Blog Rebranding Teaser_030826

Blog Rebranding Teaser_030826

Absa Banner_170926_270926

Absa Banner_170926_270926

Stanbic Bank Banner_070826

Stanbic Bank Banner_070826

Monday, 23 May 2022

FAINALI ZA UEFA CONFERENCE LEAGUE NDANI YA DStv POA


Ni bandika bandua hakuna kupoa!

Fainali za UEFA Conference League ndani ya Poa.

Patakua hapatoshi Jumatano ya tarehe 25 Mei, ambapo Roma watavaana na Feyenoord kugombea Kombe la Conference ambapo mechi hii utaiona kupitia kifurushi cha Poa kwa TShs 9,900/= tu.

Piga *150*53# kulipia kwa urahisi zaidi kifurushi chako ili usikose burudani hii.

#DStvEwaaaaah

#BirianiIendelee

No comments:

Post a Comment