| Mkuu wa wilaya ya Songea, Polotet Mgema (wapili kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na mshindi wa promosheni ya Vodacom Shangwe Shangwena, Gloria Kamanga na familia yake, pamoja na Mkuu wa Mauzo Vodacom Kanda ya Nyanda za juu kusini, Macfadyne Minja (watatu kulia) mara baada ya makabidhiano ya gari. |

No comments:
Post a Comment