| Meneja Mauzo wa Vodacom Business Kanda ya Kati, Athumani Ngoma (kushoto) akimkabidhi zawadi ya cheti mwanafunzi, Catherine Sanga wa shule ya sekondari Kingwe ya Wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma wakati wa kufunga mafunzo ya wiki moja ya kuwajengea uwezo wa masomo ya Tehama kwa wanafunzi wasichana wa shule za sekondari "Code Like A Girl" kwa Mkoa wa Dodoma yaliyofanyika kwa mara ya kwanza Jijini Dodoma kwa ufadhili wa Vodacom Tanzania Plc. Kulia ni Meneja rasilimali watu na mafunzo Vodacom, Naiman Moshi. |
No comments:
Post a Comment