| Meneja wa Benki ya Biashara ya DCB Tawi la Magomeni, Anna Kasyupa (kushoto), akikabidhi zawadi ya pesa kwa mmoja wa washindi wa kampeni ya Sinia la DCB, Anastazia Kilonda, mteja wa Tawi la Tabata, katika hafla iliyofanyika tawini hapo, Dar es Salaam jana. Kampeni hiyo ya miezi mitatu ilizinduliwa Okotoba 28 mwaka jana, zawadi zikiwa pesa na simu za mkononi yenye lengo la kudumisha utamaduni kwa wateja wao kujiwekea akiba na pia kuwa sehemu ya shukurani za DCB kwa wateja wao. |
No comments:
Post a Comment