| Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof Makame Mbarawa (katikati) akiwa na Wawakilishi wa makampuni ya simu yaliyosaini mkataba wa kupeleka mawasiliano ya simu vijijini sherehe iliyofanyika mjini Dodoma jana. Wengine ni Mwakilishi wa Bodi ya Mfuko wa Mawasiliano, Aumsuri Moshi (kushoto) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano Injinia Peter Ulanga. Mstari wa nyuma ni wawakilishi wa makampuni hayo ya simu, Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk Kamugisha Kazaura, Mwakilishi wa Vodacom Tanzania, Rosaline Mworia na Mwakilishi wa MIC Tanzania Ltd, Sylivia Balwire. |
No comments:
Post a Comment