Blog Rebranding Teaser_030826
Absa Banner_170926_270926_101026
Stanbic Bank Banner_070826
Friday, 11 December 2020
RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK. HUSSEIN ALI MWINYI AKUTANA NA UONGOZI WA BENKI YA NMB IKULU JIJINI ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na uongozi wa Benki ya NMB Ikulu Jijini Zanzibar na kueleza kuwa yupo tayari kushirikiana na Benki hiyo kwa ajili ya kuimarisha uchumi pamoja na huduma za kijamii Zanzibar. Rais Dk. Hussein amesema kuwa Benki ya NMB imepata mafanikio makubwa hivyo, Serikali anayoiongoza iko tayari kushirikiana na NMB katika kuimarisha miradi mbali mbali ya kiuchumi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment