Foreign Exchange Rates

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

Friday, 7 November 2014

NBC YAMWAGA ZAWADI KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA WEKA UPEWE

Meneja wa Bidhaa za Kuwekeza na Wateja Wakubwa wa Benki ya NBC, Dorothea Mabonye akikabidhi funguo ya bajaji kwa Dk. Nyagosya Range (kushoto), aliyeibuka kidedea katika promosheni inayoendelea ya Weka Upewe ya benki hiyo. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana.

Mmoja wa washindi wa promosheni ya Weka Upewe ya Benki ya NBC, Dk. Nyagosya Range (kushoto) akipokea kadi ya bajaji aliyojishindia kutoka kwa Meneja wa Bidhaa za Kuwekeza na Wateja Wakubwa wa benki hiyo, Dorothea Mabonye katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.

Meneja wa Benki ya NBC Tawi la Muhimbili, Fatma Gulamsood (kulia) akikabidhi zawadi ya pikipiki kwa mmoja wa washindi wa promosheni ya Weka Upewe ya benki hiyo, Stella Kivuyo katika hafla ya mabidhiano iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. (Picha na Peter Mgongo)

No comments:

Post a Comment