Dar es Salaam, Tanzania – 1 Desemba 2025: Benki ya Exim Tanzania imezindua kampeni maalum ya miezi miwili ya matumizi ya kadi katika msimu wa sikukuu, iitwayo “Chanja Kijanja, Dili Ndio Hili.” Kampeni hii, itakayodumu kuanzia 1 Desemba 2025 hadi 31 Januari 2026, inalenga kuhamasisha matumizi ya malipo ya kidijitali na kuwazawadia wateja wanaotumia kadi za Exim Mastercard kupitia mashine za POS pamoja na mifumo ya malipo mtandaoni.
Akizungumza katika hafla ya uzinduzi, Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya Exim, Andrew Lyimo, alisema kampeni hiyo inaendeleza dhamira ya benki kutoa huduma salama, za haraka na zenye manufaa kwa wateja wanaotumia mifumo ya kisasa ya malipo.
“Kupitia Chanja Kijanja, Dili Ndio Hili, tunataka kufanya malipo ya kila siku kuwa rahisi zaidi, huku tukitoa fursa kwa wateja wetu kujishindia zawadi mbalimbali katika msimu huu wa sikukuu. Hii ni sehemu ya kujitoa kwetu kukuza utamaduni wa malipo ya kidijitali na kuboresha uzoefu wa wateja kote nchini,” alisema.
Zawadi na Faida Kwa Washiriki
Zawadi za Kila Wiki
Wateja watano (5) watashinda TZS 100,000 kila mmoja.
Zawadi za Kila Mwezi
Wateja kumi (10) watashinda TZS 200,000 kila mmoja.
.jpeg)
.jpeg)


.jpeg)


.jpeg)
.jpeg)



.jpeg)


.jpeg)
.jpeg)




.jpeg)
.jpeg)



.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)















