![]() |
Mkuu wa Mauzo wa Vodacom kanda ya Dar es Salaam na Pwani, Brigita Stephen akimkabidhi zawadi Miriam Mushi kwa kutumia mtandao wa Vodacom kwa muda mrefu. |
![]() |
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Mhe. Daniel Chongolo akimkabidhi zawadi Miriam Deus kwa kutumia mtandao wa Vodacom kwa muda mrefu. |
No comments:
Post a Comment