Watoto wakicheza katika puto maalum la Tigo (Jumping Castle) wakati wa tamasha la mbio za mbuzi (Goat Races) lililofanyika jijini Dar es Salaam Jumamosi. |
Vijana wakiingiza mbuzi katika eneo la kukimbilia wakati wa tamasha la mbio za mbuzi (Goat Races) lililofanyika jijini Dar es Salaam Jumamosi. |
Vijana wakikimbiza mbuzi ili kupata mshindi wa mbio hizo wakati wa tamasha la mbio za mbuzi (Goat Races) lillilofanyika jijini Dar es Salaam Jumamosi. |
Meneja Mawasiliano wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, John Wanyancha akikabidhi hundi kwa mmiliki wa mbuzi aliyeshinda, Mark Golding kutoka kampuni ya PM Group. |
No comments:
Post a Comment