Kitomari Banking & Finance Blog is a premier site for banking, finance, business, economic, investment and stock market news as well as selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the World. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.
Friday, 28 July 2023
GEITA GOLD MINING DONATES DESKS TO SCHOOLS IN GEITA
NON PERFORMING PARASTATALS PUT ON NOTICE
The Office of Treasury Registrar (OTR) will next month announce a list of parastatals that will include those to be disbanded, merged and given more time for improving their performance.
Treasury Registrar (TR) Nehemia Mchechu made the statement in Dar es Salaam on Thursday when receiving a dividend amounting to 2.5bn/- from the Tanzania International Petroleum Reserves (TIPER) Limited.
The company’s dividend is from its profit made during the year ending June 2022.
The TIPER is owned jointly between the government and the Oryx Energies.
During the event, Mr. Mchechu emphasised that the government wants accountability and efficiency in all its institutions.
He pointed out that TIPER was the among government institutions performing well in supporting economic development to help Tanzanians boost their income.
PREMIER LEAGUE SUMMER SERIES NDANI YA DStv
Premier League Summer Series inaendelea, na huipati popote isipokua DStv!
Kaa tayari kutazama Live mtanange huu, ambao utarushwa kupitia kifurushi cha Poa Tshs 10,000/= tu.
Piga *150*53# kulipia kwa urahisi zaidi.
Piga *150*53# kulipia kwa urahisi zaidi.
#TVNiDStv
#Unakosaje
#Unakosaje
Thursday, 27 July 2023
11,000 INDIANS TO WORK IN DANGOTE'S NEW OIL REFINERY
Aliko Dangote's refinery project has the capacity to produce 650,000 barrels per day. |
- Aliko Dangote's $20.5 billion oil refinery in Nigeria promises to reduce petroleum prices, marking a significant milestone for the nation's energy industry.
- Controversy arises as Dangote plans to hire 11,000 Indian workers for the refinery, leading to public outrage in Nigeria due to concerns about local employment opportunities.
- The Sub-Saharan African Skills and Apprenticeship Stakeholders Network explains that the decision to hire Indian workers was influenced by a perceived lack of necessary skills among Nigerian youth.
While Dangote's idea has been acclaimed by Nigerians, a new report that has been making the rounds has soured the idea. Dangote recently announced plans to employ 11,000 Indians to work at his new refinery rather than provide those jobs to his fellow Nigerians.
Considering the rate of unemployment in Nigeria, the general public is partly outraged that Dangote has instead chosen to hire Indians. However, this decision has been rationalized.
Why the Dangote refinery is planning to hire 11,000 trained employees from India while ignoring young people from Nigeria and other African nations has been revealed by the Sub-Saharan African Skills and Apprenticeship Stakeholders Network.
VODACOM YAIBUKA KINARA KATIKA TEKNOLOJIA AFRIKA
Wednesday, 26 July 2023
ECOBANK, ONCE AGAIN, WINS COVETED EUROMONEY AWARD AS AFRICA'S BEST BANK FOR SMEs
Left to right: Louise Bowman – Editor, Euromoney; Fabrice Groga – Corporate & Investment Banking, Ecobank; Jon Sopel – Presenter, LBC. |
Jeremy Awori, Chief Executive Officer, Ecobank Group, said: “This award reflects Ecobank’s absolute commitment to supporting African SMEs and our continuous suite of innovations – financial and non-financial – to spur their growth and success. We aim to be the bank of choice for Africa’s SMEs. Undoubtedly, these SMEs are the key drivers for Africa’s economic growth, as they create jobs, generate prosperity while eliminating poverty across the continent.”
KIBO GOLD YARUDI TENA KANDA YA KASKAZINI
Mkurugenzi wa Masoko na Uvumbuzi, Anitha Rwehumbiza akielezea jambo mbele ya waandishi wa habari. |
Viongozi wa SBL wakitoa ishara ya kutangaza rasmi kurejea kileleni kwa bia ya KIBO GOLD. |
Wafanyabiashara mbalimbali wakiburudika na bia hio katika hafla hio iliyofanyika mjini Moshi. |
Kurudi tena kwa bia hii inalenga kudumisha historia ya kipekee kwa Serengeti Breweries (SBL) kutengeneza bia yenye kilele cha ladha ileile bora na adimu ambapo pia chapa hii imeshuhudiwa kunyakua tuzo mbalimbali za dhahabu kama ya Monde Section kwenye mashindano yaliyofanyika mjini Bordeaux, nchini Ufaransa mwaka 2014.
Bia ya KIBO GOLD sasa inarejea ikiwa na mwonekano maridadi kwa kutengenezwa kwa ubora usio na kifani – ikiwa na viungo vya asilia na kutokuwa na sukari ya ziada na kwa bei ya 1,500/- tu.
MANCHESTER CITY VS BAYERN MUNICH NDANI YA DStv
Uhakika wa Soka ni kupitia chaneli za SuperSport!
Furahia mechi ya kirafiki ya Manchester City dhidi ya Bayern Munich! Kikosi gani kitafurahia ushindi?
Lipia kifurushi chako cha Compact mapema usipitwe na mtanange huu ndani ya @dstvtanzania pekee
#sokanidstv
#unakosaje
Tuesday, 25 July 2023
TANZANIA'S KAGERA SUGAR TO ACQUIRE SOUTH AFRICA'S TONGAAT HULETT SUGAR ASSETS
Tanzania Sugar Board (TSB) has said the move by Kagera Sugar to acquire Tongaat Hullet’s Sugar assets is a significant milestone as it seeks to expand its wings beyond boarders.
TSB Director General Prof Kenneth Bengesi made the comment on Monday when reacting to the news over the local sugar producer’s decision to acquire Tongaat Hulett sugar assets.
Speaking to ‘Daily News’ Prof Bengesi said the board was delighted by the Bukoba based sugar producing company to acquire the assets of the South Africa-based sugar firm.
“We are proud that, Kagera Sugar, one of our local sugar producers, has extended its wings beyond the country’s borders to grab new opportunities,” he said.
He added, “Tongaat Hulett sugar is one of the largest sugar producers in the southern Africa, and thus for Kagera Sugar to acquire its assets is a commendable move.”
Tongaat Hulett sugar focuses on cane growing, sugar milling and refining throughout the Southern African region.
The company has four mills in South Africa with an installed capacity to produce more than 1.0 million tonnes of sugar per annum.
Kagera Sugar has emerged as the preferred equity partner to acquire Tongaat Hullet’s sugar assets, chosen out of a short list of eight candidates.
Kagera Sugar Managing Director Nassor Seif was quoted at the weekend as saying that the acquisition is in line with its overall group strategy across the Africa, where it has ambitions to become a leading sugar producer on the continent.
Monday, 24 July 2023
GOVERNMENT PLEDGES SUPPORT FOR GEITA GOLD MINING KILI CHALLENGE CAMPAIGN
PM-MAJALIWA LAUDS NBC'S SUPPORT TO MATERNAL HEALTH
- Prime Minister Majaliwa was the GOH for the third edition of the NBC Dodoma Marathon
- The Marathon attracted more than 4,000 participants from 8 different countries
- The main objective is to raise funds to support the fight against cervical cancer awareness and midwifery scholarships in Tanzania
- More than 300 million were raised to support the course
- In the last two years, more than 500 million were raised, facilitating the screening of more than 23,000 women; 1300 were diagnosed and are currently undergoing treatment
“The government acknowledges the noble social citizenship work carried by NBC Bank over the years. We appreciate the innovation of partnering with Ocean Road Cancer Institute, Benjamin Mkapa Foundation, and the Tanzania Athletic Association to develop this marathon geared towards raising funds to support the maternal health initiatives in Tanzania. The government supports all endeavors to save the lives of mother and child,” he said.
WAZIRI MKUU AIPONGEZA NBC KWA KUSAIDIA AFYA YA UZAZI
Dodoma, Julai 23, 2023: Waziri Mkuu wa Jamuhuri wa Muunngano wa Tanzania Kassim Majaliwa, ameipongeza Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa kuandaa mbio za NBC Marathon ambazo zinalenga kukusanya fedha kwa ajili ya kusaidia afya ya uzazi na saratani ya shingo ya kizazi.
Akiongea muda mfupi baada ya mbio hizo kumalizika jijijini Dodoma, Waziri Mkuu alisema Serikali inatambua na kuthamini mchango wa sekta binafsi katika kuiunga mkono kwenye kutatua changamoto mbali mbali zinazoikabili jamii.
“Serikali inathamini mchango mkubwa unaotolewa na benki ya NBC. Tunafurahishwa na ushirikiano mzuri kati ya Taasisi ya Kansa ya Ocean Road, Taasisi ya Benjamini Mkapa pamoja na Chama cha Riadha Tanzania ambao umekuwa ukiwezesha kukusanya fedha kwa ajili ya kusaida mapambano dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi na mwaka huu likiongezeka eneo la afya ya uzazi. Serikali inapongeza jitihada hizi nzuri,” alisema
Friday, 21 July 2023
NBC YASAINI MKATABA NA WIZARA YA ELIMU KUTOA UFADHILI WA MASOMO YA UFUNDI
Katika makubaliano hayo, NBC itaanza kutoa udhamini wa masomo kuanzia mwaka huu 2023 na imetenga jumla ya shilingi milioni 100 kwa ajili ya programu hiyo mpya.
Wanufaika wa programu watakuwa ni vijana wa Kitanzania wenye umri kuanzia miaka 18 na kuendelea na ambao wanatoka katika familia zenye vipato duni. Programu itasimamiwa na Wizara Elimu, Sayansi na Teknalojia na Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) wataitekeleza.
Ufadhili huo wa masomo unaojulikana kama NBC Wajibika Scholarship, unalenga kuwapatia vijana ujuzi katika fani mbali mbali ikiwa ni jitihada za kuwafanya waweze kujiajiri na kuajiriwa. Mafunzo yatakuwa yakitolewa na Mamlaka ya Ufundi Stadi (VETA).
Akiongea wakati ya hafla ya makubaliano hayo, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknalojia, Profesa Adolf Mkenda alisema tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana linaweza kutatuliwa kwa kuwasaidia vijana kupata ujuzi ambao utawawezesha kujiajiri.
DKT. NCHEMBA ATETA NA MHE. WAZIRI WA MAWASILIANO NA UCHUKUZI WA CONGO DRC
Waziri wa Fedha. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Mhe. Ekila Libombo, kuhusu mipango ya kuimarisha miundombinu ya usafiri na usafirishaji ili kukuza biashara na uchumi wa nchi hizo mbili.
Mazunguzo hayo yamefanyika mjini Kinshara, Jamhuri ya Kidemokrasia Congo, kando ya mkutano wa Kamati ya Mawaziri wa Fedha na Uwekezaji wa jopo la mapitio ya uchumi mpana katika Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).
Katika mazungumzo yake, Mhe. Dkt Nchemba alitaja maeneo kadhaa ya ushirikiano ikiwemo, Tanzania kupatiwa kibali cha ndege za abiria za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) kuanza kufanya safari kati ya mataifa hayo mawili ili kuwezesha biashara ya usafirishaji wa abiria na mizigo.
“Ujenzi wa miundombinu ya barabara upande wa Mashariki mwa DRC, kuanzia maeneo ya jiji la Lubumbashi, Moba hadi kufika Bandari ya Kalemie, na ujenzi wa reli ya SGR itakayounganisha Nchi za Burundi na DRC kutokea Uvinza-Tanzania hadi Kindu nchini DRC kupitia Musongati na Gitega nchini Burundi ni miradi muhimu” Alisema Dkt. Nchemba
SUPERSPORT INAKULETEA 'SUMMER SERIES' NDANI YA DStv
Kuelekea michuano ya #EPL SuperSport inakuletea michuano ya Summer Series itakayoanza Jumapili hii ndani ya @dstvtanzania pekee.
Mechi hizi zitakuaje?
Lipia kifurushi cha Poa TShs. 10,000 mapema ufurahie mechi hizi.
Piga namba 0659 07 07 07 ujiunge na familia ya DStv kwa gharama nafuu usipitwe na mechi hizi.
#sokanidstv
#unakosaje
PRIME MINISTER TO GRACE NBC DODOMA MARATHON 2023
The annual charity marathon now in its fourth year, targets to raise a total of Tanzanian Shillings 500 million. The funds will be directed towards the fight against cervical cancer, as well as providing scholarships to local midwives as the bank’s support in the fight against maternal death.
WAZIRI MKUU MGENI RASMI NBC DODOMA MARATHON 2023
Dodoma, Julai 19, 2023: Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa, anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika mbio za NBC Dodoma Marathon 2023 zinazotarajiwa kufanyika siku ya Jumapili tarehe 23 Julai 2023.
Mbio za mwaka huu zinalenga kukusanya jumla ya shilingi milioni 500. Fedha hizo zitatumika kusaidia kupambana na kansa ya shingo ya kizazi pamoja na kutoa ufadhili wa masomo kwa wakunga ikiwa ni sehemu ya kusaidia kuongeza wataalamu ili kupunguza vifo vya uzazi.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dodoma kuhusu maandalizi ya mbio hizo zilizojizolea umaarufu mkubwa na ambazo zinafanyika kwa mara ya nne mfululizo mwaka huu, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule alisema mkoa umejipanga vyema kuwapokea wakiambiaji na wageni wote wataoshiriki.
DKT. NCHEMBA ATETA NA WAZIRI WA FEDHA WA KONGO KUHUSU UJENZI WA RELI YA KISASA-SGR
Na Scola Malinga, Kinshasa.
Waziri wa Fedha. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Mhe. Nicolas Kazadi, kuhusu mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kutoka Uvinza nchini Tanzania hadi Gitega nchini Burundi kupitia Musongati kwenye machimbo ya madini na kipande kingine cha reli kinachokusudiwa kufika KINDU nchini DRC kupitia Uvira kwenye mpaka wa Burundi na DRC.
Mazunguzo hayo yamefanyika mjini Kinshara, Jamhuri ya Kidemokrasia Congo, kando ya mkutano wa Kamati ya Mawaziri wa Fedha na Uwekezaji wa jopo la mapitio ya uchumi mpana katika Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).
“Nia ya Tanzania katika utekelezaji wa mradi huo ni kuunganisha Nchi ya Burundi na Congo kwenye soko la dunia kupitia bandari ya Dar es Salaam, katika utekelezaji wa mradi huo wa Reli ili kukuza biashara,” alisema Dkt. Nchemba
Alisema kuwa Tanzania inajenga awamu ya kwanza ya reli ya kisasa kwa kiwango cha kimataifa kutoka Dar es salaam hadi Mwanza kupitia Tabora yenye urefu wa kilomita 1,219 ambayo imegawanywa katika sehemu tano.
Subscribe to:
Posts (Atom)