Mkurugenzi Mkuu na Afisa Mtendaji Mkuu wa NCBA Bank Tanzania Limited, Margaret Karume (kushoto) na Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa, Wateja Binafsi na Wafanyabiashara Wadogo na wa Kati, Gift Shoko wakizungumza na wafanyakazi wa benki hiyo mpya kote nchini kwenye hafla ya kutambulishana kwa wafanyakazi na viongozi iliyofanyika jijini Dar es Salaam ili kuhamasisha ufanisi wa kujenga benki imara na yenye tija kwao na wadau wote.
|
No comments:
Post a Comment