Blog Rebranding Teaser_030826

Blog Rebranding Teaser_030826

Stanbic Bank Banner_070826

Stanbic Bank Banner_070826

Absa Loan Campaign_160426

Absa Loan Campaign_160426

Tuesday, 2 June 2015

BENKI YA DCB YASHIRIKI MAONYESHO YA KAMPUNI YA EAG GROUP KATIKA HUDUMA ZAKE ZA MIKOPO YA NYUMBA

Afisa Masoko wa Benki ya DCB, Hildergard Mehrab akimpa maelekezo mteja aliyefika katika banda la DCB, kwenye maonyesho ya nyumba yaliyoandaliwa na Kampuni ya EAG Group yaliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City Jijini, Dar es Salaam.
Meneja Mikopo wa Benki ya DCB, Godwin Mungulu akimpa maelekezo mteja aliyefika katika banda la DCB katika maonyesho ya nyumba yaliyoandaliwa na Kampuni ya EAG Group yaliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City Jijini, Dar es Salaam.
Baadhi ya wananchi waliohudhuria katika maonyesho ya kampuni ya EAG Group yaliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. (PICHA NA EMMANUEL MASSAKA, GLOBU YA JAMII).

FLY SMARTPHONES NOW AVAILABLE IN TANZANIA EXCLUSIVELY COURTESY OF JUMIA

DAR ES SALAAM, Tanzania, June 1, 2015 — FLY smartphones now available from JUMIA. FLY marks its arrival in Tanzania exclusively on JUMIA (https://www.jumia.co.tz), the premium online shopping destination in Tanzania. The two new smartphones with incredible specifications will be available on JUMIA from June 1st at an unprecedented price for this level of performance, and are part of JUMIA’s Mobile Week Megathon.

The smartphone Iris (IQ4400) and Thunder 3 (IQ4415) are two of the flagship products of the famous phone brand FLY, which finally arrives on the Tanzanian market this Monday, June 1st exclusively on JUMIA. Having arrived a year ago in Nigeria, the FLY brand is already a hit! Very few people have been able to remain insensitive to its charms.

As the name suggests, FLY smartphones enable you to fly through daily tasks allowing you to work more efficiently, share memories with your friends and loved ones and capture important moments and information anytime, anywhere.

FLY produces its phones and tablets at some of the most reliable factories and uses its own in-house design team to adapt its devices to the preferences of local consumers. While FLY’s designers work hard to find the best materials and color combinations, our product engineers ensure that the software runs smoothly and is customized to each and every market’s specific requirements.

TIGO YADHAMINI TAMASHA LA MNAZI MKINDA

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Tigo, John Wanyancha akifafanua jambo wakati akiongea na waandishi wa habari kuhusu tamasha la Mnazi Mkinda lenye lengo la kuendeleza vipaji kwa wanafunzi wa Shule za Msingi Wilayani Ilala. Tamasha hilo linategemewa kufanyika Juni 2-3 mwaka huu, kushoto kwake ni Afisa Elimu wa Wilaya ya Ilala Bi Elizabeth Thomas.
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Tigo, John Wanyancha akifafanua jambo wakati akiongea na waandishi wa habari kuhusu tamasha la Mnazi Mkinda lenye lengo la kuendeleza vipaji kwa wanafunzi wa Shule za Msingi Wilayani Ilala. Tamasha hilo linategemewa kufanyika Juni 2-3 mwaka huu.
Baadhi ya walimu na wageni waliofika kushuhudia uzinduzi wa tamasha la Mnazi Mkinda litakalofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja tarehe 2 na 3 Juni, wakimsikiliza kwa makini Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Tigo Bwana John Wanyancha (hayupo pichani).

JUMIA MOBILE WEEK MEGATHON: JUNE 1 - 7, 2015

TIGO YAFUNGUA DUKA LILILOKARABATIWA JIJINI ARUSHA

Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini, Mhe. Christopher Kangoye akikata utepe kuzindua Tawi la Kampuni ya Tigo mjini Arusha. Wanaoshuhudia kulia ni Meneja huduma kwa wateja Tigo Kanda ya Kaskazini, Gwamaka Mwakilembe na kushoto ni Mwangaza Matotola, Meneja wa Ubora wa huduma kwa Wateja Tigo.
Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini, Mhe. Christopher Kangoye akiangalia bidhaa zilizomo ndani ya Duka la Tigo mara baada ya kuzindua duka hilo. Kulia kwake anayetoa maelekezo ni Meneja Huduma kwa wateja Tigo Kanda ya Kaskazini, Gwamaka Mwakilembe.
Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini, Mhe. Christopher Kangoye akibadilishana mawazo na Meneja wa Mawasiliano wa Tigo, John Wanyancha.

TABLING OF THE GAS BILL IN PARLIAMENT IN COMBINATION WITH THE PETROLEUM ACT 2008 AND THE PETROLEUM (EXPLORATION & PRODUCTION) ACT 1980

AMBITIOUS COWBELL CSR PROMOTES NUTRITION PRACTICES IN TANZANIA


Monday, 1 June 2015

BARCLAYS BANK TANZANIA GIVES TIPS ON CAREER OPPORTUNITIES TO SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE STUDENTS

Barclays Bank Tanzania Head of Marketing and Corporate Affairs, Neema Rose Singo (3rd right) talking to some students of Sokoine University of Agriculture (SUA) about career opportunities being offered by Barclays Bank through a process dubbed ‘Graduate Development Programme’ which is run in partnership with Delloite and Touche during the banks career fair event at the varsity’s campus in Morogoro over the weekend.
Barclays Bank Tanzania Transactional Services Sales Manager, Reuben Mbwiga explains a point on career opportunities offered by Barclays Bank through a process dubbed ‘Graduate Development Programme’ to some students of Sokoine University of Agriculture (SUA) at the varsity’s campus in Morogoro over the weekend. The programme is facilitated by Barclays Bank in partnership with Delloite and Touche.
Barclays Bank Tanzania Head of IT, Dakshit Pandya (left), speaking during the Banks career fair event at SUA in Morogoro.
A Barclays Bank Tanzania employee who joined the bank through the Graduate Development Program, Farida Kamala, gives her testimony during the career fair. She is now the Banks Assistant Relationship Manager.

US$ 61.7M TO BE SPENT ON COMPLETION OF BAGAMOYO - MSATA ROAD IN TANZANIA

Tanzania’s Bagamoyo- Msata road which is 98 per cent complete will need a whopping US$ 61.7m to be 100 per cent complete; this is according to the National Assembly.

Deputy Minister of Works Eng Gerson Lwenge also confirmed the reports and said that the project will be finalized on time just according to the agreement. He further said that the 64km tarmac road is being constructed in two phases of which the first phase (60km) is complete.

The second phase of the development involves the construction of a weighing bridge at Makofia area, building of a bridge across Ruvu River, Kariakoo Bridge and other small bridges along Ruvu Valley. The phase is anticipated to be done by March 2016.

The project has been funded by East Africa Community and the World Bank and it is anticipated to enhance cross-border-trade between Tanzania and Kenya.

RAIS KIKWETE AWAAPISHA KATIBU MKUU, NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA BALOZI WA TANZANIA SAUDIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Balozi Liberata Mulamula kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Balozi Mulamula anakuwa Katibu Mkuu wa kwanza mwanamke kuongoza Wizara hiyo na kabla ya uteuzi huo alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani. Hafla hiyo fupi ya uapisho imefanyika Ikulu tarehe 27 Mei, 2015.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akishuhudia Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Mulamula akisaini Hati ya Kiapo mara baada ya kumwapisha.
Mhe. Rais Kikwete akimkabidhi Balozi Mulamula Vitendea Kazi mara baada ya kumwapisha.

THE SAD REALITY OF WHAT THE $150 MILLION BRIBERY SCANDAL REALLY MEANS FOR FIFA

Blatter after his win.
Hours after nine current and former FIFA officials were arrested on bribery and corruption charges, the international soccer association announced that it would continue with its scheduled events as planned.

The FIFA presidential election scheduled to take place two days later would go ahead, despite calls to postpone it from Europe's football governing body. The 2018 World Cup in Russia and 2022 World Cup in Qatar were also not in jeopardy.

In a statement that morning, FIFA welcomed the investigation, calling itself "the injured party" in all of this. In a press conference, a spokesman said it was a "good day" for FIFA. In his own remarks, FIFA president Sepp Blatter vowed that corrupt individuals would be "put out of the game" until the organization was "free from wrongdoing."

On Friday, 48 hours after high-ranking FIFA officials were woken up and escorted by police from the five-star Baur au Lac hotel in Zurich, Blatter was reelected to a fifth term in a landslide. In the aftermath of the most jarring scandal in the recent history of the organization, it's very close to business as usual at FIFA, and there are some simple reasons why.


TANGA CEMENT YAKABIDHI MSAADA WA MIFUKO 300 YA SARUJI KUSAIDIA UJENZI WA ZAHANATI YA KIJIJI CHA KISIMATUI

Meneja Biashara wa Kampuni ya Saruji Tanga, Matthews Roos (wa pili kushoto), akikabidhi sehemu ya msaada wa mifuko 300 ya saruji kwa Diwani wa Kata ya Pongwe, Uzia Juma, iliyotolewa na kampuni hiyo kusaidia ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Kisimatui kilichopo katika kata hiyo. Mifuko hiyo ina thamani ya shs milinioni 3.5. Hafla ya makabidhiano ilifanyika kiwandani hapo, Pongwe, Tanga wiki iliyopita. Wengine kutoka kushoto ni, Meneja Mawasiliano na Mahusiano ya Nje wa kampuni hiyo, Mtanga Noor, Meneja Kiwanda Mhandisi. Ben Leman na maofisa wengine wa kampuni hiyo.
Meneja Rasilimali Watu wa Kampuni ya Saruji Tanga, Diana Malambugi (wa pili kushoto), akikabidhi sehemu ya msaada wa mifuko 300 ya saruji kwa Diwani wa Kata ya Pongwe, Uzia Juma, iliyotolewa na kampuni hiyo kusaidia ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Kisimatui kilichopo katika kata hiyo. Mifuko hiyo ina thamani ya shs milinioni 3.5. Hafla ya makabidhiano ilifanyika kiwandani hapo, Pongwe, Tanga wiki iliyopita. Wengine kutoka kushoto ni, Meneja Kiwanda Mhandisi, Ben Lema, Meneja Biashara, Matthews Roos, Ofisa Mtendaji Kata ya Pongwe, Salimu Mdoe na Meneja Mauzo wa kampuni hiyo, Samuel Shoo.
Meneja Usalama na Mazingingira wa Kampuni ya Saruji Tanga, Leon Breedt (wa tatu kushoto), akikabidhi sehemu ya msaada wa mifuko 300 ya saruji kwa Diwani wa Kata ya Pongwe, Uzia Juma, iliyotolewa na kampuni hiyo kusaidia ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Kisimatui kilichopo katika kata hiyo. Mifuko hiyo ina thamani ya shs milinioni 3.5. Hafla ya makabidhiano ilifanyika kiwandani hapo, Pongwe, Tanga. Wengine kutoka kushoto ni, Meneja Kiwanda, Mhandisi. Ben Lema, Meneja Biashara, Matthews Roos, Ofisa Mtendaji Kata ya pongwe, Salimu Mdoe, na Meneja Mauzo wa kampuni hiyo, Samuel Shoo.

MWENGE WA UHURU WAZINDUA MAGARI YA UKUSANYAJI TAKA YA KAMPUNI YA GREEN WASTE PRO LTD YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 1.6

Kiongozi wa Wakimbiza Mwenge Kitaifa, Bw. Juma Khatibu Chum akiwa ameshika mwenge baada ya kufika mtaa wa Kisutu jijini Dar kwenye uzinduzi wa magari mapya ya kuzoa taka katika manispaa ya Ilala yanayomilikiwa na kampuni ya Green Waste Pro Ltd. (Picha na Geofrey Adroph wa Pamoja Blog)

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi akizungumza jambo mara baada ya Mwenge wa Uhuru kufika eneo la Kisutu jijini Dar kwa ajili ya uzinduzi wa magari ya kisasa ya kuzoa taka.

Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Bw. Juma Khatibu Chum akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa magari ya kufanyia usafi yanayomilikiwa na Kampuni ya Green Waste Pro Ltd.

Meneja Mwendeshaji wa kampuni ya Green Waste Pro Ltd, Bw. Abdallah Mbena akisoma risala kwa mgeni rasmi ambaye ni kiongonzi wa mbio za mwenge wa uhuru kitaifa mwaka 2015, Bw. Juma Khatibu Chum (hayupo pichani).

Kiongozi wa Wakimbiza Mwenge Kitaifa, Bw. Juma Khatibu Chum (kushoto) akikabidhiwa risala na Meneja Mwendeshaji wa kampuni ya Green Waste Pro Ltd, Bw. Abdallah Mbena iliyosomwa wakati wa uzinduzi wa magari ya kufanyia usafi katika manispaa ya Ilala jijini Dar.


HOTELI YA DOUBLETREE BY HILTON YA JIJINI DAR YAFANYA USAFI WA MAZINGIRA YANAYOIZUNGUKA HOTELI HIYO

 
Mkurugenzi Mkuu wa Hotel ya Double Tree by Hilton nchini Tanzania, Bw. Ian McLachlan (wa pili kutoka kushoto) akifanya usafi katika ufukwe wa bahari inayoizunguka Hoteli ya Double Tree huku akishirikiana bega kwa bega na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Hoteli ya Double Tree By Hilton, Bw. Yehia Elmansoury (wa kwanza kushoto).

Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa Double Tree by Hilton, Bw. Florenso Kirambata (kushoto) akifanya usafi wa mazingira katika fukwe inayoizunguka Hoteli hiyo ya jijini Dar es Salaam huku akiwa pamoja na mmoja wa wafanyakazi wa hoteli hiyo.

Baadhi ya uchafu uliokuwa katika fukwe ya bahari inayoizunguka Hoteli ya Double Tree by Hilton ya jijini Dar.







MBIO ZA MBUZI ZA HISANI ZATIMUA VUMBI JIJINI DAR

Mbuzi wakitimua mbio ili kumpata mshindi wa shindano lililopewa jina la ‘The Kilitime Stakes’ lililodhaminiwa na kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakati wa mashindano ya mwaka huu ya mbio za mbuzi jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mbuzi wakishindana katika mbio za ‘the Toyota value+ grand national’ wakati wa mashindano ya mwaka huu ya mbio za mbuzi za hisani jijini Dar es Salaam. Mbio hizo zilikuwa na madhumuni ya kukusanya fedha ili kusaidia watu wenye mahitaji.
Mwenyekiti wa kamati ya Mbio za Mbuzi, Bi. Karen Stanley akihojiwa na waandishi wa habari wakati wa mashindano hayo.
Washiriki wa shindano la mavazi wakijinadi ili kujaribu bahati zao. Mbio za mwaka huu zilikuwa na kauli mbiu ya ‘Bollywood’ ambayo ni kiwanda cha filamu cha India, hivyo washiriki wengi walivaa mavazi yenye asili ya watu wa nchi hiyo.
Mbuzi wakimalizia mbio zilizoitwa ‘The CBA Sparkers’ wakati wa mashindano hayo zilizodhaminiwa na benki ya CBA.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Tanzania, Roberto Jarrin (wa tatu kulia) akikabidhi cheti kwa mwakilishi wa asasi ya KidzCare, Diana Alex wakati wa mashindano ya mwaka huu ya mbio za mbuzi za hisani jijini Dar es Salaam. TBL ilikuwa wadhamini wa mbio hizo zenye madhumuni ya kukusanya fedha ili kusaidia watu wenye mahitaji. Wengine kutoka kulia ni Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, Pamela Kikuli na Mkurugenzi wa Masoko wa TBL, Kushilla Thomas.
Mbuzi wakitimua mbio ili kumpata mshindi wa shindano lililopewa jina la ‘The Digital Life’ lililodhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo wakati wa mashindano ya mwaka huu ya mbio za mbuzi jijini Dar es Salaam.
Meneja Masoko Msaidizi wa Kampuni ya Toyota Tanzania, Eliavera Timoth akikabidhi cheti kwa Mwakilishi wa Shule ya Mt. Paulo ya Kibaigwa, Wilfred Muhogolo (kushoto), ambao ni baadhi ya wanufaika wa fedha zilizopatikana katika mashindano ya mwaka huu yam bio za mbuzi.

TIGO YADHAMINI MASHINDANO YA MBUZI

Meneja Mawasiliano wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, John Wanyancha akipata huduma katika banda la Tigo, wakati wa tamasha la mbio za mbuzi (Goat Races), zilizofanyika jijini Dar es Salam Jumamosi ili kukusanya pesa za kusaidia jamii.
Watoto wakicheza katika puto maalum la Tigo (Jumping Castle) wakati wa tamasha la mbio za mbuzi (Goat Races) lililofanyika jijini Dar es Salaam Jumamosi.
Vijana wakiingiza mbuzi katika eneo la kukimbilia wakati wa tamasha la mbio za mbuzi (Goat Races) lililofanyika jijini Dar es Salaam Jumamosi.
Vijana wakikimbiza mbuzi ili kupata mshindi wa mbio hizo wakati wa tamasha la mbio za mbuzi (Goat Races) lillilofanyika jijini Dar es Salaam Jumamosi.
Meneja Mawasiliano wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, John Wanyancha akikabidhi hundi kwa mmiliki wa mbuzi aliyeshinda, Mark Golding kutoka kampuni ya PM Group.