Blog Rebranding Teaser_030826

Blog Rebranding Teaser_030826

Stanbic Bank Banner_070826

Stanbic Bank Banner_070826

Absa Loan Campaign_160426

Absa Loan Campaign_160426

Tuesday, 26 May 2015

BANK M SCOOPS "COMMERCIAL BANK OF THE YEAR FOR TANZANIA 2015" AWARD FROM THE INTERNATIONAL BANKER MAGAZINE

Bank M Deputy CEO, Jacqueline Woiso receiving an award during The International Banker Middle East & Africa Banking Awards 2015 held at the London Stock Exchange recently in London. Bank M emerged among the winners of the awards scooping the Commercial Bank of the year in Tanzania. Presenting the award is Mr. Simon Hughes from Finance Publishing, UK.
Bank M Tanzania plc, one of the youngest and fastest growing banks in Tanzania gains international recognition, bagging the award of “Commercial bank of the year-Tanzania for 2015 from the International Banker magazine. The award was presented during the International Banker 2015 Banking Awards event held recently at the London Stock Exchange (LSE).

Through its banking awards, International Banker recognizes the best banking institutions and banking professionals in the Middle Eastern and African regions that have set new benchmarks for performance pushing the boundaries within financial industry. It distinguishes the institutions that provide much needed capital for economic growth, cutting-edge innovation to improve security and efficiency, intelligent investments to maximize profit and shareholder value. The awards also acknowledge the top CEOs in the region for their essential contributions as the decision-maker within their financial institutions.

Sunday, 24 May 2015

ELECTION OF THE NEXT PRESIDENT OF THE AFRICAN DEVELOPMENT BANK - MAY 28, 2015

The African Development Bank operates under the leadership of the President, who serves as the legal representative of the Bank, the Chairperson of the Board of Directors, and the Chief of Staff of the Bank. The President conducts the current business of the Bank, under the direction of the Board of Directors. The President is elected by the Board of Governors and serves a 5-year term, renewable once.

The current President, Dr. Donald Kaberuka, a national of Rwanda, was elected in July 2005, and commenced his first term on 1 September 2005. Following his re-election in May 2010, he commenced his last 5-year term on 1 September 2010.


Meet the candidates

AfDB APPROVES US $70.5 MILLION BUDGET SUPPORT OPERATION FOR TANZANIA ENERGY SECTOR

The Board of Directors of the African Development Bank (AfDB) approved on Wednesday, May 20, 2015, a loan of US $70.5 million to finance the Tanzania Power Sector Reform and Governance Support Programme (PSRGSP). The objective of the operation is to promote inclusive growth and enhanced economic competitiveness through power sector, economic and financial governance reforms. The loan agreement will be signed next week, on the margins of the Bank’s Annual Meetings in Abidjan. By providing financial resources to the national budget for fiscal year 2014/15, the loan will support the implementation of the government’s reform agenda.

This operation is part of a US $140 million loan in a three-year programmatic series (for 2014/15-2016/17). Subsequent operations of US $35 million will be prepared each for 2015/16 and 2016/17 fiscal years.

AFRICAN ECONOMIC OUTLOOK LAUNCH KICKS OFF 2015 AfDB ANNUAL MEETINGS

The launch of this flagship report marks the opening of the Annual Meetings of the AfDB this Monday 25 May in Abidjan.
On Monday, May 25, the first day of the 50th Annual Meetings of the African Development Bank (AfDB), the 14th edition of African Economic Outlook will be launched.

The launch of the report will be the focus of an official presentation at 9am Abidjan time in the "Emergence" marquee at the Sofitel Ivoire Hotel, Abidjan, which is hosting the AfDB Annual Meetings from May 25 to 29, 2015. The presentation will be attended by Daniel Kablan Duncan, Prime Minister of Côte d’Ivoire; Steve Kayizzi-Mugerwa, AfDB Vice-President and Acting Chief Economist; Ayodele Odusola, Chief of the Strategy and Analysis Team for the UNDP Regional Bureau for Africa; and Mario Pezzini, Director of the OECD Development Centre.

54 African countries under scrutiny

African Economic Outlook is one of the flagship publications of the African Development Bank (AfDB), jointly written with the Organisation for Economic Co-operation and Development (OECD) Development Centre and the United Nations Development Programme (UNDP).

BENKI YA NMB YAFUNGUA TAWI MAALUM OYSTER PLAZA, OYSTERBAY

Dar es Salaam. Mei 20, 2015 - Benki ya NMB imezindua rasmi tawi jipya kwaajili ya wateja maalum wa NMB kwa jiji la Dar es Salaam. Tawi hilo ni maalum kwa wateja wakubwa na wa kati wenye kadi maalum. Tawi jipya la NMB Oyster Plaza lipo kwenye jengo la Oyster Plaza, Oysterbay, barabara ya Haile Selassie.

Tawi hili ni maalum kwa wateja na wafanyabiashara wakubwa na litatoa huduma kwa mteja kwa njia ya mtu mmoja mmoja kupitia Mameneja na Maofisa Mahusiano wa kibiashara ambao wataweza kuwasiliana moja kwa moja na mteja na kumpa msaada wa huduma anayoitaka.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Saidi Meki Sadiki akiweka jiwe la msingi kwaajili ya uzinduzi rasmi wa tawi jipya na la kisasa la NMB Oyster Plaza lililopo Oyster Plaza jijini Dar es Salaam. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NMB, Tom Borghols huku meneja wa tawi hilo Donatus Richard akishuhudia. Tawi la NMB Oyster Plaza ni maalum kwa wateja wakubwa na wa kati. Kufunguliwa kwa tawi hilo kunafanya mkoa wa Dar es salaam kufikisha matawi 26 ya NMB.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Saidi Meki Sadiki akikata utepe kuashiria kuzinduliwa rasmi kwa tawi jipya na la kisasa la NMB Oyster Plaza lililopo Oysterbay jijini Dar es Salaam. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NMB, Tom Borghols na kushoto ni Meneja wa tawi hilo, Donatus Richard na Meneja wa NMB Kanda ya Dar es Salaam, Salie Mlay. Tawi la NMB Oyster Plaza ni maalumu kwa wateja wakubwa na wa kati. Kufunguliwa kwa tawi hilo kunafanya mkoa wa Dar es salaam kufikisha matawi 26 ya NMB.
Meneja NMB Kanda ya Dar es Salaam, Salie Mlay akiongea na wateja.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NMB, Tom Borghols akiongea na wateja kabla ya uzinduzi wa tawi la NMB Oyster Plaza.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Dar es Salaam, Saidi Meki Sadiki akitoa hotuba ya ufunguzi wa tawi la NMB Oyster Plaza.
Mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NMB, Tom Borghols, Mkuu wa kitengo cha wateja wadogo, Abdulmajid Nsekela, Meneja wa NMB kanda ya Dar es Salaam, Salie Mlay wakiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa NMB Oyster Plaza.

SAGCOT YAWATAKA WANAOMALIZA VYUO VIKUU KUCHANGAMKIA AJIRA

Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mh. Dk. Rehema Nchimbi akifungua kikao kazi cha biashara ya kilimo kwa kongani ya Ihemi iliyoandaliwa na SAGCOT (Southern Agricultural Growth Corridor of Tanzania) kwa ushirikiano na UONGOZI Institute (Taasisi ya Uongozi Afrika kwa Maendeleo Endelevu) mapema jana Iringa mjini. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Kilimo wa TCCIA Bi. Magadalena Mkocha, Mwenyikiti wa Bodi ya Agricultural Council of Tanzania Dk. Sinare Y. Sinare, DC wa Iringa Mh. Angeline Mabula, DC wa Mufindi Mh. Mboni Mhita na Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Philemon Luhanjo.
Mkurugenzi Mtendaji wa SAGCOT Bw. Geoffrey Kirenga akitoa utangulizi wa mada ya biashara ya kilimo kwa nyanda za juu kusini. Mkutano huo wa siku mbili ulikutanisha viongozi wa serikali, sekta binafsi, mashirika ya kimataifa pamoja na wakulima kwa ajili ya kujadili kuhusu kuboresha biashara ya kilimo nchini kwa nyanda za juu kusini hususan kongani mwa Ihemi Iringa na Njombe.

PROF. MBARAWA ASHUHUDIA KUSAINIWA MKATABA WA KUPELEKA HUDUMA ZA MAWASILIANO YA SIMU VIJIJINI AWAMU YA 2B MJINI DODOMA

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof Makame Mbarawa (watatu kushoto mstari wa nyuma) akishuhudia utiaji saini wa mikataba ya mradi wa mawasiliano vijijini Awamu ya 2B ambapo makampuni ya simu ya TTCL, Vodacom na Tigo walisaini. Wanaosaini kutoka kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk. Kamugisha Kazaura, Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano Injinia Peter Ulanga, Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom, Rosalynn Mworia na Mwakilishi wa kampuni ya MIC, Slyvia Balwire. Sherehe hiyo ilifanyika mkoani Dodoma jana.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote, Injia Peter Ulanga akibadilishana hati za makubaliano na Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Rosalynn Mworia mara baada ya kusaini mkataba wa kupeleka mawasiliano ya simu vijijini, katika sherehe zilizofanyika mjini Dodoma jana.
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof Makame Mbarawa (katikati) akiwa na Wawakilishi wa makampuni ya simu yaliyosaini mkataba wa kupeleka mawasiliano ya simu vijijini sherehe iliyofanyika mjini Dodoma jana. Wengine ni Mwakilishi wa Bodi ya Mfuko wa Mawasiliano, Aumsuri Moshi (kushoto) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano Injinia Peter Ulanga. Mstari wa nyuma ni wawakilishi wa makampuni hayo ya simu, Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk Kamugisha Kazaura, Mwakilishi wa Vodacom Tanzania, Rosaline Mworia na Mwakilishi wa MIC Tanzania Ltd, Sylivia Balwire.
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof Makame Mbarawa,(pili kushoto) akiwa na Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Rosalynn Mworia mara baada ya kampuni ya Vodacom kuwa kati ya makampuni matatu yaliyo saini mkataba wa kupeleka huduma ya mawasiliano simu vijijini awamu ya 2B katika sherehe zilizofanyika mjini Dodoma jana.

Saturday, 23 May 2015

MKUTANO NA MKURUGENZI MKUU WA IDARA YA HABARI NA DIPLOMASIA KWA UMMA KUTOKA WIZARA YA MAMBO YA NJE YA INDONESIA

Mkurugenzi Idara ya Asia na Australasia Balozi Mbelwa Kairuki akimkaribisha Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari na Diplomasia kwa Umma kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Ndonesia Balozi Esti Andayane. Balozi Kairuki pamoja na mgeni wake walikutana kwa mazungumzo yaliyo jikita katika kukuza Ushirikiano kati ya Tanzania na Indonesia kwenye nyanja mbalimbali za Kiuchumi.
Balozi Kairuki akimsikiliza Balozi Esti Andayane wakati wa mazungumzo.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali Bi. Mindi Kasiga (wa kwanza kushoto), katikati Afisa Mambo ya Nje Khatibu Makenga na wakwanza kulia ni Dora Lucas Maina akiwa katika Elimu ya Vitendo.
Ujumbe ulioambatana na Balozi Esti Andayane nao wakisikiliza mazungumzo kati ya Balozi Kairuki na Balozi Andayane (hawapo pichani).
Mazungumzo yakiendelea.
Picha ya pamoja baada ya mazungumzo.
Balozi Mbelwa Kairuki, Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australia amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Habari na Diplomasia ya Umma (Director General for Information and Public Diplomacy) kutoka Wizara ya mambo ya Nje ya Jamhuri ya Indonesia, Balozi Esti Andayane.

Katika mazungumzo yao, Mabalozi hao wamekubaliana kukuza ushirikiano baina ya Indonesia na Tanzania katika nyanja za uchumi. Balozi Andayane ameelezea utayari wa Indonesia kuendelea kuisaidia Tanzania katika sekta ya Kilimo kwa kutoa fursa za mafunzo kwa ajili ya wataalam wa kilimo nchini. 

MKUTANO NA BI. HENDERSON, MKURUGENZI WA KITENGO CHA AFRIKA MASHARIKI KATIKA WIZARA YA MAMBO YA NJE YA AUSTRALIA

Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Mbelwa Kairuki (kulia) akimkaribisha na kufanya mzazungumzo na Mkurugenzi wa Kitengo cha Afrika Mashariki katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Australia, Bi. Henderson. Mazungumzo yao yalijikita katika kutangaza fursa mbalimbali za uwekezaji zilizopo nchini hususani katika sekta ya Mafuta na Gesi.
Bi. Henderson akielezea jambo kwa Balozi Kairuki.
Wakwanza kushoto ni Bertha Makilage, (katikati) ni Bi. Zainabu Angovi, Maafisa Mambo ya Nje na kulia ni Bi. Juliet Mutayoba ambaye yupo katika mafunzo ya vitendo Wizara ya Mambo ya Nje.
Mazungumzo yakiendelea.
Picha ya Pamoja.
Balozi Mbelwa Kairuki, Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia amekutana na kufanya mazungumzo na Bi. Henderson, Mkurugenzi wa Idara ya Afrika Mashariki kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Australia tarehe 21 Mei 2015.

Katika mazungumzo yao, waligusia juu ya maendeleo ya maandalizi ya ziara ya Dkt. Kim Hames, Naibu Waziri Mkuu wa Jimbo la Magharibi mwa Australia na Waziri wa Afya na Utalii. Aidha Bi. Henderson aliipongeza Tanzania kwa kuandaa warsha na mikutano ya kutangaza fursa mbalimbali zipatikanazo nchini Tanzania ikiwa ni pamoja na uwekezaji katika sekta ya mafuta, gesi na madini ambapo mwaka jana alihudhuria moja ya warsha iliyofanyika jijini Adelaide, Australia.

VISIT THE EAST AFRICA INTERNATIONAL TRADE EXHIBITION 2015


The EAST AFRICA INT’L TRADE EXHIBITION is the largest Multisector Trade Event in Tanzania. The exhibition attracts exhibitors from more than 32 countries. Entrance is free and please carry your business card for registration.

When: 23-25th May 2015 Where: Mlimani Conference Center

Contact us on +255 689 753 733 | +255 683 927 125 | response@expogroup.net or visit us on http://www.expogr.com/tanzania/general/

UNESCO WATOA MAFUNZO YA TEHAMA KWA WALIMU WA VYUO VYA UALIMU HAPA NCHINI

Washiriki wa mafunzo wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kumaliza mafunzo ya matumizi ya Tehama katika ufundishaji kwenye vyuo vya ualimu.

Na Geofrey Adroph, Pamoja blog. 

Shirika la Umoja wa Mataifa Elimu ya Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limejikita katika uboreshaji wa elimu kwa kuwapa mafunzo walimu katika somo la Teknnolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama). Akizungumza leo katika Ufungaji wa Mafunzo yaliyoandaliwa na UNESCO wakishirikiana na China Funds in Trust Project (CFIT) yaliyofanyika kwa siku tano katika Ukumbi wa DIT, Jijini Dar es Salaam, Ofisa Miradi wa UNESCO, Faith Shayo amesema mafunzo waliopata walimu wa vyuo vya walimu mbalimbali nchini itawasaidia katika uboresha wa elimu ikiwa ni pamoja na kuwapa vifaa vitakavyotumika katika kufundishia somo hilo. 

NEED FOR INCLUSIVE QUALITY EDUCATION FOR ALL DOMINATES WORLD EDUCATION FORUM

WordEduForum-01-L
UN Secretary-General Ban Ki-moon (centre), at the opening of the World Education Forum 2015, in Seoul. He is flanked by Hwang Woo-yea (left), Deputy Prime Minister and Minister of Education of the Republic of Korea; and Irina Bokova, Director-General of the UN Educational, Scientific and Cultural Organization (UNESCO). 19 May 2015. Seoul, Republic of Korea. (UN Photo/Evan Schneider).

Tanzania’s Minister for Education and Vocational Training (MoEVT), Honourable Dr. Jumanne Shukuru Kawambwa with a delegation of four most senior officials from Tanzania Mainland and Zanzibar and a representative from the Civil Society are attending the Third World Education Forum (WEF) from 19-22 May 2015 in Incheon, Republic of Korea. The 2015 WEF is the third after the Jomtien WEF of 1990 and the Dakar WEF of 2000. The 2015 forum takes stock of achievements and challenges since the Dakar WEF and deliberates on the education agenda for the next fifteen years (2015-2030).

BENKI YA NMB YAPELEKA HUDUMA YA CHAP CHAP MIKOANI

Benki ya NMB imepokelewa kwa nguvu na wananchi wa mikoa ya Arusha, Morogoro, Dodoma, Singida, Mtwara na Tabora na kampeni yake ya kuhamasisha watanzania wengi zaidi wasio na akaunti kufungua kupitia NMB bila usumbufu wa kuleta taarifa nyingi zaidi ya kitambulisho.

Huduma hiyo inayoitwa NMB Instant Account imekuwa kipenzi cha watanzania. Huduma hiyo inamuwezesha mtu yoyote anayetaka kufungua akaunti ya NMB kufanya hivyo kwa dakika 10 tu huku akiondoka na kadi ya ATM papo hapo. Pia mteja anaweza kufuatwa popote alipo na kufunguliwa akaunti hiyo kwa haraka huku akiendelea kupata huduma zingine za kibenki kama NMB mobile – kutuma na kutoa pesa kwa kutumia simu ya mkononi.

Fuatilia mikutano ya NMB kwenye maeneo yako leo – kwa mikoa ya Arusha, Morogoro, Tabora, Dodoma, Singida na Mtwara ujipatie akaunti ya NMB Chap Chap Instant Account.
Steven Ndaki Mkazi wa Homboro mkoani Dodoma akifungua akaunti ya Chap Chap Instant Account alipotembelea kwenye gari la kampeni la NMB.
Glory Mushi wa Homboro Dodoma akipata huduma za kufungua akaunti ya chap chap.
Ufunguaji wa akaunti za chap chap ukiendelea katika mji wa Homboro - Dodoma.


BAYPORT FINANCIAL SERVICES YAZINDUA HUDUMA MPYA YA MIKOPO YA VIWANJA KWA WATANZANIA WOTE

Mkurugenzi wa Bayport Financial Services, John Mbaga akizungumza jambo katika uzinduzi wa huduma mpya ya mikopo ya viwanja katika mradi wa Vikuruti, Kibaha, mkoani Pwani. Uzinduzi huo ulifanyika Ijumaa ya Mei 22, katika Hoteli ya Serena na kuhudhuriwa na watu mbalimbali, wakiwamo viongozi wa serikali.
Meneja Masoko na Mawasiliano wa Bayport Financial Services, Ngula Cheyo, akizungumza katika uzinduzi huo, jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi wa Mkuu wa wilaya Kibaha, Obed Katonga, kulia akijadiliana jambo na Meneja Uzalishaji wa Bayport Financial Services, Mashaka Mgeta kulia kwake na Mkuu wa Kanda ya Pwani, David Ndiega.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paulo Makonda mwenye shati jeupe mbele akiwa katika uzinduzi wa huduma mpya ya mikopo ya viwanja kutoka kwenye taasisi ya kifedha ya Bayport Financial Services, jana jijini Dar es Salaam. Mwenye miwani ni Ruth Bura, mtumishi wa taasisi hiyo anayehusika na mambo ya Bima.
Wadau wakifuatilia uzinduzi huo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bayport Financial Services, John Mbaga, akiendelea kufafanua katika uzinduzi wa mikopo ya viwanja, katika Hoteli ya Serena, jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bayport Financial Services, John Mbaga, kushoto akibadilishana mawazo na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paulo Makonda. Uzinduzi huo ulihudhuriwa na watu mbalimbali, wakiwamo viongozi wa serikali.
Meneja Masoko wa Property International, Zora Moore, akizungumza katika uzinduzi wa huduma ya mikopo ya viwanja, huku wao wakiwa ni kampuni iliyohusika na upimaji wa viwanja hivyo vya Vikuruti, Wilayani Kibaha, mkoani Pwani.

AFRICAN CONCENSUS YOUTH FORUM EVENT IN BEIJING, CHINA

Ambassador of the United Republic of Tanzania to P.R. China, H.E. A. Shimbo, the Guest of Honour, delivering his opening Speech.
What Africa can Learn From China in progress, with Panelists from Tanzania, Zimbabwe, Ghana, Zambia & the Comoros, Standing was the Moderator for the Moderator for the Forum, Ms Amina Jarso from Kenya.
Forum Participants with H.E. Ambassador Shimbo (5th from right) and African Consensus Forum Secretariat.
The Chairman of African Consensus Forum, John P.M. Masuka, with the Guest of Honor H.E Amb. Shimbo.

EMPLOYEES IN LIMBO AS AMI HOSPITAL (TRAUMA CENTRE) CLOSES BUSINESS IN DAR ES SALAAM

A Court Broker from MEM Auctioneers and General Brokers Limited, Mr. Elieza Mwambo (second right) hands over door keys to Bains Holdings Limited Site Manager, Mr. Zulfiqar Hassanali (left) as a sign of handing over the premises where AMI Hospital (Trauma Centre) used to operate its business, back to the landlord, after AMI was evicted for non payment of US$ 1.75 million as rent due for 3 years. On the right is MEM Operations Manager, Mr. Protches Moshi.
A Court Broker from MEM Auctioneers and General Brokers Limited, Mr. Elieza Mwambo, speaks to journalists (not in the picture) during the handover of the premises where AMI Hospital (Trauma Centre) used to operate its business, back to the landlord, after AMI was evicted for non payment of US$1.75 million as rent due for 3 years. On the right is MEM Operations Manager, Mr. Protches Moshi.
The fate of employees of AMI Hospital, also known as Trauma Center, in Dar es Salaam, is hanging in the balance as the hospital officially closed business in Dar es Salaam, Tanzania.

This was evident yesterday when neglected AMI Hospital employees gathered in front of the former hospital building to voice their frustration on how AMI Hospital management was treating their case after the High Court ordered the hospital to vacate the premises for non payment of approximately US$ 1.75 million as rent due for 3 years.

Speaking on behalf of other affected employees, Roslyn Sesoa who worked for the hospital as a nurse said the management has stopped picking their calls, nobody is communicating to them on what will happen to their contributions to the National Social Security Fund (NSSF) pension funds as well as salary arrears.

Friday, 22 May 2015

MENEJA MKUU WA TIGO, DIEGO GUTIERREZ AKUTANA NA WAHARIRI WA KANDA YA ZIWA

Meneja Mkuu wa kampuni ya Tigo, Diego Gutierrez akifafanua jambo alipozungumza na wahariri wa Kanda ya Ziwa juzi kuhusiana na jinsi ambavyo Tigo imejipanga kuwekeza katika kanda ya ziwa mwaka huu.
Meneja Mkuu wa kampuni ya Tigo, Diego Gutierrez akifafanua jambo alipoongea na wahariri wa Kanda ya Ziwa juzi kuhusu jinsi ambavyo Tigo imejipanga kujenga minara mipya 63 katika Knda ya Kiwa mwaka huu. Wengine pichani (wa kwanza kulia) ni Meneja wa Uwajibikaji kwa Jamii wa Tigo Bi. Woinde Shisael, Meneja wa Tigo Kanda ya Ziwa Ally Maswanya na Meneja wa Tigo Mwanza Joseph Mutalemwa.
Meneja Mawasiliano wa Kampuni ya Tigo, John Wanyancha akifafanua jambo kwa wahariri wa vyombo vya habari vya Kanda ya Ziwa, wakati wa mkutano wao na Meneja Mkuu wa kampuni ya Tigo, Diego Gutierrez uliofanyika jijini Mwanza.