| Meneja Mauzo wa Simu za Tecno, Fred Kadilana akionesha simu aina ya Phanton 5 wakati wa uzinduzi wa tolea jipya la simu hizo uliofanyika Dar es Salaam hivi karibuni. |
| Wadau mbalimbli wakiwa kwenye uzinduzi huo. |
| Wadau mbalimbli wakiwa kwenye uzinduzi huo. |
| Meneja Mauzo wa Simu za Tecno, Fred Kadilana (kulia), akitoa zawadi ya simu hiyo kwa baadhi ya waandishi waliouliza maswali mbalimbali juu ya ufanis wa toleo hilo. |
| Meneja Mauzo wa Simu za Tecno, Fred Kadilana (kulia), akitoa zawadi ya simu hiyo kwa baadhi ya waandishi waliouliza maswali mbalimbali juu ya ufanis wa toleo hilo. |
Wito huo umetolewa na Meneja mauzo wa simu za Tecno, Fred Kadilana wakati wa uzinduzi wa tolea jipya la simu ya Phantom 5 uliofanyika Dar es Salaam hivi karibuni.