Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini, Mhe. Christopher Kangoye akibadilishana mawazo na Meneja wa Mawasiliano wa Tigo, John Wanyancha. |
Baadhi ya Wafanyakazi wa Tigo wakifuatilia kwa makini hotuba ya Mkuu wa Wilaya. |
Meneja wa Mifumo ya Kibiashara na Mawasiliano wa Tigo, Bi. Halima Kasoro akimkabidhi zawadi Afisa Mtendaji wa Temi Jijini Arusha, Bi. Irene Joshua Ndosi wakati wa uzinduzi wa duka la Tigo. |
Meneja wa Ubora Huduma kwa Wateja wa Tigo, Bi. Mwangaza Matotola akimkabidhi zawadi Afisa Mtendaji wa Levolosi Jijini Arusha, Bi. Ester Maganza wakati wa uzinduzi wa duka la Tigo. |
Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini, Mhe. Christopher Kangoye (katikati) akipokea zawadi toka kwa Mwangaza Mtotola na Halima Kasoro. |
No comments:
Post a Comment