Blog Rebranding Teaser_030826

Blog Rebranding Teaser_030826

Absa Loan Campaign_160426

Absa Loan Campaign_160426

Friday, 7 October 2022

BENKI YA CRDB YAWASHUKURU WATEJA MAFANIKIO YA HUDUMA BORA KWA JAMII

 
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Godwin Gondwe (wapili kulia) akimkabidhi zawadi mmoja wa wateja wa Benki ya CRDB, Dkt. Redempta Mbatia (kushoto) katika hafla ya ufunguzi rasmi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja yenye kauli mbiu "Sherehekea Huduma" iliyofanyika hivi karibuni kwenye Tawi la Benki ya CRDB, Oysterbay, jijini Dar es salaam. Wengine pichani ni Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya CRDB, Fredrick Nshekanabo (wapili kushoto) pamoja na Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Yolanda Uriyo. Benki ya CRDB imeianza wiki hiyo kwa kuwashukuru wateja wake kwa maoni na ushauri ambao umeiwezesha benki hiyo kutoa huduma bora na zenye viwango vya kimataifa kwa jamii.

 

Wakati makampuni na taasisi dunia nzima zikiadhimisha ‘Wiki ya Huduma kwa Wateja’ mwaka 2022, Benki ya CRDB imeianza wiki hiyo kwa kuwashukuru wateja wake kwa maoni na ushauri ambao umeiwezesha benki hiyo kutoa huduma bora na zenye viwango vya kimataifa kwa jamii.

Salamu hizo za shukrani zimetolewa na Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya CRDB, Fredrick Nshekanabo wakati wa hafla iliyofanyika katika tawi la Benki hiyo lililopo Oysterbay, Jijini Dar es Salaam. Nshekanabo alisema wateja wamekuwa msingi mkubwa kwa Benki ya CRDB kufikia mafanikio ambayo imekuwa ikiyapata kufikia kuwa ‘Benki Bora zaidi Tanzania’.


“Tukiongozwa na kaulimbiu yetu ya ‘Benki inayomsikiliza mteja’ tumekuwa tukipokea maoni na ushauri wa wateja ambao kwa kiasi kikubwa umechangia ubora wa huduma na bidhaa zinazotolewa na benki yetu. Hii inaonyesha ni kwanamna gani mteja amepewa kipaumbele kikubwa katika mkakati wa biashara yetu,” aliongezea Nshekanabo.

Kwa upande wake Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja Benki ya CRDB, Yolanda Uriyo amesema pamoja na kuwashukuru wateja, katika Wiki ya Huduma kwa Wateja mwaka huu wamedhamiria kuwasherekea wale wote walio mstari wa mbele kuiwezesha benki hiyo kutoa huduma bora”.


“Wakati dunia nzima ikiadhimisha wiki hii kwa kaulimbiu ya ‘Celebrate Service’ inayomaanisha kusherehekea huduma, kwetu sisi hii ni zaidi ya kaulimbiu kwani mafanikio tuliyonayo yanatulazimisha kuwasherehekea wanaotufanya tuwe bora zaidi; wateja na wafanyakazi wetu,” alifafanua Uriyo.

BENKI YA NCBA KUTUMIA UBUNIFU WA KIDIGITI KUBORESHA HUDUMA KWA WATEJA

Wafanyakazi wa Benki ya NCBA wakiwa katika picha ya pamoja, katika halfa ya sherehe ya Wiki ya Huduma kwa Wateja iliyofanyika katika makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Baadhi ya wafanyakazi wa benki ya NCBA katika halfa ya wiki ya huduma kwa wateja, iliyofanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Meneja Masoko wa benki ya NCBA akisema jambo na wafanyakazi na wateja wa benki hiyo katika hafla ya wiki ya huduma kwa wateja iliyofanyika katika makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya NCBA, Julius Konyani akiongea katika hafla ya wiki ya huduma kwa wateja iliyofanyika katika makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wateja wa benki ya NCBA, Amina Aly (kulia) akisalimia na mteja mwenzie pamoja na Dennis Chacha pembeni kulia.
Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya NCBA, Julius Konyani, akiwa katika picha ya pamoja na wateja wa benki hiyo. Kutoka kushoto ni Mbaraka Kihame, Amina Aly, Dennis Chacha na Serphin Lusala.

Dar es Salaam - Benki ya NCBA Tanzania Limited (NCBA) imeendelea kusisitiza juu ya uwekezaji wake katika ubunifu wa kidigiti ili kuboresha huduma kwa wa wateja wake, jambo ambalo benki ina amini litachochea kusambaa kwa huduma za kifedha nchini.

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NCBA, Julius Konyani, wakati wa Hafla ya wiki ya huduma kwa wateja iliyohudhuriwa na wafanyakazi na wateja wa NCBA katika jengoi la makao makuu lililopo jijini Dar es Salaam.

Konyani alisema, “Kupitia mbinu yetu ya kwanza ya kidijitali, tutaendelea kubuni na kutumia nyenzo bora za kiteknolojia katika huduma kwa wateja, ili kuendelea kutoa huduma za kipekee za kifedha na bidhaa zinazozidi matarajio ya wateja, na viwango vinavyokubalika kimataifa,”

GEITA GOLD MINING SPONSORS THE GEOLOGISTS' GENERAL MEETING IN ARUSHA

Exploration Superintendent from Geita Gold Mining Limited (GGML), Eric Kalondwa (right) receives an award for the best sponsor of the Annual General Meeting of the Association of Geologists (GST) from Minister of Minerals Dr. Dotto Biteko (left). Kalondwa received the award on behalf of GGML, the company that has been sponsoring the event every year. This year it was held in the city of Arusha

In support of the growth of various fields in the country, Geita Gold Mining Limited (GGML) has ventured to be the main sponsor of the annual general meeting of Tanzanian geologists held in Arusha region.

The meeting which started on October 4 is expected to end on October 7 this year and is being coordinated by the Tanzania Geology Association (TGS) which is estimated to have more than 300 members.

Speaking to our reporter, the Exploration Superintendent at GGML Company, Eric Kalondwa said that GGML Company has provided 25 million Tanzanian shillings to sponsor the meeting opened by the Minister of Mines, Dr. Dotto Biteko on behalf of the Vice President, Dr. Philip Mpango and is expected to be closed by the Minister of Water, Juma Aweso.

He said that in the meeting which is held every year in different regions, a total of 11 geologists from Geita region have participated. Among the 11 participants, there are only three women, a situation that he said was caused by various emergencies including maternity leave.

"Currently we have not had many female geologists to reach 50/50 percent equality but we hope it can be achieved because in this meeting there are new members who will be registered," he said.

He added that the meeting is aimed at sharing experiences because there are various programs aimed at bringing together people with similar fields.

Thursday, 6 October 2022

ABSA TO CHURN OUT PRODUCTS TO UPGRADE CUSTOMER SATISFACTION

Absa Bank Tanzania Director of Finance, Obedi Laiser (right), talks to some customers about the bank's products and services as part of festivities at the ongoing customer service week at Absa's Mikocheni Branch in Dar es Salaam today.
Jubilant Absa Mikocheni Branch staff pose for a souvenir photograph together with the bank's Finance Director, Obedi Laiser during the ceremony in Dar es Salaam today.

Absa Bank Tanzania has reassured its customers it is designing definitive plans to launch new products in the market tailored to satisfy the needs of banking services consumers across Tanzania.

Speaking to its invited customers during the on-going Customer Service week at the Absa's Mikocheni Branch in Dar es Salaam today, Absa Bank Finance Director, Obedi Laiser, said this year’s theme, “Celebrate Service” targets to appreciate the global banking services providers fraternity that expend time, care and compassion into serving customers.

“Our core value lies in the fact that we are obsessed with the customer, we want to assure our esteemed customers that we are committed in making your banking experience with us the most pleasant,” he said.

Laiser pointed out that the financial conglomerate was eyeing on sustaining its support to its customers in social and economic development endevours as well as making their life much easier when it comes to using banking services in Tanzania.

MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI NCHINI YAAGIZWA KUFUNGUA AKAUNTI ZA BENKI YA NMB

Meneja Mwandamizi Mahusiano Benki ya NMB, Bi. Dorah Monyo (kushoto) akitoa maelezo kwa Waziri Mkuu, Mhe. Kassim majaliwa (kulia) alipotembelea banda hilo kwenye maonesho ya Jukwaa la mwaka la Mashirika yasiyo ya Kiserikali – Dodoma.

Mashirika yasiyo ya kiserikali nchini yameagizwa kufungua akaunti zao katika benki za nchini na kitendo hicho kimetajwa kama ni sehemu ya uzalendo.

Wito huo ulitolewa na Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa wakati akizungumza na wananchi na watumishi wa Benki ya NMB alipotembelea banda la benki hiyo katika kilele cha Jukwaa la Mwaka la mashirika yasiyo ya kiserikali.

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa (kulia) akijadiliana jambo na wafanyakazi wa Benki ya NMB alipotembelea banda hilo kwenye maonesho ya Jukwaa la mwaka la Mashirika yasiyo ya Kiserikali yaliyofanyika Jijini Dodoma. Benki ya NMB ni mmoja wa wadau wa jukwaa hilo.

Waziri Mkuu alitembelea NMB kuanza mazungumzo na mashirika yasiyo ya kiserikali kote nchini ili kuwafungulia akaunti ndani ya benki hiyo ambayo ina matawi 228 nchi nzima na kusema mpango huo mbali na kuonyesha uzalendo, lakini itasaidia kuongeza mzunguko wa fedha ndani ya nchi, jambo litakalotafsiriwa kama kitendo cha kizalendo.

Wednesday, 5 October 2022

MAADHIMISHO WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA: WAFANYAKAZI BENKI YA EXIM WASAFISHA MAGARI YA WATEJA, WAGAWA ZAWADI

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Exim, Jaffari Matundu (kulia) akiwaongoza maofisa waandamizi wa benki hiyo kusafisha magari ya wateja wa benki hiyo waliofika kupata huduma kwenye tawi la makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja. Kushoto ni mmoja wateja wa benki hiyo, Rashmit Lathigara kutoka kampuni ya Vin Mart.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Exim, Jaffari Matundu (wa tano kushoto) na maofisa waandamizi wa benki hiyo wakiwa tayari kusafisha magari ya wateja wa benki hiyo waliofika kupata huduma kwenye tawi la makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Exim, Jaffari Matundu (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa wafanyakazi wa benki hiyo wakiongozwa na Mkuu wa Idara ya Huduma kwa Wateja wa benki hiyo, Frank Matoro (katikati) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Exim, Jaffari Matundu (kulia) akifurahia pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja.

Dar es Salaam: Octoba 5, 2022: Benki ya Exim Tanzania hii leo imeungana na watoa huduma ulimwenguni kote kusherehekea wiki ya Huduma kwa Wateja huku ikiahidi kuendelea kuwa karibu zaidi na wateja wake kupitia huduma zenye ubunifu zaidi kwenye soko la huduma za kifedha.



Katika kuthibitisha kauli hiyo maofisa waandamizi wa benki hiyo wakiongozwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Jaffari Matundu walishuhudiwa wakiwaongoza wafanyakazi wengine wa benki hiyo kufanya matukio mbalimbali kwa ajili ya wateja ikiwemo kusafisha magari ya wateja mbalimbali waliofika kupata huduma kwenye tawi la makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam mapema hii leo.



Akitoa salamu za heri kwa wateja na wafanyakazi wa benki hiyo jijini Dar es Salaam wakati wa zoezi hilo Bw Matundu alisema pamoja na jitihada za benki hiyo kuvutia wateja wapya kupitia huduma mbalimbali za kisasa zinazoeandana na mahitaji ya wateja hao, benki hiyo pia imekuwa ikiweka msisitizo mkubwa katika kuwahudumia wateja wake waliopo.



ALHAMISI HII TUNAENDELEZA MICHUANO YA #UEL


Alhamisi hii tunaendeleza michuano ya #UEL na Omonoia atakipiga dhidi ya Man U!

Je Man U wataambulia kichapo kingine au wataibuka kidedea?

Lipia kifurushi chako sasa cha DStv Poa TShs. 10,000 tu ufurahie mechi hii Live ndani ya @dstvtanzania pekee kwa kupiga *150*53#

#msimuwasokalakibabe

AKIBA COMMERCIAL BANK WASHEREKEA MAADHIMISHO YA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA NAMNA YA KIPEKEE

Mkurugenzi Mtendaji wa Akiba Commercial Bank Plc, Silvest Arumasi akiongea na wateja na wafanyakazi wa Benki ya Akiba (hawapo pichani) alipoungana kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja pamoja na wateja katika tawi la Ubungo Plaza.

Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Akiba Dora Saria,akizungumza na wateja (hawapo pichani)wateja na wa wafanyakazi wa Benki (hawapo pichani) ya akiba mapela leo alipoungana kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja pamoja na wateja katika tawi letu la Ubungo Plaza.

 Picha ya pamoja ys wafanyakazi wa Benki ya Akiba tawi la Ubungo.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Akiba Commercial Bank Plc ndugu Silvest Arumasi akikata keki na wateja na wafanyakazi wa Benki ) ya akiba mapela leo alipoungana kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja pamoja na wateja katika tawi letu la Ubungo Plaza.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Akiba Commercial Bank Plc, Silvest Arumasi akiwa katika picha ya pamoja na wateja na wafanyakazi wa Benki ya Akiba alipoungana kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja pamoja na wateja katika tawi la Ubungo Plaza.

 Mkurugenzi Mtendaji akikabidhi cheti cha mfanyakazi bora katika nyanja ya utoaji huduma kwa Immaculata Hamulungi wa tawi la Ubungo Plaza.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Akiba Commercial Bank Plc, Silvest Arumasi akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Benki hiyo alipoungana kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja.

Dar es Salaam - Benki ya Akiba Commercial Bank washerekea wiki ya huduma kwa wateja katika matawi yao mbalimbali toka kuanzishwa kwa benki hiyo miaka 25 iliyopita. Akizungumza katika kusherekea wiki hiyo ya huduma kwa wateja Mkurungezi Mtendaji bwana Silvest Arumasi amesema ni muhimu kusherekea wiki hiyo ya huduma kwa wateja kwani ni namna ya kuwasherekea na kuwathamini wateja wake ambao wamekua nao katika safari yao kama benki ya biashara. 

BITEKO COMMENDS GEITA GOLD MINING POWER SUBSTATIONS PROJECT

Minister of Minerals, Dr. Dotto Biteko (second right) being given information about the substations project by the Manager responsible for infrastructure from GGML, Eliakimu Kagimbo. Dr. Biteko visited the GGML mines along with the project being built by the company to receive Tanesco electricity and enable the mines to start using electricity from the National Grid instead of electricity produced with diesel fuel.

The Minister of Minerals Dr. Dotto Biteko has expressed his satisfaction with the speed of the construction of the substation being built by the Geita Gold Mining Company (GGML). The construction will enable the mine to abandon oil-based electricity production and move to the cheaper National Grid electricity.

The GGML mines is building the plant that will be able to transmit electricity with 13 kilovolts to its plants where until it is completion its expected to cost Shs 50 billion.

In addition, the Tanzania Electricity Company (TANESCO) is also building a line to send electricity to the mine with a length of six kilometers.

This was stated in the Minister of Mines' visit he made the other day to the GGML Mine located in Geita where, among other things, he said he believes that by March 2023, GGML will start using electricity from the National Grid.

"GGML wants to move from the use of oil-generated electricity to Tanesco electricity, the substation being built will use 20 million US dollars, and they have made a good step, I believe that until March next year, we will turn on Tanesco's electricity to run our mine," said Dr. Biteko.

Tuesday, 4 October 2022

MSHINDI WA NMB CDF TROPHY 2022 AKABIDHIWA KIKOMBE NA CDF JACOB MKUNDA

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania , Jenerali Jacob Mkunda akimkabidhi Kikombe mshindi kutoka timu ya NMB, Bw. Abdallah Gunda kwenye mashindano ya NMB CDF TROPHY 2022, yaliyofanyika katika viwanja vya Golf Lugalo, Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Mkuu wa Biashara na wateja Binafsi, Bw. Filbert Mponzi na kushoto ni Mkuu wa Majeshi wa Malawi, Generali Vincent Nundwe.

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Jacob Mkunda akimkabidhi Kikombe mshindi kutoka timu ya NMB, Bw. Sigfrid Ophishas kwenye mashindano ya NMB CDF TROPHY 2022, yaliyofanyika katika viwanja vya Golf Lugalo, Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Mkuu wa Biashara na Wateja Binafsi, Filbert Mponzi na kushoto ni Mkuu wa Majeshi wa Malawi, Generali Vincent Nundwe.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Jacob Mkunda akimkabidhi Kikombe na zawadi mshindi wa Jumla wa mashindano ya NMB CDF TROPHY 2022, Cpl. Malius Kajuna, yaliyofanyika katika viwanja vya Golf Lugalo, Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Mkuu wa Biashara na Wateja Binafsi, Bw. Filbert Mponzi na kushoto ni Mkuu wa Majeshi wa Malawi, Generali Vincent Nundwe.

BENKI YA EQUITY IMEZINDUA RASMI WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

 
Bi Leynnette Machibya, (Head of Risk and Compliance) kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji Bi Isabela Maganga akihudumia baadhi ya wateja katika uzinguzi wa week ya huduma kwa wateja.

 
Bi Leynnette Machibya, (Head of Risk and Compliance) kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji Bi Isabela Maganga akihudumia baadhi ya wateja katika uzinguzi wa week ya huduma kwa wateja.

 

  

Dar es Salaam - Benki ya Equity (T) imezindua rasmi wiki ya huduma kwa wateja jijini Dar Es Salaam kwenye tawi lake la Mwenge. Wiki ya Huduma kwa Wateja ni wiki ambayo huwa inasherehekewa dunia nzima ikiwa na nia ya kushukuru wateja mbalimbali ambao ndio mchango mkubwa kwa maendeleo ya taasisi. 

Equity Bank inasherehekea wiki hii kwa kauli mbiu ya kipekee ikisema ‘Karibu Memba, Tujienjoy na huduma’. ‘Mteja kwetu ni zaidi ya familia, ni memba. 

Tunahakikisha anapata huduma zote stahiki, kwa wakati na kidijitali’ alisema Bi. Leynette Machibya akimwakilisha Mkurugenzi Mtendaji, Bi. Isabela Maganga. Aliendelea na kusema kuwa Benki yetu imeendelea kuboresha huduma zake na kuhakikisha kuwa inatanua wigo wake wa upatikanaji nchini kama ufunguzi wa tawi letu la Kahama ili kuweza kuwafikia wateja wote Tanzania na kuhakikisha kuwa tunatimiza dhamira yetu ya kubadilisha maisha ya kila Mtanzania.


Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja, Bi. Leynette Machibya aliendelea akisema, huduma zetu ni nafuu zaidi nchini na hivyo kuendana na lengo letu la kukomboa Watanzania kiuchumi kwa kuhakikisha kuwa kila Mtanzania anatumia mifumo rasmi ya kifedha (financial inclusion). 

TIGO YAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA JIJINI MWANZA


Kampuni inayoongoza kwa mtindo wa maisha ya kidijitali nchini Tanzania, Tigo imezindua Wiki ya huduma kwa Wateja katika Mkoa wa Mwanza na baadaye katika maduka yote ya Tigo.

Maadhimisho hayo ya wiki nzima yanalenga kutambua thamani ya huduma na michango ya watoa huduma kwa wateja walio mstari wa mbele katika kuhakikisha wateja wa Tigo wanapata huduma bora nchini kote.

Katika nia ya kuimarisha utamaduni unaozingatia wateja na kuendana na mada ya mwaka huu; Sherehekea Huduma, watoa huduma walio mstari wa mbele kote nchini watasherehekea na kuungana tena na wateja katika safu ya shughuli zilizopangwa za wiki nzima.


Shughuli hizo ni pamoja na maonyesho, shughuli za ushiriki wa wateja, kutembelea soko ili kufanya vikao vya maoni. Zaidi ya hayo wateja watapata fursa ya kuzungumza moja kwa moja na watendaji wakuu wa Tigo katika kituo cha simu cha Tigo na maduka jijini Dar es Salaam.


Akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika kwenye duka la Tigo lililopo Rock City Mall jijini Mwanza, Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja wa Tigo, Mwangaza Matotola alisema

“Kama kampuni ya mwasiliano ni muhimu kwetu kuelewa wateja wetu wanathamini nini, kwa upande mwingine sisi pia inabidi kuwapa pole watoa huduma wetu walio mstari wa mbele, Katika wiki hii uongozi wa Tigo utaungana na wafanyakazi wa kituo cha huduma ili kuwahudumia, kuwasiliana na kuwasikiliza wateja kwa lengo kuu la kuwathamini na kutafuta maoni kuhusu bidhaa na huduma zetu.”

Sherehe za wiki hii zitawafanya wateja wa Tigo kufurahia majaribio ya bure kwa baadhi ya huduma za kidijitali zilizochaguliwa, punguzo la bei kwa ununuzi wa vifaa vilivyochaguliwa vilivyounganishwa na intaneti ya BURE ya GB 8 kwa mwezi, pamoja na zawadi nyingi za bure katika maduka ya Tigo kote nchini.


"Kutoa huduma bora kwa wateja ni muhimu katika yote tunayofanya. Hili ni onyesho lingine la dhamira yetu ya kupendezesha maisha ya watoa huduma wetu walio mstari wa mbele, kama vile mada ya mwaka huu inavyodokeza” alisema Matotola.

Monday, 3 October 2022

ABSA TO CONTINUE ENHANCING INNOVATIVE SOLUTIONS ON CUSTOMER SERVICES

Obedi Laiser, Director of Finance (CFO), Absa Bank Tanzania Limited.

We Celebrate You!

To our Customers and Partners,

Today we kick off the well-known International Customer Service Week celebrations. The theme for this year is to “Celebrate Service” with the aim of appreciating service providers across the world that have poured their time, care, and compassion into the work of serving customers.

It is with this premise that I am honored to take this opportunity on behalf of the Managing Director, the Board of Directors, the Management Committee and all the employees of Absa Bank Tanzania Limited, to say “Thank You”, for your continued contribution which has helped us to grow into a better bank. We wouldn’t be successful as a business without you.

In commemoration of this year’s Customer Service Week, we want to assure our esteemed customers that we are committed in making your banking experience with us the most pleasant, in line with our customer centric vision of being “obsessed with our customers”. We continue to deploy multiple solutions, products, services that meet and surpass your needs.

The voice of our customers is extremely important to us; hence we have embedded multiple feedback channels and solutions that allows us to capture feedback in real time across all our touchpoints. This has helped us identify and address key pain points with the aim of redefining the overall customer experience.

DR. BITEKO COMMENDS GEITA GOLD MINING FOR FULL PLOUGH BACK - CSR

Minister of Mines, Dr. Dotto Biteko (second right) talking to the Manager of the Gold Processing Department in the GGML mine, Elibariki Andrew (second left) and the Vice President of GGML who deals with sustainability projects in Ghana and Tanzania, Simon Shayo (left) when he visited the mines in Geita region over the weekend. On the right is GGML CEO, Terry Strong.
The Vice President of GGML who deals with sustainability projects in Ghana and Tanzania, Simon Shayo (in the middle) explaining a point to the Minister of Minerals, Dr. Dotto Biteko, who visited the mines in Geita region over the weekend. On the right is Permanent Secretary in the Ministry of Minerals, Adolf Ndunguru with GGML staff.
Minister of Minerals, Dr. Dotto Biteko (third left) listening to the Manager of the Gold Processing Department at the GGML mine, Elibariki Andrew and the CEO GGML, Terry Strong (right). On the left is the Member of Parliament for Geita Urban, Constantine Kanyasu (CCM).

Minister of Minerals, Dr. Dotto Biteko has said that Geita Gold Mining Limited (GGML) is the leading mining company in Tanzania and Africa in general in full implementation of the Corporate Social Responsibility (CSR) programme.

Elaborating, he noted that the ministry is planning to develop special rules and guidelines that will make all investors implement CSR in projects to the full expectation of the government.

Dr. Biteko took the stance when he visited the GGML mine to witness how the new gold mining projects are being executed in the mine site in Geita region, yesterday.

He said that for a long time, GGML has been implementing the CSR programme to a satisfactory level, adding that anyone doubting that should check their records.

The minister further said: “I would like us to be honest, in this country the company that does well in CSR in the minerals industry is GGM. They have done a good job.

UNITED BANK FOR AFRICA UNVEILS SOLUTION TO MICRO, SMALL AND MEDIUM ENTERPRISES ACCESS TO FINANCE


UBA Bank Tanzania is pleased to unveil a tailor made MSME Working Capital loan dubbed “MKOPO KITONGA” as a solution to help bolster business activities in the Micro Small Medium Enterprises, an important sector that contributes 27% per cent of the GDP of Tanzania’s economy. This product is exclusively designed to target MSME customers within the trade and service sectors to help them addressing the existing challenges hampering their significant growth due to limited access to finance.



“As a bank we understand and care about the needs of our customers and we have set aside 13bn/- to ensure we can address their challenges they face. Working Capital Loan product we are unveiling today is designed to serve the financing needs of Micro, Small & Medium Enterprises with strong cash flow and a good credit history along the trading and service verticals,” said Gbenga Makinde, UBA Tanzania MD/CEO.



“We believe that our clients will now be able to access finance and expert advice from a lucrative team of financial advisors on how to use the product in a way that will help our customers ranging from distributors, wholesale and retail trading, general merchants, supermarkets, and green energy equipment merchants while Service sectors players include Legal practitioners, architectural firms, consulting firms, accounting and audit firms, CT, Clearing and forwarding agencies, etc, who have verifiable credit net worth,” Mr. Makinde added.