Blog Rebranding Teaser_030826

Blog Rebranding Teaser_030826

Absa Banner_170926_270926

Absa Banner_170926_270926

Stanbic Bank Banner_070826

Stanbic Bank Banner_070826

Friday, 5 August 2022

JUMAMOSI HII FULHAM VS LIVERPOOL NDANI YA DStv


Katika Jiji la London Jumamosi hii nyasi zitawaka moto pale ambapo Fulham watavaana na Liverpool wenye ubingwa mbichi kabisa wa Community Shield. Je tutegemee matokeo yapi?

Hakikisha unalipia mapema kifurushi chako cha Compact Tshs  51,000/= tu ili kutazama Live mechi hii na mechi zote za EPL ndani ya @dstvtanzania pekee.

#MsimuWaSokaLaKibabe

No comments:

Post a Comment