Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Tuesday 4 October 2022

MSHINDI WA NMB CDF TROPHY 2022 AKABIDHIWA KIKOMBE NA CDF JACOB MKUNDA

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania , Jenerali Jacob Mkunda akimkabidhi Kikombe mshindi kutoka timu ya NMB, Bw. Abdallah Gunda kwenye mashindano ya NMB CDF TROPHY 2022, yaliyofanyika katika viwanja vya Golf Lugalo, Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Mkuu wa Biashara na wateja Binafsi, Bw. Filbert Mponzi na kushoto ni Mkuu wa Majeshi wa Malawi, Generali Vincent Nundwe.

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Jacob Mkunda akimkabidhi Kikombe mshindi kutoka timu ya NMB, Bw. Sigfrid Ophishas kwenye mashindano ya NMB CDF TROPHY 2022, yaliyofanyika katika viwanja vya Golf Lugalo, Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Mkuu wa Biashara na Wateja Binafsi, Filbert Mponzi na kushoto ni Mkuu wa Majeshi wa Malawi, Generali Vincent Nundwe.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Jacob Mkunda akimkabidhi Kikombe na zawadi mshindi wa Jumla wa mashindano ya NMB CDF TROPHY 2022, Cpl. Malius Kajuna, yaliyofanyika katika viwanja vya Golf Lugalo, Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Mkuu wa Biashara na Wateja Binafsi, Bw. Filbert Mponzi na kushoto ni Mkuu wa Majeshi wa Malawi, Generali Vincent Nundwe.

No comments:

Post a Comment