Foreign Exchange Rates

CRDB Bank Advert_070325

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

Wednesday, 17 August 2022

TMRC YAPONGEZWA USHIRIKI WA ZOEZI LA SENSA YA WATU NA MAKAZI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa tuzo Mtendaji Mkuu wa Tanzania Mortgage Refinance Company Limited (TMRC), Ndugu Oscar Mgaya kwa ajili ya mchango wa TMRC kwa Serikali katika kufanikisha zoezi la sensa ya watu na makazi tarehe Agosti 15, 2022, Jijini Dar es salaam katika kikao cha pamoja na wadau wa Sekta binafsi ambacho kilijadili kuhusu ushiriki wa sekta hiyo kwenye zoezi la Sensa ya Watu na Makazi ambalo linatarajiwa kufanyika Agosti 23, 2022.

No comments:

Post a Comment