Blog Rebranding Teaser_030826

Blog Rebranding Teaser_030826

Absa Banner_211026

Stanbic Bank Banner_201026

Saturday, 6 April 2024

AER FOUNDATION CHARITY EVENT SPONSORED BY JOHARI ROTANA & ABSA BANK

A touching group photo capturing the bond between children from Tuyata and Watoto Wetu orphanage centers brought together by AER Foundation. These children come from diverse backgrounds—some found abandoned on the streets, others in hospitals, and some orphaned due to tragic circumstances. Despite their varied paths, they find solace and support in their shared experiences and the nurturing environment provided by the orphanage centers.
From Workshops to Dreams: Testimonials from children who benefited from baking workshops run by AER Foundation. They're now skilled bakers, paving the way for a future bakery at their center.

Children immersed in cake decorating activities during the charity event. Their joy and creativity shone through every design.

Absa Bank's generous stationery handover ensures children are equipped for the upcoming school year. A vital step in their educational journey.
Children eagerly heading for a buffet specially prepared by Johari Rotana Hotel.
A heartening scene as children and team members from AER Foundation, Absa, and Johari Rotana Hotel share a meal together.
CEO and Founder, Miss Ngole Melaisho, delivering a heartfelt thank-you speech to sponsors and team members as the day concludes. A moment of appreciation for their invaluable support.
Founder of AER Foundation, Ngole Melaisho distributing gifts to the children as they bid farewell to the hotel. A gesture of love and appreciation.

The Adonai El Roi Foundation (AER Foundation) is delighted to share the success of its recent charity event aimed at empowering underprivileged children in Tanzania. Sponsored by Johari Rotana and Absa Bank, this event was a testament to the transformative power of collaboration and community support.

Held at Johari Rotana Hotels, the charity event brought joy and hope to children from Tuyata Orphanage and Watoto Wetu Tanzania. They were treated to a delicious meal prepared by Johari Rotana Hotels, while Absa Bank generously provided stationery supplies to support their education.

Under the visionary leadership of its founder, Ngole Melaisho Ngilorit, the Adonai El Roi Foundation is dedicated to empowering Tanzanian children through business education, entrepreneurship training, and skills development. With a focus on seven orphanage centers across Tanzania, the foundation provides essential support and resources to uplift the underprivileged.

TANZANIA NA DENMARK KUIMARISHA ZAIDI USHIRIKIANO WA KIUCHUMI

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akimkabidhi zawadi ya picha ya Mlima Kilimanjaro, Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo na Sera za Mabadiliko ya Tabianchi wa Serikali ya Denmark, Mhe. Dan Jørgesen, baada ya kukutana jijini Dodoma na kufanya mazungumzo kuhusu ushirikiano wa nchi hizo mbili katika nyanja za uwekezaji kwa kuishirikisha Sekta binafsi, Nishati, Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) na masuala ya kiuchumi.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akizungumza wakati wa Mkutano na Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo na Sera za Mabadiliko ya Tabianchi wa Serikali ya Denmark, Mhe. Dan Jørgesen (hayupo pichani) aliyeambatana na ujumbe wake, ambapo wamefanya mazungumzo kuhusu ushirikiano wa nchi hizo mbili katika nyanja za uwekezaji kwa kuishirikisha Sekta binafsi, Nishati, Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) na masuala ya kiuchumi, jijini Dodoma.
Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo na Sera za Mabadiliko ya Tabianchi wa Serikali ya Denmark, Mhe. Dan Jørgesen, akizungumza wakati wa Mkutano wake na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (hayupo pichani).
Ujumbe wa Tanzania (kulia) ukiongozwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) na Ujumbe wa Serikali ya Denmark (kushoto) ulioongozwa na Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo na Sera za Mabadiliko ya Tabianchi wa nchi hiyo, Mhe. Dan Jørgesen, wakifanya mazungumzo kuhusu ushirikiano wa nchi hizo mbili.
Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo na Sera za Mabadiliko ya Tabianchi wa Serikali ya Denmark, Mhe. Dan Jørgesen, akisaini Kitabu cha wageni katika ofisi ya Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (katikati), Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo na Sera za Mabadiliko ya Tabianchi wa Serikali ya Denmark, Mhe. Dan Jørgesen (wa sita kushoto), Naibu Waziri wa Maendeleo wa Serikali ya Denmark, Mhe. Lotte Machon (wa nne kushoto), Balozi wa Tanzania katika nchi za Scandinavia, Dkt. Grace Olotu (wa nne kulia), Balozi wa Tanzania wa Heshima nchini Denmark, Mhe. Simon Mears ( wa pili kulia), Balozi wa Denmark nchini Tanzania, Mhe. Mette Dissing-Spandet ( wa tano kushoto), Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (wa sita kulia), wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wengine wa nchi hizo mbili baada ya kumaliza mkutano wao.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (Kushoto), akiagana na Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo na Sera za Mabadiliko ya Tabianchi wa Serikali ya Denmark, Mhe. Dan Jørgesen, baada ya kumaliza mkutano wao jijini Dodoma.

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), ameihakikishia Denmark kwamba Tanzania iko tayari kushirikiana na nchi hiyo kupitia Mkakati wake mpya wa ushirikiano wa kimataifa kwa kuishirikisha sekta binafsi katika mipango yake ya maendeleo ili kukuza uchumi na ajira.

Dkt. Nchemba ameyasema hayo alipokutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo na Sera za Mabadiliko ya Tabianchi wa Denmark, Mhe. Dan Jørgesen, jijini Dodoma.

Dkt. Nchemba alisema kuwa Tanzania ina fursa kubwa za uwekezaji katika sekta mbalimbali na kutoa wito kwa kampuni, mashirika na Taasisi mbalimbali kutoka Denmark kushirikiana na sekta binafsi ya Tanzania kuwekeza mitaji na teknolojia ili pande zote mbili ziwezeze kunufaika.

Alisema kuwa mkazo mkubwa wa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ni kuhakikisha kuwa Sekta binafsi ndiyo inayotakiwa kuendesha uchumi wa nchi na kwamba ili kufanikisha mpango huo, Serikali imefanya mageuzi makubwa ya kisera na kisheria ili kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini.

Dkt. Nchemba aliyataja baadhi ya maeneo yanayohitaji ushiriki wa sekta binafsi kuwa ni pamoja na uendeshaji wa reli ya kisasa ya SGR, masuala ya nishati, kilimo, na maeneo mengine kadha wa kadha.

Friday, 5 April 2024

BOT MONETARY POLICY COMMITTEE STATEMENT - APRIL 2024

USIKOSE AL AHLY vs SIMBA NDANI YA DStv LEO USIKU



Kwa nguvu ya buku kumi ndani ya @dstvtanzania utaweza kutazama mechi ya Al Ahly vs Simba! Unadhani kikosi cha Simba wataweza kupeperusha bendera ya Tanzania?

Piga *150*53# kulipia kifurushi chako TShs. 10,000 mapema ili usipitwe.

#mfalmewasokanidstv
#bomanidstv

Follow @dstvtanzania kujua ratiba za vipindi unavyovipenda usipitwe.

USIKOSE MAMELODI vs YANGA NDANI YA DStv LEO USIKU



Kwa nguvu ya buku kumi ndani ya @dstvtanzania utaweza kutazama mechi ya Mamelodi dhidi ya Yanga leo usiku! Tupe utabiri wa mchuano huu!

Piga *150*53# kulipia kifurushi chako TShs. 10,000 mapema ili usipitwe.

#mfalmewasokanidstv
#bomanidstv

Follow @dstvtanzania kujua ratiba za vipindi unavyovipenda usipitwe.

VODACOM YAKABIDHIWA CHETI CHA USAJILI ULINZI WA TAARIFA BINAFSI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Cheti cha Usajili wa Ulinzi wa Taarifa Binafsi, Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria wa Kampuni ya Vodacom Tanzania PLC - Olaf Mumburi mara baada ya kuzindua tume hiyo jijini Dar es Salaam tarehe 3 Aprili 2024.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya Vodacom wakiwa kwenye uzinduzi mara baada ya kukabidhiwa cheti cha usajili.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alizindua Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi pamoja na mifumo ya usajili na malalamiko ya ukiukwaji wa misingi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam tarehe 3 Aprili 2024.

Tukio hili lilihudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mawaziri, Mabalozi, pamoja na Wageni mbalimbali.

Makampuni, Mashirika, na Taasisi mbalimbali zimetunukiwa Cheti cha Usajili kwenye Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi. Moja ya Makampuni yaliyotunukiwa Cheti hicho ni Vodacom Tanzania. Hii ni baada ya kuwa kampuni ya mwanzo kusajili ulinzi wa taarifa binafsi za wateja wake hapa Tanzania.

SAMSUNG GALAXY A55 5G & A35 5G: AWESOME INNOVATIONS & SECURITY


With upgraded security features and a more vivid viewing experience, the new Galaxy A series devices democratize mobile experiences for all

Samsung Electronics Co., Ltd. today unveiled the Galaxy A55 5G and Galaxy A35 5G, two smartphones that demonstrate Samsung’s ongoing commitment to making the best of mobile innovations available to everyone. Both devices come with extensive security features such as Knox Vault, as well as new photography capabilities inspired by Galaxy’s flagship camera innovations and a stunning display that adjusts to users’ surroundings with Vision Booster.

“With the Galaxy A series, we are expanding our latest technologies to a wider audience so that more people can benefit from them,” said Manish Jangra, Country Head, Samsung Electronics Tanzania. “We are excited to open up even more possibilities on the Galaxy A series this year, including offering Samsung Knox Vault for the first time on this lineup. We’re proud to enable Galaxy A series users to safely and reliably enjoy outstanding mobile experiences.”

An Entertainment and Creativity Hub with Versatile Photography and Stunning Display

With enhanced Nightography, Galaxy A55 5G takes clearer and more vibrant photos even in poor lighting conditions. That means every nighttime photo can reach epic new levels. Galaxy A55 5G’s advanced AI Image Signal Processing (ISP) produces stunning low-light images never seen before on Galaxy A series. It’s not just scenery that looks amazing. Night Portrait mode and 12-bit HDR video ensure the people in every image look great so that capturing memories with friends and family is never dependent on the perfect lighting.

Both Galaxy A55 5G and Galaxy A35 5G offer the incredible photography capabilities that Samsung Galaxy is renowned for, including features such as optical image stabilization (OIS) and video digital image stabilization (VDIS) that keep photos and videos crisp even when filming on the go.

NMB YAFUTURISHA WABUNGE NA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM


Tunapoendelea na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Benki ya NMB imepata nafasi ya kujumuika na Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na watoto wenye mahitaji maalum Dodoma kupata futari ya pamoja.


Mgeni Rasmi katika hafla hii alikua Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Mhe. Dkt. Tulia Ackson, na ujumbe wa Benki ya NMB uliongozwa na Mwenyekiti wa Bodi - Dkt. Edwin Mhede pamoja na Afisa Mkuu wa Fedha, Juma Kimori aliyemuwakilisha Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB.


Katika hafla hiyo, Benki ya NMB ilitoa msaada wa vyakula kwa vituo viwili vya watoto yatima Dodoma, vilivyokabidhiwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson.


Akizungumza katika hafla hiyo, Mhe. Spika alisema: “Tunaithamini sadaka hii, tunawapongeza NMB kwa kazi nzuri, na hii ni kwa niaba ya wote waliofuturu hapa na ambao hawawezi kupata fursa ya kuongea, naomba mfahamu tu kuwa tunaheshimu sana sadaka hii mliyoitoa leo hapa na kule kote mlikofuturisha.”


“Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu ameeleza hapa maeneo mbalimbali mlikopita kufuturisha jamii ya wenye uhitaji wakiwemo Watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira magumu, viongozi wa serikali na wateja wenu, tunawapongeza na kuwashukuru sana kwa hili.”





Thursday, 4 April 2024

BOA BANK YAFUTURISHA WATEJA NA KUAHIDI KUIMARISHA ZAIDI HUDUMA

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bank of Africa, Wasia Mushi (wa pili kulia) akiwa na wateja na wageni walioalikwa.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bank of Africa, Wasia Mushi akiongea na wateja walioalikwa kwenye Iftar iliyoandaliwa na Benki hiyo jijini Dar es Salaam.
Sheikh Ramadhan Shareef Koba kutoka BAKWATA akitoa mawaida katika Iftar iliyoandaliwa na Bank of Africa.
Wateja na wageni walioalikwa wakiwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji, Wasia Mushi.
Ibada kwa njia ya Kaswida pia ilikuwepo.

Bank of Africa Tanzania (BOA) ipo mbioni kuandaa Jukwaa la kuwakutanisha pamoja wafanyabiashara wa ndani ili kutoa fursa ya kuonyesha bidhaa na huduma zake katika juhudi za kukuza ushirikiano baina yake na wateja sambamba na kuchochea biashara na uchumi wa nchini kwa maendeleo ya taifa zima.


Akizungumza katika futari iliyoandaliwa kwa wateja wake mkoani Dar es Salaam, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Wasia Mushi, alisema kwamba lengo la kuandaa Jukwaa hilo la kibiashara ni kuwaleta pamoja wafanyabiashara ili waweze kubadilishana uzoefu.


“Lengo kuu la Jukwaa hilo ni wafanyabiashara kuongeza na kupanua wigo wa biashara zao na kuzileta pamoja na kuzionyesha na kufungua fursa ya biashara na kupanua wigo wa mahusiano na mitandao ya kibiashara,” alisema Bw. Mushi

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji, Wasia Mushi (kulia) akikaribisha wateja wa Bank of Africa katika Iftar.

Alisema pia benki hiyo itaendelea kuandaa makongamano na mafunzo kwa wajasiriamali na wafanyabiashara kuhusu mambo ya kodi, usimamizi wa fedha na huduma zingine za kibenki kuendelea kusogezwa karibu na wateja katika juhudi za kuwarahisisha wateja wao huduma za kibenki.

Kaimu Mkurugenzi wa Bank of Africa akiwashukuru wafanyakazi wenzake kwa kufanikisha maandalizi ya Iftar kwa ajili ya wateja.

Bw. Mushi aliongeza pia benki hiyo itaboresha na kuendelea kukuza huduma zake za kibenki ikiwamo huduma za uwakala, simu na mifumo yote ya matumizi ya teknolojia (Tehama) katika jitihada za kukuza biashara na kuchochea ukuaji wa uchumi wa nchini.

POWER OF NBC SPORTS SPONSORSHIP IN COMMUNITY EMPOWERMENT


By Godwin Semunyu.

Tanzanian soccer is currently enjoying an unprecedented surge of success. Yanga and Simba are in the CAF Champions League Quarterfinals, while Taifa Stars and Twiga Stars secured spots in AFCON. Tanzania hosted the African Football League for the first time, and the joint "Pamoja Bid" for AFCON 2027 with Kenya and Uganda is highly praised. It's an exciting time to be a soccer fan in Tanzania - let's seize the moment and embrace the opportunities ahead. - "Carpe diem"

At the heart of this soccer renaissance lies the remarkable growth of the local league, the NBC Premier League, now ranked sixth in Africa. While I proudly declare my allegiance as an NBC-ian, credit must be given where it's due - the best league yields the best teams and results.

Structured governance by the Tanzania Football Federation (TFF), backed by governmental support and significant investments from Azam Television and NBC Bank, has propelled the NBC Premier League into a formidable force. What started as corporate sponsorships is transforming our whole community. Thanks to broadcast investment, all 240 matches are live on Azam TV, the only league in East and Central Africa with such extensive coverage.

That came with larger fan bases and increased commercial value that attracts top bucks. Creating a war chest for top talent recruitment and infrastructure development. Picture this; during the just-ended AFCON 2023, the NBC Premier League supplied 22 players from five different nations. Additionally, out of the eight teams in the CAF Champions League Quarterfinals, the NBC Premier League stands alone with two teams.

DKT. NCHEMBA ATETA NA BALOZI MPYA WA UMOJA WA ULAYA

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) (kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Mpya wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Mhe. Christine Grau, aliyefika Ofisini kwa Waziri wa Fedha kwa ajili ya kujitambulisha, katika Ofisi Ndogo za Hazina jijini Dar es Salaam, ambapo wamejadiliana namna ya kukuza zaidi ushirikiano kati ya Tanzania na Umoja wa Ulaya katika sekta mbalimbali za kiuchumi na kijamii kupitia misaada ya kibajeti na miradi mingine ya maendeleo.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) (watano kushoto) na Balozi Mpya wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Mhe. Christine Grau (katikati) wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe kutoka Wizara ya Fedha na Ubalozi wa Umoja wa Ulaya nchini baada ya kikao chao, katika Ofisi Ndogo za Hazina jijini Dar es Salaam.

Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba ameushukuru Umoja wa Ulaya kwa kutenga zaidi ya shilingi milioni 703 kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo katika kipindi cha miaka 7 kuanzia mwaka 2021 hadi mwaka 2027.

Dkt. Nchemba ametoa kauli hiyo jijini Dar es Salaam alipokutana na kufanya mazungumzo na Balozi mpya wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Mhe. Christine Grau aliyefika kujitambulisha rasmi.

Mhe. Dkt. Nchemba alisema kuwa fedha hizo zimegawanywa katika awamu mbili ikiwemo awamu ya kwanza ya kipindi cha miaka 4 ilitengewa zaidi ya euro milioni 426 ambapo mpaka sasa Umoja huo umetoa zaidi ya euro milioni 373 ambazo zimeelekezwa katika miradi kadhaa ikiwemo uchumi wa buluu, ujenzi wa miji ya kisasa, upatikanaji wa mitaji, utawala wa fedha, upatikanaji wa mitaji kwa sekta binafsi, usawa wa kijinsia na mradi wa kuendeleza masuala ya kidigiti.

Wednesday, 3 April 2024

JIYACHIE NA MFALME WA BOMA NDANI YA DStv


Nini haswa kuwa hatima ya JIYA???

Usikose kufuatilia mwendelezo wa tamthilia hii mpya ya #JIYA leo saa 1:30 usiku kupitia Maisha Magic Bongo, 160 ndani ya @dstvtanzania pekee!

Piga *150*53# kulipia kifurushi chako mapema

#tamthiliabilaDStvhainogi
#DStvnimfalmewaboma


Follow @dstvtanzania kujua ratiba za vipindi unavyovipenda usipitwe.

Tuesday, 2 April 2024

USIKOSE KUJIYACHIA NA MFALME WA BOMA NDANI YA DStv


MFALME WA BOMA

Wanajaribu lakini kiwango bado. Alikuwepo, yupo na ataendelea kuwepo. Yeye huongoza njia, wengine wanafuata nyuma.

Usikose KUJIYACHIA na #mfalmewaboma deile ndani ya Maisha Magic Bongo, 160 ndani ya @dstvtanzania pekee.

Piga *150*53# kulipia au 0659 07 07 07 kujiunga na @dstvtanzania

#mfalmewabomaniDStv
#tamthilianiMMBongo

WATANZANIA WAASWA KUDUMISHA AMANI NA UPENDO MFUNGO WA RAMADHAN

Meneja Mkuu wa Puma Energy Tanzania, Fatma Abdallah akiongea na wateja, washirika na wadau wao mbalimbali wakati walipoandaa futari ya pamoja mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.

Watanzania waumini wa dini ya Kiislamu nchini kote wamehimizwa kudumisha amani na upendo miongoni mwao wakiwa wanaendelea na mfungo wa Ramadhan.


Hayo yamesemwa na Meneja Mkuu wa Puma Energy Tanzania, Fatma Abdallah wakati walipokutana na wateja, washirika, na wadau wao mbalimbali wakati walipoandaa futari ya pamoja mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.


“Mwezi wa Ramadhan ni kipindi muhimu kwa waumini wa dini ya Kiislamu na nguzo muhimu ambapo huwasogeza karibu kupitia mfungo unaosindikizwa na ibada. Tuitumie fursa hii kuendelea kujizatiti kwetu katika maendeleo na ustawi wa jamii zetu nchini na taifa lote kwa ujumla,” alielezea Bi. Abdallah.


Akizungumzia umuhimu wa kufunga na kujumuika kwa pamoja wakati wa Ramadhan, Bi. Abdallah amesisitiza namna watu wanavyoweza kufanyika huku wakihamasisha kuwa na mazingira endelevu pamoja na afya bora.


“Serikali ya Tanzania inafanya jitihada za makusudi katika kuhamasisha matumizi ya gesi asilia ya kupikia, na Puma Energy tunajivunia kuunga mkono juhudi hizi. Kwa kuhamia katika matumizi ya gesi asili kama suluhisho la kupikia, jamii za Kitanzania zinaweza kuleta mabadiliko makubwa ya kupunguza utoaji wa hewa ya ukaa na kupambana na mabadiliko ya tabianchi. Kwa kuongezea, gesi safi asilia ya kupikia pia hupunguza uhachuzi wa hewa majumbani, hivyo kuboresha afya na ustawi wa watu na familia,” aliongezea.