Blog Rebranding Teaser_030826

Blog Rebranding Teaser_030826

Absa Banner_211026

Stanbic Bank Banner_201026

Tuesday, 26 March 2024

ECOBANK GROUP SIGNS UN WOMEN'S EMPOWERMENT PRINCIPLES

Chief Executive Officer Ecobank Group, Jeremy Awori.

LomĂ© (Togo), 25 March 2024 – Ecobank, the pan-African banking group, has become an official signatory of the Women’s Empowerment Principles by UN Women and the UN Global Compact (WEPs), which provide guidance to the private sector on how to advance gender equality and women’s empowerment in the workplace, marketplace and community. Ecobank Group CEO, Jeremy Awori, announced the signature of these Principles during a webinar organised by Ecobank Foundation and UN Women on the occasion of the International Women’s Day celebrations.

Themed “Invest in Women: Why does it matter? How can we accelerate it?”, the webinar discussed the importance of investing in women to build inclusive societies, and success strategies to counter unconscious biases and discriminatory practices that hinder investments in women.

Commenting about the signing of these principles, Jeremy Awori, Chief Executive Officer, Ecobank Group, said: “At Ecobank, we are fully committed to driving gender equality. Ensuring that women and girls have equal rights as men and boys and can attain their full potential without facing discrimination in any aspect of their lives. This is essential to achieving a sustainable, just, and prosperous society. Across the Bank we have implemented numerous initiatives and solutions, including our multi-award winning Ellevate programme to meet the financial and non-financial needs of women’s businesses, and we will continue to introduce new solutions. While we recognise that there is more to do, signing the WEPs is another step in our absolute commitment and determination to advance gender equality and inclusion.”

BOT INJECTS 100 MILLION US DOLLARS TO PROP UP SHILLING



Zanzibar - Last week the Bank of Tanzania (BOT) sold 100 million US dollars and plans to release more to local commercial banks in the country in efforts to stabilise the shilling against the US currency.

“We are taking different workable measures to ensure our shilling against the foreign money is stable. Last week we sold 100 million US dollars to commercial banks and we will do it again,” the BOT Governor, Mr. Emmanuel Tutuba, told reporters in Zanzibar during a meeting with tourist hotels’ proprietors in the Isles.

He said despite economic shocks globally caused by the shortage of US dollars and other challenges, Tanzania was better off in comparison to other countries.

“It is true that our currency against the US dollar has dropped, but these interventions include encouraging opening up of more bureaux de change and allowing hotels to do the Forex business, will help get foreign money and also keep our economy growing,” Tutuba said.

The Governor explained that after reforms and reviews of the forex law, BOT welcomes investors in the business and that there would be no red-tapes. The BOT would now issue licenses within five working days, he said.

“The requirement for local (Tanzanian) investors is only 500m/- minimum capital for Grade A, while Grade B the minimum capital is 200m/- and Grade C (which includes hotels of three-stars and above), no minimum capital requirement.

BANK OF TANZANIA MONTHLY ECONOMIC REVIEW - FEB. 2024

Monday, 25 March 2024

BENKI YA EQUITY YAFUTURISHA WATEJA WAKE ZANZIBAR


Zanzibar, 23 Machi 2024; Benki ya Equity katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani imefuturisha wateja wake katika mji mkongwe wa Zanzibar ikiwa ni ishara ya shukurani kwa wateja na wadau wake wa karibu kwa kuendelea kuichagua benki hiyo kama benki yao pendwa.



Akiongea kwenye hafla hiyo Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo Bw. Rojas Mdoe amesema kwamba Benki ya Equity Tanzania inathamini mchango wa wateja wakekatika ukuwaji wa amana za benki na kwa kutumia huduma za benki. Akaendelea kusema, dhumuni kubwa la kuandaa Futari hii ni kuwashukuru wateja wake kwa kuwa bega kwa bega kuhakikisha tunabadilisha maisha ya kila Mtanzania.



Aliendelea na kusema kuwa benki yetu inaendelea kuboresha huduma zake na kuhakikisha kuwa inatanua wigo wake wa upatikanaji nchini ili kuweza kuwafikia wateja wote Tanzania na kuhakikisha kuwa inatimiza dhamira yake ya kubadilisha maisha ya kila Mtanzania.



Akizungumza katika hafla hiyo, Waziri Afisi ya Raisi Kazi, Uchumi na Uwekezaji Mh. Sharif A. Sharif alisema, nawapongeza sana benki ya Equity kwa kuunga mkono juhudi za serikali kwa kukuza uchumi wa taifa letu kwa kuhakikisha kuwa kila Mtanzania anatumia mifumo rasmi ya kifedha (financial inclusion). Vilevile kwa ubunifumkubwa wa kutoa huduma bora za kibenki za kidijitali.



PANDA TUKUPANDISHE UFURAHIE LIVERPOOL vs BRIGHTON NDANI YA DStv



Ikiwa zimebaki Siku 7 tu ofa ya #pandatukupandishe ya @dstvtanzania mteja wa Bomba panda ulipie Shangwe TShs. 37,000 tu na @dstvtanzania wakupandishe Compact ufurahie mbungi hili!

Piga *150*53# kulipia.

#sokanidstv
#unakosaje


Follow @dstvtanzania upate ofa na ratiba ya vipindi unavyovipenda ili usipitwe.

BOT CONTINUES WITH EFFORTS TO ADDRESS FOREIGN CURRENCY SHORTAGES

Sunday, 24 March 2024

SAMSUNG YAZINDUA HUDUMA YA MWONEKANO WA VIFAA KWA 3D KWA KUTUMIA SMARTTHINGS NA AI

  • Inatumika kwenye luninga na vifaa vya nyumbani ili kurahisisha usimamizi, ikipanua huduma zake duniani kote, kuimarisha matumizi ya SmartThings
Kampuni ya Samsung Electronics Co., Ltd imezindua huduma itakayomwezesha mteja kupata mwonekano wa ramani kwa 3D, huduma hii imezinduliwa kwa mara ya kwanza katika kongamano kubwa la teknolojia na ubunifu duniani (CES) 2024 na sasa inapatikana katika nchi zote zinazoweza kupata huduma ya SmartThings.

Huduma hii inayojulikana kama ‘Map View’ huboresha usimamizi wa shughuli za nyumbani kwa kubadilisha mpangilio wa vifaa vyako kuwa picha halisi kupitia programu ya SmartThings. Watumiaji wanaweza kuona vifaa vyao kwa uhalisia na kurekebisha mwanga, halijoto, ubora wa hewa na matumizi ya nishati kwa urahisi muda wowote na mahali popote.

‘Map View’ inatoa ufumbuzi wa changamoto ya kudhibiti idadi inayoongezeka ya vifaa vilivyounganishwa katika majumbani duniani kote na hurahisisha ufanisi wa usimamizi ili kuondoa hitaji la kusimamia kila kifaa pekee yake unapotaka kukitumia. Huduma hii inawonyesha watumiaji mwonekano mzima wa nyumba yao kwa wakati mmoja na inawapatia taarifa kwa wakati halisi kadiri vifaa vingine vinavyoendelea kuunganishwa.

Toleo lililopita la ‘Map View’ lilikuwa la muundo wa 2D ambao ulifanya kazi kwa nyumba ambazo zilikuwa na ramani pekee. Hivyo, toleo hili jipya lililoboreshwa la 3D limekuja na fursa ya huduma za ‘Spatial AI’ katika vifaa vya Samsung - kama vile ‘Bespoke Jet Bot™’ - inayotumia sensa za ‘LiDAR’ kwenye kifaa kupima kwa uhakika na kuonyesha mwonekano sahihi wa mpangilio wa nyumba. Sasa, watumiaji wanaweza kuelewa kwa urahisi zaidi muundo na hali ya nafasi ya nyumba zao kwa mwonekano wa 3D.

Friday, 22 March 2024

HOW 3 YEARS OF PRESIDENT SAMIA HAVE IMPACTED THE BANKING SECTOR

USIKOSE ENGLAND vs BRAZIL JUMAMOSI HII NDANI YA DStv


Ofa ya #pandatukupandishe iko ukingoni zikiwa zimebaki siku 10 changamkia ofa hii kwa kulipia kifurushi cha juu yako @dstvtanzania wakupe cha juu yake!

Lipia kifurushi chako kwa kupiga *150*53#

#pandatukupandishe
#sokanidstv
#unakosaje

SWEDEN KUSAIDIA UJENZI WA RELI YA KISASA - SGR

Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akimkabidhi zawadi Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Kimataifa na Biashara ya Nje wa Sweden Mhe. Diana Janse, baada ya kumaliza kikao kilichojadili kuhusu ushirikiano kati ya nchi hizo mbili na utekelezaji wa miradi ikiwemo elimu, usawa wa kijinsia, mazingira na masuala ya miundombinu hususan reli ya SGR kilichofanyika jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), (wapili kulia), Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Kimataifa na Biashara ya Nje wa Sweden Mhe. Diana Janse (wapili kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa Christian Omolo (kulia) na Balozi wa Sweden nchini Tanzania Mhe. Charlotta Ozaki Macias, baada ya kumalizika kwa kikao.
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), (watano kulia) na Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Kimataifa na Biashara ya Nje wa Sweden Mhe. Diana Janse (wanne kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika kwa kikao kilichojadili ushirikiano na utekelezaji wa miradi. Kikao hicho kimehudhuriwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa Christian Omolo (wanne kulia), Balozi wa Sweden nchini Tanzania Mhe. Charlotta Ozaki Macias (wa pili kushoto) na baadhi ya Makamishna wa Wizara ya Fedha na watumishi wa Ofisi ya Ubalozi wa Sweden nchini Tanzania.
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiongoza ujumbe wa Tanzania katika kikao na Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Kimataifa na Biashara ya Nje wa Sweden Mhe. Diana Janse (hawapo pichani) kilichofanyika jijini Dodoma. 
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiagana na Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Kimataifa na Biashara ya Nje wa Sweden Mhe. Diana Janse, baada ya kumalizika kwa kikao hicho.

Na Benny Mwaipaja, Dodoma.

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Kimataifa na Biashara ya Nje wa Sweden, Mhe. Diana Janse, jijini Dodoma, ambapo Naibu Waziri huyo, amemweleza Mhe. Dkt. Nchemba kuwa, nchi yake inaandaa Mkakati Mpya wa Ushirikiano kati ya nchi hizo mbili unaolenga kuongeza ushirikiano katika Nyanja za kiuchumi na kibiashara.

Katika mazungumzo yao, Mhe. Dkt. Nchemba aliishukuru Sweden kwa kusaidia maendeleo ya nchi kupitia miradi mbalimbali ya maendeleo iliyotekelezwa na inayoendelea kutekelezwa katika sekta za nishati, elimu, maendeleo ya Jamii kupitia Mfuko wa TASAF pamoja na mradi wa ujenzi wa reli ya Kisasa SGR, kipande cha Morogoro hadi Makutupora mkoani Singida ambacho ujenzi wake umekamilika kwa zaidi ya asilimia 96.

Aidha, Dkt. Nchemba ameishukuru Sweden kwa kuonesha nia ya kutoa zaidi ya dola za Marekani milioni 580 kwa ajili ya ujenzi wa kipande cha tatu na cha nne cha reli ya kisasa SGR, fedha ambazo nchi hiyo itazitoa hivi karibuni baada ya kukamilika kwa tathimini ya mazingira ya mradi huo.

ACCOUNTING WEEK: TRADERS EMPOWERED IN RECORD KEEPING & TAX COMPLIANCE

President of the Tanzania Accountants Association, Godvictor Lyimo who is also Geita Gold Mining Limited’s Senior Tax Disputes Resolution Manager, addresses reporters in Dar es Salaam, highlighting the multifaceted approach of the initiative.

In commemoration of Accounting Week nationwide, the Tanzania Association of Accountants (TAA), in collaboration with various stakeholders, has launched an educational outreach initiative targeting business owners. The program aims to provide guidance on proper record-keeping practices and ensuring accurate tax compliance.

President of the Tanzania Accountants Association, Godvictor Lyimo who is also Geita Gold Mining Limited’s Senior Tax Disputes Resolution Manager, earlier this week addressed reporters in Dar es Salaam, highlighting the multifaceted approach of the initiative. Alongside educating business owners, TAA plans to offer mentorship to aspiring accountants and extend assistance to a deaf school in Temeke municipal.

Lyimo emphasized the community-oriented nature of these events, stating, "This week are engaging with the business community in Kariakoo, Tandamti street, with a focus on educating our members who are businessmen. Our objective is to promote accurate record-keeping practices and ensure proper tax payments to the Tanzanian government."

He further explained, "The ultimate goal is to equip traders with the necessary skills to maintain comprehensive records, facilitating easier access to loans at favorable rates."

BENKI YA DCB YAANDAA FUTARI KWA MADIWANI WA JIJI LA DAR ES SALAAM


Benki ya Biashara DCB ilipata fursa ya kipekee ya kuandaa hafla fupi ya futari kwa Waheshimiwa Madiwani wa Jiji la Dar es Salaam, Mgeni rasmi akiwa Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Mh. Omar Kumbilamoto.


Kikao hicho kilikuwa ni sehemu ya jitihada zetu za kuimarisha ushirikiano na Halmashauri zetu, huku tukijadiliana kuhusu fursa za pamoja.


Mhe. Kumbilamoto aliishukuru Benki na kutoa pongezi kwa kikao hicho kwani kimewakutanisha pamoja Madiwani wote na Uongozi wa Benki katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa ramadhan.


Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Benki ya DCB, Bw. Sabasaba Moshingi aliwashukuru Waheshimiwa Madiwani kwa kuitikia wito na kujumuika pamoja nasi kwani utamaduni huu unadumisha umoja na ushirikiano baina yetu. 


Umoja wetu ni nguvu yetu!

Thursday, 21 March 2024

VODACOM YAZINDUA VODABIMA KUPANUA WIGO WA BIMA KIDIGITALI

Kamishna wa Bima kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA), Dk. Baghayo Saqware (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa M-Pesa, Epimack Mbeteni (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Assemble Insurance, Tabia Massudi (kushoto) wakiwa na vipeperushi kuashiria uzinduzi wa kampeni ya “VodaBima kidigitali, Ni Chap, ni Nafuu” inayohamasisha matumizi ya Bima Kidigitali uliofanyika jijini Dar es Salaam. Kampuni ya Vodacom Tanzania kupitia huduma zake za VODABIMA zinazopatikana kwa M-Pesa, itanufaisha wagonjwa wa kulazwa na kutwa, vyombo vya moto na bima ya maisha kwa mtu mmoja mmoja na vikundi kwa gharama nafuu.
Kamishna wa Bima kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA), Dk. Baghayo Saqware (wa tatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa M-Pesa, Epimack Mbeteni (wa kwanza kulia) pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Assemble Insurance, Tabia Massudi (wa pili kulia), Mkurugenzi Mkuu wa Jubilee Allianz Insurance, Dipankar Acharya (wa kwanza kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Jubilee Life Insurance, Helena Mzena (wa pili kushoto), wakiwa na vipeperushi kuashiria uzinduzi wa kampeni ya “VodaBima kidigitali, Ni Chap, ni Nafuu” uliofanyika jijini Dar es Salaam. 
Kamishna wa Bima kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA), Dk. Baghayo Saqware akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya “VodaBima kidigitali, Ni Chap, ni Nafuu” Kampeni hii inasisitiza matumizi ya Bima kidigitali inayotolewa na Vodacom Tanzania kupitia huduma za VODABIMA.
Mkurugenzi wa M-Pesa, Epimack Mbeteni akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya “VodaBima kidigitali inayopatikana kupitia huduma za VODABIMA.
Kamishna wa Bima kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA), Dk. Baghayo Saqware (kushoto) na Mkurugenzi wa M-Pesa, Epimack Mbeteni (kulia) wakifuatilia uzinduzi wa Bima Kidijitali inayopatikana kupitia huduma za VODABIMA.
Dipankar Acharya, Mkurugenzi Mkuu wa Jubilee Allianz Insurance akizungumza wakati wa uzinduzi wa Bima Kidijitali inayopatikana kupitia huduma za VODABIMA.
Julius Magabe, Mkurugenzi Mtendaji wa Sanlam Insurance akizungumza wakati wa uzinduzi wa Bima Kidijitali inayopatikana kupitia huduma za VODABIMA.
Helena Mzena, Mkurugenzi Mkuu wa Jubilee Life Insurance akizungumza wakati wa uzinduzi wa Bima Kidijitali inayopatikana kupitia huduma za VODABIMA.
Wageni rasmi wakifurahia wakati wa kushuhudia uzinduzi wa kampeni ya “VodaBima kidigitali.
Wageni waalikwa wakifuatilia uzinduzi wa Bima Kidijitali.
Mkurugenzi wa M-Pesa, Epimack Mbeteni akizungumza na washirika na wadau waliojitokeza wakati uzinduzi wa kampeni ya “VodaBima kidigitali. 
  • Kupatikana kwa kutumia simu ya mkononi
  • Kuongeza uharaka wa upatikanaji wa bima nchini
Katika jitahada za kuleta usawa katika matumizi ya bima nchini, Vodacom Tanzania, kupitia huduma zake za VODABIMA zinazopatikana kupitia M-Pesa, imezindua kampeni kabambe ya Bima Kidijitali ambayo itanufaisha wagonjwa wa kulazwa na kutwa, vyombo vya moto (magari na pikipiki) na bima ya maisha kwa mtu mmoja mmoja na vikundi kwa gharama nafuu.

Akizungumza katika uzinduzi huo jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa M-Pesa, Epimack Mbeteni, amesema baada ya kuzindua bima ya vyombo vya moto kwa kushirikiana na washirika 16 nchini, hivi karibuni walizindua Bima ya Afya ya mtu mmoja mmoja kwa kushirikiana na Assemble Insurance na Bima ya Maisha kwa mtu mmoja mmoja kupitia ushikirikiano na Sanlam insurance pamoja na Bima ya Maisha kwa vikundi kwa ushirikiano na Jubilee Insurance katika harakati za kampuni hiyo za kuongoza mapinduzi ya kuleta urahisi wa huduma katika sekta hii nchini kote.

“Tunafuraha kuzindua kampeni hii kabambe ya bima ambayo itajumuisha bima zetu zote kama vile ‘AfyaPass’ ambayo itawezesha wagonjwa wote wa kulazwa na kutwa kupata huduma katika hospitali mbalimbali nchini kote. Huduma hii, ambayo inapatikana kupitia simu ya mkononi kupitia M-Pesa, inalenga kurahisisha upatikanaji na kuongeza wigo wa matumizi ya bima kwa kila mtumiaji. Tumefanikisha hili kutokana na unafuu wa gharama, ambapo gharama za mwaka ni shilingi za Kitanzania 70,000 kwa kila mmoja. Pia, unaweza kumuongeza mtu mwingine wakati wowote, sehemu yoyote kwa sababu kila kitu kinafanyika kupitia simu yako ya mkononi,” anafafanua Mbeteni.

DKT. NCHEMBA ATETA NA UONGOZI WA BENKI YA PBZ

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (wa tano kulia), na Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ), Bw. Said Mohamed Said (wa tano kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka Serikalini na Benki hiyo, baada ya kikao chao ambapo walijadilina namna Benki na Serikali zinaweza kushirikiana kukuza uwekezaji kwa ajili ya maendeleo ya nchi. Kikao hicho kilichofanyika katika Ofisi ya Waziri wa Fedha, jijini Dodoma kilihudhuriwa pia na Viongozi mbalimbali waandamizi wa Serikali na PBZ.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akifuatilia wasilisho kutoka Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ), Ofisini kwake Jijini Dodoma, wakati wa kikao chao, ambapo walijadili namna Benki na Serikali zinaweza kushirikiana kukuza uwekezaji kwa ajili ya maendeleo ya nchi. Kikao hicho kilihudhuriwa pia na Viongozi mbalimbali waandamizi wa Serikali na PBZ.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (kulia), na Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ), Bw. Said Mohamed Said, wakiagana baada ya kikao chao ambapo walijadilina namna Benki na Serikali zinaweza kushirikiana kukuza uwekezaji kwa ajili ya maendeleo ya nchi. Kikao hicho kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Waziri wa Fedha, jijini Dodoma na kuhudhuriwa pia na Viongozi mbalimbali waandamizi wa Serikali na PBZ.

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ameipongeza Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) kwa kupanua biashara zake hapa nchini na kuitaka Benki hiyo ishushe zaidi riba ili wananchi wakiwemo watumishi wa Umma waweze kunufaika na huduma zinazotolewa na Benki hiyo.

Dkt. Nchemba ameyasema hayo alipokutana na Uongozi wa Benki hiyo Ofisini kwake Jijini Dodoma ambapo walijadili namna Benki na Serikali zinaweza kushirikiana kukuza uwekezaji kwa ajili ya maendeleo ya nchi.

Aliahidi kuwa Serikali itaendelea kuunga mkono jitihada za Benki hiyo kwa kuhakikisha kuwa wananufaika na mazingira ya ufanyaji biashara katika Sekta hiyo ya fedha.

Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi wa Benki hiyo, Bw. Said Mohamed Said, alisema kuwa Benki yake imeendelea kukua na kupanua huduma zake upande wa Tanzania Bara, katika mikoa ya Dar es Salaam, Mtwara na Dodoma na kwamba hivi karibuni inatarajia kufungua matawi mengine katika mikoa ya Mbeya, Morogoro, Mwanza, Tanga na Arusha.

Tuesday, 19 March 2024

ACI FMA TANZANIA SET TO ELEVATE VALUE TO FINANCIAL MARKETS COMMUNITY

ACI FMA Tanzania Chapter President, Ms. Naomi Mafwiri Rhubera (left), hands over documents to Bank of Tanzania (BOT) Assistant Manager, Market Analysis, Surveillance, and Monitoring - Fidelis Bernhard Mkatte shortly after a joint meeting between the newly elected committee members of ACI Tanzania and BOT senior market officials, aimed at identifying key areas of collaboration to advance Tanzania’s financial markets. A brief meeting was held at the Central Bank premises in Dar es Salaam recently.
ACI FMA Tanzania Chapter President, Ms. Naomi Mafwiri Rhubera (left), hands over documents to Bank of Tanzania (BOT) Financial Markets Director - Emmanuel Akaro, shortly after a joint meeting between the newly elected committee members of ACI Tanzania and BOT senior market officials.
ACI FMA Tanzania Chapter President, Ms. Naomi Mafwiri Rhubera (left), hands over documents to Bank of Tanzania (BOT), Principal Financial Analyst, Market Analysis, Surveillance and Monitoring - Ephraim Madembwe, shortly after a joint meeting between the newly elected committee members of ACI Tanzania and BOT senior markets officials.
ACI FMA Tanzania Chapter President, Ms. Naomi Mafwiri Rhubera (third left, seated), poses for a memento photograph with Bank of Tanzania (BOT) financial markets senior officials and newly elected committee members of ACI Tanzania, shortly after a joint meeting between the two parties aimed at identifying key areas of collaboration to advance Tanzania’s financial markets. 

Marketers’ umbrella and BoT chart collaboration avenues
  • Discuss ACI FMA Tanzania’s Vision for 2024-26
  • Includes ACI Identity, education, and Intentional Stakeholder Engagement
The newly elected ACI Financial Markets Association Tanzania chapter committee over the weekend met with Senior Bank of Tanzania (BOT) officials in a bid to identify key areas for collaboration aimed at advancing Tanzania’s financial markets.

Speaking in Dar es Salaam after the meeting, ACI FMA Tanzania President, Ms. Naomi Mafwiri Rhubera said the meeting, which doubled as an introductory session, featured high-level talks over key focal points between BOT and ACI FMA Tanzania.

"We discussed about ACI FMA Tanzania’s Vision for 2024-2026 during which we outlined its pillars for the next two years, emphasizing ACI Identity, ACI Education and ACI Intentional Stakeholder Engagement as guiding principles to enhance value within the financial markets community", said Rhubera.

Formed in 2002, ACI FMA Tanzania is the standard bearer for financial markets professionals in Tanzania. It is affiliated with ACI – Financial Markets Association, a Paris based global umbrella body of financial markets associations founded on the interests of financial markets.

IFAHAMU MASHINE YA KUFULIA YA KILO 12 YA SAMSUNG


Vifaa vya nyumbani vinavyotoa ufanisi, urahisi na sifa za hali ya juu vimekuwa muhimu katika dunia ya sasa. Wakati ulimwengu ukisukuma kila siku kwa sekta mbalimbali kukumbatia uwekezaji wa kijani ambao ni rafiki kwa dunia, hitaji la ufanisi wa vifaa vya kielektroniki kwa sasa limekuwa halieupukiki.

Kwa mara nyingine tena Samsung imedhihirisha kiwango cha hali ya juu kupitia mashine yake ya kisasa ya kufulia ya 12KG, iliyoundwa ili kurahisisha shughuli zako za ufuaji huku ikiweka kipaumbele usalama, uhifadhi wa nishati na njia rafiki kwa mtumiaji.


Kwa mujibu wa Samsung, kupitia mashine hii ya kufulia, ikiwa na ‘EZ Wash Tray TM’ inatoa nafasi ya kutosha ya kufua kwa mikono vitu vinavyohitaji umakini zaidi na kufua kabla kwa nguo zilizochafuka sana, badala ya kutafuta eneo tofauti au kuinamisha/kupindisha bomba.

Mashine hii ya kufulia inakuja na sifa za kipekee zifuatazo:

Uwezo na Ufanisi

Mashine ya kufulia ya Samsung 12KG inakuja na uwezo wa kuvutia, na kuifanya kuwa bora kwa kaya kubwa au familia zenye shughuli nyingi za ufuaji. Ukiwa na kifaa hiki, utaachana na changamoto ya mizunguko ya kufua mara kwa mara na kufurahia urahisi wa kufua kiasi kikubwa cha nguo kwa wakati mmoja. Wakati huo huo, humsaidia mtumiaji kupunguza muda wa kufua wa mpaka 50% kwa kutumia teknolojia ya ‘Q-Bubble™’ - mzunguko wake na uwepo wa maji ya ziada husaidia kutoa mchanganyiko thabiti wa sabuni, ambayo hupenya haraka kwa ufuaji wa haraka na kwa urahisi zaidi inapowashwa.

Salama kwa Mtoto

Bila shaka usalama ni kipaumbele kikubwa kwa familia, na Samsung inalielewa hili vizuri. Kampuni hii nguli ya vifaa vya kielektroniki imejumuisha kipengele cha usalama kwa mtoto kwenye mashine ya kufulia, ili kuhakikisha viumbe hawa wadadisi hawatoingilia utendaji wa kifaa hiki kwa bahati mbaya, hivyo kuwapatia wazazi amani, wakijua kwamba watoto wao wamelindwa dhidi ya madhara yoyote yanayoweza kujitokeza.

ABSA BANK CONTINUES TO EMPOWER TANZANIAN WOMEN

Minister of State, Office of the President, Finance and Planning Zanzibar, Dr. Saada Mkuya Salum (right), presents an appreciation award to the Head of Branch Operations of Absa Bank Tanzania, Ms. Mwilongo Irene Msungu (center), in recognition of the bank's contribution as the main sponsor towards launch of the Tanzania Women in Finance Association (TAWiFA), during an event held in Kizimkazi, Zanzibar recently. Extreme left is the Manager of Absa Zanzibar Branch, Ms. Rabia Aboud. This is one of Absa Bank's initiatives to empower women economically, alongside the recently launched Absa She Account, a special account for women.
Head of Branch Operations at Absa Bank Tanzania, Ms. Mwilongo Irene Msungu (left), receives a token of appreciation from the Minister of State, Office of the President, Finance and Planning of Zanzibar, Dr. Saada Mkuya Salum, in recognition of Absa's contribution as the main sponsor towards launch of the Tanzania Women in Finance Association (TAWiFA).
Widow of the first President of the Revolutionary Government of Zanzibar (SMZ), Mrs. Fatma Karume (left), exchanges greetings with the Head of Branch Operations of Absa Bank Tanzania, Ms. Mwilongo Irene Msungu (right), and the Manager of Absa Zanzibar Branch, Ms. Rabia Aboud, during the launch of the Tanzania Women in Finance Association (TAWiFA).
Some participants listening to the speech of President of the United Republic of Tanzania, Dr. Samia Suluhu Hassan, during launch of the Tanzania Women in Finance Association (TAWiFA) held in Kizimkazi, Zanzibar recently. Absa Bank was the main sponsor of the launch.
Head of Branch Operations at Absa Bank Tanzania, Ms. Mwilongo Irene Msungu (third left), and Manager of Absa Zanzibar Branch, Ms. Rabia Aboud (third right), display the award given to the bank as the main sponsor at the launch event of the Tanzania Women in Finance Association (TAWiFA), held in Kizimkazi, Zanzibar recently.