Blog Rebranding Teaser_030826
Absa Banner_170926_270926_101026
Stanbic Bank Banner_070826
Thursday, 26 November 2020
WAKULIMA WATAKIWA KUCHUKUA MIKOPO YA PEMBEJEO
![]() |
| Washiriki wa kongamano wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Benki ya NMB. |
Wakulima wa Mkoa wa Katavi wametakiwa kutumia fursa zinazotolewa na taasisi za kifedha katika kuchukua mikopo ya pembejeo ili kuinua kuwawezesha kufanya kilimo biashara na kukuza pato lao
Rai hiyo imetolewa na meneja wa Benki ya NMB Tawi la Mpanda - Alex Massawe wakati akifungua mkutano maalum na wakulima na wafanyabishara wa Mkoa huo.
Massawe amesema Benki ya NMB imekuwa ikikutana na wakulima wa maeneo tofauti kwa lengo la kutoa elimu ya kilimo biashara ambayo itamsaidia mkulima kuleta tija katika kilimo.
AZANIA BANK LAUNCHES NEW VISA CARDS
![]() |
| The Managing Director of Azania Bank, Charles Itembe (right) and CEO of BCX Solutions, Mr. Seronga Wangwe (left) display samples of the newly launched VISA cards at the launch event. |
Dar es Salaam Tanzania, 25 November 2020 – Azania Bank has launched the new Azania Bank VISA Card as it marks 25 years of offering services to Tanzania. Azania bank has labelled the 25th Anniversary as the year of the Rhino symbolizing stability, steadfastness and charge to go forward as is embodied in the new innovation.
The bank has launched two variants of the card which are Azania Bank Classic VISA card and Azania Bank Infinite VISA card, the latter being for premium banking customers. The new cards will enable Azania Bank customers to transact across the VISA network both locally and globally.
Speaking to members of the press during the launch, Azania Bank’s Managing Director Mr. Charles Itembe, hailed the team and thanked the Board for enabling the bank to embark on an innovation journey that will see the bank transform into a modern bank of the future.
In the same event, the Managing Director launched the “Miamala Iliyorahisishwa na Azania Bank VISA Card” campaign which provides the Azania Bank Classic and Infinite VISA cards to the market for all Tanzanians. Mr. Itembe said that “The purpose of Azania Bank is to make the customer experience better through use of technology and innovation. Customers can now transact easily using their Azania Bank VISA cards online, they can use their cards at any VISA ATM both locally and internationally and also pay using the cards at points of sale, both locally and internationally. Azania Bank Infinite cardholders can also enjoy privileges at various airports across the globe.”
MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN KUMWAKILISHA RAIS DKT. JOHN MAGUFULI MKUTANO WA SADC ORGAN TROIKA
![]() |
| Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi. |
Na Nelson Kessy, Gaborone-Botswana
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan anatarajia kumwakilisha Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwenye Mkutano wa dharura wa pamoja baina ya SADC Organ Troika (Botswana, Malawi na Zimbabwe), na nchi zinazochangia Vikosi vya ulinzi na amani vya Umoja wa Mataifa, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kwenye Kikosi cha Umoja wa Mataifa nchini DRC utakaofanyika tarehe 28 Novemba 2020, mjini Gaborone, Botswana.
Akithibitisha kuhusu ushiriki wa Tanzania katika mkutano huo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) amesema kuwa ujumbe wa Tanzania kwenye mkutano huo utaongozwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye atakuwa anamwakilisha Mhe. Rais.
Kwa mujibu wa Prof. Kabudi, mkutano huu utatanguliwa na mkutano wa Maafisa Waandamizi/Makatibu Wakuu wa Asasi ya SADC ya Ushirikiano wa Siasa, Ulinzi na Usalama na kufuatiwa na mkutano wa Dharura wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya SADC ya Ushirikiano wa Siasa, Ulinzi na Usalama tarehe 26 Novemba 2020.
WANAFUNZI WA TANZANIA WANG’ARA MASHINDANO YA DUNIA TEHAMA YA HUAWEI
Timu ya wanafunzi hao kutoka Chuo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (COICT) katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, walifanikiwa kufika hatua hiyo ya mashindano kufuatia kuibuka vinara katika Mashindano hayo miongoni mwa nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara.
Shindano hilo linalenga kutoa jukwaa kwa vijana wenye vipaji kwenye TEHAMA kuonyesha uwezo wao, kushindana na kuwasiliana, kuhimiza utafiti wa TEHAMA, na kusaidia ukuaji wa mfumo thabiti wa teknolojia ya Habari na Mawasiliano.
Wednesday, 25 November 2020
BENKI YA NMB YASAPOTI TAMASHA LA SIKU YA MLIPA KODI MANISPAA YA ILALA
Kongamano la Siku ya Mlipa Kodi Manispaa ya Ilala, limefunguliwa leo Jumatano Novemba 25, huku Benki ya NMB ikisapoti kwa kukabidhi fulana (T-shirt) 100 zenye thamani ya Sh. Mil. 1.1 za kuvaa washiriki wa warsha iliyoambatana na ufunguzi huo.
Hafla ya ufunguzi wa Tamasha la Siku ya Mlipa Kodi Manispaa ya Ilala, imefanyika katika Ukumbi wa Anatoglo, Mnazi Mmoja, kisha ikifuatiwa na warsha na semina mbalimbali, ikiwemo kuhusu Kodi ya Huduma iliyotolewa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Mkoa wa Ilala.
Akizungumza wakati akikabidhi fulana 100 kwa washiriki wa Tamasha hilo, Meneja Mauzo wa NMB Kanda ya Dar es Salaam, Tumaini Alila, alisema msaada huo umelenga kuunga mkono jitihada za Serikali kufikisha Elimu ya Mlipa Kodi kwa jamii ya Kitanzania.

KAMPUNI MAMA YA KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YATANGAZA MPANGO ENDELEVU WA MIAKA 10
![]() |
| Madereva wa boda boba ni moja kati ya kundi ambalo limekuwa likifaidika na Kampeni ya "Usinywe na Kuendesha Chombo cha Moto" inayoendeshwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti. |
| Kampuni ya Bia ya Serengeti kupitia Kampeni yake ya "Maji ni Uhai", imekuwa ikichimba visima vinavyowezesha jamii zinazoishi sehemu zenye uhaba wa huduma ya maji kupata huduma ya maji safi na salama. |
Kupitia mpango huo wa miaka 10, Diageo itajikita katika sehemu kuu tatu ambazo zimechaguliwa kwa kuzingatia Mpango wa Maendeleo endelevu wa Umoja wa Mataifa. Sehemu hizo ni Kuhamasisha unywaji wa kistarabu, Kuhakikisha ushirikishwa wa jamii katika shughuli mbali mbali, pamoja na kuhamasisha kilimo endelevu.
VIBE LA SIKUKUU NA DStv KAMA DStv WIKIENDI HII NI 🔥🔥
Piga *150*53# kulipia kifurushi cha Compact TShs 49,000 tu au piga 0659 07 07 07 kujiunga na DStv kwa gharama nafuu Zaidi.
#VibelaSikukuunaDStv
#SokaLisiloPimika
Tuesday, 24 November 2020
BENKI YA NMB YAZINDUA KAMPENI KABAMBE YA KUFUNGA MWAKA - "MASTABATA ISIYO KIKAWAIDA"
![]() |
| Wafanyakazi wa Benki ya NMB wakifurahia uzinduzi wa MastaBata Isiyo Kikawaida. |
Promosheni hiyo inayojulikana kama MastaBata Isiyo Kikawaida ilizinduliwa rasmi leo jijini Dar es Salaam na itaendelea kwa muda wa miezi mitatu huku zawadi zikitolewa kila wiki na kila mwezi.
Akiongea wakati wa hafla ya uzinduzi wa kampeni hiyo, Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa NMB, Bw. Filbert Mponzi, alisema zawadi hizo ni pamoja na fedha taslimu TZS 100,000 kila wiki kwa washindi 40.
Katika droo ya kila mwezi, wateja 12 watashinda simujanja aina ya Samsung Galaxy Note20 yenye thamani ya TZS 2,480,000. Zawadi kubwa kwenye shindano hili itakayotolewa mwishoni mwa mwezi Februari mwakani ni fursa kwa washindi 12 na wenza wao kusafiri kwa ajili ya mapumziko Zanzibar, Serengeti na Ngorongoro.
Washindi wa droo ya mwisho watagharamiwa gharama zote ikiwemo malazi ya siku tatu, tiketi za ndege pamoja na pesa za matumizi na watafikia katika hoteli yenye hadhi ya nyota 5. Pia Bw. Mponzi alisema Benki ya NMB imeona ni vyema washindi wawe na uhuru wakuchagua aina ya zawadi.
Kwa mfano, washindi wa droo kubwa ya mwisho watapewa nafasi ya kuchagua utalii wa ndani au kuchukua kama mbadala zawadi zifuatazo: TV ya kibabe iliolipiwa DSTV miezi mitatu; Friji ya Milango Miwili; Kompyuta Mpakato; Simujanja (Samsung A70); Water Dispenser na Microwave.
ELEVATE BY ECOBANK “BUILDING A BETTER AFRICA: ELEVATING THE POWER OF WOMEN WITH DIFFERENTIATED BUSINESS & FINANCIAL SOLUTIONS”
WEBINAR TO PRESENT AND LAUNCH
ELLEVATE BY ECOBANK
Women constitute 50% of Africa’s population. 1 in 4 women start or manage a business, making Africa one of the regions with the highest number of female entrepreneurs. The Ecobank Group is committed to helping women reach their full potential by empowering, growing and supporting women-led and women- focused businesses with customized financial and value-added solutions.Recognising the strategic importance of this segment, Ecobank Commercial Banking is formally presenting its Ellevate programme that offers differentiated business and financial solutions that unleashes the potential of women businesses with financial and non-financial services. The programme includes smarter cash management, lending at favourable interest rates and value-added services such as leadership training and capacity building.
We are pleased to invite you to the webinar to launch “Ellevate” by Ecobank.
When: November 27th 2020
English session: 12:00 PM – 13:30PM
Register Here: English link
Find attached the Agenda and the speakers’ bio of the event
Media Contact:
Furaha Samalu
Manager; Brand and Communications
Ecobank Tanzania
Email: fsamalu@ecobank.com
Tel: +255 699 000025
About Ecobank Tanzania
Ecobank Tanzania is a subsidiary of the Ecobank Group, the leading independent pan-African banking group of the Ecobank Group. The Ecobank Group employs over 14,000 people and serves over 24 million customers in the consumer, commercial and corporate banking sectors across 33 African countries. The Group has a banking license in France and representative offices in Addis Ababa, Ethiopia; Johannesburg, South Africa; Beijing, China; London, the UK and Dubai, the United Arab Emirates. The Group offers a full suite of banking products, services and solutions including bank and deposit accounts, loans, cash management, advisory, trade, securities, wealth and asset management. ETI is listed on the Nigerian Stock Exchanges in Lagos, the Ghana Stock Exchange in Accra, and the Bourse Régionale des Valeurs Mobilières in Abidjan. For further information please visit www.ecobank.com
RAIS WA ZANZIBAR MHE. DK. HUSSEIN ALI MWINYI AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU MTENDAJI WA BENKI YA STANDARD CHARTERED IKULU, ZANZIBAR
STANBIC BANK LAUNCHES “BIMA BOMBA” INSURANCE
![]() |
| Stanbic Bank Tanzania Head of Personal and Business Banking, Brian Ndadzungira. |
Dar es Salaam, 23 Nov 2020 - Stanbic Bank Tanzania continues to make dreams real for its customers through its tailored and innovative solutions. The bank has launched bancassurance services dubbed “Bima Bomba’’ which aims to provide its customer, with insurance policies for protecting and securing their assets and investment from potential risk.
Speaking on the new offering, the bank’s Head of Personal and Business Banking, Brian Ndadzungira said, “ As a customer-centric bank, we understand that an accident or damage can affect you or your assets financially and physically. This is why as part of our bancassurance we have rolled out this solution to encourage Tanzanians to safeguard their assets and start considering insurance as a basic need."
He further welcomed all Tanzanians to secure their assets with Stanbic bank. "Our clients now have the opportunity to access insurance services in all our branches. The launch of Bima Bomba complements our mission that aims to empower the financial success of our customers through a full suite of accessible, simple and easy to use products”. Ndadzungira noted.
BENKI YA NMB YATOA MISAADA KWA WILAYA YA KILWA MKOANI LINDI KATIKA SEKTA YA AFYA NA ELIMU YENYE JUMLA YA SHILINGI MILIONI 12.5
Akikabidhi misaada hiyo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa, Renatus Mchauru, Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kusini, Janeth Shango, alisema wakati anapata matibabu katika kituo cha afya Masoko, alibaini mapugufu yaliyokuwepo katika kituo hicho na alipozungumza na utawala walimweleza tatizo na akawashauri waandike barua ya kujieleza, kitu ambacho walifanya.
Alisema Benki ya NMB imekarabati jengo la Baba, Mama na Mtoto kwa kuweka paa jipya, kupaka rangi na kuweka michoro ambayo inaleta taswira njema kwa wadau wanaofuata tiba. Alisema Benki hiyo inaona fahari kusaidia eneo hilo ili liwe rafiki kwa wahitaji. Alisema kazi ya kukarabati jengo hilo la hospitali katika kituo cha afya Masoko uligharimu Sh milioni 2.5.
Naye Mganga Mfawidhi wa kituo hicho, John Nkuba alishukuru Benki ya NMB kwa msaada wake na kusema kwamba mazingira ya matibabu sasa baada ya ukarabati huo yako bora zaidi.
Mkurugenzi wa Wilaya ya Kilwa, Renatus Mchauru pamoja na kushukuru kwa misaada hiyo, aliwataka watumishi kuhakikisha wanatoa huduma nzuri na bora zaidi kulingana na uzuri wa majengo yaliyopo sasa.

FROM SURVIVE TO THRIVE, WORKING TOGETHER FOR A BETTER AFRICA
Chen Lei, President of Huawei Southern Africa.
For most of us, 2020 has been a year of almost dramatic, almost traumatic change. As individuals, our lives have been transformed; as businesses, our operating models have been revolutionised; and as a society, we have been shaken to the core.
Fortunately, many of the technologies that have helped us through the worst of the pandemic and the lockdown, hold the key to success and prosperity in the post-lockdown era.
The new ways of interaction that emerged this year – characterised by remote work, distance education, remote healthcare, online shopping and mobile money – will define how society works in future.
Across the economy the pace of change is already enormous. Last week, when we launched a 5G lab in Wits University, Professor Adam Habib, the Wits vice-chancellor told us how Wits had moved completely online within three weeks during the pandemic– a process that was previously planned to take three years.
Monday, 23 November 2020
BENKI YA NBC YACHANGIA TANI 4 ZA SARUJI KWAAJILI YA UJENZI WA SHULE YA MSINGI IBOSA, BUKOBA
| Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba Babylus Mashauri (Kulia) akikabidhi jumla ya mifuko 80 ya saruji iliyotolewa na Benki ya NBC kwa kamati ya ujenzi ya shule ya msingi Ibosa. |
Bukoba - Katika kuhakikisha wanafunzi wanasoma katika mazingira bora, benki ya taifa ya biashara (NBC) imechangia tani nne za saruji kwaajili ya kufanikisa ujenzi wa madarasa matano ya shule ya msingi Ibosa iliyopo halmashauri ya Wilaya ya Bukoba, Kagera.
Msaada huo ni sehemu ya urudishaji kwa jamii ambapo utsaidia kufanya maboresho ya miundombinu ya madarasa na hatimaye kupunguza msongamano wa wanafunzi unaoikabili shule hiyo hivi sasa.
Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo, Meneja wa NBC tawi la Bukoba, Mathias Muhangirwa alisema mchango huo utasaidia katika kuboresha miundombinu yamadarasa ili kuhakikisha wanafunzi wanapata elimu katika mazingira bora.

NI WIKI NYINGINE NDANI YA MICHUANO YA UEFA, NA UHAKIKA WA KUTAZAMA MECHI HIZI UTAUPATA NDANI YA DStv
Ni wiki nyingine ndani ya michuano ya UEFA, na uhakika wa kutazama mechi hizi utaupata ndani ya DStv, wanaonogesha na #VibeLaSikukuuNaDStv
Piga sasa *150*53# kulipia kifurushi chako mapema cha Compact Plus TShs 89,000 tu au piga 0659 07 07 07 kujiunga kwa gharama nafuu.
#VibelaSikukuunaDStv
#SokaLisilopimika
Sunday, 22 November 2020
VODACOM KUGAWA ZAWADI ZA KUSISIMUA KATIKA KUSHEREHEKEA MIAKA 20 YA UTOAJI HUDUMA NCHINI
- Wateja kujishindia zawadi kemkem zenye thamani ya shilingi 3 bilioni katika msimu huu wa sikukuu.
- Wateja kujishindia magari mapya 5, Pesa taslimu shilingi 1 milioni kwa wateja 25, muda wa maongezi na simu.
Ikiwa sehemu ya maadhimisho ya miaka 20, Vodacom Tanzania PLC imezindua kampeni ya msimu wa sikukuu ijulikanayo kama "Shangwe Shangwena" ambapo kupitia kampeni hii, Vodacom itawazawadia wateja wake ambao wamejikita zaidi katika mtindo wa maisha wa kidijitali kwa kutumia mfumo wa malipo ya kijanja wa M-Pesa.
Wateja hawa zaidi ya 15 milioni, watajishindia zawadi zenye thamani ya Shilingi 3 Bilioni zikiwemo magari mapya 5, zawadi za pesa taslim, rejesho la fedha pindi mteja anapolipia bidhaa au kutuma hela kupitia M-Pesa, MB za bure, muda wa maongezi, jumbe fupi (SMS) pamoja na punguzo la bei pindi mteja anapofanya manunuzi ya simu janja kwa kutumia M-Pesa.
Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa kampeni hiyo, Mkurugenzi wa Biashara wa Vodacom Tanzania PLC Linda Riwa alisema kwamba anajivunia hatua ambayo Vodacom imefikia katika miaka ishirini iliyopita kwa kukuza maisha ya kidijitali nchini.
TAZAMA LIVE MECHI YA LIVERPOOL AKIKIPIGA NA LEICESTER CITY NDANI DStv ⚽⚽⚽ LEO SAA 4:15 USIKU
⚽⚽⚽ Jumapili hii mechi za #EPL zinaendelea kubamba @dstvtanzania pekee ndani ya ulimwengu wa kimichezo SuperSport.
Piga sasa *150*53# kulipia kifurushi chako TShs 49,000 tu kwa urahisi au piga 0659 07 07 07 kujiunga nasi kwa gharama nafuu na uletewe hadi nyumbani bure.
#VibeLaSikukuunaDstv
#SokaLisilopimika
Tazama Live mechi ya Liverpool akikipiga na Leicester City ndani ya chaneli SS Premier League saa 4:15 usiku kwenye kifurushi cha Compact.
Piga sasa *150*53# kulipia kifurushi chako TShs 49,000 tu kwa urahisi au piga 0659 07 07 07 kujiunga nasi kwa gharama nafuu na uletewe hadi nyumbani bure.
#VibeLaSikukuunaDstv
#SokaLisilopimika
Friday, 20 November 2020
GEITA GOLD MINING LIMITED, NATIONAL ECONOMIC EMPOWERMENT COUNCIL CAPACITATE LOCAL BUSINESSES
| Geita Gold Mining Limited (GGML) Managing Director, Richard Jordinson delivering his speech during the training. Translating his Speech is GGML Community Affairs Manager Joseph Mangilima. |
| Executive Secretary of the National Economic Empowerment Council of Tanzania (NEEC), Ms. Beng’i Issa. |
The program, which is coordinated by the National Economic Empowerment Council of Tanzania (NEEC), is a result of an agreement signed between GGML and NEEC on July 20, 2020. It partly focuses on GGML’s business procurement standards.
Speaking during the official launch of the training at the External Processing Zones Authoritypremises in Geita, The GGML Managing Director, Richard Jordinson said the company aspires to improve competitiveness and participation of Geita vendors by building their capacity to understand and correctly comply with necessary criteria on eligibility for supplying goods and/or services to the mining and othersectors.
He added that the training was an affirmation of GGML’s commitment to the sustainable development of the communities surrounding the mine.
BENKI YA NCBA YACHANGIA HUDUMA ZA AFYA KWA WATOTO NJITI
Kama sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Watoto Njiti, Benki ya NCBA imeungana na wadau wengine kuchangia jitahada za kushugulikia tatizo hilo nchini, ikiwa pamoja na kuboresha utoaji huduma za afya kwa watoto na jamii zilizokumbwa na tatizo hilo.
Benki ya NCBA imetoa kiasi cha shilingi milioni tatu kwa Taasisi ya Dorris Mollel kama sehemu ya mchango wake kufanikisha maadhimisho ya Siku hiyo ya Kimataifa ya Watoto Njiti yaliyofanyika katika kitengo cha Afya ya Mama na Mtoto katika Hospitali ya Muhimbili juzi.
Akizungumza katika tukio hilo, Afisa Mwandamizi wa Masoko wa Benki ya NCBA, Nasikiwa Berya alisema kuwa mchango huo ni sehemu ya mikakati ya muda mrefu ya benki hiyo kuchangia huduma za afya na kuinua viwango vya maisha vya jamii yote kwa ujumla.

HEBO CONSULT BECOMES THE FIRST COMPANY IN TANZANIA TO EARN A PMI AUTHORIZED TRAINING PARTNER BADGE
HEBO Consult, a professional training provider, becomes the first Tanzanian firm to qualify as the Premier Authorized Training Partner (ATP) badge from the Project Management Institute – the global institute for project management professionals.
As an approved training provider, HEBO Consult is delighted to be able to deliver streamlined lessons aligned to the licensed content offered by the PMI. The exclusive access to turn-key licensed content including learning assets such as videos, quizzes, and knowledge checks enables the training provider to help project management aspirants to increase their chances of success. The in person and live virtual boot camps take place under the guidance of PMI-approved instructors who have gone through the rigorous ‘Train the Trainer Program’ by the PMI.“We at HEBO Consult are excited to have received the ATP badge from the Project Management Institute. The access to exclusive training material and tools will help us train East African professionals better and support them to successfully complete the PMP® exam with the least effort” said M/s Hekeno, CEO and Co-founder of HEBO Consult.
![]() |
| Become a CAPM (Certified Associate in Project Management) through HEBO Consult’s training program. And enjoy discounts in our training and up to a 35% discount on the CAPM Exam from PMI. |
NI WIKIENDI YA KIBABE NDANI YA SOKA, AMBAPO MICHUANO YA #EPL ⚽️⚽️ INAENDELEA KUBAMBA....
Kama kawaida @dstvtanzania ni sehemu pekee inayokupa uhakika wa kutazama #SokaLisilopimika.
Piga *150*53# kulipia kifurushi chako mapema au Piga 0659 07 07 07 kujiunga na DStv kwa gharama nafuu zaidi.
#VibelaSikukuunaDStv
DSTV YAJA NA OFA KABAMBE YA MSIMU WA SIKUKUU!
Katika kunogesha zaidi msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka na mwaka mpya, kampuni ya MultiChoice Tanzania imetangaza ofa kabambe kwa wateja wapya wa DStv yenye lengo la kuhakikisha kuwa watanzania wengi wanapata huduma hiyo ili waweze kufurahia burudani elimu na habari wao na familia zao msimu huu wa sikukuu.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya DStv ya msimu wa sikukuu iliyopewa jina la ‘Vibe la sikukuu na DStv kama DStv’, Mkuu wa Masoko wa MultiChoice Tanzania Ronald Shelukindo amesema kama ilivyo ada kwa DStv, kila unapofika msimu wa sikukuu hutoa ofa maalum kwa wateja wake ili kuwapa uhakika wa kupata huduma za DStv kipindi hiki ambapo ni cha sikukuu na watu wengi wakiwemo watoto huwa likizo hivyo kuwepo kwa uhitaji mkubwa wa burudani nyumbani.
“Kwa wale ambao bado hawajajiunga na DStv, huu ndio wakati muafaka kwani kuna ofa maalum ya kujiunga ambapo mteja ataunganishwa na DStv kwa Sh 79,000 tu na zawadi ya kifurushi cha Family mwezi mmoja bila malipo” alisema Shelukindo na kuongeza kuwa ofa hii inawapa uhakika wateja wapya kufurahia maudhui motomoto ndani ya DStv na itadumu hadi mwisho wa mwezi Desemba 2020.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya DStv ya msimu wa sikukuu iliyopewa jina la ‘Vibe la sikukuu na DStv kama DStv’, Mkuu wa Masoko wa MultiChoice Tanzania Ronald Shelukindo amesema kama ilivyo ada kwa DStv, kila unapofika msimu wa sikukuu hutoa ofa maalum kwa wateja wake ili kuwapa uhakika wa kupata huduma za DStv kipindi hiki ambapo ni cha sikukuu na watu wengi wakiwemo watoto huwa likizo hivyo kuwepo kwa uhitaji mkubwa wa burudani nyumbani.
Mkuu wa Masoko wa MultiChoice Tanzania Ronald Shelukindo akifafanua kuhusu kampeni ya msimu wa sikukuu ambapo DStv inatoa ofa maalum kwa wateja wake.
![]() |
| Waigizaji maarufu katika tamthilia ya Karma Ford (kulia) na Misa (katikati) wakiwa pamoja na maafisa wa DStv Tanzania – Mkuu wa Masoko Ronald Shelukindo (wa pili kulia), Mkuu wa Mauzo Salum Salum (wa pili kushoto) na Afisa Uhusiano wa kampuni hiyo Grace Mgaya (kushoto) wakati wa uzinduzi wa kampeni ya msimu wa sikukuu. Hafla ya kuzindua kampeni hiyo ya DStv ilihudhuriwa na baadhi ya wasanii maarufu wa Bongo Movie wanaoigiza katika tamthilia na filamu mbalimbali zinazoonyeshwa kwenye chaneli ya Maisha Magic Bongo ndani ya DStv akiwemo kinara wa tamthilia maarufu ya Karma Wema Sepetu. Kufahamu zaidi kuhusu maudhui motomoto msimu huu wa sikukuu tembelea https://www.dstvafrica.com/en-tz |
Thursday, 19 November 2020
BANK OF TANZANIA PLACES CHINA COMMERCIAL BANK LIMITED UNDER STATUTORY ADMINISTRATION
Pursuant to powers conferred upon the Bank of Tanzania under Section 56 (1)(g)(i) & (iii) of the Banking and Financial Institutions Act, 2006, the Bank of Tanzania has effective from today, the 19th November 2020, taken over and placed under statutory administration China Commercial Bank Limited.
The decision to take over and place China Commercial Bank Limited under statutory administration follows the failure of China Commercial Bank Limited to meet regulatory requirements regarding capital adequacy. Thus, to permit China Commercial Bank Limited to continue with banking operations while under the state of undercapitalization is detrimental to the interests of depositors and poses systemic risk to the stability of the financial system.
The Bank of Tanzania has appointed a Statutory Manager to manage the affairs of China Commercial Bank Limited and suspended its Board of Directors and Management. In the premises, China Commercial Bank Limited will not be open for normal business for a period not exceeding ninety days during which the Bank of Tanzania will determine an appropriate resolution option.
The Bank of Tanzania assures the public that it will continue to protect the interests of depositors and maintain stability of the banking sector.

BANK OF TANZANIA
19th November 2020
COCA-COLA KWANZA MCHANGA PEKEE A CAMPAIGN AIMED AT PROMOTING THE COLLECTION OF PLASTIC BOTTLES AND THE PRESERVATION OF THE SEASHORES
It is well documented that large percentages of marine waste come from onshore through our rivers, drainages, and beaches. It is estimated that each square kilometer of ocean contains 13,000 plastic pieces of waste material.
A recent study conducted by International Council of Beverages Associations (ICBA) found out presence of 15 million pieces of plastics waste in the ocean currently.
On the same issue, another important report from Ocean Conservancy’s 2018 International Costal Cleanup established that during coastal clean-ups, cigarette buts are predominant with an average of 2.4 million pieces, followed by food wrappers with an average of 1.7 million pieces, then plastic bottles 1.6 million, plastic caps 1.1 million and plastic carrier bags 757,523 pieces forming five groups of much collected debris during coastal clean-ups conducted by more than 100 countries across the world.
Back home Tanzania, our Mtwara, Dar es Salaam, Bagamoyo, Tanga and Zanzibar coasts have much similar shape and conditions considering human activities with improper plastic bottles disposal onto the waterways such as rivers and drainages, as key factor.
If this situation is not addressed, it is estimated that by 2050 oceans and seas will have more plastic materials than fish.

BENKI YA NMB YAZINDUA ATM YA KWANZA YENYE UWEZO WA KUBADILISHA FEDHA ZA KIGENI NCHINI
Benki ya NMB jana imezindua mashine ya kutolea fedha (Automated Teller Machine - ATM) ya kwanza nchini Tanzania yenye uwezo wa kubadili fedha za kigeni kwenda shilingi za kitazania. Hii ni hatua nyingine muhimu kwa Benki ya NMB ya utoaji huduma kwa Watanzania wanaosafiri kwenda nje na watalii wanaokuja nchini Tanzania.
ATM hizi zitawekwa katika viwanja vya ndege vikubwa nchini ambavyo ni uwanja wa Kimataifa vya Julius Nyerere, Uwanja wa Kilimanjaro na ule wa Abeid Amani Karume, Zanzibar, ili ziweze kutumiwa na wasafiri wanaoingia na kutoka nchini wanaohitaji fedha za Tanzania au za nchi waendako.

| Mwanamitindo na Mfanyabiashara, Nancy Sumari akifurahia huduma ya kubadilisha fedha za kigeni kwenda shilingi za kitanzania katika mashine ya ATM ya Benki ya NMB. |
![]() |
| Mkuu wa Mauzo, Idara ya Hazina ya Benki ya NMB, Jeremiah Lyimo akifurahia huduma ya kubadilisha fedha za kigeni kwenda shilingi za kitanzania katika mashine ya ATM ya Benki ya NMB. Naye Mgeni Rasmi katika uzinduzi huo Mkurugenzi wa Usimamizi wa Sekta ya Fedha kutoka Benki kuu ya Tanzania, Jerry Sabi aliipongeza Benki ya NMB kwa kuwa wa kwanza kuleta huduma hii nchini ambayo imekuja kutoa suluhisho la upatikanaji wa huduma za fedha za kigeni kufuatia kufungwa kwa maduka ya kubadilishia fedha nchini. Alisema Serikali ilizitaka Benki za Biashara kusaidia na kuhakikisha kuwa huduma za kubadilisha fedha nchini zinapatikana kwa urahisi. Hii ina maana zoezi la kubadilisha fedha sasa litakuwa rahisi na haraka na hasa pindi mashine hizi zitakapowekwa kwenye viwanja hivi vya ndege. Benki ya NMB imelifanyia kazi hili kwa weledi na ubunifu mkubwa na sasa wamekuja na suluhu ya teknolojia kuongeza nguvu ya upatikanaji wa huduma hii ambayo imekuwa ikitolewa na matawi yao yote nchini. Hivyo basi, uwepo wa ATM za kubadilishia fedha kutasaidia kuhakikisha kwamba huduma hizo zinapatikana wakati wowote (Masaa 24) na kwa urahisi na usalama zaidi. |
Subscribe to:
Posts (Atom)