Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Monday, 1 August 2022

UDHAMINI WA SBL KWENYE SERENGETI MIGRATION MARATHON WAVUTIA MAMIA YA WATU BUNDA

Mkuu wa wilaya ya Bunda, Joshua Nassari wa nne kutoka kulia akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na wadau waliosaidia mbio za Serengeti Migration Marathon. Wa kwanza kulia waliokaa ni Katibu wa Riadha Mkoa wa Mara, Vedastus Makaranga, Meneja mauzo wa Kampuni ya Serengeti Breweries Mara na Simiyu, Jay Jay Mwarabu Gombanilla, Mwenyekiti wa riadha Mara Deogratias Misana na wa kwanza kushoto ni Geofrey Werema muandaaji wa mbio, Said Babu Mwenyekiti wa rufaa riadha wilaya na Katibu Tawala wilaya ya Serengeti, Cosmas Qamara. Mbio hizo zilifanyika katika viwanja vya Sokoine Mugumu tarehe 30 Julai 2022.
Washiriki wa mbio za Serengeti Migration Marathon wakijiandaa kukimbia kwenye viwanja vya Sokoine Mugumu tarehe 30 Julai 2022.
Haji Luli toka Mwanza mshindi wa mbio za Serengeti Migration Marathon kilometa 10 akielekea kumalizia.

Mkuu wa Wilaya ya Bunda, Joshua Nassari kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Dk Vicent Mshinji akimkabidhi mshindi wa mbio kilometa 10 Ivona Juma toka Serengeti.
Meneja Mauzo Kanda ya Mara na Simiyu Kampuni ya Serengeti Brieweris, Jay Jay Gambanilla akifafanua jambo kabla ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa mbio za Serengeti Migration Marathon.

No comments:

Post a Comment