| Mkurugenzi wa Miundombinu na Mtandao wa Vodacom Tanzania Plc, Andrew Lupembe (kushoto) na Mkurugenzi wa TEHAMA, Athumani Mlinga (kulia) wakipokea tunzo ya kampuni inayoongoza kwa teknolojia barani Afrika baada ya kuibuka kinara miongoni mwa makampuni ya Vodacom yaliyoko Afrika. Tunzo hii imekabidhiwa na Dejan Kastelic, Afisa Mkuu wa Teknolojia kutoka kundi la makampuni ya Vodacom wakati wa hafla iliyofanyika mwanzoni mwa wiki hii jijini Dar es Salaam. |
No comments:
Post a Comment