| Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi nchini (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko (kushoto) akizungumza na Meneja wa NMB Kanda ya Kaskazini - Aikansia Muro (katikati), Meneja wa NMB Tawi la Nelson Mandela - PrayGod Godwin na Meneja Mwandamizi Huduma za Serikali - Christabel Hiza mara baada ya maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani iliyofanyika mjini Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro. |
No comments:
Post a Comment