Blog Rebranding Teaser_030826

Blog Rebranding Teaser_030826

Absa Banner_170926_270926_101026

Absa Banner_170926_270926_101026

Stanbic Bank Banner_070826

Stanbic Bank Banner_070826

Saturday, 5 December 2020

MSHINDI WA VODACOM SHANGWE SHANGWENA AKABIDHIWA GARI YAKE MJINI BIHARAMULO

Aishukuru Vodacom kwa kumuwezesha na kushauri wateja wa mtandao huo kutumia huduma ya M-PESA
Mkuu wa Mauzo, Vodacom Tanzania Plc Kanda ya Ziwa, Ayubu Kalufya (kulia) akimkabidhi funguo mshindi wa kwanza wa bahati na sibu ya promosheni ya Vodacom Shangwe Shangwena, Bi. Happiness Manembe Apollo ambaye ni mkazi wa Biharamulo aliyejishindia gari jipya aina ya Renault KWID. Promosheni hiyo itawezesha watumiaji wa M-Pesa kujishindia magari mapya 5 pamoja na zawadi kemkem zenye thamani ya zaidi ya shilingi 5 bilioni. Unachotakiwa kufanya ni kutumia huduma ya M-Pesa kadri uwezavyo katika msimu huu wa sikukuu. Jumla ya magari matano, pesa taslimu shilingi milioni 25 na zawadi zenye thamani ya zaidi ya shilingi 3 bilioni kutolewa ndani ya wiki 5.
Meneja Masoko wa Vodacom Tanzania PLC, Grace Kijo (kulia) akimkabidhi mshindi wa kwanza wa promosheni ya Shangwe Shangwena, Bi. Happiness Manembe Apollo fulana mara baada ya kuzawadiwa gari aina ya Renault KWID.
Sehemu ya umati uliojitokeza kwenye hafla ya makabidhiano ya gari kwa mshindi wa promosheni ya Shangwe Shangwena iliyofanyika stendi ya mabasi mjini Biharamulo.

Friday, 4 December 2020

APPOINTMENT OF MR. FRANCIS MAJIGE NANAI AS THE NEW EXECUTIVE DIRECTOR OF TANZANIA PRIVATE SECTOR FOUNDATION (TPSF)

WAYS THROUGH WHICH TANZANIA CAN FURTHER SUPPORT ITS PRIVATE SECTOR


It is well known that Tanzania has seen a period of steady economic growth in the past decade. This has helped the country become one of the fastest-growing economies in East Africa as well as the African continent more broadly.

According to the Legatum Institute – a UK-based think tank – this growth has been made possible through investment efforts from the country’s public and private sectors. As such, Tanzania has become a major exporter of minerals and precious metals such as gold. As well as this, the country is home to a vibrant tourism sector thanks to the country’s well-known conservation areas and national parks.

Going forward, investment and engagement from the country’s private sector are likely to continue to form an important component of the country’s economic growth through tax revenue, job creation and tech innovation.

For example, according to the United States Agency for International Development, the private sector already employs 70 per cent of the country’s youth.

Tanzania’s prosperous private sector is a reason for optimism for the country’s future growth. Despite this, there remain ways we can further support this sector in years to come.

Thursday, 3 December 2020

WANAFUNZI WA VYUO VIKUU WAHIMIZWA KUJIUNGA NA AKADEMI YA HUAWEI ILI KUONGEZA UJUZI KWENYE FANI YA TEHAMA.


Afisa wa Huawei, George Harrison akizungumza wakati wa semina hiyo.

Mkuu wa Chuo cha COICT, Dk Mussa Kissaka akizungumza kwenye semina hiyo.

Wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Ndaki ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (COICT) wametakiwa kuchukua fursa ya kujiunga na Shule ya mafunzo ya Huawei katika Chuo hicho katika Programu ya ujuzi wa TEHAMA. Wito huo ulitolewa na Mkuu wa Chuo cha COICT, Dk Mussa Kissaka katika semina ya kuwakaribisha wanafunzi wa mwaka wa kwanza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Akiongea kwenye semina hiyo Dk Mussa Kissaka alisema, Shule ya mafunzo ya TEHAMA ya Huawei inatoa jukwaa la kujifunza ambapo wanafunzi watapata nafasi ya kujifunza Teknolojia za kisasa za Huawei ambazo zitawasaidia kuziba pengo la maarifa ya TEHAMA na ujuzi wa teknolojia hiyo.

Huawei husaidia Vyuo Vikuu kukuza vipaji katika nyanja ya TEHAMA ambayo inakidhi mahitaji ya tasnia, ikitoa vipaji vya hali ya juu kwa maendeleo ya tasnia na taifa kwa ujumla.

TANZANIA CONSUMER CHOICE AWARDS 2020 EXCLUSIVE VVIP EVENT - SUNDAY, 13 DECEMBER 2020





THIS FESTIVAL SEASON, ENJOY WITH AIRTEL DOUBLE DATA SMARTPHONE OFFER

Airtel Tanzania Head Data Marketing, Ezekiel Kahatano (right), speaks in Dar es Salaam recently during the launch of Airtel Smartphone Double Data’ offer. The Airtel Smartphone Double Data’ gives customers DOUBLE DATA on weekly and monthly data packs for all bundle purchases over the next 6 months and is valid if their smart phone is being used for the first time on the Airtel network.
Airtel Tanzania Head Data Marketing, Ezekiel Kahatano (right) and the company's Public Relations Manager, Jackson Mmbando display a placard after launching the Airtel Smartphone Double Data’ offer.
 
Dar es Salaam - Airtel Tanzania, the Smartphone Network, has announced the launch of ‘Airtel Smartphone Double Data’ for all smartphone customers.

All existing Airtel customers who plan to upgrade their Feature phones or Smart Phone can now enjoy DOUBLE DATA on all weekly and monthly data bundles for the next 6 months, when they log in with their NEW SMART PHONE on Airtel.

All other Smart Phone Users can purchase a New Airtel connection and also enjoy this offer. The offer is valid if their smart phone is being used for the first time on the Airtel network. This gives an opportunity for other customers to experience Airtel superfast 4G network spread across all major towns of Tanzania.

The offer gives customers DOUBLE DATA on weekly and monthly data packs for all bundle purchases over the next 6 months. To opt-in to the offer, new smartphone customers will be required to dial *149*99#, select option 5 (Internet) and then option 6 (Smartphone Offer) to activate. After successfully opt in, a customer will receive double data on purchasing 7-days’ or 30-days’ pure data bundles for the next six months starting from the date the customer activated the offer.

DUN & BRADSTREET CREDIT BUREAU TANZANIA LIMITED

UBA GROUP DOES IT AGAIN AS SIX OF ITS AFRICAN SUBSIDIARIES WIN BANK OF THE YEAR AT THE BANKERS AWARDS

In obvious recognition of its brand acceptance and its role in facilitating economic development across Africa, six subsidiaries of pan African financial institution, United Bank for Africa (UBA) Plc have been named ‘Bank of the Year 2020’ by the Banker Magazine, leading global finance news publication published by Financial Times of London.

For the second year running, UBA’s multiple initiatives which include its investment in digital technology, adherence to world-class customer services offerings and financing critical projects have been recognised by the organisers of the world’s leading award in finance, as UBA Benin, UBA Cote D’Ivoire, UBA Chad, UBA Liberia, UBA Sierra Leone and UBA Zambia emerged best bank in their respective countries.

The 2020 edition of the awards ceremony was held virtually on Wednesday, December 2, 2020, and the exceptional win makes it the second time ever in the history of the banker awards, that any banking group will be clinching as many as six wins in the same year. The made history with the same number of awards in the 2019 edition of the Banker’s awards.

VIBE LA WEUSI NA DStv KAMA DStv


Vibe la Weusi na DStv kama DStv. 

Piga 0659 07 07 07 kujiunga kwa TShs 79,000 tu bei elekezi ya ufundi TShs 20,000 tu.

#VibeLaSikukuunaDStv

Wednesday, 2 December 2020

BENKI YA EQUITY YAZINDUA VISA USD DEBIT CARD KWAAJILI YA MANUNUZI MBALIMBALI

Meneja Huduma Mbadala za Benki wa Benki ya Equity Magreth Mwasumbi (katikati), akizungumza na wanahabari wakati wa hafla ya uzinduzi wa mfumo wa kadi za kutoa fedha za kigeni (Visa USD Debit Card). Hafla hiyo imefanyika leo katika Makao Makuu ya Benki hiyo jijini Dar es Salaam. Wengine kutoka kushoto ni Meneja Diaspora wa Benki ya Equity, Doreen Raphael pamoja na Mkuu wa Kitengo cha Malipo na IT, Kenneth Wakati.
Meneja Huduma Mbadala za Benki wa Benki ya Equity, Magreth Mwasumbi (kushoto) Meneja Diaspora wa Benki ya Equity, Doreen Raphael (katikati) pamoja na Mkuu wa Kitengo cha Malipo na IT, Kenneth Wakati wakionesha mfano wa kadi hiyo mara baada ya kuzindua.
  • Pamoja na kutumika katika mashine mbalimbali za kutolea fedha (ATM), wateja wataweza kufanya manunuzi katika duka lolote linalotumia kadi hiyo ya Visa, kama vile Maduka makubwa ya bidhaa (supermarkets), migahawa, hoteli, sehemu za hosptali na vituo vya mafuta, maduka ya kawaida n.k
  • Wateja watafanya manunuzi kupitia mtandaoni pasipo na gharama yoyote ya ziada
  • VISA USD Debit Card itampa mteja fursa ya kufanya manunuzi kwa sarafu ya Dola ya Kimarekani bila kuingia gharama yoyote za ziada 
  • Kadi hii ni ya kwanza na ya kipekee katika soko nchini Tanzania 
  • Inatumia mfumo wa chip na neno la siri kwaajili ya usalama na ubora kwa mtumiaji 
  • Kadi hii inatumia mfumo PayWave unaompa mtumiaji fursa ya kufanya miamala ya manunuzi madogomadogo wakati wote
DAR ES SALAAM, Disemba 2, 2020 - Taasisi inayoongoza kwa utoaji wa huduma za kifedha Equity Bank Limited, leo imezindua kadi mpya ya kisasa ya Visa inayotumia mfumo wa sarafu ya Dola ya Kimarekani ‘VISA USD Debit Card’ kwaajili ya matumizi ya wateja wake nchini Tanzania.

Kadi hiyo iliyotengenezwa kwa kiwango cha dhahabu ni ya kwanza na ya kipekee ikiwa na malengo ya kutoa urahisi na upatikanaji wa huduma kwa wateja wa benki hiyo, ambao wanataka kufanya manunuzi kupitia mtandaoni au kufanya biashara kwa kutumia sarafu ya Dola ya Kimarekani.

Kadi hiyo inampa mteja fursa ya kulipia bidhaa na huduma mbalimbali kwa sarafu ya Dola ya Kimarekani pasipo na nyongeza ya malipo yoyote ya ziada. Itamsaidia mteja kufanya miamala pasipo kuvuruga bajeti yake.

Mkurugenzi Mtendaji wa Equity Bank Tanzania Limited, Robert Kiboti, anasema kuwa kadi hiyo ni nafuu, inatoa suluhisho la bei, ni rahisi na salama kwa mteja na itamsaidia sana mteja katika kurahisisha huduma kwa wakati sahihi lakini pia kuchochea ukuaji wa biashara ya mtandaoni.

BENKI YA NMB YAKABIDHIWA CHETI KWA KUDHAMINI KONGAMANO LA UGAVI NA MANUNUZI ARUSHA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi cheti, Kaimu Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya NMB - Benedicto Baragomwa (kushoto) kutambua mchango wa Benki hiyo kudhamini Kongamano la 11 la Wataalamu wa Manunuzi na Ugavi (PSPTB) linalofanyika jijini Arusha. Wa pili kulia ni Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira.

HUAWEI’S “SEED FOR THE FUTURE” PROGRAM COMMENDED FOR ITS CONTRIBUTION TO THE ICT DRIVE


Dar es Salaam, November 30, 2020 - The Deputy Permanent Secretary for the Ministry of Works, Transport and Communication Dr. Jim Yonazi has commended Huawei’s efforts to improve the quality of ICT education to increase employability skills to University students in Tanzania. The remark was made during the Opening Ceremony of the fifth season of the “Seeds for the Future” program that was conducted online this Monday.

In Tanzania, the “Seeds for the Future” program was launched in 2016 under the support of the Prime Minister’s office and Ministry of Education, Science and Technology. The program involved 4 Universities when it was launched and now it covers 7 Universities namely the University of Dar es Salaam (UDSM), University of Dodoma (UDOM), Dar es Salaam Institute of Technology (DIT), Mbeya University of Science and Technology (MUST), Ruaha University College (RUCO), St. Augustine University of Tanzania (SAUT) and Dar es Salaam University College of Education.

“I have been informed that in order to contribute to the development of the ICT talent in Tanzania and align the visions and strategic plans of the country, Huawei has significantly increased its activities and partnerships with Universities and Colleges in this country. These are commendable efforts for the betterment of youths in Tanzania.” He said when delivering his speech on behalf of Permanent Secretary of Ministry of Works, Transport and Communications, Dr. Zainab Chaula.

Dr. Yonazi called for the students to utilize the knowledge they get from the program to teach others and benefit a larger population especially those who were not as lucky as them.

NIPE FAGIO YAIPONGEZA SERIKALI KUONGEZA WIGO WA ZUIO LA MATUMIZI YA VIFUNGASHIO VYA PLASTIKI UTAKAOANZA JANUARI MOSI 2021

Dar es Salaam, Tanzania – Uchafuzi wa mazingira utokanao na plastiki ni changamoto kubwa duniani ambayo uchangia uharibifu mkubwa wa miundombinu na afya katika nchi nyingi za

Afrika Pamoja na Tanzania. Ikiwa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetangaza kupanua wigo wa zuio la matumizi ya vifungashio vya plastiki, ambavyo havijathibitishwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Nipe Fagio inaunga mkono uamuzi huo wa serikali na inamatumaini makubwa kuwa Tanzania itafanikiwa katika mapambano dhidi ya plastiki zisizorejeshwa.

Nipe Fagio, taasisi isiyo ya kiserikali inayofanyakazi na jamii, sekta binafsi, na serikali ili kufikia maendeleo endelevu katika sekta ya uongozi wa taka, ni taasisi ongozi ya Zaidi ya taasisi 250 nchini, na mwanachama wa Break Free From Plastic, Global Alliance for Incinerator Alternatives (GAIA), pamoja na kampeni ya Let’s Do It Tanzania inayoongoza Siku ya Usafi Duniani. Nipe Fagio pia ni mwandaaji wa kampeni inayoendelea ya Plastiki Yako Mazingira Yetu na itaendelea kuunga mkono jitihada za serikali dhidi ya zuio la matumizi ya plastiki zisizorejeshwa nchini.

JOB VACANCY AT NMB BANK - SENIOR MANAGER; MASS AFFLUENT


Job Purpose

To lead a team of Relationship Managers in growing the Mass Affluent book by providing holistic financial advice and deepen client relationships by identifying broader product and service solutions that meet their investment, savings and credit needs.

Main Responsibilities
  • Identify potential new clients and work with them to build relationships with the goal of managing their wealth.
  • Grow Mass Affluent portfolio and portfolio management for local and foreign currency of the premier segment
  • Develop and manage the strategy of the Mass Affluent clients, and ensure smooth execution. 
  • Develop and implement tactical market plans in support of Mass Affluent strategy.
  • Together with Retail Products team, formulate client relationship deepening models for customer upgrade strategies including relationship pricing and differentiated product pricing models
  • Implement mass affluent customer engagement and portfolio strategy to drive product penetration and profitability.

JOB VACANCY AT NMB BANK - HEAD; INVESTOR RELATIONS

Job Purpose

To ensure the Bank is appropriately and strategically positioned with analysts, investors, and all stakeholders by creating the appropriate strategy, framework, and tactics, as well as providing a very compelling investor relations roadmap.

Since the CEO deals closely with Investors, Analysts and other key stakeholders from time to time, this role is expected to have a matrix reporting line to the CEO assisting the CEO closely in dealing with investors and other key external stakeholders, including Brokers, CMSA, DSE etc.

Main Responsibilities
  • Develop a robust investor relations strategy and framework
  • Create and manage a strong reputation by demonstrating consistent and clear communication between internal and external parties
  • Manage investor research and relationships
  • Provide insights on market activity and present them to the leadership team
  • Analyze and present financial trends, competitor behavior, shareholder issues, and anything else that could impact the business
  • Oversee and manage quarterly earnings reports
  • Ensure compliance with regulatory matters
  • Coordinate preparations of the company’s Annual Report 
  • Support the CEO in active engagements with institutional investors
  • Support Treasury team with any fund raising exercises 
  • Support the CEO from time to time in relevant special projects including preparation of presentations and reports to external parties, investors and other key stakeholders

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM ATEMBELEA MACHINJIO YA KISASA VINGUNGUTI AMBAYO SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) NI MKANDARASI

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abubakari Kunenge (aliyekunja mikono) na ujumbe wake akiwa ndani ya machinjio ya kisasa Vingunguti.
Ng’ombe aliyechinjwa kwa ajili ya majaribio akiwa amenyanyuliwa kwa mashine tayari kwa ajili ya kuchunwa ngozi na kutoa maini, utumbo, kwato nk.
Taratibu za uchunaji wa ng’ombe zikiendelea.
Nyama ya ng’ombe aliyechinjwa kwa mashine kwa ajili ya majaribio ikiwa tayari kwenda kwa mlaji.
Jengo la machinjio ya kisasa Viungunguti linavyoonekana kwa nje.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abubakari Kunenge, amesema kuwa ujenzi wa machinjio ya kisasa Vingunguti utasaidia kuwapatia wananchi nyama iliyobora na yenye viwango vinavyotakiwa kwa mlaji.

Kunenge ameyasema hayo jana katika ziara aliyofanya na Kamati yake ya Ulinzi na Usalama katika machinjio ya kisasa Vingunguti Jijini Dar es Salaam.

Amesema kuwa machinjio hayo ya kisasa yanatekelezwa kwa usimamizi wa Serikali na kwamba hatua iliyofikiwa ya majaribio ya uchinjaji wa mifugo ni ya kutia moyo ingawa bado kuna kazi kubwa inatakiwa kufanywa ili kukamilisha machinjio hayo mapya kwa wakati.

Amesema nyama itakayochinjwa katika machinjio hayo itakuwa ni ya kisasa inayowezwa kusafirishwa kwenda nje ya nchi kwa ajili ya kitoweo kwa kuwa imezingatia vigezo vyote muhimu vya afya.

“Ni kazi kubwa Serikali inathamini wananchi wake na inahakikisha inapata kitoweo kizuri, na kabla ya kuingia machinjioni mnyama anakuwa amepitia vipimo vyote ili kuhakikisha nyama haina madhara. Ni mradi mzuri na kwamba sasa yanafanyika majaribio ya mitambo iliyofungwa ndani ya machinjio haya ya kisasa Vingunguti,” Amesema Kunenge.

Katika ziara hiyo ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwenye machinjio ya kisasa Vingunguti ambayo Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ni mkandarasi yamefanyika majaribio ya kuchinja mbuzi na ng’ombe.

Tuesday, 1 December 2020

MANAGING YOUR INVESTMENTS DURING A PERIOD OF TURMOIL

By Vimal Kumar, Chief Executive: Retail and Business Banking, Digital and Customer Experience, Absa Regional Operations

The COVID-19 pandemic has affected every sector of society across the globe, with everyone impacted from an economic, health and social perspective. While the majority of people have focused on stability and job security during this period, affluent and high-net-worth individuals (HNWI) saw an erosion to their personal net worth as economic activity and investments deteriorated during the pandemic.

As individuals tried to remain as liquid as possible during this period, some of the key trends reflected were the shifting of deposits to secure banks, while automation and digitalisation were further embraced to offer customers the convenience and flexibility to manage their investments at their convenience.

How has COVID-19 affected investors?

The tremendous uncertainty has caused cascading waves of destruction across global economies, and impacted many in the high-net-worth individual (HNWI) and affluent brackets.

COVID-19 has affected all parts of society. In comparison to the working class, where the focus is holding onto jobs, high net worth individuals have been heavily impacted due to the wealth destruction that is occurring. Investors are seeing erosion in personal net worth and a good percentage are worried about consumer confidence due to the global recession, job losses and reduction of investments into economies.

BENKI YA NMB YATOA MSAADA WA TISHETI ZILIZOVALIWA KATIKA HAFLA YA MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI

Katika kuunga mkono jitihada za uthibiti wa maambukizi ya Virusi vya Ukimwi nchini, leo ikiwa Siku ya Ukimwi Duniani, Benki ya NMB imetoa msaada wa tisheti zilizovaliwa katika hafla ya maadhimisho mjini Moshi na elimu kuhusu umuhimu wa kukata bima ya afya.
Meneja wa NMB Tawi la Nelson Mandela - PrayGod Godwin (wa kwanza kushoto) akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro - Anna Mghwira (wa pili kulia) msaada wa Tisheti zilizovaliwa katika hafla ya maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniania leo ofisini kwake.

Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi nchini (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko (kushoto) akizungumza na Meneja wa NMB Kanda ya Kaskazini - Aikansia Muro (katikati), Meneja wa NMB Tawi la Nelson Mandela - PrayGod Godwin na Meneja Mwandamizi Huduma za Serikali - Christabel Hiza mara baada ya maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani iliyofanyika mjini Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro.
Mgeni rasmi kwenye Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani ambaye ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bi. Stella Msofe akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mahusiano Biashara na Serikali wa Benki ya NMB - Mkunde Joseph alipotembelea Banda la Benki hiyo kwenye maadhimisho yaliyofanyika katika viwanja vya Posta Kijitonyama jijini Dar es Salaam leo.

ECOBANK GROUP EMPOWERS WOMEN BUSINESSES THROUGH ELLEVATE, ITS NEW WOMEN-FOCUSED PROGRAMME


Lomé November 30th, 2020 – The Ecobank Group launches ‘Ellevate’, a programme for women-owned and women-focused businesses across 33 markets. This programme is designed to help women reach their full potential by empowering, growing and supporting them with customized financial and value-added solutions.

Women constitute roughly half of the population in Africa. SMEs account for up to 90% of all businesses in Africa and women own about a third of all registered African SMEs. 1 in 4 of the adult female population in Africa starts or manages a business, making the African continent one of the highest in terms of women entrepreneurs across the world.

The Women-led Economy represents a largely untapped market. Ecobank’s commitment to positively contributing to the economic development and financial integration of the continent will be further strengthened by our investment in women.

A healthy collaboration between Government and Private sector is critical for the creation of a conducive environment in which women can thrive and succeed.

PROF. KABUDI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA, FINLAND NA SWEDEN

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Finland hapa Nchini Mhe. Riitta Swan. Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ofisi ndogo za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiwa katika mazungumzo na Balozi wa China hapa Nchini Mhe. Wang Ke. Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ofisi ndogo za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dar es Salaam.


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Sweden hapa Nchini Mhe. Anders Sjoberg. Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ofisi ndogo za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Balozi wa Sweden hapa Nchini Mhe. Anders Sjoberg. Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ofisi ndogo za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Finland hapa Nchini Mhe. Riitta Swan. Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ofisi ndogo za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dar es Salaam.

BALOZI IBUGE ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI ETHIOPIA

Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brigedia Jenerali Wilbert A. Ibuge akisaini kitabu cha wageni katika Ubalozi wa Tanzania nchini Ethiopia.
Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge akisisitiza jambo kwa watumishi (hawapo pichani) wakati wa mkutano.
Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brigedia Jenerali Wilbert A. Ibuge akiendesha kikao na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Ethiopia.
Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia, Bibi. Elizabeth Rwitunga (mwenye gauni la rangi ya bluu) akimpatia maelezo Balozi Ibuge wakati alipokuwa akikagua mali zinazomilikiwa na Serikali ya Tanzania nchini Ethiopia.
Balozi Ibuge akipatiwa maelekezo kutoka kwa Afisa wa Ubalozi wakati wa ukaguzi wa mali zinazomilikiwa na Serikali ya Tanzania nchini Ethiopia.

Na Mwandishi wetu, Addis Ababa

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge ametembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Ethiopia kwa lengo la kujionea utendaji kazi wa Ubalozi pamoja na kukagua mali za Serikali nchini humo.

Balozi Ibuge kabla ya kuanza kukagua mali za Serikali, alikutana na watumishi katika mkutano ambapo amewataka kufanya kazi kwa bidii, weledi na uaminifu kwa kuweka mbele maslahi ya Taifa.

"Nawasihi sana kuacha kufanya kazi kwa mazoea na badala yake tufanye kazi kwa bidii na kuwa wabunifu wa kuitangaza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania," Amesema Balozi Ibuge

Pamoja na Mambo mengine, Balozi Ibuge amewasihi Ubalozi huo kuhakikisha kuwa wanatekeleza vyema vipaombele vya Serikali ya awamu ya tano kama ilivyoelekezwa kwenye ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (2020 - 2025) katika Sura ya Saba, ambapo sura hiyo imeelekezwa kuwa Balozi zote kutekeleza Diplomasia ya Uchumi pamoja na Diplomasia ya Siasa.

UBA TANZANIA EXTENDS SUPPORT TO RUFIJI HYDRO- ELECTRIC POWER PROJECT, OPENS A NEW BRANCH ON SITE


Dar es Salaam, Sunday 29 November 2020 - Following the over $400m funding commitment towards the construction of Rufiji Hydroelectric power project (RHPP), one of the most potential projects in Tanzania, United Bank for Africa Tanzania Ltd (UBA Tanzania) has again extended its support with the launch of an ultra-modern business office at the project site.

The newly opened UBA Rufiji Branch will offer full banking services to contractors, staff and general public at the Julius Nyerere Hydropower Station, also called Rufiji Hydroelectric Power Station, a 2,115 megawatts hydroelectric dam under construction. The power station is expected to produce 5,920GWh of power annually.

The new branch also comes with a variety of digital products and services including secure and convenient bills payment and online transactions, an indication of the bank’s commitment to the project and support for the government’s infrastructure development.

Commenting on the new office, the Managing Director of the Bank, Kingsley Ulinfun noted that “In line with UBA’s customer first philosophy, this is another step that UBA Tanzania has taken in its branch expansion program. The Bank plans to open in five more locations Tanzania - Zanzibar, Mwanza, Mbeya and Arusha.”

EXPERTS: TANZANIA IS WELL PLACED TO REAP THE BENEFITS OF M-HEALTH INITIATIVES

 

In recent years, the evolution of digital technology has emerged as a key trend. This has in turn presented many countries with a number of benefits and innovative ways of overcoming a variety of challenges.The rise in digital health – or m-health – is one example.

For many healthcare providers, m-health is providing new ways of managing and delivering healthcare. According to Deloitte, a professional services company, m-health is helping to empower patients and practitioners. For example, people can research their symptoms or share their experiences with others to help identify treatment solutions.

With a growing digital landscape and mobile penetration rate that is set to continue, industry experts have indicated that Tanzania is well placed to reap the benefits of m-health initiatives.

For example, m-health can provide patients with a way of researching their ailments and – in some cases – remove the need for people to attend a physical consultation. Elsewhere, SMS services have also played a key role in disseminating health and nutritional tips for mothers and their newborn babies.

TUNAUANZA MWEZI DECEMBER KWA KISHINDO HUKU MICHUANO YA UEFA IKIENDELEA NDANI YA DStv


Tunauanza mwezi December kwa kishindo huku michuano ya UEFA ikiendelea......

Piga *150*53# kulipia kifurushi chako mapema au piga 0659 07 07 07 kujiunga kwa gharama nafuu TSh 79,000 tu upate na kifurushi cha Family mwezi 1 bure.

#SokaLisiloPimika

#VibeLaSikukuuNaDStv