| Meneja Usalama na Mazingingira wa Kampuni ya Saruji Tanga, Leon Breedt (wa tatu kushoto), akikabidhi sehemu ya msaada wa mifuko 300 ya saruji kwa Diwani wa Kata ya Pongwe, Uzia Juma, iliyotolewa na kampuni hiyo kusaidia ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Kisimatui kilichopo katika kata hiyo. Mifuko hiyo ina thamani ya shs milinioni 3.5. Hafla ya makabidhiano ilifanyika kiwandani hapo, Pongwe, Tanga. Wengine kutoka kushoto ni, Meneja Kiwanda, Mhandisi. Ben Lema, Meneja Biashara, Matthews Roos, Ofisa Mtendaji Kata ya pongwe, Salimu Mdoe, na Meneja Mauzo wa kampuni hiyo, Samuel Shoo. |
No comments:
Post a Comment