Blog Rebranding Teaser_030826

Blog Rebranding Teaser_030826

Absa Banner_301026

Stanbic Bank Banner_201026

Friday, 14 August 2020

THE DIGITAL REVOLUTION HAS A PROFOUND IMPACT ON TANZANIA’S ECONOMY

It is well known that the digital revolution has had a profound impact on people’s daily lives in recent years.

Fortunately, these changes have brought a range of opportunities and also present Tanzania with a useful tool for harnessing further economic growth.

In particular, in its recent report, the World Bank highlighted that the evolution of digital technology is likely to bring further changes to the way people work across a range of industries. Their analysis noted that digital solutions are helping to innovate areas including mobile finance and digital commerce solutions.

It should be noted that for some years now, digitalization has become a key trend within Tanzania, and cities like Dar es Salaam have seen their technological ecosystems go from strength to strength.

The growth of this area has partly been the result of efforts made by Tanzania’s telecommunication sector to invest in different emerging trends. Collectively, this investment is having tangible benefits for both workers and businesses.


Wednesday, 12 August 2020

ECOBANK GROUP ANNOUNCES THE 2020 FINTECH CHALLENGE FINALISTS

Finalists will compete for the top crown on August 21 and be inducted into the Ecobank Fintech Fellowship to pursue commercial partnerships in Ecobank’s 33 markets cross Africa


Lome 10 August 2020 - Ecobank Group today announced the finalists from the 2020 Ecobank Fintech Challenge. The challenge, in its third edition, is designed to deepen collaboration between Ecobank and Fintechs with Africa focused products.

The 10 finalists Fintechs from 7 different countries, who emerged from a competitive pool of over 600 fintechs, will participate in an online Finale scheduled for August 21, 2020.

The 2020 Finalists are:

Always In-Touch Real-time ( South Africa), Fluid AI (India), Franc Group (South Africa), Growth Factor (Ghana), Leaf Global Corporation (Rwanda), Moja Ride (Ivory Coast), Nokwary Technologies Limited (Ghana), Papersoft S.A (Mozambique), Ukheshe Payment Solutions (South Africa), PayChap Technologies (Tanzania).

The Finalists will pitch their products to a jury for the cash prizes for the top 3, worth US$10,000, US$7,000, and US$5,000. All the finalists will be enrolled into Ecobank’s Fintech Fellowship where they will spend the next 6 months exploring partnership opportunities which includes :

WAFANYABIASHARA WADOGO MWANZA WANUFAIKA NA MIKOPO BENKI YA NBC

Mfanya biashara wa jijini Mwanza Grace Meshaki maarufu kama Mama Kweka (katikati) akitoa ushuhuda mbele ya Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi (kulia) akieleza namna Benki ya NBC ilivyompatia mkopo mpaka sasa anamtaji wa zaidi ya milioni 250 kutoka milioni 17 katika hafla ya uzinduzi wa mradi wa kutoa mikopo kwa wafanya biashara wadogo na kati iliyofanyika Gold Crest jijini Mwanza mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Meneja wa Tawi la NBC Mwanza, Rodgers Masolwa.


Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC hapa nchini Theobard Sabi akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa benki ya NBC Mkoa wa Mwanza katika hafla ya uzinduzi wa Mradi kutoa mikopo nafuu kwa wafanya biashara wadogo na wakati jijini Mwanza

MFANYABIASHARA wa jijini Mwanza, Grace Kweka, ambaye amenufaika kupitia Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) amewataka watanzania kutoogopa kwenda kukopa benki kwa sababu taasisi hizo zimeanzishwa kwa ajili ya wananchi kukuza uchumi wao.

Akizungumza jijini hapa jana katika hafla maluum iliyoandaliwa na NBC na kukutanisha wafanyabiashara wadogo, wa kati na wakubwa kutoka mikoa ya kanda ya ziwa ambao ni wanufaika wa benki hiyo, Kweka alisema alianza na mkopo wa Sh milioni 17 mwaka 2005 sasa amefikia kiwango cha Sh milioni 300.

Alisema baadhi ya wafanyabiashara hasa wanawake wamekuwa wakiogopa kukopa katika taasisi za kifedha hivyo kujikuta wanashindwa kukuza mitaji yao wakati ipo benki maalum iliyolenga kuwainua wafanyabiashara wa ngazi zote.


WELCOME TO AN EXCITING NEW BANKING CAREER PROGRAMME


VODACOM TANZANIA PLC YAWAZAWADIA WACHEZAJI BORA MSIMU WA 2019/2020

  • Yaahidi kuendelea kudhamini Ligi Kuu ya Tanznia Bara
Waziri wa TAMISEMI, Mhe. Selemani Jafo (wa pili kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10 mwakilishi wa timu ya Namungo ya Lindi baada kushika nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania (VPL). Wengine ni Mkurugenzi wa biashara Vodacom Tanzania PLC Linda Riwa (kushoto) ambao ndio wadhamini wakuu wa ligi hiyo, na Raisi wa TFF, Wallace Karia. Hafla za tuzo za Vodacom zilifanyika jijini Dar Es Salaam mwishoni mwa wiki.
Waziri wa TAMISEMI, Mhe. Selemani Jafo (wa pili kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 30 mwakilishi wa timu ya Azam Popat baada kushika nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania (VPL). Wengine ni Mkurugenzi wa biashara Vodacom Tanzania PLC Linda Riwa (kushoto) ambao ndio wadhamini wakuu wa ligi hiyo, na Raisi wa TFF, Wallace Karia. Hafla za tuzo za Vodacom zilifanyika jijini Dar Es Salaam.
Waziri wa TAMISEMI, Mhe. Selemani Jafo (wa pili kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 45 kwa Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Patrick Simon baada kushika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania (VPL). Wengine ni Mkurugenzi wa biashara Vodacom Tanzania PLC Linda Riwa (kushoto) ambao ndio wadhamini wakuu wa ligi hiyo, na Raisi wa TFF, Wallace Karia. Hafla za tuzo hizo zilifanyika jijini Dar Es Salaam.
Waziri wa TAMISEMI, Mhe. Selemani Jafo (wa tatu kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 100 kwa kiongozi wa Simba, Mwina Kaduguda (wa tatu kulia) baada ya kushika nafasi ya kwanza kwenye msimamo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania (VPL). Wengine ni Mkurugenzi wa biashara Vodacom Tanzania PLC Linda Riwa (kushoto) ambao ndio wadhamini wakuu wa ligi hiyo, na Rais wa TFF, Wallace Karia (wa pili kulia), Nassoro (wa pili kushoto) na Haji Manara.
Mkurugenzi wa biashara Vodacom Tanzania PLC ambao ni wadhamini wakuu wa ligi hiyo, Linda Riwa akizungumza na wageni waalikwa kwenye Tuzo za Vodacom Premier League VPL.
Waziri wa TAMISEMI, Mhe. Selemani Jafo akizungumza na wageni waalikwa kwenye Tuzo za Vodacom Premier League VPL. 



Tarehe 7 August 2020 - Kampuni ya kidigitali na teknolojia ya mawasiliano ya simu inayoongoza Tanzania na mdhamini mkuu wa Ligi Kuu, Vodacom Tanzania imewapa tuzo washindi wa Ligi Kuu ya Tanzania kwa msimu wa mwaka 2019/2020.

Akiongea katika hafla iliyofanyika jijini Dar es salaam, Waziri wa Nchi - Ofisi ya Rais, Tawala za mikoa na Serikali za mitaa (TAMISEMI), Mh. Suleiman Jaffo, ameipongeza kampuni ya Vodacom kwa jitihada zao za kusaidia maendeleo ya mpira wa miguu Tanzania kwa miaka mingi.

“Udhamini wa Ligi Kuu ya Taifa unaotekelezwa na kampuni ya Vodacom Tanzania umeweza kukuza vipaji na medani ya mpira nchini. Wito wagu kwa wadhamini wa mpira nikuwekeza katika ngazi za kati na chini ili kuinua mpira kuanzia ngazi za chini”.

GEITA GOLD MINING REAFFIRMS DEVELOPMENT COMMITMENT TO THE GEITA COMMUNITIES FOR 2020

GGML Managing Director Richard Jordinson (right) hands over an MoU document relating to the CSR Plan 2020 to the Geita Regional Commissioner Eng. Robert Gabriel (left).
Officials during the brief ceremony that took place at the Geita Regional Commissioner’s Conference Hall.
Geita Town Council Director Eng Modest Apolinary (right) and Geita District Council Director Alli Kidwaka (left) sign an MoU document relating to the CSR Plan for 2020.
AngloGold Ashanti - Geita Gold Mining Limited (GGML) Head of Legal, David Nzaligo and Managing Director, Richard Jordinson sign MoU documents relating to the Company’s Corporate Social Responsibility (CSR) Plan for Geita Town and District Councils for 2020.
Geita Gold Mining Limited (GGML) and the Geita Town and District Councils yesterday signed a Memorandum of Understanding (MoU) worth TZS 9.2 billion in relation to GGML’s Corporate Social Responsibility (CSR) Plan for 2020.

The signing of the MoU reaffirms GGML’s commitment to the Tanzanian Government and its people through compliance with the amended section 105 of the Mining Law that includes provisions relating to a mineral right holder’s Corporate Social Responsibility Plan.

The implementation of the CSR plan will benefit Geita communities in the areas of environment, infrastructure, health, education and small and medium enterprises (SMEs).

WINNERS OF EUROMONEY AWARD FOR EXCELLENCE IN LEADERSHIP ANNOUNCED - ABSA COMES OUT VICTORIOUS

Absa Group, one of Africa’s leading diversified financial service group, was recently awarded the Euromoney 2020 Excellence in Leadership in Africa Award as a result of their integrated Covid-19 response for their employees, clients and communities.

Absa took home the award, which recognizes excellence in leadership on the Africa continent. The award looks at what corporates in the banking industry have done for their employees, clients, communities, industry and economies in Africa. Absa is one of 6 banks globally that have been recognized for outstanding performance during an unprecedented era of constant change and uncertainty as a result of the global health crisis.

“We are very happy to receive this award, as it demonstrates our commitment to Africa, which is our home and our source of strength as a business”, said Charles Russon, CE for Absa Corporate and Investment Banking.

Absa was undoubtedly a strong contender for this award having implemented very extensive initiatives and programmes in response to the COVID-19 pandemic across all their 12 African markets. Absa takes pride in its commitment to facilitate economic growth, looking after the wellbeing of employees, enabling the success and resilience of their clients while looking after the communities they serve.

Tuesday, 11 August 2020

BENKI MPYA YA NCBA YAKUTANISHA WAFANYAKAZI WAO WOTE NCHINI ILI KUHAMASISHA UFANISI WA KUJENGA BENKI IMARA NA YENYE TIJA KWAO NA WADAU WOTE TANZANIA

Mkurugenzi Mkuu na Afisa Mtendaji Mkuu wa NCBA Bank Tanzania Limited, Margaret Karume (kushoto) na Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa, Wateja Binafsi na Wafanyabiashara Wadogo na wa Kati, Gift Shoko wakizungumza na wafanyakazi wa benki hiyo mpya kote nchini kwenye hafla ya kutambulishana kwa wafanyakazi na viongozi iliyofanyika jijini Dar es Salaam ili kuhamasisha ufanisi wa kujenga benki imara na yenye tija kwao na wadau wote.
Mkurugenzi Mkuu na Afisa Mtendaji Mkuu wa NCBA Bank Tanzania Limited, Margaret Karume akizungumza na wafanyakazi wa benki hiyo mpya kote nchini kwenye hafla ya kutambulishana kwa wafanyakazi na viongozi iliyofanyika jijini Dar Es Salaam ili kuhamasisha ufanisi wa kujenga benki imara na yenye tija kwao na wadau wote.
 
 
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki mpya ya NCBA wakimsikiliza Afisa Mtendaji mkuu wao, Margaret Karume kwenye hafla ya kuwakutanisha wafanyakazi wa benki hiyo wote nchini iliyofanyika jijini Dar Es Salaam.

DStv INAKULETEA UEFA CHAMPIONS LEAGUE NDANI YA CHANELI ZA MICHEZO SUPERSPORT



Ni wiki nyingine yenye maajabu ndani ya ulimwengu wa soka!!!

UEFA Champions League ikiwa imefikia patamu, na kama kawaida sehemu pekee utakapopata kutazama mechi hizi ni kupitia @dstvtanzania ndani ya chaneli za michezo SuperSport.

La muhimu ni wewe kulipia mapema kifurushi chako kwa kupiga *150*53# sasa au 0659 07 07 07 kujiunga sasa na DStv.

#LiveSportsReturns

KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YAZINDUA KAMPENI YA SEREBUKA

Mkuu wa Kitengo cha Bia wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Anitha Msangi (kulia) akiongea na waandishi habari wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Serebuka inayolenga kuwafanya Watanzania kufurahia maisha kupitia bia ya Serengeti Lager na Serengeti Lite. Wa kwanza kushoto ni Lullu Kihwelo kutoka kampuni hiyo akifuatiwa na Mkurugenzi wa Masoko Mark Mugisha.
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Mark Mugisha (wa pili kushoto) akiongea na waandishi habari wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Serebuka inayolenga kuwafanya Watanzania kufurahia maisha kupitia bia ya Serengeti Lager na Serengeti Lite. Wa kwanza kushoto ni Lulu Kihwelo ambaye ni meneja wa mipango kwa wateja kutoka kampuni hiyo.
Mchekeshaji Koyi Mzungu (kustoto) au Chui Miyeyuso, akiwaburudisha waandishi wa habari na wasanii waliohududhuria uzinduzi wa kampeni ya Serebuka inayolenga kuwafanya Watanzania kufurahia maisha kupitia bia ya Serengeti Lager na Serengeti Lite.
Mtangazaji wa kituo cha redio cha Clouds FM Kennedy the Remedy au Chui wa Facts (kushoto) akimuuliza swali mwandishi wa habari wa ITV Richard Stephen kabla ya kumpatia zawadi wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Serebuka inayolenga kuwafanya Watanzania kufurahia maisha kupitia bia ya Serengeti Lager na Serengeti Lite.
Waandishi wa habari wikifuatilia matukio wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Serebuka inayoendeshwa na kampuni ya Bia ya Serengeti ikilenga kuwafanya Watanzania kufurahia maisha kupitia bia ya Serengeti Lager na Serengeti Lite.
Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), imezindua kampeni mpya ya aina yake inayolenga kuwahamasisha Watanzania kufurahia maisha bila kikomo kupitia bidhaa zake zenye chapa ya Serengeti.

Kampeni hiyo inayojulikana kama ‘SEREBUKA’ inadhaminiwa na chapa mbili maarufu, bia ya Serengeti maarufu kama Serengeti Premium Lager na bia Serengeti Lite huku ikilenga kuonyesha kuwa Serengeti ni chapa inayowaleta Watanzania pamoja na kuwafanya wafurahia maisha bila kikomo.

Kwa mujibu wa mkuu wa kitengo cha bia wa SBL Anitha Msangi, kampeni hiyo inakuja na mambo mazuri na ya kusisimua ikiwa ni pamoja na chakula, muziki na michezo.

“Kampeni ya Serebuka ni kwa ajili ya Watanzania wote na inalenga kuwapa nafasi adhimu wateja wetu kufurahia maisha na bidhaa zetu zenye ubora wa kimataifa. Tutakuwa na mashindano ambayo yataongozwa na mastaa mbali mbali wataokuwa wanawaburudisha na kuwafurahisha wateja wetu katika kipindi chote cha kampeni,” anasema Anitha.


MINISTER FOR AGRICULTURE LAUNCHES INNOVATIVE DIGITAL VERIFICATION SOLUTION FOR INPUTS (T-HAKIKI)

The Minister of Agriculture, Japhet Hasunga (second left) officially launches a special input verification service known as 'T-HAKIKI’ inside the Tanzania Telecommunications Corporation (TTCL) Pavilion, at the Nane Nane National Exhibition held at Nyakabindi Stadium Simiyu Province. Right are TTCL Director General, Waziri Kindamba and Director General of the Tanzania Official Seed Certification Institute (TOSCI), Patrick Ngwediagi (left) participating in the event.
The Minister of Agriculture, Japhet Hasunga (second left), the Director General of TTCL, Waziri Kindamba (right) and the Director General of the Tanzania Official Seed Certification Institute (TOSCI), Patrick Ngwediagi (left) applauding immediately after the launch.
The Minister of Agriculture, Japhet Hasunga speaking at the launch of a special input verification service known as 'T-HAKIKI' inside the Tanzania Telecommunications Corporation (TTCL) Pavilion, at the Nane Nane National Exhibition held at Nyakabindi Stadium in Simiyu Region. Right is TTCL Director General, Waziri Kindamba.
The Director General of TTCL, Waziri Kindamba speaking at the launch of a special input verification service known as 'T-Hakiki', held inside the Tanzania Telecommunications Corporation (TTCL) Pavilion, at the Nane Nane National Exhibition held at Nyakabindi Simiyu Region.
Director General of the Tropical Pesticides Research Institute (TPRI), Dr. Margaret Mollel speaking at the launch.
Director General of the Tanzania Official Seed Certification Institute (TOSCI), Patrick Ngwediagi speaking at the launch.
The Minister for Agriculture, Japhet Hasunga has officially launched a special input verification service known as "T-HAKIKI"; which is using technology to reimagine agriculture in Tanzania by providing accessible, scalable solution for smallholder farmers whilst bundling verification with the inputs farmers already use, in this case seeds and pesticides.

T-HAKIKI is an electronic verification system where you dial
*148 *52 # and enter the numbers in the scratch panel on the seed packets or on the pesticide bottles to confirm the authenticity of the input.

The launch of the service is aimed at liberating farmers in the fight against counterfeit seeds and pesticides, took place recently inside the Pavilion of the Tanzania Telecommunications Corporation (TTCL), at the Nane Nane National Exhibition held at Nyakabindi Stadium in Simiyu region.


Monday, 10 August 2020

BENKI YA CRDB YATOA GAWIO LA SHILINGI BILIONI 17 KWA SERIKALI

Waziri wa Fedha, Dkt. Philip Mpango akipokea mfano wa hundi ya gawio la shilingi bilioni 9.3 kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki yah CRDB, Dkt. Ally Laay (watatu kushoto) kutokana na uwekezaji wa Serikali ndani ya benki hiyo kupitia Mfuko wa Uwekezaji wa DANIDA kwa kushirikiana na Serikali ya Denmark. Waziri Mpango leo amepokea jumla ya gawio la shilingi bilioni 17 kutoka Benki ya CRDB ikiwa ni gawio kutokana na uwekezaji wa Serikali kuu, taasisi na mashirika yake. Wengine pichani ni Waziri wa TAMISEMI, Suleiman Jaffo (wanne kushoto), Waziri wa Sera, Bunge, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (watatu kulia), Balozi wa Denmark Nchini, Mette Dissing-Spandet (wapili kulia), Msajili wa Hazina, Athman Mbuttuka (wakwanza kulia), Makamu Mwenyekiti wa Bodi Benki ya CRDB, Prof. Neema Mori (wakwanza kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela.

Waziri wa Fedha na Mipango Dokta Philip Mpango amepokea gawio la shilingi bilioni 17 linalotokana na uwekezaji wa Serikali ndani ya Benki ya CRDB kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya CRDB, Dkt. Ally Laay.

Makabidhiano hayo ya hundi kifani yalifanyika katika ukumbi wa Kambarage, Wizara ya Fedha na Mipango Dodoma na kuhudhuriwa na baadhi ya mawaziri na viongozi mbalimbali wa taasisi na mashirika ya umma yenye hisa ndani ya Benki ya CRDB na Menejementi ya Benki ya CRDB.

Akizungumza katika hafla hiyo Dkt. Mpango aliipongeza Benki hiyo kwa kutoa gawio kwa Serikali na kwa kupata faida katika biashara yake katika kipindi cha mwaka 2019/20 ambayo yamepelekea kuongezeka kwa gawio kwa Wanahisa ikiwamo Serikali.

Katika mwaka wa fedha 2018/2019 Benki ya CRDB ilitoa gawio la shilingi bilioni 10 kwa Serikali na mwaka 2019/2020 imetoa gawio la shilingi bilioni 17 jambo ambalo Dkt. Mpango alisema nimapinduzi makubwa katika utendaji wa benki hiyo.


Waziri wa Sera, Bunge, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (wapili kulia) akipokea gawio la shilingi bilioni 5.8 kutoka Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB, Dkt. Ally Laay (wapili kushoto) na kumkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa PSSSF, Hosea Kashimba (wakwanza kulia), kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela. Benki ya CRDB leo imekabidhi jumla ya gawio la shilingi bilioni 17 kutokana na uwekezaji wa Serikali kuu, taasisi na mashirika yake.


“Ongezeko hili la gawio ni kiashiria tosha kwa Serikali kuwa Benki yetu ya CRDB inazidi kuimarika zaidi kutokana na mikakati madhubuti ya kibiashara iliyojiwekea na jambo linalowapa moyo Watanzania na wawekezaji kuwa benki inatoa huduma bora katika jamii”, alisema Dkt. Mpango.

Dkt. Mpango alisema fedha zilizopatikana kupitia gawio hilo zitakwenda kusaidia utekelezaji wa miradi ambayo Serikali imeianisha katika vipaumbele vya bajeti ya mwaka 2020/2021 hususan sekta ya afya. “Kipekee kabisa niipongeze Bodi, Menejimenti na Wafanyakazi wote wa Benki ya CRDB kwa kazi nzuri mnayoifanya,” aliongezea Dkt. Mpango.



Thursday, 6 August 2020

BANCABC YAZINDUA KADI MPYA YA VISA MAARUFU KAMA ‘GUSA ULIPE’ (CONTACTLESS CARD) AMBAYO NI SALAMA NA RAHISI KUTUMIA

Meneja Mkuu wa kadi na teknolojia za kidijitali wa BancABC, Bwana Lameck Mushi (kushoto) akionyesha kadi mpya za malipo ya VISA maarufu kama ‘Gusa ulipe’ zinazowawezesha wateja kufanya malipo kwa urahisi, haraka na usalama. Teknolojia hiyo ni ya kisasa zaidi katika kufanya malipo na ni salama na ya uhakika kwa watumiaji. Kulia ni Meneja wa Huduma za uwakala wa benki na mahusiano ya kimkakati wa benki hiyo, Ndugu, Mwita Rhobi.
Meneja Mkuu wa kadi na teknolojia za kidijitali wa BancABC, Bwana Lameck Mushi (kushoto) akitoa maelekezo juu ya namna ya kufanya malipo kwa kutumia kadi mpya za malipo ya VISA maarufu kama ‘Gusa ulipe’ zinazowawezesha wateja kufanya malipo kwa urahisi, haraka na usalama. Kulia ni Meneja wa Huduma za uwakala wa benki na mahusiano ya kimkakati wa benki hiyo, Ndugu, Mwita Rhobi.
Meneja Mkuu wa kadi na teknolojia za kidijitali wa BancABC, Bwana Lameck Mushi (kushoto) pamoja na Meneja wa Huduma za uwakala wa benki na mahusiano ya kimkakati wa benki hiyo, Mwita Rhobi wakifurahia kuzindua kadi mpya za malipo ya VISA maarufu kama ‘Gusa ulipe’ zinazowawezesha wateja kufanya malipo kwa urahisi, haraka na usalama.
Kadi hizo zinatumia teknolojia ya kisasa zaidi ya malipo duniani ambayo inamuwezesha mtumiaji kufanya malipo kwa haraka zaidi katika mashine za POS kwa kugusa bila kuingiza kadi ndani ya mashine ya malipo (POS)

Dar es Salaam. Agosti 5, 2020
- Katika kuongeza ubora wa huduma za kadi, BancABC leo imezindua kadi mpya za malipo maarufu kama ‘Gusa ulipe’ ili kuwawezesha wateja wake kufanya malipo kwa urahisi, haraka na usalama. Teknolojia hiyo ni ya kisasa zaidi katika kufanya malipo na ni salama na ya uhakika kwa watumiaji.

Teknolojia hii inaleta mageuzi makubwa kwenye huduma za malipo kwani kwa sasa wateja wataweza kufanya malipo kwa urahisi zaidi kwa kugusisha kadi kwenye mashine ya POS tofauti na ile ya awali ya kuchanja (swipe) au kuchomeka kadi.

Akizungumza wakati wa uzinduzi, Meneja Mkuu wa kadi na teknolojia za kidijitali wa benki hiyo, Bwana Lameck Mushi alisema kadi hizo zitaleta urahisi wa malipo kwa kadi kwa wateja na kupelekea uharaka wakati wa kufanya miamala hivyo kuboresha huduma za malipo kwa njia ya kadi.

“Kadi hizi za VISA zinatumia mfumo unaokuwezesha kufanya malipo ya haraka mahala popote na inaondoa ulazima wa kutembea na pesa taslimu ili kulipia huduma mbalimbali. Teknolojia hii inaongeza ufanisi wa malipo kwa wateja wetu kwa sababu mchakato wake ni rahisi na salama zaidi,” alisema bwana Mushi.

Wednesday, 5 August 2020

BENKI YA UBA YATOA DOLA MILIONI 200 KUSAIDIA SEKTA YA MAFUTA NIGERIA

Mwenyekiti Makampuni ya UBA, Tony O. Elumelu.
Lagos - Benki ya UBA imekuwa mwezeshaji mkuu (lead arranger) wa upatikanaji wa mkopo wa jumla ya Dola za Marekani bilioni 1.5 ili kufanikisha mradi wa uzalishaji wa mafuta unaoendeshwa na Shirika la Taifa la Petroli la Nigeria (National Petroleum Corporation - NNPC).

NNPC, kwa kupitia Kampuni ya Maendeleo ya Petroli ya Nigeria (Nigerian Petroleum Development Company - NPDC), inahitaji jumla ya Dola za Marekani bilioni 1.5 ili kuongeza uwezo wake wa uzalishaji mafuta.

Benki ya UBA itatoa Dola za Marekani milioni 200 ili kuwezesha kuongezeka kwa kiwango cha uwekezaji cha kampuni hiyo pamoja na kuboresha ukwasi wake katika uendeshaji.

UNITED BANK FOR AFRICA PROVIDES $200 MILLION FOR NIGERIA’S PETROLEUM INDUSTRY - TIMELY FINANCING FOR POST COVID ECONOMIC GROWTH

UBA Group Chairman, Tony O. Elumelu.
  • Acts as Lead Arranger for $1.5 Billion Facility to Boost Nigerian Oil Production and Government Revenue
Lagos, 4th of August, 2020; The United Bank for Africa Plc (UBA), the leading pan-African financial services group, has acted as the lead arranger of a consortium of Nigerian commercial and international banks in a $1.5 Billion Pre-Export Finance Facility for the Nigerian National Petroleum Corporation (NNPC) and its upstream subsidiary, the Nigerian Petroleum Development Company (NPDC).

UBA is providing $200 million (Naira equivalent) to support investment growth and liquidity requirements. The facility will provide much needed capital for investment in NNPC’s production capacity, which is of strategic importance to the Nigerian economy and the country’s leading source of foreign exchange earnings. UBA’s position as Lead Arranger recognises the Group’s strength in structuring and deploying financing to the oil and gas sector, and the depth and liquidity of the Group’s balance sheet.

The $1.5 billion facility is structured in two tranches. The first tranche of $1 billion, to be repaid over a period of five years, will be provided in dollars, with UBA acting as the Facility Agent Bank. The second tranche of $500 million, will be provided in local currency, over seven years, with UBA acting as Lead Bank, providing $200 million in Naira equivalent.

Tuesday, 4 August 2020

GEITA GOLD MINING LIMITED LAUNCHES A PROGRAM TO EMPOWER GEITA VENDERS

Permanent Secretary in the Prime Minister's Office responsible for Policy, Coordination and Investment, Dorothy Mwaluko (right) handing over the MOU agreement to Simon Shayo, Vice President Sustainability at Geita Gold Mining Limited (left).
Executive secretary at National Economic Empowerment Council, Beng’i Issa (left) and David Nzaligo, Geita Gold Mining Limited Senior Manager Legal (right) signing the MOU agreement documents.
Vice President, Sustainability at Geita Gold Mining Limited, Simon Shayo addresses invited guests.
In the effort to benefit the host community in Geita region, Geita Gold Mining (GGML) Limited and the National Economic and Empowerment Council of Tanzania signs an agreement for the provision of consultancy and support services on GGML’S local content implementation

The agreement has been signed on 20th July 2020 in Geita town at Geita gold market ground and shall continue for a period of 1 year and continue to be valid until 30th June 2021 unless terminated.

Speaking during the ceremony to sign that agreement, The Vice president sustainability Geita Gold Mining Ltd. Simon Shayo said the agreement aims at jointly undertaking programs and initiatives aimed at improving participation of Tanzanians in investments, including giving Tanzanian citizens and companies meeting the necessary criteria preference in the supply of goods and services in the mining sector.