| Msanii Diamond Platnumz akiongea na waandishi wa habari na mashabiki waliojitokeza kumpokea mara baada ya kuwasili kutoka nchini Marekani alikopokea Tuzo za Afrimma. Wengine kushoto kwake Meneja wake Babu Tale, Meneja wa Tigo music Hamza Balla, na Mtaalam wa mitandao ya kijamii toka Tigo Samira Baamar. |
No comments:
Post a Comment