Mwenyekiti wa bodi ya benki ya Twiga Bancorp Prof. Amon Mbelle (wapili toka kulia) akipongezana na Mkuu wa Mauzo wa Vodacom Tanzania kanda ya Pwani, Herieth Koka, mara baada ya kuzinduliwa kwa huduma ya ”M-PESA SUPER AGENCY” itakayowawezesha wateja wa benki hiyo kupata huduma za kifedha kiurahisi kupitia simu za mkononi. Kushoto ni Kaimu Ofisa mkuu wa Benki hiyo Willace Msemo na Meneja uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (kulia).
Blog Rebranding Teaser_030826
Stanbic Bank Banner_070826
Absa Loan Campaign_160426
Tuesday, 30 September 2014
VODACOM NA BENKI YA TWIGA BANCORP ZAWALETEA HUDUMA YA "M-PESA SUPER AGENCY"
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
.jpg)
.jpg)
No comments:
Post a Comment