Blog Rebranding Teaser_030826

Blog Rebranding Teaser_030826

Absa Banner_170926

Absa Banner_170926

Stanbic Bank Banner_070826

Stanbic Bank Banner_070826

Monday, 4 April 2022

JUMANNE HII NDANI YA UEFA BENFICA VS LIVERPOOL


Jumanne hii ndani ya UEFA Benfica watavaana na Liverpool ikiwa ni mzunguko wa kwanza wa robo fainali.

Unakosaje sasa mechi hii ambayo itaruka live huku ukipata matangazo kwa lugha ya Kiswahili kutoka kwa watangazaji wetu mahiri.

Piga *150*53# kulipia kwa urahisi kifurushi chako ili usikose burudani hii @geoff_lea.


#BirianiIendelee

No comments:

Post a Comment