Blog Rebranding Teaser_030826

Blog Rebranding Teaser_030826

Absa Banner_211026

Stanbic Bank Banner_201026

Tuesday, 23 August 2022

I&M GROUP PLC DELIVERS STRONG GROWTH WITH A 16% INCREASE IN PROFIT AFTER TAX AS IT CONTINUES INVESTMENT IN ITS DIGITAL AND REGIONAL GROWTH STRATEGY

Daniel Ndonye, Chairman, I&M Group PLC speaks at a past event.

Nairobi - I&M Group PLC has sustained its growth momentum into the first half of 2022, with the Group reporting a 16% growth in profit after tax to Kes4.9 billion compared to Kes4.2 billion in the same period in 2021.

During the period under review, the Group’s balance sheet and income improved while strong liquidity and a solid capital base were maintained.

The Group’s total assets grew by 15% to Kes440 billion, up from Kes382 billion in June 2021.

The loan portfolio increased by 13% to Kes231 billion, while investments in government securities were up by 17%.

The net non-performing loans stood at 2.3%, decreasing by 31% year on year on the back of increases in the loan book and recoveries.

Customer deposits closed at Kes.313 billion, a 13% increase year on year.

Net interest income for the period under review recorded a growth of 19%, closing at Kes10.5 billion, an increase from Kes8.9 billion in June 2021, reflecting improved earnings on loans and advances as well as government securities.

The strong growth in non-interest income was driven by a 44% increase in fees and commissions and a jump in foreign exchange trading income from Kes770 million in HY 2021 to Kes1.9 billion.

KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YATANGAZA KUPOKEA MAOMBI YA UFADHILI WA MASOMO KWA WANAOSOMEA KILIMO

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Mark Ocitti (katikati) akiongea na waandishi wa habari katika halfa ya uzinduzi wa dirisha la maombi ya programu ya ufadhili wa masomo ya kilimo ya SBL ijulikanayo kama Kilimo Viwanda kwa mwaka 2022/2023. Pembeni yake kushoto ni wanufaika wa program hiyo Winnie Mollel na Hillary Gilbert (kulia) kutoka Chuo cha Kilimo na Mifugo Kaole Wazazi kilichopo Bagamoyo, Mkoani Pwani.

Ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono jitihada za kuongeza mchanngo wa sekta ya kilimo kwenye uchumi wa nchi, Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) imetangaza nafasi za ufadhili wa masomo ya kilimo kwa vijana wa Kitanzania wanaotoka kwenye familia zenye kipato duni.

Ufadhili huo unaotolewa kila mwaka, unatolewa chini ya programu ya SBL inayojulikana kama Kilimo Viwanda ambapo wanafuika hulipiwa gharama zote za masomo na kwa kipindi chote wanachokuwa masomoni.

Wanafunzi kutoka Chuo cha Kilimo na Mifugo Kaole Wazazi kilichopo Bagamoyo Mkoani Pwani, Emmanuel Ntandu (wa kwanza kushoto) na Shabani Sabuni, Winnie Mollel, Hillary Gilbert na Clement Abraham Mollel wakishiriki katika ufunguzi wa dirisha jipya la maombi ya programu ya ufadhili wa masomo ya kilimo ya SBL kwa mwaka 2022/2023, ijulikanayo kama Kilimo Viwanda.

Akiongea wakati wa ufunguzi wa dirisha la maombi kwa mwaka huu, Mkurugenzi Mtendaji wa SBL, Mark Ocitti alisema programu hiyo imekuwa ikisaidia kuunga mkono jitihada za serikali za kuzalisha wataalamu wapya wa kilimo ambao ni chachu muhimu katika kuwasidia wakulima kuongeza tija katika kilimo chao.

Mkurugenzi wa Mahusiano kwa Umma wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), John Wanyancha (kulia) akiongea na waandishi wa habari katika halfa ya uzinduzi wa dirisha la maombi ya programu ufadhili wa masomo ya kilimo ya SBL ijulikanayo kama Kilimo Viwanda kwa mwaka 2022/2023. Kushoto ni Mark Ocitti, Mkurugenzi Mtendaji wa SBL na Winnie Mollel mnufaika wa programu hiyo kutoka Chuo cha Kilimo na Mifugo Kaole Wazazi kilichopo Bagamoyo Mkoani Pwani.

“Leo hii tunayofuraha kusimama na kusema kuwa programu hii imeweza kuwanufaisha vijana wa kitanzania zaidi ya 200. Baadhi yao wamepata fursa ya kujifunza zaidi kwa vitendo kwenye viwanda vyetu. Lengo letu ni kuona kuwa programu hii inakuwa na matokea chanya kwa sekta ya kilimo na kwa vijana wanaonufaika nayo pia,” alisema

Emmanuel Ntandu ambaye ni mnufaika wa programu hiyo kutoka chuo cha Kilimo na Mifugo Kaole Wazazi kilichopo Bagamoyo mkoani Pwani na ambaye amepata fursa ya kujifunza kwa vitendo katika kiwanda cha Dar es Salaam alisema “Naishukuru sana kampuni ya SBL kwa kunipatia fursa ya kujifunza zaidi kwa vitendo katika kiwanda chake cha Dar es Salaam kupitia progamu ya Kilimo Viwanda. Nimejifunza mambo mengi na bado naendelea kujifunza.” 

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Mark Ocitti (kulia) akiwa na wanufaika wa program ya ufadhili wa masomo ya kilimo ijulikano kama Kilimo Viwanda, Hillary Gilbert (kushoto-mwisho) na Winnie Mollel, wakifungua milango kama ishara ya kuzindua dirisha jipya la mwaka 2022/2023 wa maombi ya ufadhili.

Programu ya Kilimo viwanda ilianzishwa na SBL mwaka 2019 ikilenga kusaidia kuongeza wataalamu wa kilimo kupitia kutoa ufadhili wa masomo. Wanafuika wa programu ni vijana wa Kitanzani wenye ufaulu mzuri darasani na ambao wanatokea katika familia zenye kipato duni.

Katika utekelezaji wa programu hii, SBL imeingia ubai na vyuo vinne vya ndani vinavyofundisha fani ya kilimo ambavyo hupokea wanafunzi wanaolipiwa kupitia programu hii. Vyuo hivyo ni Pamoja na Chuo cha Kilimo na Mifugo Kaole Wazazi kilichopo Bagamoyo Pwani, Chuo cha Kilimo na Mifungo cha Kilacha kilichopo Moshi Kilimanjaro, Chupo cha Kilimo Mt. Maria Goretti kilichopo Iringa na chuo cha Kilomo Igabiro kilichopo Muleba Mkoani Kagera.

Monday, 22 August 2022

NMB YATAMBULISHA KIFURUSHI MAALUM KUWAHUDUMIA WALIMU - SONGEA

Mkuu wa Idara ya Wateja Binafsi - Bi Aikansia Muro (watatu kulia) akipongezana na Mkuu wa Wilaya ya Songea, Mhe. Pololet Mgema wakati wa Uzinduzi wa Kifurushi cha Mwalimu Spesho Mkoani Songea. Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Labani Thomas.

Kwa kutambua umuhimu wa walimu na mchango wao katika mafanikio ya Benki ya NMB, taasisi hiyo kubwa kuliko zote za fedha nchini imeanzisha kifurushi maalum wa kuihudumia kada hii nyeti katika ujenzi wa taifa.

Kifurushi hicho cha “Mwalimu Spesho – Umetufunza Tunakutunza” kimetangazwa rasmi jana huko Songea Mkoani Ruvuma wakati wa kongamano la walimu lililoandaliwa na benki hiyo.



Akiitambulisha Kifurushi hiyo, Mkuu wa Idara ya Wateja Binafsi, Bi Aikansia Muro, alisema Mwalimu Spesho ni suluhisho inayojumuisha huduma zote za kumwezesha mwalimu kukidhi mahitaji yao mbalimbali Mkoani Songea.

Huduma hizo ni pamoja na mikopo yenye riba nafuu, ikiwemo ya walimu kujiendeleza kielimu yeye na watoto wake na kuwasomesha watoto wao, mikopo ya biashara ndogondogo, ujenzi, vyombo vya moto kama bodaboda na pikipiki za miguu mitatu.

USIKOSE MAN UNITED VS LIVERPOOL LEO NDANI YA DStv

 

Inakwenda kuwa Jumatatu ya Kibabe sana kwenye ulimwengu wa soka pale ambapo Man United wanakwenda kuvaana na Liverpool ndani ya #EPL, mechi itakayoruka Live ndani ya kifurushi cha Compact tena kwa Lugha Adhimu ya Kiswahili.

Piga *150*53# kulipia kwa urahisi zaidi kifurushi chako @dstvtanzania

#MsimuWaSokaLaKibabe

BENKI YA MWANGA HAKIKA YAWEKA HITORIA, YAWA BENKI YA BIASHARA

 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Mwanga Hakika, Mhandisi Ridhiwani Mringo akitambulisha baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Wakurungezi wa Benki kwa Mgeni Rasmi, Spika wa Bunge Mh. Dk Tulia Ackson alipowasili wakati wa Uzinduzi wa Benki ya Mwanga Hakika kuwa Benki ya Biashara. Hafla hii ilifanyika Ijumaa Tarehe 19 Agost 2022, Makao makuu ya Benki Kijitonyama, Jijini Dar es salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Mwanga Hakika, Bwana, Jagjit Singh, akitoa hotuba kwa wageni waalikwa wakati wa Uzinduzi wa Benki ya Mwanga Hakika kuwa Benki ya Biashara. Hafla hii ilifanyika Ijumaa Tarehe 19 Agost 2022, Makao makuu ya Benki Kijitonyama, Jijini Dar es salaam.

 Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mh. Godwin Gondwe akitoa hotuba kwa wageni waalikwa wakati wa Uzinduzi wa Benki ya Mwanga Hakika kuwa Benki ya Biashara.

 Mgeni Rasmi Spika wa Bunge la Jamhuri wa Tanzania Mh. Dkt. Tulia Ackson akitoa hotuba kwa wageni waalikwa wakati wa Uzinduzi wa Benki ya Mwanga Hakika kuwa Benki ya Biashara.

 Mgeni Rasmi Spika wa Bunge la Jamhuri wa Tanzania Mh. Dkt. Tulia Ackson akizindua rasmi Muonekano mpya wa Bneki ya Mwanga kwenye Uzinduzi wa Benki ya Mwanga Hakika kuwa Benki ya Biashara.

 Mgeni Rasmi Spika wa Bunge la Jamhuri wa Tanzania Mh. Dkt. Tulia Ackson akiwa Katika picha ya Pamoja na wajumbe wa bodi wakati wa Uzinduzi wa Benki ya Mwanga Hakika kuwa Benki ya Biashara.

 Mgeni Rasmi Spika wa Bunge la Jamhuri wa Tanzania Mh. Dkt. Tulia Ackson akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanahisa mara baada ya uzinduzi wa Benki ya Mwanga Hakika kuwa Benki ya Biashara.

 Dar es Salaam - Benki ya Mwanga Hakika yawa benki ya biashara. Ambapo awali benki hii ilikuwa benki ya mitaji midogo na ukuaji huu utawapa wateja wao fursa ya kupata huduma nyingi zaidi ya zile walizokuwa wakipata awali. Mapinduzi ya tehama yamewezesha benki Mwanga Hakika kuwa benki ya biashara na yenye ushindani kwenye soko, sambamba na hilo wingi wa wateja na ongezeko la mtaji ni baadhi ya sababu zilizofanya benki hii kupanua wigo wake na kuwa benki ya biashara kwa lengo la kuwahakikishia wateja wao usalama,urahisi na ukaribu wa huduma. 

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Mwanga Hakika, Mhandisi Ridhiwani Mringo amesema kuwa, lengo kuu ni kupanua wigo wa kibiashara ili kufikia malengo ya kuwa benki kubwa ndani na nje ya Tanzania.Pamoja na hayo benki ina lengo la kuimarisha ukaribu na wateja wake na kuhakikisha wanapata huduma bora na nafuu. 

Saturday, 20 August 2022

TOL GASES YARIPOTI ONGEZEKO LA FAIDA

Mwenyekiti wa kampuni ya TOL Gases Ltd inayozalisha gesi ya Hospitalini ‘Oksejeni’ na gesi ya viwandani ‘Gesi Mkaa’, Michael Shirima akizungumza na wanahisa katika Mkutano Mkuu wa wanahisa wa TOL Gases Ltd , uliofanyika jana katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujadili mafanikio ya kampuni hiyo. Kuanzia kushoto ni Prof; Abraham Temu, Eng; Joseph Machenge, Adv; Collineries Kiliwa , Mwenyekiti Michael Shirima, Mkurugenzi Daniel Warungu, Mkurugenzi Simon Mponji.

Dar es Salaam, Agosti 19, 2022:
Wanahisa wa TOL Gases Limited wameidhinisha gawio la shilingi 40.00 kwa kila hisa katika Mkutano Mkuu wa Mwaka uliofanyika 19 Agosti 2022 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam.

Kampuni imeweza kukuza kiasi cha gawio ukilinganisha na gawio la shilingi 34.78 kwa hisa kwa mwaka 2020. Taarifa za fedha za kampuni kwa mwaka unaoishia Desemba 2021 zinaonyesha kukua kwa mapato kwa asilimia 25, kutoka shilingi bilioni 19.8 kwa mwaka 2020 hadi shilingi bilioni 24.8, ambapo faida baada ya kodi ilikua kwa asilimia 41 kutoka bilioni 2.3 kwa mwaka 2020 hadi bilioni 3.3 kwa mwaka 2021.

Ukuaji wa mapato ya kampuni hiyo umechangiwa na maboresho ya kiutendaji yaliyofanyika hivi karibuni sambamba na mikakati ya upanuzi iliyochangia kuimarisha nafasi ya kampuni kama mzalishaji na muuzaji wa gesi za viwandani na hospitalini pamoja na kupanua wigo wake wa usambazaji bidhaa katika nchi nyingine za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kama vile Zambia, Zimbabwe, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Malawi.

Akizungumza katika mkutano huo, Mwenyekiti wa Bodi wa kampuni ya TOL Gases, Michael Shirima, alipongeza maboresho ya kiutendaji na jitihada zilizofanywa na kampuni katika kuhakikisha upatikanaji wa hewa ya Oksijeni inayotumika mahospitalini wakati wa mlipuko wa Uviko-19.

Friday, 19 August 2022

AKIBA COMMERCIAL BANK YAENDELEA KUBORESHA HUDUMA

Meneja Mwandamizi wa idara ya Biashara, Emmanuel Mseti.
 
Benki ya Biashara ya Akiba (ACB) katika kuendelea kutoa huduma bora kwa wateja wake inafanya jitihada kuboresha huduma na bidhaa mbali mbali kuendana na mahitaji ya wateja na soko kwa ujumla. Hivi karibuni Meneja Mwandamizi wa idara ya Biashara, Emmanuel Mseti katika mahojiano na vyombo vya habari amesema kuwa Benki ya Akiba imefanya maboresho kwenye utoaji huduma kwa wateja wake.

Akifafanua katika mahojiano, Mseti alisema kuwa huduma zao zimeboreshwa katika nyanja mbalimbali hasa upande wa wateja binafsi.

“Huduma hizi tumeziboresha kwenye akaunti ya mishahara (Akiba Salary Account). Mteja ambae yuko Akiba au mteja mtarajiwa anaweza kunufaika kwa kupata kupata huduma mbali mbali zilizounganishwa na akaunti hii mathalan; mikopo ya wafanyakazi, mikopo ya nyumba pamoja na ‘Salary Advance’ kwa ajili ya dharura na fursa zinazojitokeza papo kwa papo.” Huduma hii inaptikana ndani ya mfupi iwezekanavyo kufutia uharaka wa mteja katika kufanikisha taratibu zinazohitajika. Huduma hii inaweza kupatikana ndani ya masaa 24. Nyongeza ya mshahara, kupokea mshahara kila mwezi na kuweka akiba ya pesa zake” alisema.

WASHINDI WA NBC JAZA KIBUBU TUSEPE QATAR WAPATIKANA

Benki ya NBC imetangaza washindi wa “JAZA KIBUBU TUSEPE QATAR” siku ya Jumatano, Agosti 17 2022. Kampeni hiyo ilianza Aprili mpaka mwezi wa September mwaka huu ikiwa na lengo la kutafuta washindi watakao hudhuria mechi za Kombe la Dunia linalotarajiwa kuanza mwezi Novemba mwaka huu, nchini Qatar.

Mkuu wa Bidhaa na Mauzo wa Benki ya NBC, Abel Kaseko (katikati) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kutangaza washindi wa kampeni ya “JAZA KIBUBU TUSEPE QATAR” mapema wiki hii. Pembeni yake kushoto ni Mwakilishi kutoka Bodi ya Michezo ya Bahati Nasibu, Bw. Elibariki SengaSenga. Kulia ni Meneja Masoko wa NBC, Alina Kimaryo na mwishoni ni Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano Bw. Godwin Semunyu. Hafla hii ilifanyika makao makuu ya Benki ya NBC jijini Dar es salaam.

 

Mkuu wa bidhaa na Mauzo wa Benki ya NBC, Abel Kaseko, akizungumza katika droo iliyofanyika kutafuta washindi wa shindano hilo, alisema walipanga kutafuta washindi hao mwezi wa tisa, lakini kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao ambazo wamepewa na FIFA, imewabidi watafute washindi kabla ya tarehe 20 Agosti, 2022. 

“Washindi watakuwa ni wanne na Benki ya NBC itagharamia usafiri wa kutoka hapa kwenda Qatar, malazi na gharama zote zitakazohusika katika safari yote huko Qatar” alisema. 

Akiwataja washindi hao, ambao ni Abdallah Tangarisi (Singida), Victor George Mwaifunga (Dar es salaam), Konolia Leonard Hinju (Songea) na Mpoki Wamakimbika (Mbeya). Aliongeza kuwa, Washindi hawa wanatarajiwa kuondoka nchini mwezi Novemba mwaka huu, kuelekea nchini Qatar.

MSIMU WA SOKA LA KIBABE WA EPL NDANI YA DStv


Jumapili hii ndani ya #EPL Leeds watavaana na Chelsea ndani ya michuano hii ya #EPL.

Ili kutazama mechi hii lipia mapema kifurushi cha Poa TShs. 9,900/= ili usikose burudani hii @dstvtanzania

#MsimuWaSokaLaKibabe

Thursday, 18 August 2022

VODACOM TANZANIA YAWAJENGEA UWEZO WA TEHAMA WANAFUNZI WA KIKE JIJINI DODOMA

Meneja Mauzo wa Vodacom Business Kanda ya Kati, Athumani Ngoma (kushoto) akimkabidhi zawadi ya cheti mwanafunzi, Catherine Sanga wa shule ya sekondari Kingwe ya Wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma wakati wa kufunga mafunzo ya wiki moja ya kuwajengea uwezo wa masomo ya Tehama kwa wanafunzi wasichana wa shule za sekondari "Code Like A Girl" kwa Mkoa wa Dodoma yaliyofanyika kwa mara ya kwanza Jijini Dodoma kwa ufadhili wa Vodacom Tanzania Plc. Kulia ni Meneja rasilimali watu na mafunzo Vodacom, Naiman Moshi.
Meneja Mauzo wa Vodacom Kanda ya Kati, Athumani Ngoma (kulia) akimkabidhi zawadi ya begi mwanafunzi, Christina Kaguge wa shule ya sekondari St. Peter Claver ya Jijini Dodoma wakati wa kufunga mafunzo ya wiki moja ya kuwajengea uwezo wa masomo ya Sayansi wanafunzi wa kike washule za sekondari kwa Mkoa wa Dodoma yaliyofanyika Jijini Dodoma kwa ufadhili wa Vodacom Tanzania Plc.


TAARIFA YA MAUZO YA NYUMBA ZA MEDELI JIJINI DODOMA

  1. Katika muendelezo wa kuwezesha Watanzania wengi zaidi kumiliki nyumba za makazi, Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) linatangaza rasmi mauzo ya nyumba zilizopo eneo la Medeli Jijini Dodoma. Nyumba hizo zipo ndani ya majengo ya ghorofa ya kisasa na zimekamilika zikiwa na huduma zote muhimu za maji, umeme, maeneo ya michezo na maegesho ya magari. Sifa za ziada za nyumba hizo ni kuwa na eneo maalum la kukusanyia taka.
  2. Nyumba zipo katika eneo tulivu la Medeli Jijini Dodoma takriban kilomita moja kutoka katikati ya Jiji na karibu kabisa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Uwanja wa Ndege, Stesheni ya Reli na huduma mbalimbali za kijamii. Nyumba zipo chache za kuuzwa kwenye majengo matatu ya ghorofa 4. Usalama katika nyumba hizo umezingatiwa kwa wakazi na wanunuzi kwa kuweka uzio mkubwa.
  3. Kila nyumba ina vyumba vitatu vya kulala, kimoja kati ya hivyo kinajitegemea, sebule iliyoungana na eneo la kula chakula, choo cha umma na jiko kubwa la kisasa. Nyumba hizo zina ukubwa wa mita za mraba 116. 
  4. Kila nyumba itauzwa kwa bei ya TZS 199,870,670. Tunawahamasisha na kuwakaribisha Watanzania wote walio nchini na wanaoishi nje ya nchi wafanye mawasiliano na Ofisi zetu za Makao Makuu ya Shirika, Ofisi za Mikoa au kupitia baruapepe na kukamilisha taratibu mapema kwa ajili ya kuweza kununua nyumba.
  5. Mauzo haya ya nyumba hizi ni mwendelezo wa mauzo ya nyumba za miradi ya NHC yanayolenga kutimiza malengo ya Mpango Mkakati wa Shirika wa miaka kumi (2015/16 – 2024/25).
  6. Ukiwa mdau na mnunuzi mtarajiwa, ama una ndugu/rafiki anayehitaji kununua nyumba hizo, tafadhali wasiliana na Kitengo cha mauzo kwa Simu Namba 0736 114433; baruapepe: sales@nhc.co.tz au tembelea tovuti ya Shirika www.nhc.co.tz kwa maelezo zaidi.
IMETOLEWA NA:

KITENGO CHA HABARI NA UHUSIANO,
SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA.

TANZANIA MORTGAGE REFINANCE COMPANY TO ENTER HOUSING MICROFINANCE MARKET THROUGH NEW PARTNERSHIP WITH HABITAT FOR HUMANITY INTERNATIONAL


DAR ES SALAAM, August 17, 2022 – Tanzania Mortgage Refinance Company (TMRC) signed a memorandum of understanding with Habitat for Humanity International today, a first step in the organizations’ joint-effort to expand strengthen the low-income housing finance sector in Tanzania.

Focusing on housing microfinance, the partnership aims to support lower-income Tanzanians and those working in the informal sector to more easily purchase, build or upgrade their homes, a segment of the population that has traditionally been underserved by the housing finance sector.



“The Government commit to such initiatives which are seeking to address housing challenges especially to the low-income section of the population who have an even bigger challenge to access formal mortgage loans due to their low-income levels,” said Hon. Ridhiwani Kikwete, (MP)Deputy Minister of Lands, Housing and Human Settlement Development - URT.

Tanzania has one of the fastest growing economies in the world, however many families still struggle to access adequate and affordable housing. The high cost of formal financing options and limited affordable housing supply remain challenges. The Center for Affordable Finance in Africa estimates that Tanzania has a backlog of over 3 million homes, with demand growing by 200,000 homes annually. 



“Habitat for Humanity and TMRC share a commitment to expanding access to home ownership for all families. This new collaboration is a key step to realizing that goal in Tanzania and will be instrumental in unlocking new housing finance opportunities for low-income families,” said Maurice Makoloo, Vice President, Africa – Habitat for Humanity International.

“TMRC believes there is tremendous potential in Tanzania’s housing finance market to reach low-income families. As a wholesale lender we are eager to build a case for housing microfinance in the country and explore how the financial institutions we invest in can tap into this market through tailored loan products,” said Oscar Mgaya, Chief Executive Officer – TMRC. 

NHC - MRADI WA NYUMBA ZA MAKAZI - IYUMBU, DODOMA


HON. MAKAMBA AND CEOrt TO DISCUSS PRIVATE SECTOR PARTICIPATION WITHIN THE ENERGY SECTOR

TMRC TO ENTER HOUSING MICROFINANCE MARKET THROUGH NEW PARTNERSHIP WITH HABITAT FOR HUMANITY INTERNATIONAL


DAR ES SALAAM (August 17, 2022) – Tanzania Mortgage Refinance Company (TMRC) signed a memorandum of understanding with Habitat for Humanity International today, a first step in the organizations’ joint-effort to expand strengthen the low-income housing finance sector in Tanzania.

Focusing on housing microfinance, the partnership aims to support lower-income Tanzanians and those working in the informal sector to more easily purchase, build or upgrade their homes, a segment of the population that has traditionally been underserved by the housing finance sector.

“The government is committed to such initiatives which are seeking to address housing challenges, especially for the low-income section of the population who have an even bigger challenge accessing formal mortgage loans due to their income levels,” said Hon. Ridhiwani Kikwete (MP), Deputy Minister of Lands, Housing and Human Settlement Development - URT.

Tanzania has one of the fastest growing economies in the world, however many families still struggle to access adequate and affordable housing. The high cost of formal financing options and limited affordable housing supply remain challenges. The Center for Affordable Finance in Africa estimates that Tanzania has a backlog of over 3 million homes, with demand growing by 200,000 homes annually.

“Habitat for Humanity and TMRC share a commitment to expanding access to quality housing for all families. This new collaboration is a key step to realizing that goal in Tanzania and will be instrumental in unlocking new housing finance opportunities for low-income families,” said Maurice Makoloo, vice president, Africa – Habitat for Humanity International.

“TMRC believes there is tremendous potential in Tanzania’s housing finance market to reach low-income families. As a wholesale lender we are eager to build a case for housing microfinance in the country and explore how the financial institutions we invest in can tap into this market through tailored loan products,” said Oscar Mgaya, Chief Executive Officer – TMRC.

MHE. MAKAMBA NA CEOrt KUJADILI USHIRIKI WA SEKTA BINAFSI NDANI YA TASNIA YA NISHATI

Wednesday, 17 August 2022

PRIME MINISTER HANDS OVER AN AWARD TO STANBIC BANK CHIEF EXECUTIVE

Hon. Kassim Majaliwa (MP), Prime Minister of The United Republic of Tanzania, handing over an award to Stanbic Bank Chief Executive, Kevin Wingfield, in recognition of the bank's role in sensitizing the public about the importance of the upcoming Census which commences on 23rd August 2022.

JOB VACANCY AT THE AFRICAN DEVELOPMENT BANK (AfDB) - DIRECTOR STRATEGY AND DELIVERY, OFFICE OF THE PRESIDENT


Full vacancy title: Director Strategy and Delivery, Office of the President
Location: Abidjan, CĂ´te d'Ivoire
Position Grade: EL5
Position Number: 50001372
Posting Date: 12-Aug-2022
Closing Date: 02-Sep-2022

THE POSITION:

The Director of Strategy and Delivery, in the Office of the President’s Office, provides technical and operational support to the President to ensure strategic focus and the effective delivery on the Bank’s work program as well as reinforcing compliance and accountability. As suggested by the title, the position has two inter-related focus areas: strategy and delivery.

In terms of strategy, the role primarily consists of assisting the President in formalizing the Bank Group’s strategic-planning processes, forging new working relationships and synergies across the institution, and establishing greater transparency and accountability for staff carrying out the Bank Group’s strategy. This is to ensure that the successful creation and execution of strategy focuses not only on good processes but also the ability to make quick decisions. Working closely with the Corporate Strategy & Policy Department, the Director acts as the President’s point person in Cabinet in assessing whether the Bank’s strategic initiatives, at all levels of the organization, are in line with the Bank’s standards and objectives. A key part of that function is to look for any signs of strategic drift, and if so, to work with others in developing an early warning system, strategic resilience and organizational flexibility. In this regard, the Director also represents the President in the corporate processes for development and approval the Bank’s next Ten-Year Strategy.

MSIMU WA SOKA LA KIBABE WA LA LIGA NDANI YA DStv


Sevilla kukipiga dhidi ya Real Valladolid ndani ya SuperSport LaLiga 224, Ijumaa hii ndani ya @dstvtanzania pekee.

Piga *150*53# kulipia kifurushi chako cha Bomba sh 21,000 tu ufurahie mechi hii.

#MsimuwaSokalaKibabe

TANZANIA MAINLAND, ZANZIBAR TO MANAGE OIL AND GAS SEPARATELY

Zanzibar President, Hussein Ali Mwinyi witnesses the signing of an agreement on the handing over of data on oil and gas exploration at Zanzibar State House recently. Putting pen to paper are Energy Minister, January Makamba (left) and Zanzibar Blue Economy and Fisheries Minister, Suleiman Masoud Makame.

Unguja - Tanzania Mainland and Zanzibar will no longer oversee oil and gas sector jointly. Prior to that, oil and gas was a Union matter overseen by the United Republic of Tanzania. However, after the recent development Zanzibar will be independent from Tanzania Mainland in the matter.

Zanzibar received its oil and gas data from Tanzania Mainland, allowing the Indian Ocean archipelago to go ahead with the search for exploration investors independently.

Oil and gas was one of the contentious Union matters which have taken long to resolve but the recent event marked a new chapter in which Tanzania mainland and Zanzibar will manage the industry separately.

Also Read: Tanzania in a new initiative to attract oil, gas investors

Energy Minister January Makamba and Zanzibar’s Blue Economy and Fisheries Minister Suleiman Masoud Makame signed and exchanged a transmittal document during a function held at Zanzibar State House.

Zanzibar President Hussein Ali Mwinyi, who attended the signing ceremony, described the handing over of the petroleum seismic data – which contain images of the subsurface in both land and marine environments – as a historic milestone for both sides.


“We have been waiting for a long time to resolve this matter. This is both a legal and political milestone,” said Dr Mwinyi.

“We are now going ahead to drill oil in Zanzibar because all signs areb there,” he added.

Dr Mwinyio thanked Retired President Jakaya Kikwete and retired Zanzibar President Ali Mohammed Shein, who agreed to drop oil and gas from the list of Union matters.

Oil and gas are important component in Zanzibar’s blue economy policy, which is touted by Dr Mwinyi.

JULY 2022 PROGRESS VIDEO - STANDARD GAUGE RAILWAY (SGR) LINE FROM DAR ES SALAAM TO MOROGORO


TMRC YAPONGEZWA USHIRIKI WA ZOEZI LA SENSA YA WATU NA MAKAZI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa tuzo Mtendaji Mkuu wa Tanzania Mortgage Refinance Company Limited (TMRC), Ndugu Oscar Mgaya kwa ajili ya mchango wa TMRC kwa Serikali katika kufanikisha zoezi la sensa ya watu na makazi tarehe Agosti 15, 2022, Jijini Dar es salaam katika kikao cha pamoja na wadau wa Sekta binafsi ambacho kilijadili kuhusu ushiriki wa sekta hiyo kwenye zoezi la Sensa ya Watu na Makazi ambalo linatarajiwa kufanyika Agosti 23, 2022.

Tuesday, 16 August 2022

MASDAR SIGNS A DEAL TO DEVELOP RENEWABLE ENERGY WITH TANESCO


Masdar announced an agreement with TANESCO to develop renewable energy projects with a total capacity of up to 2GW.

Abdulla Zayed, Head of Business Development and Investment at Masdar and Maharage Chande, Managing Director of TANESCO, signed the Joint Development Agreement (JDA) on the sidelines of the Tanzania Energy Congress in the presence of Hon. January Makamba, Minister for Energy for Tanzania. The JDA envisages the establishment of a co-owned joint venture (JV) company by the two organizations to progress the project development.

Maharage Chande, The Executive Director of TANESCO, said: “The agreement we are signing today will bring about a big revolution in the development of renewable energy in the country. Through the first phase of the collaboration, we expect to generate approximately 600 megawatts, and we will continue with other projects until we reach 2,000 megawatts.”

Abdulla Zayed, Head of Business Development & Investment at Masdar, said: “Masdar and TANESCO are working together to support Tanzania’s sustainable development and to provide a secure, clean source of energy for the people of Tanzania. The signing of this agreement demonstrates Masdar’s commitment to the Tanzanian market and to the nation’s energy transition, supporting the target to reach 5,000 MW capacity by 2025. We look forward to working with TANESCO to develop this ambitious program and to provide a clean pathway for growth for Tanzania.”

Monday, 15 August 2022

DTB HOSTS A MEDICAL CAMP IN PEMBA

Diamond Trust Bank PLC collaborated with Ilala Afya Centre and Tiba Health Care in hosting a 3 day Medical camp in Pemba over the weekend at Wete District Hospital. 


More than 1,100 patients were screened and treated for various illnesses and conditions including Cancer screening, Eye disorders, Heart Diseases and Bone diseases.


Through such partnerships, the bank and other stakeholders has continued to improve the lives of persons who need medical care in various parts of the country. 

MSIMU WA SOKA LA KIBABE WA EPL NDANI YA DStv

 

@dstvtanzania haipoi haiboi!

Jumatatu hii gurudumu la michuano ya #EPL inaendelea na Liverpool itakipiga na Crystal Palace kupitia SS 223!

Piga sasa *150*53# kulipia kifurushi chako cha Compact TShs. 51,000 tu.

#MsimuwaSokalaKibabe

WAZIRI GWAJIMA AIPONGEZA NMB KUWAJALI MACHINGA


Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ameipongeza benki ya NMB kwa kutenga fedha kwaajili ya mikopo ya machinga na pia kuweka huduma zitakazorahisisha utendaji kazi wa kundi hili la wafanyabiashara wadogo.

Waziri Gwajima ameyaeleza hayo alipotembelea soko la machinga la old airport jijini Mbeya na kujionea hali halisi ya Biashara za machinga katika soko hilo ambalo machinga wamehamia tangu mwaka 2020.

Mhe waziri aliipongeza benki ya NMB kwa kutenga kiasi cha Bilioni 200 kwaajili ya kuwakopesha machinga jambo ambalo litawasaidia kujikwamua kiuchumi.



Naye Mwenyekiti wa shirikisho la Umoja wa Machinga Tanzania (SHIUMA), Ndugu Ernest Matondo Masanja aliishukuru Benki hiyo pia kwa kuanzisha rasmi kadi za ATM maalumu kwa machinga huku akiwasihi machinga wote nchini kuunga mkono juhudi za Benki hiyo kuwainua kiuchumi.


Lakini pia, Meneja wa Benki ya NMB kanda ya Nyanda za Juu, Straton Chilongola alitumia fursa hiyo kuwakumbusha wamachinga kuwa licha ya huduma bora ambazo NMB inatoa, lakini pia, wanaweza kujikatia bima mbalimbali ikiwemo bima maalumu kwaajili ya Machinga ambayo itawafanya wafanye shughuli zao kwa kujiamini na kutokuwa na hofu kwani itokeapo janga lolote basi Bima itafidia.

WAFANYAKAZI KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI WAPANDA MLIMA KILIMANJARO KUHAMASISHA UTALII WA NDANI

Mkurugenzi Mtendaji wa SBL, Mark Ocitti (wa kwanza kushoto), akizungumza na wafanyakazi 28 wa kampuni hiyo wakati wa uzinduzi wa kampeni yao ya kutangaza utalii wa ndani kwa kupanda Mlima Kilimanjaro iliyoanzishwa na SBL Agosti 14 2022. Kampeni hiyo pia ni sehemu ya mpango ya kampuni ya kujenga afya ya kimwili na ustawi kwa wafanyakazi wake wakiwa kazini.
Mkurugenzi Mtendaji wa SBL, Mark Ocitti (wa kwanza kulia) akitoa ishara ya kuzindua kampeni ya kuhamasisha utalii wa ndani kwa kupanda mlima Kilimanjaro kwa wafanyakazi 28 wa kampuni hio tarehe 14 Agosti 2022 mkoani Kilimanjaro. Zoezi hilo la kupanda mlima pia ni sehemu ya programu za kampuni hiyo kujenga afya ya mwili kwa wafanyakazi wake kupitiakufanya mazoezi wakitarajiwa kushuka tarehe 20 Agosti 2022.
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kupanda Mlima Kilimanjaro katika kampeni yao ya kuhamasisha utalii wa ndani na afya ya mwili na akili sehemu za kazi.
Baadhi ya wafanyakazi wa SBL wakiwa safarini kuupanda mlima Kilimanjaro tarehe 14 Agosti 2022 katika kampeni yao ya kuchochea utalii wa ndani na afya bora makazini.

Machame, Agosti 14 2022 - Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) chini ya chapa yake mama ya ‘Serengeti’ imeunga mkono juhudi za Rais wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kupitia kampeni ya Royal Tour kwa wafanyakazi wake kupanda Mlima Kilimanjaro, mlima mrefu zaidi barani Afrika.

Pamoja na kuhamasisha utalii wa ndani, zoezi hilo la kupanda mlima Kilimanjaro pia ni sehemu ya programu za kampuni hiyo kujenga afya ya mwili kwa wafanyakazi wake kupitia kufanya mazoezi.

Safari ya kupanda mita 5,895 za mlima Kilimanjaro ilianza Agosti 14 2022 katika lango la Machame na jumla ya wafanyakazi 28 wa SBL kutoka viwanda vyao vilivyopo Mwanza, Moshi, na Dar es Salaam wameshiriki, huku wakitarajiwa kushuka Agosti 20 2022.

Kabla ya kuanza kwa zoezi hilo, Mkurugenzi Mtendaji wa SBL, Mark Ocitti alisema, "Tanzania imejaliwa kuwa na maliasili nyingi zenye mvuto wa pekee kwa ajili ya utalii." Hivyo basi, inatupa hamasa ya kuunga mkono kampeni ya Royal Tour ya Mheshimiwa Rais. Aidha, zoezi hili ni la makusudi la kuiweka chapa yetu ya Serengeti Trademark katika kilele cha Mlima Kilimanjaro.’’

ABSA GROUP 2022 INTERIM EARNINGS INCREASE 27%, DEMONSTRATING CONTINUED STRONG RECOVERY


Arrie Rautenbach, Absa Group Chief Executive Officer.

*Salient points
  • Revenue increased 14% to R46.9billion
  • Operating costs rose 7% to R24.1 billion
  • Cost-to-income ratio decreased to 51.4% from 54.9%
  • Pre-provision profit increased 23% to R22.8 billion
  • Impairments increased 10% to R5.2 billion 
  • Headline earnings per share increased 27% to 1298.5 cents from 1019.7
  • Return on equity improved to 17.7% from 15.3%
  • Group CET 1 ratio improved to 13.1% from 12.4% 
  • Dividend per share more than doubled to 650 cents
*Note: Normalised values are reflected (stripping out the effect of the separation from Barclays PLC)

Johannesburg - Absa Group headline earnings increased 27% to R11 billion in the first half of the year as revenue increased, demonstrating a continued strong recovery from the global economic downturn in 2020.

Absa reported solid pre-prevision profit for the first half of the year, supported by revenue which rose by 14%, underpinned by growth across our business units and supported by a rebound in the insurance business in South Africa and increased interest rates across key markets. Net interest income and non-interest income rose 12% and 18%, respectively.

“Our strong results reaffirm the strategic choices we made in 2018 and are testimony to the work we have undertaken in creating a business that is closer to customers,” said Arrie Rautenbach, Absa Group Chief Executive Officer. “With a strong, experienced leadership team and an improved operating model, we now have a strong foundation for outperformance.”

In June, Absa announced a strengthened and more diverse executive leadership team. Absa refined its operating model, adopting a flatter structure, bringing management closer to customers and allowing the Group to accelerate strategy execution. Effective 1 July, Absa has five business units, from two previously.

All business units reported improved earnings and stronger returns during the first half.