Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Tuesday 2 June 2015

TIGO YADHAMINI TAMASHA LA MNAZI MKINDA

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Tigo, John Wanyancha akifafanua jambo wakati akiongea na waandishi wa habari kuhusu tamasha la Mnazi Mkinda lenye lengo la kuendeleza vipaji kwa wanafunzi wa Shule za Msingi Wilayani Ilala. Tamasha hilo linategemewa kufanyika Juni 2-3 mwaka huu, kushoto kwake ni Afisa Elimu wa Wilaya ya Ilala Bi Elizabeth Thomas.
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Tigo, John Wanyancha akifafanua jambo wakati akiongea na waandishi wa habari kuhusu tamasha la Mnazi Mkinda lenye lengo la kuendeleza vipaji kwa wanafunzi wa Shule za Msingi Wilayani Ilala. Tamasha hilo linategemewa kufanyika Juni 2-3 mwaka huu.
Baadhi ya walimu na wageni waliofika kushuhudia uzinduzi wa tamasha la Mnazi Mkinda litakalofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja tarehe 2 na 3 Juni, wakimsikiliza kwa makini Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Tigo Bwana John Wanyancha (hayupo pichani).

No comments:

Post a Comment