Blog Rebranding Teaser_030826

Blog Rebranding Teaser_030826

Absa Banner_211026

Stanbic Bank Banner_201026

Friday, 5 August 2022

UZINDUZI WA RIPOTI YA MIPANGO ENDELEVU YA KAMPUNI YA WENTWORTH GAS LTD

Afisa Mtendaji Mkuu wa Wentworth Resources PLC, Katherine Roe akizungumza na waandishi wa habari kwenye uzinduzi wa ripoti ya Mipango Endelevu "Sustainability Report 2021" ya kampuni hiyo iliyoelekeza mipango mkakati ya mazingira, kijamii na utawala. Wengine kwenye picha ni Mkurugenzi Mkazi Wentworth Gas Ltd, Richard Tainton, Mjumbe wa Bodi ya Wentworth Resources PLC, Juliet Kairuki na Rais wa Wentworth Tanzania, Bob McBean. Ripoti hiyo ilizinduliwa ukumbi wa JNICC jijini Dar es Salaam na ilienda sambamba na kongamano la Nishati Tanzania.
Mkurugenzi Mkazi Wentworth Gas Ltd, Richard Tainton akizungumza na waandishi wa habari kwenye uzinduzi wa ripoti ya Mipango Endelevu "Sustainability Report 2021" ya kampuni hiyo iliyoelekeza mipango mkakati ya mazingira, kijamii na utawala.
Rais wa Wentworth Tanzania, Bob McBean akizungumza na waandishi wa habari kwenye uzinduzi wa ripoti ya Mipango Endelevu "Sustainability Report 2021" ya kampuni hiyo iliyoelekeza mipango mkakati ya mazingira, kijamii na utawala.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Wentworth Resources PLC, Katherine Roe akiwa kwenye mjadala (Panel discussion) wakati wa kongamano la Nishati Tanzania lililofanyika ukumbi wa JNICC jijini Dar es Salaam.

4 Agosti 2022, Dar es Salaam: Kampuni ya Wentworth Gas Ltd imezindua Ripoti yake ya Mipango Endelevu ya mwaka 2021. Ripoti hii inachagiza Ripoti Kuu ya Mwaka 2021 ya Wentworth Resources Plc., ikitoa maelezo zaidi kuhusu utendaji kuhusiana na masuala muhimu ya mazingira, kijamii, na utawala (Enviromental, Social and Governance - ESG) wa mwaka mzima.

Ripoti hii inafuata muundo uliyowekwa na Bodi ya Usimamizi ya Viwango vya Mipango Endelevu (Sustainability Accounting Standards Board - SASB) na kuthibitishwa na mshauri wa kujitegemea aitwaye GHD Services Incorporated.

Ripoti hii inaelezea mtazamo wa Wentworth wa uendelevu kupitia mkakati wa uendelevu unaowiana na Malengo ya Maendeleo Endelevu (Sustainable Development Goals -SDGs) ya Kimataifa unaozingatia nguzo 5 za kimkakati, ambazo ni:
  • Kusaidia mpito wa nishati unaowajibika;
  • Kuwezesha mabadiliko ya nishati;
  • Kujenga nguvu kazi mbalimbali na za kijumuishi;
  • Kuendeleza ukuaji kupitia ushirikiano; na
  • Utawala dhabiti wa mazingira, kijamii, na utawala.

NMB PLEDGES FINANCIAL SUPPORT TO INVESTORS IN TANZANIA’S ENERGY SECTOR


NMB Bank Plc has re-affirmed its commitment to continue financing investors in Tanzania’s energy sector value chain as part of its commitment to compliment Government efforts and support the sector’s growth.

Speaking during a panel discussion dubbed ”The importance of accessing finance and a fair regulatory regime” during the Tanzania Energy Congress held in Dar es Salaam yesterday, Alfred Shao the NMB Chief of Wholesale Banking said the bank has a number of finance options to support potential investors in the energy sector both upstream and downstream.



Shao said the bank being a certified investment advisor also offers advisory services to clients and assists to raise equity for potential companies.

“We understand that the energy sector is a capital intensive sector. As a bank we will be financing the energy sector because we have a strong balance sheet and our single borrower unit is now over 300m/- to a single person,” he said.



He said the bank has also built good partnerships and collaborates with international financers such as the Africa Development Bank (AfDB) and the International Finance Corporation (IFC) among others who are interested in green bonds.

“We successfully issued the NMB Jasiri bond which was oversubscribed and we are looking forward to issuing a green bond targeting the renewable energy sector,” he said.



On his part the Deputy Minister of Trade and Investment, Exaud Kigahe said the Government looks forward to harnessing untapped areas especially in renewable energy and reiterated Government’s commitment to continue working with the private sector.

He said the Government has already embarked on a roadmap to increase the ease of doing business in Tanzania reiterating Government’s commitment to reduce unnecessary bureaucracy amongst its institutions.



“Currently our ranking in the aspect of doing business is not good. We have taken major strides to create a conducive business environment as part of our efforts to attract more investors in the country and improve the country’s competitiveness,” he stressed.

JUMAMOSI HII FULHAM VS LIVERPOOL NDANI YA DStv


Katika Jiji la London Jumamosi hii nyasi zitawaka moto pale ambapo Fulham watavaana na Liverpool wenye ubingwa mbichi kabisa wa Community Shield. Je tutegemee matokeo yapi?

Hakikisha unalipia mapema kifurushi chako cha Compact Tshs  51,000/= tu ili kutazama Live mechi hii na mechi zote za EPL ndani ya @dstvtanzania pekee.

#MsimuWaSokaLaKibabe

KWA MARA YA KWANZA TANZANIA, KUBET SASA NI BURE KUPITIA GWALABET



Kampuni mpya inayojulikana kwa jina la ‘GwalaBet’ imezinduliwa jijini Dar-es-salaam ambapo kila mchezaji atapata nafasi moja ya kucheza bure kila siku. Hii ni mara ya kwanza kutokea nchini Tanzania kwani hakuna mchezo mwingine wowote unaompa mchezaji nafasi ya kucheza pasipo kuweka dau.

Akizungumza wakati wa uzinduzi, Balozi wa GwalaBet Bwana Cedou Mandingo maarufu kama Babuu wa Kitaa amesema huu ni mchezo unaolenga kumpa fursa ya ushindi kila mchezaji. “Hii haijawahi kutokea nchini Tanzania. Michezo yote lazima uweke dau la kucheza ndipo uweze kucheza lakini GwalaBet tunataka kumpa kila mtu fursa ya kushinda. Kila siku unapoamka unakuwa na nafasi ya kuweka mkeka wako wa bure bila masharti yoyote kisha unasubiri ushindi wako” alisema Balozi.

Thursday, 4 August 2022

NBC YAENDESHA SEMINA KWA WAFANYABIASHARA JIJINI DODOMA

 Mkuu wa Kitengo cha Biashara, Mussa Mwinyindaho akiwa katika picha ya Pamoja na wafanyabiashara wa Dodoma mara baada ya Semina ya Wafanyabiashara wa Dodoma iliyofanyika mwishoni wa wiki na kusimammiwa na viongozi waandamizi kutoka Benki ya NBC Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa Benki ya NBC Bwana Mussa Mwinyindaho, akifafanua jambo kwa Wafanyabiashara wa Dodoma (hawapo pichani) kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na Benki ya Biashara mfano, mikopo ya mitaji, mikopo wa ujenzi wa jengo la biashara na bima ya biashara. Aliwaasa wafanyabiashara kwa wakati wote wasisite kufika katika matawi ya NBC kupata huduma za kibenki. 

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), iliandaa chakula cha jioni kilichofanyika katika hoteli ya Morena Dodoma ,ambapo ilialika wamiliki wa Biashara wa mkoa wa Dodoma, kwa lengo la kuongeza ukaribu na wateja wao ambapo benki ya NBC iliwafunda wajasiriamali waliohudhuria hafla hiyo na kuwapa vidokezo juu ya jinsi ya kuboresha biashara zao. 

Benki ya NBC ndiyo Benki kongwe zaidi nchini Tanzania yenye uzoefu wa kutoa huduma kwa zaidi ya miongo mitano, pia inatoa aina mbalimbali za huduma za kifedha kwa wafanyabiashara, zaidi ya hayo, NBC ilishinda tuzo kama taasisi bora zaidi ya kifedha inayosaidia wajasiriamali kwa mwaka 2018, na hivyo kuifanya NBC kuboresha bidhaa na huduma zinazolenga kusaidia wajasiriamali kukuza biashara zao. 

Wednesday, 3 August 2022

UFADHILI WA NMB WAFIKIA SH. TRILIONI 1.56 SEKTA YA KILIMO

Meneja wa NMB Nyanda ya Juu, Straton Chilongola akimkabidhi risala kuhusu utendaji wa NMB kwenye Sekta ya Kilimo, Ufugaji na Uvuvi Makamu wa Rais, Mhe. Dkt. Philip Mpango katika ufunguzi rasmi wa maonesho ya Nanenane mjini Mbeya.

Serikali imezichangisha benki nchini kwa lengo la kuongeza wigo kwa wakulima, wafugaji na wavuvi kukopa ili kuongeza uwekezaji kwenye sekta ya kilimo ili waweze kuchangia zaidi juhudi za ujenzi wa Taifa.

Akizungumza kwenye ufunguzi rasmi wa maonyesho ya Nanenane 2022 yanayofanyika Kitaifa mkoani Mbeya, Makamu wa Rais, Dk. Philip Mpango, alizitaka taasisi za fedha kuchangia zaidi shughuli za kilimo cha mazao, ufugaji na uvuvi.

Kwa mujibu wa Dk. Mpango, wakulima, wafugaji na wavuvi wanahitaji mikopo zaidi ili kuongeza uwekezaji na uzalishaji kwa ajili ya kupunguza changamoto ya ajira nchini.

Aliendelea kueleza kuwa maendeleo ya kilimo yanahitaji ufadhili mkubwa kitu ambacho Benki ya NMB imesema imekuwa ikifanya kwa muda mrefu na kuwekeza zaidi ya Shilingi trilioni 1.56 katika miaka mitano iliyopita.

Akizungumzia mikopo hiyo, Meneja wa NMB Nyanda za Juu, Straton Chilongola, alisema ukopeshaji unaofanywa na benki hiyo umekuwa na tija kubwa katika mnyororo wa thamani wa kilimo nchini.

“Mikopo ya NMB imewawezesha wakulima, wavuvi na wafugaji kuchangia ukuaji wa pato la taifa na maendeleo ya nchi kwa ujumla.” alisema Chilongola.

STANDARD GAUGE RAILWAY WAY FORWARD FOR TAZARA

President Samia Suluhu Hassan receives visiting Zambian President, Hakainde Hichilema at Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam on 2 August 2022.

President Samia Suluhu Hassan of Tanzania and her Zambian counterpart Hakainde Hichilema have agreed on revamping the 1,860-kilometre Tanzania-Zambia Railways (TAZARA) from metre gauge to standard gauge railway through Public-Private Partnership (PPP) arrangement.

This was revealed at a joint-press conference at the State House in Dar es Salaam on Tuesday during a one-day state visit by the Zambian President in Tanzania at the invitation of his host President Samia.

“SGR (standard gauge railway) is the way forward in the world today, we have thus agreed to solicit funds together through PPP and also by engaging our partners who assisted us in construction of TAZARA,” Ms Samia said during a joint-press conference in the commercial city.

The two leaders noted with concern that TAZARA and the 1,710-kilometre Tanzania-Zambia Mafuta Pipeline (TAZAMA), which were constructed in the 1960s and 1970s through funding from the government of China, have been underperforming in recent years.

They, thus, agreed to revamp the two ventures by upgrading TAZARA to SGR and construction of a new TAZAMA pipeline with a wider diameter to transport refined petroleum products from Dar es Salaam port to Zambia.

“Our Zambian counterparts have informed us that the refinery which has been used to refine crude oil in their country is no longer in use since they now import refined oil.

“As such, the revamped TAZAMA pipeline will be used to transport refined petroleum products as opposed to crude products to which it was earlier designed to transport,” Ms Samia explained.

During their closed-door meeting, Presidents Samia and Hichilema also discussed strengthening of cooperation in defense and security in addition to addressing tax-related and non-tariff barriers between the two neighbouring countries.

ZAMBIAN PRESIDENT'S VISIT TO TANZANIA IN PICTURES

President Samia Suluhu Hassan and Zambia's President, Hakainde Hichilema observe their respective national anthems at Julius Nyerere International Airport on 2 August 2022.
Zambia's President inspects a guard of honour mounted by the Tanzania People's Defence Forces at Julius Nyerere International Airport.
President Samia Suluhu Hassan introduces various Tanzania Government officials to her Zambian counterpart, Hakainde Hichilema at Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam on 2nd August 2022.
President Samia Suluhu Hassan presents Kiswahili books to the visiting Zambian President, Hakainde Hichilema at State House in Dar es Salaam.

President Samia Suluhu Hassan speaks to journalists during the visit of Zambian President, Hakainde Hichilema at State House in Dar es Salaam.
Presidents Samia Suluhu Hassan and Hakainde Hichilema wave at Dar es Salaam residents who turned up to receive the visiting Zambian President at Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam.
President Samia Suluhu Hassan waves goodbye to the visiting Zambian President, Hakainde Hichilema at Julius Nyerere International Airport.

ZIARA YA RAIS WA JAMHURI YA ZAMBIA MHE. HAKAINDE HICHILEMA NCHINI TANZANIA TAREHE 02 AGOSTI, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Hakainde Hichilema mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Terminal one Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya ziara ya siku moja nchini tarehe 02 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Hakainde Hichilema mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Terminal one Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Hakainde Hichilema wakati Nyimbo za Taifa (Tanzania na Zambia) zikipigwa mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Terminal one Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Hakainde Hichilema akikagua Gwaride la Heshima lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Terminal one Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Hakainde Hichilema wakati wakisalimiana na viongozi mbalimbali waliofika kwenye mapokezi katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Terminal one Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Hakainde Hichilema wakati wakiangalia vikundi mbalimbali vya ngoma za asili na matarumbeta vilivyokuwa vikitoa burudani wakati wa mapokezi katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Terminal one Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Agosti, 2022.

MSIMU WA SOKA LA KIBABE WA EPL NDANI YA DStv!!!


Mechi inayofungua dimba la michuano ya EPL ni ya Crystal Palace watakaovaana na Arsenal. Je tutegemee matokeo yapi hasa ukizingatia usajili wao mpya wa Gabriel Jesus?

Hakikisha unalipia mapema kifurushi cha Compact TShs. 51,000/= tu ili uweze kutazama Live mechi hii Ijumaa hii ndani ya @dstvtanzania pekee

Piga *150*53# kulipia kwa urahisi zaidi.

#DStvEwaaaah

#MsimuWaSokaLaKibabe

Tuesday, 2 August 2022

NMB YAKABIDHI MIL. 60 MAONYESHO YA NANENANE - MBEYA

Mkuu wa wilaya ya Mbeya, Mhe. Dkt Rashid Mohamed Chuachua akipokea mfano wa hundi ya Shilingi Milioni 60 kutoka Meneja wa Benki ya NMB Kanda Nyanda za Juu - Straton Chilongola akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, ikiwa ni sapoti ya kuwezesha maonesho ya Nane Nane yanayofanyika Kitaifa Mkoani Mbeya mwaka huu 2022.

Benki ya NMB imeendelea kuiunga mkono serikali katika kufanikisha maonyesho ya Sikukuu ya Wakulima Kitaifa (Nanenane) kwa kukabidhi Sh. milioni 60 kwa ajili ya maonyesho hayo.

Katika hafla ya kukabidhi hundi ya fedha hizo iliyofanyika jana mjini Mbeya, Meneja wa NMB Kanda ya Kusini- Straton Chilongola alisema kuwa benki hiyo imetoa kiasi hicho cha fedha kwa ajili ya kufanikisha shughuli mbalimbali za maonyesho hayo.

Alisema kuwa katika kipindi cha miaka mitano ambayo maonyesho ya Nane nane yamekuwa yakifanyika, NMB imetoa udhamini wa zaidi ya Shilingi milioni 195 katika kufanikisha maonyesho hayo muhimu kwa Taifa.

Chilongola, aliongeza kuwa katika kuunga mkono juhudi za Rais wa Awamu ya sita, Samia Suluhu Hassan, Mchango wa NMB ni kujenga uchumi imara kupitia kilimo na ufugaji ndani ya miaka minne kwani zaidi ya akaunti 644,034 za wakulima zimefunguliwa nchi nzima.

Benki ya NMB inawakaribisha Wananchi wote kutembelea banda lao katika Maonyesho ya Nanenane 2022 ndani ya Uwanja wa John Mwakangale mkoani Mbeya kupata masuluhisho yote ya kifedha.

MKOMBOZI COMMERCIAL BANK PLC REGISTERS A PROFIT OF 3 BILLION IN 2021

Mkombozi Commercial Bank PLC Managing Director, Mr. Respige Kimati (right), hands over the agenda book of the bank’s 13th Annual General Meeting to the Archbishop of the Archdiocese of Dodoma, Most Reverend Beatus Kinyaiya Thaddeus Ruwa’ichi (left) during the meeting. Centre is the Board Chairman, Mr. Gasper Njuu.
Shareholders follow proceedings of the Annual General Meeting.

Mkombozi Commercial Bank PLC has registered a profit after tax of TZS 3.0 billion for the period ended 31st December 2021 which was attributed to business operations efficiency and outcome of the turnaround initiatives.

The New Board Chairman Mr. Gasper Njuu said at the Banks 13th Annual General Meeting that the Bank achieved commendable outcome on key balance sheet and profitability parameters.

He said that the Bank posted impressive profit and improvement on Capital formation that was attributed to business operations efficiency and outcome of the turnaround initiatives. “We focused on growth opportunities while taking positive strides to address challenges in our operating environment”.

Mr. Njuu added that despite a number of challenges in the year 2021, the Bank continues to focus on strategic initiatives of expanding the Banks physical outreach through Agency banking (MKOMBOZI WAKALA) and Mini Branches/Service Centre Outlets.

Speaking during the Annual General Meeting the Managing Director Mr. Respige Kimati, said that the Banks performance during the year places them relatively better than the preceding financial year 2020 on fundamental balance sheet metrics especially capital element and delivery strategic initiatives.

ZAWADI ZA SH. MILIONI 100 KUSHINDANIWA CRDB MARATHON

OTMI9605_1

Ikiwa zimebaki siku 12 kuelekea msimu wa tatu wa CRDB Bank Marathon tarehe 14 Agosti 2022, imeelezwa kuwa jumla ya zawadi za shilingi milioni 100 zitashindaniwa katika mbio hizo zinazotarajiwa kushirikisha wakimbiaji zaidi ya 6,000.

Taarifa hiyo imetolewa leo katika hafla fupi iliyokutanisha wadau na washirika wa CRDB Bank Marathon iliyofanyika katika hoteli ya Johari Rotana Jijini Dar es Salaam.

OTMI9484

Akizungumza katika hafla hiyo, Nsekela amesema katika mbio za mwaka huu Benki hiyo imefanya maboresho makubwa katika zawadi ili kuongeza ushindani miongoni mwa washiriki, lakini pia kuendana na hadhi ya kimataifa ambayo mbio hizo ilipata mwaka jana.

“Katika mbio ndefu za 42.2km, washindi wa kwanza kwa upande wa wanaume na wanawake watapata shilingi milioni 10 kila mmoja. Washindi hawa pia watapata zawaidi ya kulala usiku mmoja hapa Johari Rotana, pamoja na vocha za zawadi katika duka la Justfit,” alieleza.

OTMI9246

Akitoa majumuisho ya zawadi hizo, Mkurugenzi wa Mawasiliano Benki ya CRDB, Tully Mwambapa alisema kuwa katika mbio hizo ikiwamo 21.1km, 10km, 5km, na baiskeli 65km washindi 6 wa kwanza watapewa zawadi za fedha taslimu.

Tully aliongezea pia kutakuwa na zawadi kwa makundi maalamu ya wazee, watoto, na wakimbiaji waliovaa kipekee. “Jumla ya zawadi hizi zote zitakazotolewa kwa washindi ni shilingi milioni 100,” alisema Tully.

OTMI9467

Katika hafla hiyo, Benki ya CRDB pia ilitambulisha vifaa vitakavyotumika katika msimu wa tatu wa CRDB Bank Marathon ikiwamo medali, fulana, kofia, bib, pamoja na mfuko wa kuwekea vifaa (back-pack), ambazo washiriki wa mbio hizo watapewa.

Kwa upande wa usajili, Nsekela alisema mpaka sasa tayari watu zaidi ya 4,200 tayari wameshajisajili kushiriki mbio hizo. Nsekela alibainisha kuwa kati yao 801 ni wakimbiaji kutoka nje ya nchi, na kutoa rai kwa Watanzania kuchangamkia nafasi zilizobaki.

NEW TOL PLANT TO BOOST CARBON-DIOXIDE PRODUCTION

Rungwe District Commissioner, Dr. Vincent Anney (center) opening a pipe to mark the launch of TOL Gases Limited's new carbon-dioxide plant in Ikama village, Rungwe District Mbeya during an event held on 29th July 2022.
Rungwe District Commissioner, Dr. Vincent Anney (3rd left) in a group photo with staff of TOL Gases Limited and Government Officials who attended the launch of the new carbon-dioxide plant by the company in Ikama village, Rungwe District Mbeya during an event held on 29th July 2022.

29 July 2022: Mbeya - TOL Gases Limited, on 29th July 2022, launched its fourth carbon-dioxide gas project in Ikama village, Rungwe district in Mbeya region, doubling the company's capacity to produce industrial and medical grade carbon-dioxide.

The recently launched plant is the company’s second carbon-dioxide plant in Ikama village and is expected to be commissioned in December 2022. The new development will enable the company to expand its market share in the local as well as foreign markets such as Zambia, Zimbabwe, The Democratic Republic of Congo and Malawi.

The plant with a total project value of 13.65 billion shillings, has an estimated lifetime of 20 years with a capacity to produce 2 tonnes per hour. Carbon-dioxide is used in various industrial and medical applications such as in production of beverages, both soft and alcoholic beverages as well as processing of food products. It is also a crucial element in production of fire fighting equipment.

Speaking during the launch, the guest of honour, Rungwe District Commissioner, Dr Vincent Anney commended the company for the new investment and assured the company of continued cooperation from the government. "As a company that has had a great contribution to the industrial and health sectors for decades, we will work closely with the company to ensure its work continues to benefit the local community and the country as a whole," said Dr. Anney.

Monday, 1 August 2022

JIUNGE NA UNENDELEE KUBURUDIKA NA DStv



Mapenzi yanasababisha mama Glory kuweka kazi yake matatani baada ya utendaji wake kushuka, Waridi kumuadopt mtoto wa Bidu na Tunu!


Usikose kuangalia leo Pazia saa 1:30 usiku ndani ya @maishamagicbongo namba 160 ndani ya @dstvtanzania pekee!

Piga sasa *150*53# kulipia kifurushi chako cha Bba sh 21,000 tu ufurahie tamthilia hii kila siku za Jumatatu hadi Ijumaa saa 1:30 usiku.

#DStvShangweka

#DStvOyooooo


 

AFRICAN DEVELOPMENT BANK AND AFRICAN GUARANTEE FUND SIGN $110 MILLION AGREEMENT WITH TANZANIA’S CRDB BANK TO BOOST ACCESS TO FINANCE BY WOMEN’S SMES

Jules Ngankam, CEO of AGF Group (left), Abdulmajid Nsekela, CEO of CRDB, and Nnenna Nwabufo, African Development Bank’s Director General for East Africa, holding copies of the signed agreements.

The African Development Bank today signed a $60 million financial package comprising $50 million subordinated debt to support CRDB Bank’s regional expansion efforts and a senior loan of $10 million to accelerate access to finance for small businesses managed and owned by women in Tanzania.

The facility is coupled with a $175,000 technical assistance grant from the African Development Bank’s Affirmative Finance Action for Women in Africa Initiative (AFAWA) with support from the Women Entrepreneurship Finance Initiative to strengthen CRDB’s capacity to support women entrepreneurs in Tanzania to become more bankable.

Similarly, the African Guarantee Fund has signed a guarantee line to CRDB Bank worth $50 million. The line includes the AFAWA Guarantee for Growth component to minimize risk in investing in women-led businesses and further support their growth.

The agreement was signed by Nnenna Nwabufo, the African Development Bank’s Director General for East Africa; Jules Ngankam, Group Chief Executive Officer of the African Guarantee Fund; and Abdulmajid Nsekela, Chief Executive Officer of CRDB Bank PLC. The bouquet of financing will enable CRDB to significantly impact the socio-economic growth of the region by empowering small businesses, especially women, and unleashing their full potential.

AFRICAN DEVELOPMENT BANK AND AFRICAN GUARANTEE FUND LAUNCH AFAWA FINANCE SERIES IN COLLABORATION WITH TANZANIA BANKERS’ ASSOCIATION

A group photo at the AFAWA Finance Series in Tanzania with the guest of honor, Exaud Kigahe, Deputy Minister for Investment, Industry and Trade, with distinguished guests from the African Development Bank, the African Guarantee Fund and the Tanzanian Bankers’ Association.

The African Development Bank’s Affirmative Finance Action for Women in Africa (AFAWA) initiative kicked off the first AFAWA Finance Series in collaboration with the African Guarantee Fund (AGF) and the Tanzania Bankers’ Association last week in Dar es Salaam.

The opening day on Tuesday 26 July 2022 drew over 200 representatives from banks and other financial institutions, governments, policymakers, and entrepreneurs in Tanzania for two days of exploring opportunities to reduce the $42 billion financing gap for women-led small and medium enterprises (SMEs).

The objective of the AFAWA Finance Series is for all participants to walk away with a better understanding of the business case for increasing women’s access to finance in Tanzania and across the continent. Some notable participants included Amid Hassan Chande, Deputy Minister of Finance and Planning; Lawrence Mafuru, Deputy Permanent Secretary, Ministry of Finance and Planning; and Dr. Zainab Chaula, Permanent Secretary, Ministry of Community Development, Gender, Women and Special Groups.

AFAWA Finance Series participants will learn about the AFAWA initiative and the Guarantee for Growth (G4G) programme, which increases financial institutions’ appetite to lend to women, who are known to be better payers, and who reinvest up to 90% of their income in the education, health and nutrition of their family and community. Representatives from financial institutions can take part in tailored workshops offering practical advice on improving gender-sensitivity in lending practicess and how they can leverage the 2X Challenge, launched at the G7 Summit 2018 as a bold commitment to inspire DFIs/IFIs and the broader private sector to invest in the world’s women.

UDHAMINI WA SBL KWENYE SERENGETI MIGRATION MARATHON WAVUTIA MAMIA YA WATU BUNDA

Mkuu wa wilaya ya Bunda, Joshua Nassari wa nne kutoka kulia akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na wadau waliosaidia mbio za Serengeti Migration Marathon. Wa kwanza kulia waliokaa ni Katibu wa Riadha Mkoa wa Mara, Vedastus Makaranga, Meneja mauzo wa Kampuni ya Serengeti Breweries Mara na Simiyu, Jay Jay Mwarabu Gombanilla, Mwenyekiti wa riadha Mara Deogratias Misana na wa kwanza kushoto ni Geofrey Werema muandaaji wa mbio, Said Babu Mwenyekiti wa rufaa riadha wilaya na Katibu Tawala wilaya ya Serengeti, Cosmas Qamara. Mbio hizo zilifanyika katika viwanja vya Sokoine Mugumu tarehe 30 Julai 2022.
Washiriki wa mbio za Serengeti Migration Marathon wakijiandaa kukimbia kwenye viwanja vya Sokoine Mugumu tarehe 30 Julai 2022.
Haji Luli toka Mwanza mshindi wa mbio za Serengeti Migration Marathon kilometa 10 akielekea kumalizia.

Mkuu wa Wilaya ya Bunda, Joshua Nassari kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Dk Vicent Mshinji akimkabidhi mshindi wa mbio kilometa 10 Ivona Juma toka Serengeti.
Meneja Mauzo Kanda ya Mara na Simiyu Kampuni ya Serengeti Brieweris, Jay Jay Gambanilla akifafanua jambo kabla ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa mbio za Serengeti Migration Marathon.

BANK OF AFRICA YAWAPATIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAFANYABIASHARA MKOANI MWANZA

Mkurugenzi Mtendaji wa Bank of Africa (BOA), Adam Mihayo, akifungua warsha ya kuwajengea uwezo wafanyabiashara wateja wa benki hiyo iliyofanyika jijini Mwanza.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Magu, Salum Khalii (kulia) akibadlishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji wa Bank Of Africa (BOA), Adam Mihayo alipomtembea ofisi kwake jijini Mwanza.

BANK OF AFRICA - TANZANIA imeendesha warsha ya uwezeshaji wajasiriamali iliyolenga wafanya biashara wadogo na wakati (SME). Tukio hili liliwakutanisha pamoja wateja mbalimbali wa benki hiyo ambao ni Wafanyabiashara Wadogo na wa Kati (SME) na kuwapatia ujuzi na maarifa muhimu kwa ukuaji mzuri na thabiti ya biashara zao.

Washiriki kutoka maeneo mbalimbali mkoani Mwanza, walijengewa uwezo kuhusu masuala ya kifedha ikiwemo mbinu za utunzaji fedha, namna ya kukuza mtaji na kushirikiana ili kukua pamoja kibiashara.

Afisa Mtendaji Mkuu wa River Oil Gabriel Kenene (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Maofisa Waandamizi wa benki ya BOA wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji, Adam Mihayo (wa pili kutoka kulia) wakati walipomtembelea ofisini kwake.

Akifungua warsha hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa BANK OF AFRICA, Bw. Adam Mihayo, aliwahimiza wajasiriamali na wafanyabiashara nchini kuchangamkia huduma za kifedha zitolewazo na Benki hiyo ili kuongeza tija.

"Sisi BANK OF AFRICA, katika mpango mkakati wa miaka mitatu ni kuchangia katika ukuaji wa uchumi wa nchi. Sekta ya wafanyabiashara wadogo na wakati ni sekta muhimu na nyeti katika uchumi wetu inachangia asilimia 30% katika pato la taifa. Ukiangalia takwimu katika biashara 10, 9 zitatokea kwa wafanya biashara wadogo na wakati. Nawakaribisha Bank of Africa kwa kua ndiyo benki yenye mtazamo chanya unaolenga kuwasaidia wajasiriamali wadogo na wakati, hii ni katika huduma zetu madhubuti kwenye sekta hii kuanzia ufunguaji wa akaunti ya benki, mikopo, ufumbuzi wa kibiashara na ushauri katika kukuza na kustawisha biashara za wajasiriamali. Karibuni tuwahudumie” alisema, Bw Adam Mihayo.

Baadhi wa Wajasiriamali waliohudhuria warsha ya kuwajengea uwezo kibiashara iliyoandaliwa na BOA wakifuatilia mada mbalimbali.

Bw. Adam Mihayo, pia alisema kwa kipindi cha mwaka jana Benki ilitoa mikopo ya kiasi cha shilingi bilioni 32 kwa wajasiriamali wadogo na wakati, ukilinganisha na mwaka huu mpaka juni mwaka huu tayari imeshatoa kiasi cha shilingi bilioni 23 huu ni mwenendo mzuri na tunatumaini kwamba mpaka mwisho wa mwaka tutakua tumetoa kiasi kikubwa zaidi.