Meneja Mawasiliano wa Kampuni hiyo, Alex Bitekeye (kushoto) akipokea tuzo za Tanzania Digital Awards kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Serengeti Bytes, Kennedy Mmari, Vodacom imeshinda tuzo mbili, zana (App) bora ya huduma za kifedha kupitia M-Pesa App na kampeni bora ya masoko mtandaoni ambapo kampeni ya "Yajayo Yanafurahisha" ilishinda.
No comments:
Post a Comment