Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Monday, 31 January 2022

ABSA BANK POSTS ASTRONOMICAL AFTER-TAX PROFIT RISE

Absa Bank Managing Director, Abdi Mohamed.
  • Absa Bank recovers strongly from the COVID - 19 effects to post astronomical after-tax profit rise
Absa Bank Tanzania has maintained outstanding operational viability in the aftermath of the COVID 19 pandemic, defying a year marked by turmoil in all sectors including the banking sector to register an after-tax profit rise of 1,875% in the financial year 2021, the bank’s Managing Director (MD) Abdi Mohamed has revealed.

“The year 2021 has been a very good year from the financial performance perspective as the Bank was able to recover from a reported loss position of TZS 532million in 2020 to register a Tzs 9.4billion profit after tax (PAT) in 2021,” said Abdi Mohamed.

“The 2020 reported loss was mainly contributed by the negative effects of the COVID-19 pandemic that affected most of the sectors in the economy which impacted Bank’s financial performance in terms of decreasing revenues and increased loan impairment losses. “

According to the Bank’s MD, profit before tax (PBT) also grew significantly by 210% year on year from Tzs 4billion last year to a Tzs 13billion in 2021, mainly contributed by declining loan impairment charges by 30% and decreasing operating costs by 8% while the Bank was able to maintain stability in the revenue performance year on year.

DCB YASAIDIA KAMPENI YA USAFI WA MAZINGIRA TEMEKE

  • Benki ya DCB kupitia mfuko wake wa kuisaidia jamii wa DCB FOUNDATION wasaidia kampeni ya usafi wa mazingira Temeke
  • Wakabidhi vifaa vya kufanyia usafi kwa DC Jokate
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo (wa tatu kushoto) akifanya usafi pamoja na wafanyakazi wa Benki ya Biashara ya DCB katika siku ya usafi ya mwisho wa mwezi iliyofanyika kiwilaya katika kata ya Keko jijini Dar es Salaam. DCB imeshiriki kampeni hiyo kupitia mfuko wake wa kusaidia jamii wa DCB Foundation kwa kufanya usafi na kukabidhi msaada wa vifaa vya kufanyia usafi.
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo (katikati), Meneja Mahusiano wa Benki ya Biashara ya DCB, Brino Londo (kulia) na Ofisa Masoko wa benki hiyo, Agness Ntabaye wakifanya usafi katika siku ya usafi ya mwisho wa mwezi iliyofanyika kiwilaya katika kata ya Keko jijini Dar es Salaam. DCB imeshiriki kampeni hiyo kupitia mfuko wake wa kusaidia jamii wa DCB Foundation kwa kufanya usafi na kukabidhi msaada wa vifaa vya kufanyia usafi.
Meya wa Manispaa ya Temeke, Abdallah Mtinika (kulia) akipokea sehemu ya vifaa vya kufanyia usafi kutoka kwa Meneja Mahusiano wa Benki ya Biashara ya DCB, Brino Londo katika siku ya usafi ya mwisho wa mwezi iliyofanyika kiwilaya katika kata ya Keko jijini Dar es Salaam. DCB imeshiriki kampeni hiyo kupitia mfuko wake wa kusaidia jamii wa DCB Foundation kwa kufanya usafi na kukabidhi msaada wa vifaa vya kufanyia usafi.
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo (katikati) akishikana mikono na Meneja Mahusiano wa Benki ya Biashara ya DCB, Brino Londo baada ya kukabidhiwa vifaa vya kufanyia usafi katika siku ya usafi ya mwisho wa mwezi iliyofanyika kiwilaya katika kata ya Keko jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo (wa tatu kushoto), Ofisa Masoko wa benki hiyo, Agness Ntabaye (wa pili kushoto) na Meneja Mahusiano wa Benki ya Biashara ya DCB, Brino Londo wakiwa pamoja wakati wa zoezi la siku ya usafi ya mwisho wa mwezi ambapo kiwilaya ilifanyika katika Kata ya Keko jijini Dar es Salaam. 

BENKI YA DCB KUWAWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI

Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Biashara ya DCB, Pamela Nchimbi (kushoto) akizungumza katika kongamano la wanawake lililoandaliwa na Kampuni ya ushauri wa masuala ya fedha ya Bridge Consult kwa udhamini mkuu wa Benki ya DCB jijini Dar es Salaam. Lengo la jukwaa hilo ni kubadilishana mawazo na kupeana ujuzi wa masuala ya kifedha, uwekezaji pamoja na maendeleo endelevu.
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Biashara ya DCB, Dk. Anna Abdul akizungumza katika kongamano la wanawake lililoandaliwa na Kampuni ya ushauri wa masuala ya kifedha ya Bridge Consult kwa udhamini mkuu wa Benki ya DCB jijini Dar es Salaam. Lengo la jukwaa hilo ni kubadilishana mawazo na kupeana ujuzi wa masuala ya kifedha, uwekezaji pamoja na maendeleo endelevu.
Mkuu wa Wateja Binafsi wa Benki ya Biashara ya DCB, Fortunata Benedict akitoa elimu ya maswala ya fedha katika kongamano la wanawake lililoandaliwa na Kampuni ya ushauri wa masuala ya Kifedha ya Bridge Consult kwa udhamini mkuu wa Benki ya DCB jijini Dar es Salaam. Lengo la jukwaa hilo ni kubadilishana mawazo na kupeana ujuzi wa masuala ya kifedha, uwekezaji pamoja na maendeleo endelevu.
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Biashara ya DCB, Pamela Nchimbi (wa pili kulia) akitoa elimu ya masuala ya maendeleo endelevu katika kongamano la wanawake lililoandaliwa na Kampuni ya ushauri wa masuala ya kifedha ya Bridge Consult kwa udhamini mkuu wa Benki ya DCB jijini Dar es Salaam. Lengo la jukwaa hilo ni kubadilishana mawazo na kupeana ujuzi wa masuala ya kifedha, uwekezaji pamoja na maendeleo endelevu. Kutoka kulia ni Mtaalamu wa masuala ya Kimaisha, Mihaela Marcu, Mshauri wa masuala ya afya kwa jamii, Naomi Serbantez na Mkurugenzi wa Mgahawa wa Terrace, Sarah Raqey.

Baadhi ya washiriki wakichangia mada katika kongamano la wanawake lililoandaliwa na Kampuni ya ushauri wa masuala ya kifedha ya Bridge Consult kwa udhamini mkuu wa Benki ya DCB jijini Dar es Salaam. Lengo la jukwaa hilo ni kubadilishana mawazo na kupeana ujuzi wa masuala ya kifedha, uwekezaji pamoja na maendeleo endelevu.

Friday, 28 January 2022

NMB BANK PLC POSTS ANOTHER INDUSTRY RECORD - BREAKING PERFORMANCE

Ms. Ruth Zaipuna, CEO - NMB Bank Plc.

In summary: NMB Bank Plc remains the most profitable bank in Tanzania according to the published Financial Statements for the year 2021, with the following key highlights.
  • Profit before tax: TZS 420 bln, up 41% YoY
  • Profit after tax: TZS 289 bln, up 39% YoY
  • Total Income: TZS 989 bln, up 18% YoY
  • Cost to Income Ratio (CIR): 47%
  • Total Assets: TZS 8.7 Trillion, up 23% YoY
Disciplined execution of its strategy, strong client activity, high-staff morale, and leadership agility helps NMB to remain the most profitable bank in Tanzania.

Dar es Salaam. January 27, 2022. NMB Bank Plc. yesterday announced its full year 2021 results, where the bank recorded yet another industry record-breaking performance, delivering profit before tax of TZS 420 bln (2020: TZS 301 bln), up 41% YoY. The bank’s differentiated business model and disciplined execution of its strategic initiatives continue to drive market share gains, and further cementing the Bank’s leading position within the market. A recorded Profit after tax of TZS 289 bln is up 39% YoY and above full year 2020 (TZS 210 bln) industry record-setting profitability.

The strong growth in profitability is on the back of solid operating income growth of 18% YoY – both from net-interest income growth of 19% YoY due to increase in loans and advances and increase in non-funded income by 15% YoY reflecting increased customer activities on the bank’s channels.

The bank has also continued to demonstrate laudable operational efficiency, with further improved cost-to-income ratio to 47% from 51% in the same period last year, being well within the regulatory threshold of 55%. Close management of the loan book and strong customer relationship management saw improvement in overall asset quality, with its NPL ratio decreasing to 3.2% as at December 2021, well below the 5% regulatory threshold.

EMPIRE GANG NDANI YA ARUSHA LIVE KWENYE DStv


Empire Gang ndani ya Arusha!!!!

Hawatakuwa pekee yao wapo na wakali Marioo, Mbuzi (Young Lunya) pamoja na mzee wa kubembeleza Juma Jux ndani ya The Hub Arusha Jumamosi.

Show nzima kuruka Live kupitia chaneli ya DStv Maisha Magic Poa 144, inayopatikana kuanzia kifurushi cha Poa kwa TShs 9,900/tu ndani ya @dstvtanzania pekee

Piga *150*53# kulipia kwa urahisi ili usikose burudani hii.

AIRTEL AFRICA JOINS FTSE 100


London, 27 January 2022: Today, index manager FTSE Russell announced that Airtel Africa plc will be joining the FTSE 100 on Monday 31 January 2022.

Through its mobile telecoms and mobile money services, Airtel Africa plc is transforming lives of over 122 million people across the 14 African markets in which it operates.

The Group floated on the London Stock Exchange in June 2019, and has since demonstrated significant growth in its customer base, revenues, profits, margins, and cash generation, as well as strengthening its balance sheet through reduced leverage.

The Group continues to execute its growth strategy to deliver on the significant market potential afforded by the demographics and market dynamics across voice, data and mobile money services.

UMOJA SWITCH YAWAHAKIKISHIA WATEJA HUDUMA BORA

Makamu Mwenyekiti wa Umoja Switch, Godfrey Ndalahwa.

Taasisi za kifedha zinazotumia mfumo mmoja wa malipo wa Umoja Switch zimejipanga kuboresha mfumo huo kwa kutumia teknolojia za kisasa zaidi ili kuweza kuleta tija kwa wateja wao.

Akizungumza jijini Arusha wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa wadau wa Umoja Switch, Makamu Mwenyekiti wa Umoja Switch, Godfrey Ndalahwa alisema taasisi ya Umoja iliyoanza miaka 15 iliyopita inashirikia benki wanachama 20 na awali ikijulikana zaidi kuendesha mfumo wa Umoja Switch maalumu kwa matumizi ya kadi za ATM.

Bwana Ndalahwa ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB alisema lengo kubwa la mkutano huo ni kuona ni kwa namna gani wanaweza kuboresha mfumo huo na kuangalia suala la kupunguza gharama za huduma ndani ya mfumo ili kuwafanya wateja waone faida ya kutumia mfumo huo.

“Licha ya kuwa mfumo uliozoeleka ni wa ATM za Umoja, bado kuna mifumo ya wakala, simu za mkononi na mingineyo ambayo yote inatumia teknolojia, mazungumzo ya leo yanalenga zaidi ni namna gani tunaweza kutumia teknlojia katika kuboresha mifumo yetu kwa faida ya wateja wetu”, alisema Bwana Ndalahwa.

NMB YAWEKA TENA REKODI YA KIHISTORIA KIUTENDAJI

Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Bi. Ruth Zaipuna.

Kwa Ufupi: Benki ya NMB yaendelea kuwa benki kinara wa ufanisi nchini Tanzania
  • Faida kabla ya kodi: TZS bilioni 420 - ongezeko la asilimia 41 kwa mwaka
  • Faida baada ya kodi: TZS bilioni 289 - ongezeko la asilimia 39 kwa mwaka
  • Mapato ya jumla yaongezeka kwa asilimia 18
  • Uwiano wa gharama na mapato (CIR): 47%
  • Thamani ya mali zote TZS 8.7 trilioni yapanda kwa asilimia 23
Ubora wa mpango mkakati, ongezeko la miamala ya wateja, morali ya hali ya juu wa wafanyakazi na uongozi thabiti, vyasaidia kuifanya NMB kuendelea kuwa benki kinara wa faida nchini.

Dar es Salaam. Januari 27, 2022. Benki ya NMB jana imetangaza matokeo ya uendeshaji wake ya mwaka 2021 ambapo imeweka rekodi nyingine ya utendaji kwa kupata faida kabla ya kodi ya TZS bilioni 420 (2020: TZS bilioni 301), kiasi ambacho ni ongezeko la asilimia 41.

Muundo wake wa biashara, na utekelezaji wa mipango kimkakati wake kwa nidhamu kubwa kumeendelea kuipa mafanikio ya umiliki wa soko, na hivyo kuimarisha nafasi yake ya uongozi wa kisekta nchini.

Faida ya TZS bilioni 289 baada ya kodi iliyopatikana mwaka kwa 2021 ni ongezeko la asilimia 39, kiasi ambacho ni zaidi ya faida yote ya mwaka 2020 (TZS 210) iliyovunja rekodi ya faida kuwahi kutengenezwa na benki yoyote nchini.

Ukuaji mkubwa wa faida ulitokana na ukuaji thabiti wa mapato kwa asilimia 18. Ukuaji huu ulitokana hasa na kukua kwa mapato yatokanayo na riba kwa asilimia 19, pamoja na ongezeko la mapato yasiyo ya riba kwa asilimia 15. Ongezeko hili la mapato ni kiashiria cha ukuaji thabiti wa mizania ya benki, mikopo kwa wateja, pamoja na ongezeko kubwa la miamala ya wateja wetu, kutokana na ubora na upatikanaji rahisi wa huduma zetu za kibenki.

Thursday, 27 January 2022

KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YATANGAZA NEEMA KWA WAKULIMA WA NDANI

Baadhi ya viongozi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti pamoja na wafanyakazi wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wanufaika wa programu ya ufadhili wa masomo ya kilimo maarufu kama Kilimo Viwanda na wakuu wao wa vyuo muda mfupi baada ya kampuni hiyo kutangaza ufadhili kwa wanafunzi 102 katika mwaka huu wa fedha jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Mark Ocitti (wa pili kulia) akisalimiana na Mkuu wa Chuo cha Kilimo Mt Maria Goretti cha Iringa, Isaya Kigava muda mfupi kabla ya kutangaza udhamini wa wanafunzi 102 wa kilimo chini ya programu inayojulikana kama Kilimo Viwanda jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Chuo cha Kilimo, Igabiro cha Muleba Kagera na Sadock Stephano na kulia ni Makamu wa Chuo cha Kilimo, Kaole Bagamoyo Maximilian Sarakikya.
Mkurugenzi wa Mahusiano kwa Umma wa Kampuni ya Bia ya Seregeti (SBL), John Wanyancha (wa pili kushoto) akibadilishana mawazo na Wakuu wa Vyuo ambao Vyuo vyao ni wanufaika wa programu ya ufadhili wa masomo ya kilino maarufu kama Kilimo Viwanda muda mfupi baada ya kampuni hiyo kutangaza udhamini kwa wanafunzi 102 jana jijini Dar es Salaam.

Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), imesema itaendelea kusaidia kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili wakulima wa ndani ikiwa ni pamoja na ukosefu wa masoko kwa mazao yao, ukosefu wa ujuzi wa kutosha juu ya mbinu za kisasa za kilimo na ukosefu wa mitaji kwa ajili ya kupanua shughuli zao na kulima kibiashara.

SBL kupitia programu yake wa Kilimo biashara, inafanya kazi na wakulima zaidi ya 400 waliopo sehemu mbalimbali nchini ikiwasaidia kutatua changamoto zinazowakabili kwa kuwapatia mbegu bora bure, kuwaunganisha na taasisi za kifedha kwa ajili ya kupata mikopo ya kupanua shughuli zao, mafunzo ya msingi ya ujasiriamali pamoja na kuwahakikisha soko kwa mazao yao kwa kuyanunua kwa bei iliyo juu ya bei ya soko.

Hatua hizi zimewekwa wazi jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa SBL Mark Ocitti wakati akitangaza udhamini wa wanafunzi 102 wanaosomea masomo ya Kilimo katika ngazi ya diploma katika vyuo vya ndani ambapo alisema ufadhili huo ni sehemu ya mkakati wa kampuni hiyo kuimarisha sekta ya kilimo kwa kuongeza wataalamu.

CRDB SLASHES LENDING RATES TO FARMERS AND WORKERS


Dar es Salaam - The CRDB Bank Plc is significantly cutting its lending rates to farmers and salaried workers as it seeks to play an increasingly important role in Tanzania’s economic development endeavours.

The bank will now be charging only nine percent (instead of the usual 20 percent) on agricultural loans in a move that promises farmers of an affordable financing option to tweak their operations.

The move comes within months after President Samia Suluhu Hassan’s administration – through the Bank of Tanzania (BoT) - announced several measures that it would undertake in a deliberate effort to create conditions for reducing interest rates on loans and promoting credit intermediation.

Also yesterday, CRDB Bank Plc also slashed lending rates on personal loans for salaried workers to 13 percent from the usual 16 percent.

“We sat down with the BoT late last year and embarked on the implementation of a review of our lending rates and I am happy that we have come up with a solution,” CRDB Bank Plc managing director Abdulmajid Nsekela, said in Dar es Salaam yesterday.

The new nine percent lending interest rate on agriculture will stimulate production for the sector that accounts for 26 percent of Tanzania’s gross domestic product (GDP) and which employs 75 percent of the country’s working-age population.

MO DEWJI RANKED 15TH RICHEST MAN IN AFRICA

Tanzanian billionaire businessman Mohammed "Mo" Gulamabbas Dewji.

Tanzanian billionaire and former Member of Parliament Mohammed Dewji popularly known as Mo Dewji continues to hold the title as the richest man in the country as well as featuring among the wealthiest people in Africa.

In the latest Forbes list of the continent’s dollar billionaires in 2022, Dewji - the CEO of MeTL Group, is ranked 15th with a net worth of $1.5 billion.

The list features 18 billionaires worth an estimated $84.9 billion–15 percent more than twelve months ago and the largest combined tally since 2014 when there were 28 African billionaires; the average net worth is higher this year due to the current smaller number of list members, Forbes says.

Top of the list of African billionaires is Nigerian business magnet Aliko Dangote sittting on $13.9 billion, he is closely followed by South Africa's Johann Rupert and Family with a net worth of $11 billion and Nicky Oppenheimer & family occupying third slot valued at $8.7 billion, Egypt's Nassef Sawiris with a net worth of $8.6 billion is fourth, while Abdulsalmad Rabiu rounds up the top 5 five with $7 billion.

UAE LIFTS BAN ON FLIGHTS FROM TANZANIA, KENYA


Travellers from Tanzania and Kenya will be allowed entry into Dubai from Saturday January 29, after the United Arabs Emirates lifted a ban it had imposed on all inbound and transit passenger flights since last year.

Reliable sources say the ban was lifted on Wednesday night, offering a major relief to hundreds of travellers from the two East African nations.

UAE barred entry of flights from Tanzania and Kenya on December 20, 2021, after establishing that travellers from Dar es Salaam and Nairobi were testing positive for Covid-19 on arrival in the Middle East country despite presenting negative test results.

However, the ban did not affect cargo flights by carriers like Kenya Airways (KQ) and Emirates Airlines.

“United Arabs Emirates has lifted a suspension it had imposed on Kenyan flights,” said Kenya Civil Aviation Authority (KCAA) director-general Gilbert Kibe on Thursday without giving more details.

The UAE government also announced the resumption of entry for passengers from Ethiopia, Nigeria, Congo, South Africa, Botswana, Eswatini, Lesotho, Mozambique, Namibia and Zimbabwe from January 29.

Wednesday, 26 January 2022

SINIA LA BENKI YA DCB LAZIDI KUMWAGA ZAWADI

Meneja wa Benki ya Biashara ya DCB Tawi la Magomeni, Anna Kasyupa (kushoto), akikabidhi zawadi ya pesa kwa mmoja wa washindi wa kampeni ya Sinia la DCB, Anastazia Kilonda, mteja wa Tawi la Tabata, katika hafla iliyofanyika tawini hapo, Dar es Salaam jana. Kampeni hiyo ya miezi mitatu ilizinduliwa Okotoba 28 mwaka jana, zawadi zikiwa pesa na simu za mkononi yenye lengo la kudumisha utamaduni kwa wateja wao kujiwekea akiba na pia kuwa sehemu ya shukurani za DCB kwa wateja wao.
Ofisa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Biashara ya DCB, Adelah Kaihula (kulia), akikabidhi zawadi ya pesa kwa mmoja wa washindi wa kampeni ya Sinia la DCB, Winston Jacob katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Kampeni hiyo ya miezi mitatu ilizinduliwa Okotoba 28 mwaka jana, zawadi zikiwa pesa na simu za mkononi yenye lengo la kudumisha utamaduni kwa wateja wao kujiwekea akiba na pia kuwa sehemu ya shukurani za DCB kwa wateja wao.
Balozi wa Kampeni ya Sinia la DCB, Maxwell Machange (kulia), akikabidhi zawadi ya pesa kiasi cha shs 200,000 jijini Dar es Salaam jana, kwa Ofisa Huduma kwa Wateja wa Benki ya DCB Tawi la Magomeni, Nancy Shemndolwa mara baada ya tawi hilo kuibuka kidedea kwa kufanya vizuri katika kampeni inayoendelea ya Sinia la DCB. Kampeni hiyo ya miezi mitatu ilizinduliwa Okotoba 28 mwaka jana, zawadi zikiwa pesa na simu za mkononi yenye lengo la kudumisha utamaduni kwa wateja wao kujiwekea akiba na pia kuwa sehemu ya shukurani za DCB kwa wateja wao.
Ofisa Huduma kwa Wateja wa Benki ya DCB Tawi la Mabibo, Mwajuma Mduma (kulia) akikabidhi zawadi ya pesa kwa Julieth Kisaka, aliyepokea kwa niaba ya Lydia Leonard mteja wa Tawi la Mabibo baada ya kuibuka mmoja wa washindi wa kampeni inayoendelea ya Sinia la DCB. Kampeni hiyo ya miezi mitatu ilizinduliwa Okotoba 28 mwaka jana, zawadi zikiwa pesa na simu za mkononi yenye lengo la kudumisha utamaduni kwa wateja wao kujiwekea akiba na pia kuwa sehemu ya shukurani za DCB kwa wateja wao.

Balozi wa Kampeni ya Sinia la DCB, Maxwell Machange (kulia), akikabidhi zawadi ya simu kwa Meneja Mikopo Midogodogo wa Benki ya DCB, Maria Kabeho aliyepokea kwa niaba ya mteja wa Tawi la Ukonga, Florian Steven, aliyeibuka mshindi katika kampeni inayoendelea ya Sinia la DCB. Kampeni hiyo ya miezi mitatu ilizinduliwa Okotoba 28 mwaka jana, zawadi zikiwa pesa na simu za mkononi yenye lengo la kudumisha utamaduni kwa wateja wao kujiwekea akiba na pia kuwa sehemu ya shukurani za DCB kwa wateja wao.

VYA NYUMBANI HUANZIA DStv



Raphael apewa nafasi ya kuokoa mmoja kati ya Phina na Viola, je atamuokoa nani..?

Fuatilia tamthilia hii kila siku za Jumatatu - Ijumaa saa 4 usiku kupitia chaneli ya Maisha Magic Bongo 160 inayopatikana kuanzia kifurushi cha Bomba TShs 21,000/= tu ndani ya @dstvtanzania pekee.

Piga *150*53# kulipia kwa urahisi zaidi.

#VyaNyumbaniHuanziaDStv

DIPLOMATIC SHERRY PARTY IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongea na Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini pamoja na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa katika Sherehe za Mwaka Mpya 2022 kwa Mabalozi (Diplomatic Sherry Party) Ikulu – Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula akitoa hotuba yake wakati wa Sherehe za Mwaka Mpya 2022 kwa Mabalozi (Diplomatic Sherry Party) Ikulu – Dar es Salaam.
Kiongozi wa Mabalozi nchini ambaye pia ni Balozi wa Visiwa vya Comoro nchini Mhe. Dkt. Ahmada El Badaoui Mohamed akihutubia wakati wa Sherehe za Mwaka Mpya 2022 kwa Mabalozi (Diplomatic Sherry Party) Ikulu – Dar es Salaam.
Sehemu ya Uongozi wa Wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ukifuatilia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati wa Sherehe za Mwaka Mpya 2022 kwa Mabalozi (Diplomatic Sherry Party) Ikulu – Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan hivi karibuni aliwaalika Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini pamoja na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa katika Sherehe za Mwaka Mpya 2022 kwa Mabalozi (Diplomatic Sherry Party) Ikulu – Dar es Salaam.

Pamoja na mambo mengine, katika sherehe hizo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alisema Sera Mpya ya Mambo ya Nje itaendelea kuzingatia Diplomasia ya Uchumi na kuakisi maendeleo mapya kama vile uchumi wa bluu, mabadiliko ya tabianchi, uchumi wa kidigitali pamoja kukuza lugha ya Kiswahili kama lugha ya kidiplomasiana kibiashara. 

Awali, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula aliwahakikishia Mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini pamoja na Waakilishi wa Mashirika ya Kimataifa kuwa Tanzania chini ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan imeendelea kuimarisha uhusiano wake kila wakati.

UBIA BAINA YA SERIKALI NA BARRICK UMELETA TIJA KUBWA


Waziri wa Madini, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa ubia baina ya Serikali na kampuni ya Barrick (Barrick Gold Corporation) uliounda kampuni tanzu ya Twiga (Twiga Minerals Corporation Limited) umeleta tija kubwa katika sekta ya madini nchini.

Waziri Dkt. Biteko ameyasema hayo Januari 25, 2022 alipotembelea mgodi wa Bulyanhulu uliopo Halmashauri ya Msalala Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga ikiwa ni miongoni mwa migodi inayoendeshwa na kampuni ya Twiga kwa ubia baina ya Serikali yenye asilimia 16 na Barrick yenye asilimia 84.

Amesema ubia huo umechochea fursa zaidi za ajira kwa watanzania ambapo katika mgodi wa Bulyanhulu zaidi ya asilimia 96 ya wafanyakazi ni watanzania ambapo asilimia 41 wanatoka katika maeneo yanayozunguka mgodi.

Aidha Waziri Dkt. Biteko ameongeza kuwa hatua hiyo imechochea ongezeko la makusanyo ya Serikali katika Sekta ya madini kutoka chini ya shilingi 115 mwaka 2015 hadi kufikia shilingi bilioni 528 mwaka 2020/21 huku pia ikifungua ubia zaidi baina ya Serikali na makampuni mengine.

AIRTEL YATOA GAWIO LA SH. BILIONI 122 KWA MIAKA MIWILI

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya Mawasiliano ya Airtel Tanzania, anayemaliza muda wake Bw. George Mathen (kulia) na Mkurugenzi mpya wa kampuni hiyo, Bw. Dinesh Balsingh (kushoto), walipofika kuaga na kujitambulisha Ofisini kwake, jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza wakati alipotembelewa na ujumbe kutoka kampuni ya Mawasiliano ya Airtel Tanzania ukiongozwa na Mkurugenzi anayemaliza muda wake Bw. George Mathen (wa pili kulia) na Mkurugenzi mpya wa kampuni hiyo, Bw. Dinesh Balsingh (wa tatu kulia) walipofika kuaga na kujitambulisha Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni hiyo Bi. Beatrice Singano, jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Mawasiliano ya Airtel Tanzania, anayemaliza muda wake, Bw. George Mathen, akizungumza wakati alipomtembelea Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), (hayumo pichani) jijini Dodoma. Kushoto ni Mkurugenzi mpya wa Kampuni ya hiyo, Bw. Dinesh Balsingh.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akiwa katika mazungumzo ya pamoja na uongozi wa zamani na mpya wa Kampuni ya Mawasiliano ya Airtel Tanzania, yaliyofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango, jijini Dodoma. Serikali kupitia Msajili wa Hazina ni Mbia katika Kampuni hiyo.

Na Benny Mwaipaja, WFM, Dodoma

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) ameipongeza Kampuni ya Mawasiliano ya Airtel Tanzania kwa mafanikio makubwa ya kiuendeshaji na kufanikisha kuipatia Serikali zaidi ya shilingi bilioni 122 katika kipindi cha miaka miwili ikiwemo gawio pamoja na kodi nyingine.

Dkt. Nchemba ametoa pongezi hizo Jijini Dodoma alipokutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Artel Tanzania aliyemaliza muda wake, Bw. George Mathen na Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa kampuni hiyo, Bw. Dinesh Balsingh, waliomtembelea kwa ajili ya kuaga pamoja na kujitambulisha.

“Fedha hizo zimeiwezesha Serikali kutekeleza miradi ya kijamii ambayo imekuwa chachu ya maendeleo kwa wananchi na kubadilisha maisha yao kama inavyoelekezwa na Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyeiagiza Wizara ya Fedha na Mipango kuhakikisha kuwa kila fedha inayopatikana inaelekezwa kwenye maendeleo ya watanzania” alisema Dkt. Nchemba.

DKT. NCHEMBA AIOMBA WFP KUNUNUA NAFAKA ZA WAKULIMA

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akipokea zawadi kutoka kwa Mwakilishi wa Shirika la Chakula la Umoja wa Mataifa Nchini (UN- WFP), Bi. Sarah Gordon-Gibson, alipomtembelea ofisini kwake jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiwa katika picha ya pamoja na Mwakilishi wa Shirika la Chakula la Umoja wa Mataifa Nchini (UN- WFP), Bi. Sarah Gordon-Gibson, (katikati), baada ya mazungumzo baina yao, jijini Dodoma. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Amina Shaaban, kushoto ni Mratibu wa Shirika la Chakula la Umoja wa Mataifa Nchini (UN-WFP), Bi. Neema Nina Sitta na Kamishna Idara ya Fedha za Nje Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Sauda Msemo.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akisalimiana na Mwakilishi wa Shirika la Chakula la Umoja wa Mataifa Nchini (UN-WFP), Bi. Sarah Gordon-Gibson, alipomtembelea kwa mazungumzo ofisini kwake jijini Dodoma.
Kikao kati ya Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba na Mwakilishi wa Shirika la Chakula la Umoja wa Mataifa Nchini (UN-WFP), Bi. Sarah Gordon-Gibson, kikiendelea, jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akizungumza wakati wa kikao na Mwakilishi wa Shirika la Chakula la Umoja wa Mataifa Nchini (UN-WFP), Bi. Sarah Gordon-Gibson, (Hayumo pichani) alipomtembelea kwa mazungumzo ofisini kwake jijini Dodoma. Kulia ni Kamishna Idara ya Fedha za Nje Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Sauda Msemo na Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Amina Shaaban.
Mwakilishi wa Shirika la Chakula la Umoja wa Mataifa Nchini (UN-WFP), Bi. Sarah Gordon-Gibson, akizungumza wakati alipomtembelea Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), (Hayumo pichani), kushoto ni Mratibu wa Shirika la Chakula la Umoja wa Mataifa Nchini (UN-WFP), Bi. Neema Nina Sitta jijini Dodoma.

Peter Haule na Saidina Msangi, WFM, Dodoma

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), ameliomba Shirika la Mpango wa Chakula Duniani la Umoja wa Mataifa (WFP), kununua shehena ya nafaka kutoka kwa wakulima hapa nchini kwa ajili ya matumizi yake ya kulisha wakimbizi maeneo mbalimbali wanayoyahudumia.

Dkt. Nchemba ametoa wito huo Jijini Dodoma, alipokutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi Mkazi wa Shirika hilo Bi. Sarah Gibson, ambapo wawili hao wamejadiliana masuala kadhaa ya ushirikiano kati ya Serikali na Shirika hilo la Mpango wa Chakula Duniani.

Alisema kuwa katika kipindi cha miaka 6 kuanzia mwaka 2015 hadi mwaka 2021, Tanzania imezalisha ziada ya chakula kiasi cha tani milioni 17.8 na kwamba ukosefu wa soko la mazao hayo ya kilimo unakwamisha juhudi za wakulima kujikwamua kiuchumi.

Tuesday, 25 January 2022

WAZIRI WA HABARI ATEMBELEA OFISI ZA VODACOM

  • Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye atembelea ofisi za Vodacom na kusisitiza ushirikiano
  • Aipongeza Vodacom kwa kukuza uchumi wa nchi

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akizungumza kwenye mkutano na Watendaji Wakuu wa Kampuni ya Mawasiliano Vodacom pamoja na waandishi wa habari wakati wa ziara yake ya kutembelea makampuni ya simu akiambatana na viongozi wa Mamlaka ya Mawasiliano nchini. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni hiyo, Jaji mstaafu Thomas Mihayo, Mkurugenzi Mkuu Vodacom , Sitholizwe Mdlalose na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano, Rosalynn Mworia.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye (katikati) akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Bodi,  Kampuni ya Vodacom Jaji mstaafu Thomas Mihayo (wa pili kushoto), Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Vodacom, Margaret Ikongo (wa pili kulia) Mkurugenzi Mkuu Vodacom Tanzania, Sitholizwe Mdlalose (kulia) na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano, Rosalynn Mworia (kushoto), wakati wa ziara yake ya kutembelea makampuni ya simu hivi karibuni.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania, Sitholizwe Mdlalose. Anayeshuhudia katikati ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia mara baada ya ziara ya Waziri huyo kwenye Makao Makuu ya ofisi za Vodacom jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Fedha Vodacom Tanzania, Hilda Bujiku akielezea mbele ya Waziri na Watendaji wa Vodacom na TCRA namna ambavyo mpango mkakati wa fedha wa mwaka 2021-22 unavyofanya kazi.
Meneja wa Maduka ya Rejareja Vodacom, Vanessa Mlawi (kulia) akielezea ubora wa bidhaa na huduma zinazotolewa kwenye maduka ya Vodacom yaliyotapakaa nchi nzima kwa Waziri wa Habari, Nape Nnauye alipotembelea Makao Makuu ya Kampuni hiyo hivi karibuni.