| Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Benki ya Standard Chartered Bw. Sanjay Rughani, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar mwishoni wa wiki. |
No comments:
Post a Comment