| Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo (katikati), Meneja Mahusiano wa Benki ya Biashara ya DCB, Brino Londo (kulia) na Ofisa Masoko wa benki hiyo, Agness Ntabaye wakifanya usafi katika siku ya usafi ya mwisho wa mwezi iliyofanyika kiwilaya katika kata ya Keko jijini Dar es Salaam. DCB imeshiriki kampeni hiyo kupitia mfuko wake wa kusaidia jamii wa DCB Foundation kwa kufanya usafi na kukabidhi msaada wa vifaa vya kufanyia usafi. |
No comments:
Post a Comment