Serengeti Breweries (SBL), Anitha Rwehumbiza (wa pili kulia) akitangaza kurejea kwa Bia ya KIBO GOLD. Wa pili kushoto ni Meneja Uvumbuzi SBL, Bertha Vedastus, wa kwanza kushoto akiwa ni Mkurugenzi wa Biashara SBL, Chris Gitau na wa kwanza kulia ni Meneja Mauzo kanda ya kaskazini, Patrick Kisaka.
Meneja Uvumbuzi kutoka SBL, Bertha Vedastus (watatu kutoka kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika tukio la kutangaza kuirudisha tena bia ya KIBO GOLD kanda ya kaskazini. Wa kwanza kulia ni Meneja Chapa Uvumbuzi, Joseph Innocent, akifuatiwa na Mkurugenzi wa Masoko na Uvumbuzi, Anitha Rwehumbiza. Wa kwanza kushoto ni Meneja Masoko kanda ya kaskazini, Andrew Msiagi, wa pili kushoto ni Meneja Mauzo kanda ya kaskazini, Patrick Kisaka na wa tatu kushoto ni Mkurugenzi wa Biashara, Chris Gitau. 
Mkurugenzi wa Masoko na Uvumbuzi, Anitha Rwehumbiza akielezea jambo mbele ya waandishi wa habari.
Viongozi wa SBL wakitoa ishara ya kutangaza rasmi kurejea kileleni kwa bia ya KIBO GOLD.
Wafanyabiashara mbalimbali wakiburudika na bia hio katika hafla hio iliyofanyika mjini Moshi.

Kilimanjaro, 24 Julai 2023 - Wakazi wa kanda ya mikoa ya kaskazini ya Arusha, Tanga, Manyara na Kilimanjaro wamekoshwa baada ya bia ya KIBO GOLD kurudi tena baada ya kukosekana kwa kipindi cha miaka 5 sokoni.

Kurudi tena kwa bia hii inalenga kudumisha historia ya kipekee kwa Serengeti Breweries (SBL) kutengeneza bia yenye kilele cha ladha ileile bora na adimu ambapo pia chapa hii imeshuhudiwa kunyakua tuzo mbalimbali za dhahabu kama ya Monde Section kwenye mashindano yaliyofanyika mjini Bordeaux, nchini Ufaransa mwaka 2014.

Bia ya KIBO GOLD sasa inarejea ikiwa na mwonekano maridadi kwa kutengenezwa kwa ubora usio na kifani – ikiwa na viungo vya asilia na kutokuwa na sukari ya ziada na kwa bei ya 1,500/- tu.

MANCHESTER CITY VS BAYERN MUNICH NDANI YA DStv



Uhakika wa Soka ni kupitia chaneli za SuperSport!

Furahia mechi ya kirafiki ya Manchester City dhidi ya Bayern Munich! Kikosi gani kitafurahia ushindi?

Lipia kifurushi chako cha Compact mapema usipitwe na mtanange huu ndani ya @dstvtanzania pekee

#sokanidstv
#unakosaje

Tuesday 25 July 2023

TANZANIA'S KAGERA SUGAR TO ACQUIRE SOUTH AFRICA'S TONGAAT HULETT SUGAR ASSETS


Tanzania Sugar Board (TSB) has said the move by Kagera Sugar to acquire Tongaat Hullet’s Sugar assets is a significant milestone as it seeks to expand its wings beyond boarders.

TSB Director General Prof Kenneth Bengesi made the comment on Monday when reacting to the news over the local sugar producer’s decision to acquire Tongaat Hulett sugar assets.

Speaking to ‘Daily News’ Prof Bengesi said the board was delighted by the Bukoba based sugar producing company to acquire the assets of the South Africa-based sugar firm.

“We are proud that, Kagera Sugar, one of our local sugar producers, has extended its wings beyond the country’s borders to grab new opportunities,” he said.

He added, “Tongaat Hulett sugar is one of the largest sugar producers in the southern Africa, and thus for Kagera Sugar to acquire its assets is a commendable move.”

Tongaat Hulett sugar focuses on cane growing, sugar milling and refining throughout the Southern African region.

The company has four mills in South Africa with an installed capacity to produce more than 1.0 million tonnes of sugar per annum.

Kagera Sugar has emerged as the preferred equity partner to acquire Tongaat Hullet’s sugar assets, chosen out of a short list of eight candidates.

Kagera Sugar Managing Director Nassor Seif was quoted at the weekend as saying that the acquisition is in line with its overall group strategy across the Africa, where it has ambitions to become a leading sugar producer on the continent.

Monday 24 July 2023

GOVERNMENT PLEDGES SUPPORT FOR GEITA GOLD MINING KILI CHALLENGE CAMPAIGN

The Minister of State, Office of the Prime Minister, Policy, Coordination and Parliament, Jenista Mhagama (left) presents a certificate of appreciation to Abel Musa. The 14- years old primary school student in Mbugani - Geita attempted to climb Mount Kilimanjaro but because of malaria, he failed to make it to Uhuru peak, the summit of the highest moutain in Africa.



The Minister of State in the Office of the Prime Minister (Policy, Parliament and Coordination), Jenista Mhagama, has confirmed the government's commitment to supporting the GGML KiliChallenge campaign to raise funds for the fight against HIV and AIDS. This commitment is in line with the government's efforts to eliminate new infections of the disease by 2030.


Mhagama has also instructed the ministry's deputy permanent secretary to ensure that the two 14-year-old pupils who successfully completed the seven-day climb of Mount Kilimanjaro as part of the campaign, which was launched 22 years ago, are included in the list of participants for the upcoming Heroes' Day celebrations on 25 July this year.


Launched in 2002 by Geita Gold Mining Limited (GGML) in partnership with the Tanzania Commission for AIDS (TACAIDS), the GGML KiliChallenge campaign also aims to support the government in achieving the national targets of zero new infections, zero discrimination and stigma, and zero AIDS-related deaths.


PM-MAJALIWA LAUDS NBC'S SUPPORT TO MATERNAL HEALTH


  • Prime Minister Majaliwa was the GOH for the third edition of the NBC Dodoma Marathon
  • The Marathon attracted more than 4,000 participants from 8 different countries
  • The main objective is to raise funds to support the fight against cervical cancer awareness and midwifery scholarships in Tanzania
  • More than 300 million were raised to support the course
  • In the last two years, more than 500 million were raised, facilitating the screening of more than 23,000 women; 1300 were diagnosed and are currently undergoing treatment
Dodoma, July 23, 2023: Prime Minister Kassim Majaliwa lauded NBC Bank for organizing a fundraising Marathon, the “NBC Dodoma Marathon,” to support the fight against cervical cancer and provision of midwifery scholarships in Tanzania. Speaking at the marathon event in Dodoma yesterday, Prime Minister Majaliwa said that the Government appreciates the drive by the private sector to join hands in finding solutions to challenges facing society.

“The government acknowledges the noble social citizenship work carried by NBC Bank over the years. We appreciate the innovation of partnering with Ocean Road Cancer Institute, Benjamin Mkapa Foundation, and the Tanzania Athletic Association to develop this marathon geared towards raising funds to support the maternal health initiatives in Tanzania. The government supports all endeavors to save the lives of mother and child,” he said.

WAZIRI MKUU AIPONGEZA NBC KWA KUSAIDIA AFYA YA UZAZI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (wa pili kushoto) akishiriki katika mbio za NBC Dodoma Marathon 2023 pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Theobald Sabi (wa pili kulia). Wengine wa kwanza kulia ni mkuu wa mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule na kushoto ni mkuu wa wilaya ya Dodoma Jabir Shekimweri. Mbio za mwaka huu zimefanikiwa kukusanya shilingi milioni 500 zitakazotumika kusaidia mapambano dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi na afya ya uzazi kwa wanawake.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (kushoto) akimpongeza Waziri wa Utamaduni. Sanaa na Michezo Pindi Chana baada ya kushiriki mbio za NBC Dodoma Marathon 2023. Wanaoshuhudia wa kwanza kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Theobald Sabi. Mbio za mwaka huu zimefanikiwa kukusanya shilingi milioni 500 zitakazotumika kusaidia mapambano dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi na afya ya uzazi kwa wanawake.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimvisha medali mmoja wa washindi wa NBC Dodoma Marathon 2023. Wanaoshuhudia ni Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Pindi Chana (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Theobald Sabi. Mbio za mwaka huu zimefanikiwa kukusanya shilingi milioni 500 zitakazotumika kusaidia mapambano dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi na afya ya uzazi kwa wanawake.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (wa nne kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na wadhami ni wa NBC Dodoma Marathon 2023 pamoja na viongozi wa Benki ya NBC na viongozi wa mkoa wa Dodoma muda mfupi baada ya kumalizika kwa mbio hizo. Mbio za mwaka huu zimefanikiwa kukusanya shilingi milioni 500 zitakazotumika kusaidia mapambano dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi na afya ya uzazi kwa wanawake.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (wa nne kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 107 kwa Taasisi ya Benjamini Mkapa Foundation. Fedha hizo ni sehemu ya fedha zilizopatikana kutokana na mbio za NBC Dodoma Marathon 2023 na zitakwenda kufadhili mafunzo ya wakunga ili kuongeza wataalamu watakaosaidia kuokoa vifo vinavyotokana na uzazi kwa akina mama.

Dodoma, Julai 23, 2023: Waziri Mkuu wa Jamuhuri wa Muunngano wa Tanzania Kassim Majaliwa, ameipongeza Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa kuandaa mbio za NBC Marathon ambazo zinalenga kukusanya fedha kwa ajili ya kusaidia afya ya uzazi na saratani ya shingo ya kizazi.

Akiongea muda mfupi baada ya mbio hizo kumalizika jijijini Dodoma, Waziri Mkuu alisema Serikali inatambua na kuthamini mchango wa sekta binafsi katika kuiunga mkono kwenye kutatua changamoto mbali mbali zinazoikabili jamii.

“Serikali inathamini mchango mkubwa unaotolewa na benki ya NBC. Tunafurahishwa na ushirikiano mzuri kati ya Taasisi ya Kansa ya Ocean Road, Taasisi ya Benjamini Mkapa pamoja na Chama cha Riadha Tanzania ambao umekuwa ukiwezesha kukusanya fedha kwa ajili ya kusaida mapambano dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi na mwaka huu likiongezeka eneo la afya ya uzazi. Serikali inapongeza jitihada hizi nzuri,” alisema

Friday 21 July 2023

NBC YASAINI MKATABA NA WIZARA YA ELIMU KUTOA UFADHILI WA MASOMO YA UFUNDI

Waziri wa wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolph Mkenda (wa tatu kulia) akishuhudia Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi (kushoto) akisaini mkataba pamoja na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Prof. James Mdoe (kulia). Kupitia mkataba huo uliosainiwa jijini Dodoma, Benki ya NBC itatoa ufadhili wa masomo ya ufundi kwa wanafunzi 1,000. Wengine pichani ni wafanyakazi wa Wizara ya Elimu na Benki ya NBC.

Waziri wa wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolph Mkenda (katikati) akishuhudia Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi (kushoto) na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Prof. James Mdoe (kulia) wakibadilishana nakala za mikataba. Kupitia mkataba huo uliosainiwa jijini Dodoma, Benki ya NBC itatoa ufadhili wa masomo ya ufundi kwa wanafunzi 1,000. Wengine pichani ni wafanyakazi wa Wizara ya Elimu na Benki ya NBC.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi akizungumza wakati wa hafla ya kutiliana saini mkataba wa makubaliano kati ya Benki hiyo na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia. Kupitia mkataba huo uliosainiwa jijini Dodoma, Benki ya NBC itatoa ufadhili wa masomo ya ufundi kwa wanafunzi 1,000.

Dodoma, Julai 20, 2023: Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesaini mkataba wa makubaliano na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknalojia kwa ajili ya kutoa ufadhili wa masomo ya ufundi kwa vijana wa Kitanzania.

Katika makubaliano hayo, NBC itaanza kutoa udhamini wa masomo kuanzia mwaka huu 2023 na imetenga jumla ya shilingi milioni 100 kwa ajili ya programu hiyo mpya.

Wanufaika wa programu watakuwa ni vijana wa Kitanzania wenye umri kuanzia miaka 18 na kuendelea na ambao wanatoka katika familia zenye vipato duni. Programu itasimamiwa na Wizara Elimu, Sayansi na Teknalojia na Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) wataitekeleza.

Ufadhili huo wa masomo unaojulikana kama NBC Wajibika Scholarship, unalenga kuwapatia vijana ujuzi katika fani mbali mbali ikiwa ni jitihada za kuwafanya waweze kujiajiri na kuajiriwa. Mafunzo yatakuwa yakitolewa na Mamlaka ya Ufundi Stadi (VETA).

Akiongea wakati ya hafla ya makubaliano hayo, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknalojia, Profesa Adolf Mkenda alisema tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana linaweza kutatuliwa kwa kuwasaidia vijana kupata ujuzi ambao utawawezesha kujiajiri.

DKT. NCHEMBA ATETA NA MHE. WAZIRI WA MAWASILIANO NA UCHUKUZI WA CONGO DRC

Waziri wa Fedha. Mhe. Dkt Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akisalimiana na Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Mhe. Ekila Libombo, walipokutana kwenye mazungumzo, kuhusu mipango ya kuimarisha miundombinu ya usafiri na usafirishaji ili kukuza biashara na uchumi wa nchi hizo mbili, kwenye Ofisi za Wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano, jijini Kinshasa, Congo (DRC).

Na Scola Malinga, Kinshasa.

Waziri wa Fedha. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Mhe. Ekila Libombo, kuhusu mipango ya kuimarisha miundombinu ya usafiri na usafirishaji ili kukuza biashara na uchumi wa nchi hizo mbili.

Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Mhe. Ekila Libombo (katikati) akiwa na Waziri wa Fedha. Mhe. Dkt Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (kushoto) pamoja na Balozi wa Tanzania nchini DRC, Mhe. Balozi Said Juma Mshana (kulia) baada ya kufanya mazunguzo kuhusu mipango ya kuimarisha miundombinu ya usafiri na usafirishaji ili kukuza biashara na uchumi wa nchi hizo mbili, katika Ofisi za Wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano, jijini Kinshasa, Congo (DRC).

Mazunguzo hayo yamefanyika mjini Kinshara, Jamhuri ya Kidemokrasia Congo, kando ya mkutano wa Kamati ya Mawaziri wa Fedha na Uwekezaji wa jopo la mapitio ya uchumi mpana katika Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).

Waziri wa Fedha wa Tanzania, Mhe. Dkt Mwigulu Lameck Nchemba akiwa kwenye kikao cha pamoja na Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Mhe. Ekila Libombo, kuhusu mipango ya kuimarisha miundombinu ya usafiri na usafirishaji ili kukuza biashara na uchumi wa nchi hizo mbili, kwenye Ofisi za Wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano, jijini Kinshasa, Congo (DRC).

Katika mazungumzo yake, Mhe. Dkt Nchemba alitaja maeneo kadhaa ya ushirikiano ikiwemo, Tanzania kupatiwa kibali cha ndege za abiria za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) kuanza kufanya safari kati ya mataifa hayo mawili ili kuwezesha biashara ya usafirishaji wa abiria na mizigo.

“Ujenzi wa miundombinu ya barabara upande wa Mashariki mwa DRC, kuanzia maeneo ya jiji la Lubumbashi, Moba hadi kufika Bandari ya Kalemie, na ujenzi wa reli ya SGR itakayounganisha Nchi za Burundi na DRC kutokea Uvinza-Tanzania hadi Kindu nchini DRC kupitia Musongati na Gitega nchini Burundi ni miradi muhimu” Alisema Dkt. Nchemba

SUPERSPORT INAKULETEA 'SUMMER SERIES' NDANI YA DStv



Kuelekea michuano ya #EPL SuperSport inakuletea michuano ya Summer Series itakayoanza Jumapili hii ndani ya @dstvtanzania pekee.

Mechi hizi zitakuaje?

Lipia kifurushi cha Poa TShs. 10,000 mapema ufurahie mechi hizi.

Piga namba 0659 07 07 07 ujiunge na familia ya DStv kwa gharama nafuu usipitwe na mechi hizi.

#sokanidstv
#unakosaje

PRIME MINISTER TO GRACE NBC DODOMA MARATHON 2023


Dodoma, July 19, 2023: The Prime Minister of the United Republic of Tanzania, Honorable Kassim Majaliwa is expected to be the guest of honor in this year’s NBC Dodoma Marathon scheduled for 23rd July 2023.


The annual charity marathon now in its fourth year, targets to raise a total of Tanzanian Shillings 500 million. The funds will be directed towards the fight against cervical cancer, as well as providing scholarships to local midwives as the bank’s support in the fight against maternal death.


Dodoma Regional Commissioner, Rosemary Senyamule told the reporters recently that preparations for the annual event expected to attract over 6,000 runners from inside and outside the country was in top-gear.


“First of all, I would like to express my sincere appreciation to NBC Bank for organizing this great event for the fourth year in a row. Dodoma as a region is well organized and ready to receive all the participants who are going to take part in this year's charity marathon,” she said.

WAZIRI MKUU MGENI RASMI NBC DODOMA MARATHON 2023

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule (katikati) akiongea wakati wa kutangaza kukamilika kwa maandalizi ya mbio za NBC Dodoma Marathon 2023. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi na kulia ni mkuu wa wilaya ya Dodoma mjini, Jabir Shekimweri. Mbio hizo zinalenga kukusanya shilingi milioni 500 kwa ajili ya kusaidia mapambano dhidi ya kansa ya shingo ya kizazi na kusomesha wakunga ili kupunguza vifo vinavyotokana na uzazi.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule akipokea jezi ya NBC Dodoma Marathon 2023 kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi ikiwa ni maandalizi ya kushiriki mbio za mwaka huu zitakazofanyika Jumapili, Julai 23. Wanaoshuhudia kushoto ni Hapiness Kizigira kutoka NBC na wa kwanza kulia ni DAS wa wilaya ya Dodoma, Sakina Mbugi akifuatiwa na Mkuu wa wilaya ya Dodoma Jabir Shekimweri.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule (kulia) pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi wakionyesha jezi za kukimbilia muda mfupi baada ya kutangaza kukamilika kwa maandalizi yam bio za NBC Dodoma Marathon 2023 zitakazofanyika Jumapili, Julai 23. Mbio hizo zinalenga kukusanya shilingi milioni 500 kwa ajilya kusaidia mapambano dhidi ya kansa ya shingo ya kizazi na kusomesha wakunga ili kupunguza vifo vinavyotokana na uzazi.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule (katikati) akionyesha jezi zitakazotumika katika mbio za NBC Dodoma Marathon 2023 akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Theobald Sabi pamoja na viongozi wa mkoa wa Dodoma ikiwamo Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Jabir Shekimweri. Mbio hizo zinalenga kukusanya shilingi milioni 500 kwa ajili ya kusaidia mapambano dhidi ya kansa ya shingo ya kizazi na kusomesha wakunga ili kupunguza vifo vinavyotokana na uzazi.

Dodoma, Julai 19, 2023: Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa, anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika mbio za NBC Dodoma Marathon 2023 zinazotarajiwa kufanyika siku ya Jumapili tarehe 23 Julai 2023.

Mbio za mwaka huu zinalenga kukusanya jumla ya shilingi milioni 500. Fedha hizo zitatumika kusaidia kupambana na kansa ya shingo ya kizazi pamoja na kutoa ufadhili wa masomo kwa wakunga ikiwa ni sehemu ya kusaidia kuongeza wataalamu ili kupunguza vifo vya uzazi.

Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dodoma kuhusu maandalizi ya mbio hizo zilizojizolea umaarufu mkubwa na ambazo zinafanyika kwa mara ya nne mfululizo mwaka huu, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule alisema mkoa umejipanga vyema kuwapokea wakiambiaji na wageni wote wataoshiriki.

DKT. NCHEMBA ATETA NA WAZIRI WA FEDHA WA KONGO KUHUSU UJENZI WA RELI YA KISASA-SGR

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), kulia, akisalimiana na Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Kidemokrasia Congo, Mhe. Nicolas Kazadi, walipokutana na kufanya mazungumzo katika Ofisi za Wizara ya Fedha, Kinshasa nchini DRC, kuhusu mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) unaotarajiwa kujengwa kutoka Uvinza nchini Tanzania hadi Gitega nchini Burundi kupitia Musongati kwenye machimbo ya madini na kipande kingine cha reli kinachokusudiwa kufika KINDU nchini DRC kupitia Uvira kwenye mpaka wa Burundi na DRC.

Waziri wa Fedha wa Congo Mhe. Nicolas Kazadi akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini DRC, Mhe. Balozi Said Juma Mshana, walipokutana na kufanya mazungumzo katika Ofisi za Wizara ya Fedha, Kinshasa nchini DRC, kuhusu mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) unaotarajiwa kujengwa kutoka Uvinza nchini Tanzania hadi Gitega nchini Burundi kupitia Musongati kwenye machimbo ya madini na kipande kingine cha reli kinachokusudiwa kufika KINDU nchini DRC kupitia Uvira kwenye mpaka wa Burundi na DRC. kulia kwake ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara wa Tanzania Mhe. Exaud Silaoneka Kigahe (MB) na kulia ni Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) jijini Kinshasa, DRC.

Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Kidemokrasia Congo, Mhe. Nicolas Kazadi, wa pili kulia, akizungumza na ujumbe wa Tanzania ulioongozwa na Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), Ofisini kwake Jijini Kinshasa, kuhusu mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) unaotarajiwa kujengwa kutoka Uvinza nchini Tanzania hadi Gitega nchini Burundi kupitia Musongati kwenye machimbo ya madini na kipande kingine cha reli kinachokusudiwa kufika KINDU nchini DRC kupitia Uvira kwenye mpaka wa Burundi na DRC.

Na Scola Malinga, Kinshasa.

Waziri wa Fedha. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Mhe. Nicolas Kazadi, kuhusu mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kutoka Uvinza nchini Tanzania hadi Gitega nchini Burundi kupitia Musongati kwenye machimbo ya madini na kipande kingine cha reli kinachokusudiwa kufika KINDU nchini DRC kupitia Uvira kwenye mpaka wa Burundi na DRC.

Mazunguzo hayo yamefanyika mjini Kinshara, Jamhuri ya Kidemokrasia Congo, kando ya mkutano wa Kamati ya Mawaziri wa Fedha na Uwekezaji wa jopo la mapitio ya uchumi mpana katika Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).

“Nia ya Tanzania katika utekelezaji wa mradi huo ni kuunganisha Nchi ya Burundi na Congo kwenye soko la dunia kupitia bandari ya Dar es Salaam, katika utekelezaji wa mradi huo wa Reli ili kukuza biashara,” alisema Dkt. Nchemba

Alisema kuwa Tanzania inajenga awamu ya kwanza ya reli ya kisasa kwa kiwango cha kimataifa kutoka Dar es salaam hadi Mwanza kupitia Tabora yenye urefu wa kilomita 1,219 ambayo imegawanywa katika sehemu tano.